MTAZAME BWANA YESU - AIC Mwanza Town Choir

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Asante kwa kutazama, tafadhali subscribe kwenye TH-cam channel yangu, waweza kuacha comment, like na kushare na wengine. Mungu akubariki sana
    Album NJOONI TUMWIMBIE BWANA
    #AICMwanzaTownChoir #MtazameBwanaYesu
    ©2020 Administered by Ngomma VAS Limited.

ความคิดเห็น • 8

  • @daviskipleting571
    @daviskipleting571 ปีที่แล้ว

    Mwanza were the first among Makongoro choir, they were the first to have choir ❤❤❤, I love their songs, more love from Kenya❤❤❤

  • @josephmiringu9559
    @josephmiringu9559 ปีที่แล้ว

    Alas, ni ajambu kweri tumshangilie mwokozi Kwa furaha tukiwa ndani ya roho mtakatifu.

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 ปีที่แล้ว +1

    NAOMBA WIMBO WANGU WA HEBULEO TUJIKUMBUSHE TENA KUZALIWA KWA MWOKOZI YESU!

  • @esthermashauri441
    @esthermashauri441 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki huduma hii

  • @gkiahu6589
    @gkiahu6589 3 ปีที่แล้ว +1

    Naupenda huu wimbo sana. Mungu aindelee kuwapa kipawa cha muziki. Pia naona wanaoimba washakuwa wakongwe kweli, kujitolea kimaisha kumwaabudu Mungu ni baraka télé. 👍🏽

  • @joneskavoi3966
    @joneskavoi3966 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana mungu na azidi kukiimarisha kibawa chenu cha uimbaji kimejenga imani yangu tangu 1972 hadi waleo

    • @stevek8318
      @stevek8318 3 ปีที่แล้ว +1

      1972? Ulikua wapi wakati huo? Ndo niliingia hii dunia, I grew listening to this kwaya na ya makongoro.

    • @emmanuelngoso4205
      @emmanuelngoso4205 3 ปีที่แล้ว

      Amina