mwenyewe marhum alhabib sayyid hussein bin ahmad badawy alikuwa fundi sana, qaswida zake alizipangilia vizuri kwa naghma na maqaamat nzur wala muimbaji hutakiwi kuongeza ufundi,ukiongeza ufundi utaharibu tu,maaana qaswida yenyewe ukiimba vile alivyoiunda yeye mwenyewe marhum ni nzuri na imepangiliwa kiufundi sana,ukiongeza ufundi utaifanya mbaya
Dooooh mashaallah ❤
ALLAHUMMA SWALLI WASALLIM WABAARIK ALEYH
Mashallah
Allahumma swalliy wasallim alayh
mwenyewe marhum alhabib sayyid hussein bin ahmad badawy alikuwa fundi sana, qaswida zake alizipangilia vizuri kwa naghma na maqaamat nzur wala muimbaji hutakiwi kuongeza ufundi,ukiongeza ufundi utaharibu tu,maaana qaswida yenyewe ukiimba vile alivyoiunda yeye mwenyewe marhum ni nzuri na imepangiliwa kiufundi sana,ukiongeza ufundi utaifanya mbaya
Huyu Mzee mwenye Majani tunamuita"SHAWISHI"anafanya vizuri kabisa.
HUYU JAMAA ANAJUA VIBAYA MNO ❤
Professor
Shwikh Adam wewe Allah kakupa kitu chako Wallahi.
Ustadh Adam Masoud bado hujaacha kuniliza tuu kwenye naghmaaaaaati
Dah qaswida imenikumbusha mbali madrasatulkhayria ndio inaanza qaswida hii tulifundishwa na ostdh juma sarai dah
Ust Masoud, ww ni mwamba
Hapo naipta ile naghma ya Nahawandi na swabaa
Twaha kimaru ukowp kk da vitaaaaaaa kkkkk
Kuna ukweli sasa hivi unaonekana ndani yake.
Atafika mbali
Namuona mwl,qayswari nyuma hapo
Huyu wa nai wale wa Misri hawajamuona kweli jamani?
Hiyi ni bidaa sheikh wangu haraamu
Hahahh Haya mbn uko hapa na ww watizama
Haram au bidaah fafafanua
Tuachie wenyewe hapa si mahala pako.
Utuache
@@momoa9979 kinyesi hatizamwi huku unatafuta nn