POLISI WAINGIWA HOFU NA CHADEMA, WATOA TAARIFA WAANDAA NJAMA ZA KUVAMIA VITUO VYA POLISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 15 วันที่ผ่านมา +1

    Hiyo ni uongo wa polisi
    Acheni kubabaisha...semeni ukweli juu ya utekaji
    Mwisho wenu wanyanyasaji umefika

  • @user-oc3jf3ts5i
    @user-oc3jf3ts5i 14 วันที่ผ่านมา

    Mmmh! yajayo yanafurahisha! Intelligence ni kwa chadema tu! KWa watekaji ni Holaaaa!🤣🤣🤣

  • @AmarinoBahha
    @AmarinoBahha 14 วันที่ผ่านมา

    Kwa kweli serikali imeona wa Tanzania mbumbumbu Sana.... Ila Luna siku maiti zitafufuka, patakuwa hapatoshi

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 15 วันที่ผ่านมา

    Ni muhimu jeshi likaacha kufanya kazi zake kwa hisia

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 14 วันที่ผ่านมา

    Kwanini msisjipange kimyakimya ili wakija wajulikane hii nchi taabu

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 15 วันที่ผ่านมา

    Inawezekana watu wamefichwa ili kuvuruga nchi

  • @AbtwaiMgabe
    @AbtwaiMgabe 15 วันที่ผ่านมา

    Huku kwetu watoto wananusulika kumia mashulen hatujui hatma yk

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje2072 14 วันที่ผ่านมา

    Hicho ndio kilochobaki,watu wamechoka.

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 15 วันที่ผ่านมา

    Mtu anae taka kuvamia hutoa taarifa

  • @user-oc3jf3ts5i
    @user-oc3jf3ts5i 14 วันที่ผ่านมา

    Police acheni upuuzi! Yaani mtu mzima na cheo kikubwa cha Naibu kamishna unatoka mbele kutoa tangazo la kipuuzi kiwango cha PhD!! eti intelligency!!🙈🙈

  • @ObadiahMutambo
    @ObadiahMutambo 14 วันที่ผ่านมา

    𝑊𝑎𝑛𝑎𝑡𝑖𝑖𝑠ℎ𝑎 𝑠𝑎𝑏𝑎𝑏𝑢 𝑏𝑢𝑛𝑑𝑢𝑘𝑖 𝑤𝑎𝑤𝑎𝑎𝑐ℎ𝑖𝑒 𝑤𝑎𝑙𝑖𝑜𝑡𝑒𝑘𝑤𝑎 𝑘𝑤𝑎𝑛𝑖𝑛𝑖 𝑤𝑎𝑛𝑎ℎ𝑜𝑓𝑢 𝑑𝑎𝑚𝑢 𝑦𝑎 𝑚𝑡𝑢 𝑠𝑖𝑜 𝑘𝑎𝑚𝑎 𝑦𝑎 𝑘𝑢𝑘𝑢