AIC Chang'ombe Choir (CVC) ft. Zoravo - KILA ULIMI (Official Live Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- #KILA ULIMI, ni wimbo wa Nne katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam.
Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
Tunaamini wimbo huu utaenda kufanyika Baraka katika maisha yako. MUNGU AKUBARIKI.
LYRICS
Iweni na nia iyo, hiyo
ndani yenu
ambayo (ambayo)
Ilikuwemo pia ndani ya Kristo Yesu ( Kristo Yesu)
Ambaye (ambaye)
Yeye mwanzo (Yeye mwanzo)
Alikuwa Yu na namna ya MUNGU
Naye hakuona
kule kuwa sawa na MUNGU
Kuwa ni kitu
Cha kushikamana nacho
Bali alijifanya
kuwa hana utukufu
Akatwaa namna ya mtumwa
Akawa mfano wa mwanadamu (wa mwanadamu)
huyu YESU (huyu YESU)
Tena alipo onekana
Ana mwili kama mwanadamu
Alijinyenyekeza
Akawa mtii
Hata mauti na mauti ya Msalaba
(Mauti ya Msalaba)
Kwa hiyo tena MUNGU
Alimwadhimisha mno
Akamkirimia jina
Lile lipitalo kila jina
Ili kwa jina la YESU
Kila goti lipigwe
Na kila ulimi ukiri
Na kila ulimi ukiri
Ya kuwa YESU Kristo
Ni Bwana
Kwa utukufu wa MUNGU Baba
Utukufu wa MUNGU Baba
Special Thanks
AICT CHANG'OMBE CHURCH
Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje
CREDITS.
Song writer - Elisha Gerlad
AICT Chang'ombe Church
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
MUSIC DEPARTMENT
Music Team - Benjamin Makolobela (MD,MAIN KEYS)
Elisha Gurlaty (AUX 1)
Elia Mahuna (AUX 3)
Onesmo Peter (AUX 2)
Emmanuel Yusuph (BASS)
Daniel (LEAD GUITAR)
Mayala Bubele (TRUMPET)
Charles Stenson (TROMBONE)
Meshack Wilson (TROMBONE)
Eliya Makaya (ALTO SAX)
Raphael Luhende (ALTO SAX)
Samson Mathew (DRUMS)
Video production - CVC Media
Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha
Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited
Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro
Baada ya #KilaUlimi kukiri kuwa Yesu ni Bwana.
IJUMAA HII TAR 22/03 TUNA SURPRISE TUMEKUANDALIA KWENYE AUDIO PLATFORMS ZOTE 🔥🔥🔥
-Apple Music
-Spotify
-Boomplay
-Audiomack
-Deezer
-Amazon Music
-Tidal
NA ZINGINE NYINGI………..
MUDA NI ULE ULE SAA SABA MCHANA(1300hrs) 😊
Tunapatikana kwa jina moja tu la (AIC Chang’ombe Choir ) kwenye platform zote.
song writter Elisha Gerlad ndio yupi?
@@elishapembese1963 0:10 huyu anaeonekana kwenye hiyo dakika
Okay anyecheza piano eeeh?
Hongera yake Sana ....wimbo Una power kubwa na walioimba wameubeba vizuri. Hongereni Sana watumishi I'm inspired alot
Following from Canada and definitely I will follow you on every platform. You such a blessing…
Naomba like kwa mpiga keyboard
Oooh yeees🎉🎉🎉💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤
Nzurii mbarikiwe🥰
Nimebarikiwa sana na huu wimbo 🔥🔥🔥🔥. Kama na ww umebarikiwa gonga like❤
Hakuna jambo linanipa faraja kama kuona Vijana wadogo wakitoa muda wao kwa ajili ya kuinua jina la Yesu
MTUNZI NI NANI ? MUNGU AKUBARIKI KOKOTE ULIKO
Dak 0:10 huyo anayecheza kwenye kinanda pale ndio mtunzi.
Kwaya kongwe yenye ubora wakileo hata katika umri wake wa muda mrefu...kazi nzuri hongereni AIC KAZI MWAIFANYA MTALIPWA KWA KIPIMO CHENU
Amen 🙏🏾
Yeleuwiiiii🔥🔥🙌🙌Huu wimbo hauchoshi jamani🔥 TUJUANE TUNAORUDIA RUDIA😀🙌🙌🙌
Amen
Mungu awainue na awatunze kwa Kazi nzuri kama Hii, Wimbo mzuri na Waimbaji wote wameimba vizuri Sana sana, I like it❤❤❤
Amen 🙏🏾
Basst apewe Maua yake na yude dada mwenye nguo ya kijani dahh anajua wengine tuna wajua wako on 🔥🔥🔥 hii Ni Kali kushinda zote
Wimbo mzuri sana.
Hongereni sana CVC kwa kazi nzuri.
Mungu azidi kuwabariki.
I can only imagine how Heaven is going to be..🔥🔥
WIMBO WENYE PUMZI YA MUNGU (TOKA KWENYE MAANDIKO)
Wafilipi 2:5-11, 5 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu;
[6]ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;
[7]bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
[8]tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
[9]Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
[11]na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
MUNGU AWABARIKI KWA HUDUMA YENU YA UUMBAJI❤
Amen mtumishi
hii nyimbo nyie tena hcho kipengele cha ''kwahyo tena Mungu alimwadhimisha mno akimkirimia jina jina lipitalo kila jina ili kwa hilo jina kila goti lipigwe na kila ulimi ukiri'' 🙌🙌🙌 ur the best u guyz😘😘
Duuuuuuu nihatar nilijua moyo do wimb pekee nilio upend kumbe bad kuna nyimbo bhan Hii ni hatar san hongera san san
Baaaado baaado 😅
Amen
Utukufu kwa Mungu
Mubarikiwe watumishi wa Mungu..Utukufu kwake Mungu Mkuu sana...!
Nidhamu ya juu sana, mavazi, vitendo, upigaji vyombo..real wonderful!!
Amen 🙏🏾
Utukufu kwa Mungu
Jamari kwayesu ni raha sanaaaa kila ulimi na ukiri kua yesu kristu ni bwanaaaaaaaa🎉❤❤❤❤🎉haleyuaaaa hosaaanaa
KWAYA NAMBA MOJA TANZANIA🙌🙌🙌
Mungu awabariki sana watumishi hawa❤
Jamani Yesu amejibu maombi yangu natamani kuendelea kuwaona CVC kwenye ivi viwango zaidi na zaidi. Yamekuwa maombi yangu yamuda mrefu Asante Yesu wewe unajibu😭😭
Amen. Barikiwa sana kutuombea na tunaomba uendelee kutuombea sana.
MUNGU akubariki
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Asante sana YESU, upendo ulionipenda nimeuona na waajabu nakutisha sanaaa
Ameen
Mnaokumbuka wimbo wa Halleluya mwimbieni Bwana Wimbo mpya wapiiiiii!
CVC ft ZORAVO TOGETHER. MY GOD BLESS YOU ALL🎉🎉🎉. Kazi yenu ni njema. ❤❤❤
Amen 🙏🏾
Mbarikiwe sana, nataman kuona Wimbo wa Masoro wenu wa siku zote, wakiimba pamoja, nitabarikiwe sana✊@@AICTChangombeChoir_
Huu wimbo huu nyie basi tu
Jifungie chumbani kwako weka sauti ya juu inayokufaa
Imba katika roho kwakumaanisha
Raha yake acha😂😂😂
Mungu awabariki sana
This is super ❤❤..... Aic chang'ombe mna kiti chenu pamoja na Wazee 24 Kwenye kiti Cha enzi MUNGU awabarikii hii nimeipenda Sanaa everything is well ❤️🩹❤️🩹
Amen 🙏🏾
Glory to God
Mungu ni mwema , injili lazima ipelekwe kwa mataifa Yesu Kristo alituachia maangizo
Inaleta raha kuona vijana wengi wanamtukuza mungu wetu mmbarikiwe sanaaa
Ameen Ameen
Kudos to the drummer and everyone.
This is powerful 👏 🙌 👌
Amen 🙏🏾
Mpiga keyboard ainuliwe sana kwa kazi nzuri na kuonesha ushirikiano wa kucheza,kamshahara kaongezwe please 😂😂😂
Huy drams ni moto mwingineeeeee kabisaaaaaa asifananishweeee na mtu yeyyoteeeeee
Na sifa zimludie yeye alieko juu
yusu mwana wa Mungu upewe sifa zote Baba unasistahili milele
Sitaionea haya injili ya Mungu, maana ni uweza wa Mungu uletao wokovu......
Tuna angalia kila muda
Zoravo's voice ni manukato❤❤
Namuona bonge grace mtoto wa mama tunda la roho buzuluga choir hongereni sana kwa huduma wimbo mzuri❤
Zoravooooooooo.......oyooooh.......hongereni Chang,ombe Aic.......hubiriniiiiii
Glory to God
Hakika CVC Mungu awakuze zaidi na zaidi Mungu azidi kuongezeka kwenu Daima na nyie mpungue
Uso wa Mungu uende nanyi Daima
MSIGOMBANE NJIANI
Asante Yesu kwa kunifia msalabani...ninakiri kuwa wewe ni Bwana na mwokozi wa maisha yangu 🙏
Elohimu , Moyo , Kila ulimi
Nipo kwa karibu sana
Zinaimba kwenye system yangu ya spika nne mziki mzuri
Ujumbe mzuri
Uchezaji sasa dah na enjoy
Aic Chang'ombe nina nyimbo zenu nyingi za tangu kipindi hicho cha
Haleluya Mwimbieni bwana wimbo mpya sifa zake zivume katika kusanyiko .......
Jamani Vocal sasa dah
Acha niishie hapa❤
Ubarikiwe. endelea kuwa hewani zipo na nyingine nyingi zinakuja. Julisha na wengine Nao wazidi Kubarikiwa
Huu wimb ni moto mung awabariki Zaid na zaid
Very Very Powerful Message,
Trust me, kuna Nguvu inatembea na huu wimbo
Amen 🙏🏾
Amen
Na kila ulimi ukiri ya kuwa Yesu kristo ni Bwana kwa utukufu wa Mungu baba🙌🙌🙌
Amen 🙏🏾
Blessed be the name of God
We finalize March in the abundance of blessings from my favourite choir
Ameeeeenn
Hongereni Soloists na CVC kwa kazi njema.
Keep Glorifying the Lord!
Amen 🙏🏾
Pasaka hii #Kila_Ulimi Utakili!
Blessed morning.,
The feeling of a choir and a modern touch. This very beautiful
Mnaoshinda kuandika hapa ati rudini kwa AIC ya zamani naomba niwaambie mna shida, na sio kwa ubaya but that is very hypocritical of you to even say in the first place🙄Growth is inevitable, hata wewe hivi ulivyo si basi ungekosa kugrow ubaki ulivyo kuwa baada ya kuzaliwa? If you dont want to support this great ministry ni sawa, but kuongea maneno yasiyo na msingi ni vibaya sana! Again I repeat, Growth is Inevitable!!! Good song fam, beautiful dance for God, beautiful dressing, beautiful singing, band top notch, I love this new AIC and I look forward even to better and best pieces to come❣❣❣❣❣🤝🏽
0 seconds ago
as much as i know AIC huwa haina limitations katika uimbaji, so you are very correct
Some people are just rigid and resistant to change. As if the Bible illustrates how Christian music should be done. Change is inevitable
Acha watu watoe maoni yao,, kila mtu ako na haki ya kutoa maoni yake mm naona zamani walikuwa sawa kuliko sasa
@@jerrysonjulius7106mbona wew ujabaki kama zamani 😂😂😂
Well said my dear umemaliza yoote
Huu wimbo Una nguvu Mbarikiwe wa tumishi kwa kumuinuwa Yesu kwa namna ya kipekee
Amen 🙏🏾
What a combination CVC +Zoravo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kwa yesu kuna raha
Another One: Ambaye Yeye Mwanzo😊😊!
Aiseee Mungu anainuliwa
Zoravo your blessed voice, and U bless us
Mbarikiwe wote kila msikiapo habari njema ya ufalme wa Mungu aishie milele na milele🙏
Safii sanaa. Bonge la songii....very good... MUNGU azidi kuwainua
Bethel GOSPEL SINGERS. TUNAWAPONGEZA CVC KWA KAZI NZURI
Amen 🙏🏾
Ameen
Amen
From Canada we are blessed.
Amen 🙏🏾
Be Blessed
Amen
May God bless you family in Jesus Christ
Watching from Kenya ,my all time favorite choir...be blessed Aic changombe..yesu kristo ni bwaaana
🙏🏾
Amen
Mubarikiwe Sana Watumishi wa Jehovah 🙏🙏🙏
Mungu azidi kuwafanya watumishi wakee 🙏🙏🙏Dada aliye solo MOYO kiukwelii yuko ndani ya uwepoo
Amen 🙏🏾
❤❤Naipenda Sana yule mama mwembamba mweusi mwenye sauty Nyoro yupo wapi???2024
Tafuta wimbo unaitwa Mwokozi utamuona
Yupo
ZORAVO NA MFELO WHAT A COLLABO🔥🔥🔥
Watu tunapokea baraka kupitia nyimbo
Huu wimbo gharama yake ni kubwa siwezi kuwalipa AIC chang'ombe jinsi nilivyofunuliwa juu ya maisha yangu kupitia huu wimbo ni mambo makubwa sana,hope nitavuka kwa utukufu wa Mungu Baba🙌🙌
Mungu azidi kuwainua viwango vya juu zaidi kwaajili ya utukufu wake ❤
This is the gospel song
my favorite choir be blessed
Nice song hongereni sana AIC chang'ombe
Hongereni sana watumishi wa Jehova,kazi nzuri corable ya zoravo na AIC.welldone.
Daah kwa kweli nimesisimuka hatari
MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI AWABARIKI SANA SANA SANA AICT CHANG'OMBE, ZORAVO MUNGU AZIDI KUKUPAKA MAFUTA MABICHI
Amen 🙏🏾
❤❤❤nabarikiwa sana naisi kama mwili wangu unataka kupaa yaani kama nipo pale na Mimi raha sana🙏🙏🙏🙏
best choir ever
❤
The music director of this song is something else-Bwana ambariki mnoo, Watumishi wa Wa Mungu ni hakika mmeugusa moyo wa kristo Kwa nyimbo hii- the complete masterpiece! Amazing Amazing!!
Amen 🙏🏾
Amen and Amen 🙏🙏🙏
Naomba mje huku kwetu Kenya thika AP chapel mtufunze tufike hapo
Tunashukuru kwa mwaliko. Tuzidi kuombeana na kuna siku Mungu atafungua njia tutafika. Mubarikiwe
Amen 🙏🏾
Kwa neema ya Mungu tutafika
Mfeloooo 🔥🔥🔥🔥🔥
Very well done you are my favorite Stanley from kenya
Leo wa 12 like zangu jmn
Zoravo ft mfello🔥🔥
ELISHA GERALD POPOTE ULIPO HONGERA KWA UANDISHI MZURI.... THIS SONG IS A Jam
Congrats Cvc Kwa kuendelea kumtumikia Mungu, Mungu aliye juu awafunike na damu yake
Amen
mbarikiwe sana.
Oya mfello unajua unajua tena bro 🔥🔥🔥umenikosha sana kuanzia kwenye MOYO hadi KILA ULIMI UTAKILI🔥🔥🔥 hii combo ya mfello na zoravo ni 🔥🔥
May God bless u,karibu kenya
Very soon tutabarikiwa pamoja
Amen
Asante sana
Nimebarikiwa sana
Assnte
Kwa kweli ni burudani mmbarikiwe sana watumishi wa mungu kwa kueneza neno lake kwa njia ya nyimbo nzuri
Amen 🙏🏾
❤❤❤
When words fails, let worship speaks
Huyo dada aliyeimba Wimbo wa Moyo pamoja Mfello kwenye Pasaka mnikumbushe Nitakuwa na Zawadi yenu..
Naomba nimjue jina huyo dada aliyeimba Moyo ananibariki Mno🙏🙏😇
Adelina
Eeeeeeeuuuu eeeeuuuuuu ! Eeeeeeeeu ! Nakosa maneno nimebarikiwa! Zorazo is taking the leadership role :)❤na intro inaslap kweli kweli
Amen 🙏🏾
Sauti ya Zoravo Ina UPAKO saana🙇🏾♂️😫🙌🏼
Sana 🙌🏾
Aisee nyimbo zinamafuta ya roho mtakatifu aisee mnafanya kweli kristo awainue sana
Amen 🙏🏾
Amina
Mungu Abariki mbegu mnayoipanda Kwake, Mungu awape Baraka mpate Hitaji la mioyo Yenu Mfanikiwe wote mjikite kwake2❤❤❤🎉Nawapenda sana
Ambayeee, yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu🎉🎉🎉🎉🎉
Hatari na nusu❤❤❤..... Hongereni sana na utukufu kwa Mungu
Chang'ombe mnatisha sana kila siku mnakuja kwa namba nyingine ,stay blessed
kuna huyo mwamba ameimba kama joellwaga 😅🙌
Amen mbarikiwe sana❤
Uimbaji wenu unapendeza sana, si mungu anipe hicho kibali
AIC’s Tone + Modern Gospel Live recording 👌👌👌👌💯🔥🔥🔥
Hongera Elisha kwa utumishi
Just beautiful and thrilling production. What a worship!!!!! God and the entire heaven is happy for you CVC
Amen 🙏🏾
Glory to God
Wimbo huu ni baraka🔥🔥🥳🙌🏽
Jameni tupeni muda ndio huuu:' Kila ulimi'.Burundi nawapenda saaaaana
Ndo unakuja endelea kusubiri. julisha na wengine wapate hii Neema. Tunashukuru