Assalam alaykum Warahmatullah. Sophy na Bujra yuwapi mama madikodiko??? Nafatilia Kaz yenu si mbaya bt ili iwe mardhawa kabsa mama madikodiko ashiriki Kaz yenu.
Tokea membobya mitandao yaanze vijana wengi wanafanya short film comedy kama hizinila nyie mnajitahidi sana kupangilia michezo yenu ina elimu inafurahisha ni mizuri ila kidoogo mungerefusha na iwe kama vile tamthilia isiwe shorts ndio imeisha iwe na muendelezo ili tujue mwishowe somoee mbona mwatutenda hivi yamanii
Jamaa m niphunga sanaaaa....😅😅😅😅
Bajun boy unawakilisha vyem❤
Shabbashi commedy Jaise koi nahie isilie mujhe bohuut pasand Jimbo media zindabad 🎉
😂😂😂😂mwanao mwenyewe yule tiii
Very happy bujra u bring majidi back nice
😂😂😂😂babake madikubwa anafujo sana sikutuliaaaa bamkwe akayamaliza sikutuliaaa😂
Yaan 😂😂😂😂❤❤❤❤ mmenichekesha mnooo
Mbavu zngu jamani mungu pia yy ampe subra mbajuni
😂😂😂mwanyumba ntaka hiyo nonsense 😅
Nonsense kwa maandazi😅😂 na tangawizi
Somoe na mumeo tafuteni hela jamani maana si kwa visindo hivyo vya mwenye nyumba
😂😂😂mbavu zangu thaaabani
Mbona usiketi nao
naangalia kutoka tanzania
Mwanyumba nataka iyo nonsense mimi😂😂😂😂😂😂
Nonsense gani hiyo 😂😂
Kumekucha!! 😂 basi nanyie jimbo media ongezeni dakika tuone ya huko ndan kuangalia chumba
Alaaaa 😂😂😂
😂😂😂😂 umbea si kazi
😂😂😂😂 jamn watka io noncesss
Uyu m bajuni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anataka nasesi
😂😂😂😂
Jaman part 2 somoe😂
Umasikini mbaya 😢
Assalam alaykum Warahmatullah. Sophy na Bujra yuwapi mama madikodiko??? Nafatilia Kaz yenu si mbaya bt ili iwe mardhawa kabsa mama madikodiko ashiriki Kaz yenu.
Banga banga 😂😂😂😂😂
Mbajuni yeye ataka hiyo nonsense 😊
😂😂😂
Tokea membobya mitandao yaanze vijana wengi wanafanya short film comedy kama hizinila nyie mnajitahidi sana kupangilia michezo yenu ina elimu inafurahisha ni mizuri ila kidoogo mungerefusha na iwe kama vile tamthilia isiwe shorts ndio imeisha iwe na muendelezo ili tujue mwishowe somoee mbona mwatutenda hivi yamanii
Tamthilia si Jambo rahisi ,hua ni kitabu kishatungwa,short stories ni kwa haraka kuwaza na mafunzo kabisa
😂😂😂😂😂😂😂😂mwanimvunja mbavu😅😅😅🎉🎉
Wafahamu kibajuni ?😂
Hichi kipindi kiendele tujue kilicho endelea
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤🎉🎉🎉🎉
😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂❤
😂
😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂