Nyimbo hii nikisikiliza hua najikuta nairudia 6×na hua nahsi inanitoa mahali ni mkutumaini mungu kwala hatua maishani mwangu barikiweni sana watu wa mungu mlio imba nyimbo hii nawapenda sana ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏
This song is dedicated to my Mama,,she used to love it...May she continue resting in peace and i know she is watching over us wherever she is...love you sooooo much mom
Been struggling with mental issues, whenever I listen to this song I reason with it, no matter what "I am his child" . Still struggling with my substance abuse but, hata hiyo inajua ikifika kwa my only "GOD" it listens.. I'm just praying my family understands me more than the doctors.... I get you "Rose."
Sitosheki na huu wimbo. Baraka ni haki yangu. Is there anyone here reminded of the benefits of entering into a covenant with God like me? This song deserves more than one thumbs up. Just hit the like button
Aki kila ninapo muona Rose nakumbuka baadhi ya mapito anayo yapitia..... Kwa kweli binadamu hawana wema....kwa nyimbo nyingi alizositoa ambazo zimewafanya watu wengi kukombolewa na kuhizi utukufu wa mungu jamani
who is here 2yrs later and is confident that they are a child of God..... Amen mimi ni mwanawake!!! na simwonei mashaka Mungu ninaye mwamini haijalishi mapito yangu ya sasa Glory!!!
Kama unaamini walio dislike nyiimbo hii wamedislike kwa bahat mbaya gonga like👍👍👍 ol de way representing from Tz Welcome back our madam #rosemuhando🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Rose Mungu akulinde akuangazie nuru ya uso wake akufunike kwa mbawa zake akuongoze akutangulie Mungu ni mwenye upendo na huruma ni mwenye fadhili hakika Mungu ni Mkuu.
Sina budi kukupa hongera dada yetu Joyness Kileo congratulations natumai utaendelea kulitukuza jina la Mungu na utazidi kubarikiwa Kama unamkubali Joyness Kileo nipe like tukisonga ndani ya 2020 na utabarikiwa hata zaidi na Mungu atakusaidia kutimiza ndoto zako😎
Wamemuona tena Rose amerud na nguvu kama simba Rose simba wa jike hatariiii Walipanga muabisha wameshindwaaa kwa jina la Yesu. I feel happy to see u again moom
Wimbo mzuri sana, sauti zimeendana hadi raha kiukweli nabarikiwa sana na wimbo huu hofu no, mashaka nooooo piga kazi Rose huna mpinzani haijalishi unayopitia
Ayubu akasema pamoja na mwili huu kuharibika lakin najua nitamwona Mungu Rose Songa mbele ewe shujaa endelea kuimba kupitia Biblia lazima shetani ajute.
That voice of Rose cannot be replaced. I keep listening to this song. We love you Rose and may the grace of God continue to be sufficient in your life. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama kuna mtu anaamini kuna mungu ndani mwake na anateteya nafsi yake anipe 1 like
❤❤❤❤AMINA
Hakuna ubishi sote ni wana wa Mungu hata kama hatumwamini
,ew😂gp.wl
Dj
@@Star77748
🙏🙏 weka like kama bado unaskiza huu wimbo 2023
Likes za wakenya hapa please 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wakenya wezangu please rose amekuwa MTU wetu
True
SERIOUSLY Stephanie nampenda HUYU mama yetu neema ya mungu imzidishie 😘😘😘😘😘😘😘
Very happy to see e Rose back to industry
Rose ,God has favoured you
Sijaziona Likes za Joyness, like zake ziko wapi?? Our Mummy's good job. God bless
Amena mumy
No one like God.if yes give me 1 like..
if you don't like god then why did you listen to this song @JODB MSAFi and even comment on it
JODB MSAFI Amen 🙏🏾
Nyimbo hii nikisikiliza hua najikuta nairudia 6×na hua nahsi inanitoa mahali ni mkutumaini mungu kwala hatua maishani mwangu barikiweni sana watu wa mungu mlio imba nyimbo hii nawapenda sana ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏
Baraka ni Halali yngu 🇰🇪
This song is dedicated to my Mama,,she used to love it...May she continue resting in peace and i know she is watching over us wherever she is...love you sooooo much mom
Hakika mungu ni mwema nawapenda wote Rose Muhando na Joyness Kileo nyimbo zenu zimejaa utukufu wa Mungu. haijalishi napitia Mapito gani sitoogopa
Ohh
Rose muhando nimpendae
Who listens more than twice like me? I feel blessed.....Likes za Rose Muhando from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Me here.......wow mm ni mwanawake.
Am so blessed this morning on learning this song. In everything God is God. And God of second chance.
Like it too
@@lizlynlissa9097 +0
Been listening to it since morning 💃💃💃
I am
Naipenda Sana huu wimbo mpaka nahisi kudata hata nikiwa nimelal ndotoni naimba mwaaaaaaa da rozi we nimwanamke was tofati
Rose her voice it’s so Awesome 👏🏼
Chimamanda IP Man Official rose voice is always on point we love you muhando
True
Is good
1000 percent
Rose always number one
Somebody say hallelujah to these women.haijalishi mazingira
2024 still listening to this song like never before ❤❤❤ my daily anthem
kila niwazapo kukataa tamaa uja kusikiliza uhuu wimbo unitia nguvu sana 😍
Mamangu Rose Wewe ni Jembe ... Niliwaambia hawatokuweza wakasita ... Sasa wajue Shaka No Hofu No.
Will always support you mum😍😍
Thank you so much Brother Kasolo. I have seen this trophy in God's hand. I support her alone with you. Brother Ernest -USA
@@prophetsakhi sure Papa
@@StephenKasolo continue supporting her and God will bless you
Amina
Huyu ni wa Mungu
Joyness Kileo ,umefanya vizuri sana kwa msaada wa Mungu ,barikiwa sana wimbo mzuriiiiiii
Who is happy like me to see queen of Gospel is back. ..to music industry. .. any like for Queen Roses
Imagine I cry seeing her Oooh God is amazing
God is great... am very happy for her
I really thank God 🙏 for that Glory to God 🙌
Indeed we appreciate Almighty God for this gift 🙏💞
The gospel music legendary is back once again...
Sister joynes marnatha malaba kenya we love and miss you maadam
Rose kweli umebarikiwa indeed wewe ni mwana wa mungu.The song is a blessing
Nikiwa down naskiza hii song for real huwa inanitia nguvu sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wh else feels this song really blesses their soul like me.... Agongee like tukisongaa
I love this song. Mimi ni wanawake tuu haijalishi mapito yangu kweli
Kama unampenda dada yetu Rose give me likes
I'm blessed with evergelic voices oooh mimi ni mwana wa mungu
Rose you're blessed my Sis
C'est super.... Hakika Hofu No kwa mungu ninaemwamini......mungu awabarike....sana
Smart voice wahuu, kongole rose mungu akuinue juu saidi
Mimi Ni mwana wake kweli,likes za rose
I'm in love with Joyness voice #blessingsallover
Hajailishi mapito tunayo pitia .mm ni mwana wake Mungu ,,,,Rose muhando never dissapont🔥🔥🔥💝💝💝
Since the start of her ministry till now, Rose my favorite.Her music,message,voice;aiiiii !!!! So incredible.
Been struggling with mental issues, whenever I listen to this song I reason with it, no matter what "I am his child" .
Still struggling with my substance abuse but, hata hiyo inajua ikifika kwa my only "GOD" it listens.. I'm just praying my family understands me more than the doctors....
I get you "Rose."
Sitosheki na huu wimbo. Baraka ni haki yangu. Is there anyone here reminded of the benefits of entering into a covenant with God like me? This song deserves more than one thumbs up. Just hit the like button
Nimebarikiwa sana na huu wimbo Joyce hongera sana na zidi kubarikiwa
Furahi kumtazama rose tena mungu ni mwema
Haijalishi mapito yako ..mungu wetu anatutetea sisi tutabaki mwana wake
Dada Rose naamin hata Mbingu zinafurahi kwa sababu unamjua aliekuita na aliezaliwa na Roho huyo ni mwana wa Mungu,hakika haijalishi tena hofu No.
Signe zako za vidole si nzuri da rose.rudilia Yesu dada. isingilibaki talent tu bali tafuta upako wa Yesu.
Aki kila ninapo muona Rose nakumbuka baadhi ya mapito anayo yapitia..... Kwa kweli binadamu hawana wema....kwa nyimbo nyingi alizositoa ambazo zimewafanya watu wengi kukombolewa na kuhizi utukufu wa mungu jamani
🎉
Yeye kwangu ni bba mimi kwake ni mwana, baraka ni halali yangu ata kama imechelewa eee nafsi yangu tulia aaaaa ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
who is here 2yrs later and is confident that they are a child of God.....
Amen mimi ni mwanawake!!!
na simwonei mashaka Mungu ninaye mwamini
haijalishi mapito yangu ya sasa Glory!!!
Hofu no! Mashaka no!! kwa Mungu wetu yabarikiwe malango yenu!!!!👏🏼👏🏼
Kama unaamini walio dislike nyiimbo hii wamedislike kwa bahat mbaya gonga like👍👍👍
ol de way representing from Tz
Welcome back our madam #rosemuhando🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
what a song! Listening countless times😍😍
nampenda roz anajua kuimba mungu simamia mtumishi wako afike mbali
Queen of music is back
kweli sisi wote ni wana wa Mungu
Rose muhando nakupenda bure mama wewe ni jembe
Kama kuna muda unakaa unauplay huu wimbo karibu kwa like wapendwa wa mungu
hii nyimbo inanibariki sana
Who is year 2024
Kama kizuri hata ukipake matope bado kitangaa tu..... nyc song
My Rose Muhando yani nakupenda mpaka naumwa mbarikiwe sana wote
Eldon Brown Amen.
Destiny might be delayed but not denied 🙏🙏🙏🙏 blessings is my right even if it's delayed
Rose Mungu akulinde akuangazie nuru ya uso wake akufunike kwa mbawa zake akuongoze akutangulie Mungu ni mwenye upendo na huruma ni mwenye fadhili hakika Mungu ni Mkuu.
Mimi ni mwana wake kweli ❤
Hofu No..Shaka No..Kwa Mungu Ninayemwabuduu...
Hongera joyaness sauti yako iko pow
hiii ndo nyimbo hadi utukuf wa mungu unatukuka
Big thumbs to the video maker
Muhando is back.. Shetani ako mashakani
hongera sana Dada mungu akutie nguvu.
Shetani ako mashakani kwa hakika.....mungu akurejeshee kilichonyakuliwa na mwovu kwa jina la Yesu...twakupenda dada Rose
Nakupenda San Rose japo kua me muishilam ila nakupenda sana Amna Atakehi ishika nafashi yako
Sina budi kukupa hongera dada yetu Joyness Kileo congratulations natumai utaendelea kulitukuza jina la Mungu na utazidi kubarikiwa
Kama unamkubali Joyness Kileo nipe like tukisonga ndani ya 2020 na utabarikiwa hata zaidi na Mungu atakusaidia kutimiza ndoto zako😎
Dada Joynes Kileo & Mama Rosé ,Mungu kawajalia saut na taranta hiyo naamua kasema ukweli mnaitumia,!!!
Hatuna hofu ya maisha kwa MUNGU tunaemwamini
Ameni barikiwa sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Iko fit bana
I av to listen this every morning....inanibariki na inanikumbusha maana ya agano langu na Mwenyezi Mungu
Like za wa Tz hapa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #Rosemuhando🔥🔥💕❤️
Respect
Tz
Joyness ni mtizedi pia
Mama mungu akutendee apendavyo
😚😘😙
😭😭 I feel touched
Hofu noo,shaka noo kwa Mungu ninayemwabudu..Mimi ni mwana wa Mungu
True gospel artist is back... Nyiny wafanyabiashara wa mziki wa injili mtuache kwanza... Glory to God for bring back Rose
Nabarikiwa na wimbo huu sana. sichoki kuusikiliza.
nice,kazi nzuri mbarikiwe
Amazing song mimi ni mwana wa mungu tu 🙏🏾🙏🏾
I'm glad to see you back on track Rose. Kweli mwana wa Mungu, God of second chance. Love from🇰 🇪based in 🇦 🇪
Likes za joyness...this song gives me strength ...am God's child indeed.
Wamemuona tena Rose amerud na nguvu kama simba
Rose simba wa jike hatariiii
Walipanga muabisha wameshindwaaa kwa jina la Yesu.
I feel happy to see u again moom
Watoto Wa mungu hawa,barikiweni sanaaa
ooooooh my god, endelea kumuimarisha mtoto wako Rose, nyimbo nzuri sanaaaaa afu inagusa
Kwani huyo ni mwanae
ee, n mwanae
Rose nakupenda bure
Wow Rose nimekuona mpaka nimelia umepitia mengi mamangu,acha Mungu akuinue zaidi, Team Kenya twakupenda saaana
Wapi like za rose jamani
Real malkia wa mziki rose wonderfull
I have liked this song 👍👍. Kila Wakat na utazama
Wimbo mzuri sana, sauti zimeendana hadi raha kiukweli nabarikiwa sana na wimbo huu hofu no, mashaka nooooo piga kazi Rose huna mpinzani haijalishi unayopitia
Amen
Aijalishi ni nyakati gani ninayopitia
I can't stop listening to this song. Glory to God
Nko kwa situation ngumu.lakini namini mungu yupo n mm n mimi n mwana wa mungu🙏
Ayubu akasema pamoja na mwili huu kuharibika lakin najua nitamwona Mungu Rose Songa mbele ewe shujaa endelea kuimba kupitia Biblia lazima shetani ajute.
Napenda huu wimbo sana
Mimi mwana wa Mungu....
Love from ugandaaa,,,, corona uv heard, Mimi ni Mwana wa munguuuu
Whenever I see you Rose...ifeel the presence of God. I'm blessed women of God..keep the fire burning in the house of God.
Winnie Ngesa Amen
Amen
MORE FIRE...
Amen and Amen
@@norahkimuyu2482 amen
aaaaaaaaaaa! Mimi ni mwana wa mungu
Mama wa gospel umenibarik simwei mashaka MUNGU hofu no shaka no
Nice song, sauti nazo mkapewa, kenyans namark register gonga like kama umependa huu wimbo
That voice of Rose cannot be replaced.
I keep listening to this song.
We love you Rose and may the grace of God continue to be sufficient in your life. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimefurahi dada Rose anaenda nawakati maana sauti anajuwa kuchezanayo
Wow beautiful song powerful words as well....I declare this every morning.
I remember very when I and my mum watching year 2020 wapi like ❤️❤️❤️❤️❤️
Rose ,the God we serve will never dissapont us,your voice is a blessing to my soul,Kenya twakuenzi sana.
Keep shining Rose muhando.with this song I feel stress Free . God bless you
Rose you know Kenya loves you...seeing where you are nd where your going i cant stop thanking God for your life..A real testimony
Hofu no....Shaka no.....God is God.......and God of second chance.
I am so blessed....this is an encouragement to everyone....