Exclusive na Shilole: Esha Buheti anikome, mimi sio level yake, tuzo nilistahiri, mimi level kubwa

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 113

  • @gladnessshola2718
    @gladnessshola2718 2 หลายเดือนก่อน +17

    Eshe Buheti ni mpishi mzuri sana wa viwango vya juu Ila kibiashara shishi yupo vizuri Yani ana brand kubwa zaidi. Wote wako vizuri ila kila mtu kamzidi mwenzie kwenye Jambo fulani. Ni maoni yangu tuu

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 2 หลายเดือนก่อน +37

    Esha buheti ndio mpishi mzuri sana naona bado hajajiwekeza na ndio sababu shishi akapewa hiyo tuzo maana amejiwekeza sehemu nyingi

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 2 หลายเดือนก่อน

      Basi ushasema

    • @riosingingandmore8224
      @riosingingandmore8224 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mwanasheria wangu yupo marekani 😅😅😅

    • @annalubango9899
      @annalubango9899 2 หลายเดือนก่อน +12

      No no big no kila.mtu hapao anatest yake kwenye upishi wake tofauti ya esha na shishi ni spaice tu shishi hatumii viungo vyingi esha anawrka viungo vingi.so kama unapenda maspices mengi nenda kajilambe kwa.eaha ila kama hupendi kajigalagaze kwa shishi

    • @Lulucut
      @Lulucut 2 หลายเดือนก่อน

      Nikweli ila esha anapika sana ila bas

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 2 หลายเดือนก่อน

      @@Lulucut MAMA WALA ODO HAWAMFAHAMU

  • @ZeishaFuture
    @ZeishaFuture 2 หลายเดือนก่อน +15

    Shishi mbad kabisa kwenye hizi kazi hiyo brand kubwa jaman anafanya kazi huyu mama mwacheni❤❤❤

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 2 หลายเดือนก่อน +29

    Shishi yupo sahh mim nilikua sijaona. Kama kuna shida

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 2 หลายเดือนก่อน +17

    Esha anajua kupika Sanaa ila category haijamaanisha mpishi imesema catering service of the year na c mfanya biashara bora wa chakula ni mtoa huduma bora 😂

    • @Chrisscherry
      @Chrisscherry 2 หลายเดือนก่อน +3

      Asante kutuelimisha sisi hatukuwa tunalijua hilo

  • @dignachami7382
    @dignachami7382 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shilole ni brand kubwa mm nilishawahi kula chakula chake dodoma huyu dada anajua anajua tena ,buhet anapaswa amuheshimu sanaa shishi kwan anadeserve kawekeza sana

  • @FajmaHilali
    @FajmaHilali 2 หลายเดือนก่อน +10

    Mimi napènda shishi nanikirudi tz nitaenda nafamila yangu shishi nimmoia tu❤❤❤❤❤

  • @zainab8251
    @zainab8251 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shishi nakupenda sana kwa kazi yako nzuri may❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shishitipwatipwaaa❤❤❤❤😂😂😂😂mie nampenda anapambana.yy anapikia jamii SIO MUME HAPO SHISHI UMEJIPATAAA😅

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari 2 หลายเดือนก่อน +7

    Shilole hamshindi esha. Halafu kitu kimoja shishi hana ustarabu kauri zake. Vipi angesema inshallah next time mwenzangu nae atapata. Ndio maana silipendi mimi

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona hata hakujui dada😂😂

    • @yosephawilliam962
      @yosephawilliam962 2 หลายเดือนก่อน

      Mbona hata hakujui we mwenyewe hatukupendi mbona mpishi wako huyo hakusema yeye hayo maneno

    • @faridakidoti6734
      @faridakidoti6734 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani alikuambia anakupenda

    • @faridakidoti6734
      @faridakidoti6734 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo esha akapewe tuzo na mumewe jamn

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 2 หลายเดือนก่อน +11

    Shishi food is the best in TANZANIA 🇹🇿

  • @SuzanMoshi-m1s
    @SuzanMoshi-m1s 2 หลายเดือนก่อน +13

    Shishi n mkubwa bana haswa haswa yeye n mfanyabiashara mkubwa.. shishi brand bana achen masiara

  • @namdigumagwenge193
    @namdigumagwenge193 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani Shilole ameshikilia nchi hakuna mtu wakushindana nae yeye siyo mpishi lkn popote itakapokuwa serikali ye yuppo.., mrs Samia ❤

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 2 หลายเดือนก่อน +21

    Shishi anaaminika hadi na RAIS MAMA SAMIA

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mange kimambi kashasema😂

    • @SwahiliSister-o5v
      @SwahiliSister-o5v 2 หลายเดือนก่อน

      Shishi uko sahihi

  • @ommimg2467
    @ommimg2467 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo shilole ni mwanasiasa so kwa nchi km hii kila ki2 kipo chini ya viongozi ni ngumu sana kutoboa km unashindanishwa na watu km hao, ukwel sijawah kula kwa yyt kati yao ila nafuatilia sn namna mastaa na wanasiasa wanavyokwenda sana kwa Shishi pia yeye alishajitambulisha kuwa ni chawa wa mama😁 so kushinda ilikuwa lazima tu hata km buheti ni mkali.

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h 2 หลายเดือนก่อน +13

    😅😅😅😅😅duseme ukweli mimi.ningekua eshe hata kwa hio tuzo nikijiona tu ningewambia wanitoe😅😅😅😅 kupika napo kila mtu anajikubali kimupango wake

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 2 หลายเดือนก่อน +2

    Unajulikana duniani sio mbinguni haileti maana ukijulikana mbinguni ni bora zaidi

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 2 หลายเดือนก่อน +3

    Harafu shishi inaonekana waz kabisaaa anapenda ugomvi hakukua na sababu ya yy kuongea yoote hayo why? Mwisho wa siku yatakuja kuwa kama ya sinura. Kwan kulikuwa na haja gn kusema kwa jazba hivyo? Mara kumpikia bwana kweny TV umeyasema maana yake yana muuma si na yy ampikie huyo wake kwan shida ni nn

  • @afyabora3207
    @afyabora3207 2 หลายเดือนก่อน +4

    Yani kuna kupika na kuna kujibrand nimekula kwa shishi na nimekula kwa Isha … mazingira tofauti sana sana shishi kulikuwa kusafi haswa choo … Isha sikupenda mazingira yalikuwa machafu na choo ndio balaaa… unapouza chakula sio utamu wa chakula tu mazingira ya usafi na mvuto ni muhimu sana

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 2 หลายเดือนก่อน

      Niliona Instagram baadhi ya watu walicomment kwa Esha ukiona vyombo tu unashiba nikajua labda ni utimu unawasumbua kumbe kweli mchafu😂😂

    • @afyabora3207
      @afyabora3207 2 หลายเดือนก่อน

      @@rosemahenge9071 yani mimi nilichoona insta picha za chakula na nilivyoenda sikuamini haki ya Mungu… mitandao na live vitu tofauti sana sana… kushinda kwa shilole ni muhimu coz watakuwa wameangalia vigezo tofauti. Esha anahitaji maboresho sana sana ili apate iyo Tunzo …chakula kizuri bila usafi ni sawa na bure

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 2 หลายเดือนก่อน +8

    Shishi ni jina tuu kubwa lkn msosi mtamu ni eshe bwana

  • @fatumakiwera7145
    @fatumakiwera7145 2 หลายเดือนก่อน

    Shishi the best❤

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona anikome😂😂😂😂😂

  • @Keyjop
    @Keyjop 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna kazi nzuri na kuna bahati ya mtu...
    Haijarishi shilole alifundishwa na esha lakini shishi ana upepo wake wakeetu😂😂

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 2 หลายเดือนก่อน +1

    Esha Buhet kakufanyaje' mwache dada wa watu na heshima zake

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 2 หลายเดือนก่อน +5

    Safi shishi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ukweli usemwe kura zipo na tulizihesabu shilole kazidiwa kura na malkia foods na esha iyo tuzo wamepeana na shoga ake bwana,, ,uyo bwana mwenyewe wakumpikia unae??? Mwenzio anampikia bwana na wateja ndo mana uso mpya miguu ya zamani

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 หลายเดือนก่อน

    Ebu niache uswahili na ushamba mie naye huku nilipo nanjilinji😂😂😂😂😂😂😂

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 2 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂😂 interview ya shishi kiboko

  • @agathakalulu1056
    @agathakalulu1056 2 หลายเดือนก่อน +4

    Shishi🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @thierrybisimwa3312
    @thierrybisimwa3312 2 หลายเดือนก่อน

    Eisha nili msikiya, an aongeya fact sana, shishi ana ropoka sana.

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 หลายเดือนก่อน +4

    Esha anajua kupika kuliko shishi... Ila shishi anajua biashara

  • @TwigaFashions
    @TwigaFashions 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shishi is the best

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 2 หลายเดือนก่อน

    Shishi kamaliza kila kitu sio mpishi mfanya bihashara 😊

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 2 หลายเดือนก่อน

    Umeongea Ukweli shishiii

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan imekua vita? Shilole acha dharau basi sijapenda jinsi unavyojibu maswal ,mim sijawah kula chakula ya shish na esha cjui mapishi yenu lkn shilole umeniudhi sana

  • @MaryamaAlly
    @MaryamaAlly 2 หลายเดือนก่อน

    Shilole na esha ni usingizi na kifo 😅😅😅

  • @DicksonKulwa-zp9rl
    @DicksonKulwa-zp9rl 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekukubali Sana hao ni wanafiki

  • @babuudullahmunisi4753
    @babuudullahmunisi4753 2 หลายเดือนก่อน

    Tuzo alistahili shishi ila kupika na mengineyo buheti yupo juu mnoo

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hata ktk kura esha buheti kamuzidi shishi ila hata katika mapishi esha buheti zaidi lkn pia esha mfanya biashara 😂😂😂😂😂shilole pale mmetupinga yaani anakura 400 serious

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 2 หลายเดือนก่อน

      Aaaaaaaah wacha uongo!!!!!

    • @Zuhuranadadoita
      @Zuhuranadadoita 2 หลายเดือนก่อน

      @@BarbaraPatience-qt9cc kahesabu kura si zipo wapi dear 🤣🤣🤣🤣

    • @Zuhuranadadoita
      @Zuhuranadadoita 2 หลายเดือนก่อน

      @@BarbaraPatience-qt9cc pale tumeambiwa tang yupi bora kahesabu 😁

    • @pendo8082
      @pendo8082 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂ukweli

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwenye biashara Esha bado sana usimlinganishe na Shilole

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 2 หลายเดือนก่อน

    Esha anapika shi shi no😅😅😅😅😅

  • @HafswaCute
    @HafswaCute 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn shishi ni mwanabiashara hasa...anapambania sana biashara yake mpaka kufungia migahawa...mgala muuwe haki yake MPE

  • @jadetoto
    @jadetoto 2 หลายเดือนก่อน

    Sauti ka ya Mirad

  • @AmirJuma-p5j
    @AmirJuma-p5j 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shishi anajua na watoto wa 2000 hawajui kupika

  • @umranim5854
    @umranim5854 2 หลายเดือนก่อน

    Esha bukheti mpishi mzuri chakula chake test huyo ni paruparu sana ndio anaonekana yule mstarabu

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duh hatari sana

  • @AshaAli-f9s
    @AshaAli-f9s 2 หลายเดือนก่อน

    Mbon hii saut km si ya shishi

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 2 หลายเดือนก่อน

    Ili kubalance habari mtafute na Eshe umuhoji

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aya maneno duh 😢😢😢kwhy esha ana mpikia!! bwnaa 😢sijapenda

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 2 หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣si ni kweli anaingia Instar live akimpikia mmewe SHISHI yeye anaonyeshaga akipikia kandamnazi

  • @Sakinaamani-o1t
    @Sakinaamani-o1t 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona umekuwa kibiashara na c kwa mpishi bora

  • @rahmashomari1048
    @rahmashomari1048 2 หลายเดือนก่อน

    Shishi unajua bn we mfanyabiashara umehusle on ur own huyo hela kapewa na mwanaume ya uwekezaji anajifananishaje aache uswahil akampikie mumewe huko

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 2 หลายเดือนก่อน +1

    Apo nimesha elewa shishi ana haki ila sasa mashabiki njo wachonganishi

  • @FATMAHAMADI-f8x
    @FATMAHAMADI-f8x 2 หลายเดือนก่อน

    Kasema kweli nimfnya biashara mkubwa sana kwa upnde huu ila kwa kupik esha ni hodari zaid ya shishi😂

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahio wale walio comment wamelipwa shishi😂😂😂😂

  • @jaharaoman6478
    @jaharaoman6478 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shishi acha dharau mbna wewe ulikua unapikia mabwana zako na unatupostia ukweli Esha kakuzid kupika kubali tu

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 2 หลายเดือนก่อน

    Mmhhhhh mimi napita tyuuuuu

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 หลายเดือนก่อน

    Hata mimi ni mpishi mzuri mwaya najua kumpikia mume wangu tatizo sina brand tu,😂😂

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 2 หลายเดือนก่อน

    Sokwel esha njo wa kwanza kupika mungu yupo

  • @mwanakitenge
    @mwanakitenge 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shishi kastahili anafanya sana biashara

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂Shilole Bana eti kumupingia bwana esha buheti mzishi siyo tuh bwana kila siku anapost chakula chake ukweli usemwe Ile tuzo mmetupinga

  • @jadetoto
    @jadetoto 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 หลายเดือนก่อน

    😭😭Duh

  • @saidmasika8738
    @saidmasika8738 2 หลายเดือนก่อน +1

    ungemwambia huyo Dina asikulinganishe na Esha

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi huu ana mzidi nini Esha!

    • @svt3
      @svt3 2 หลายเดือนก่อน

      @@Sidrasidra636 kila kitu, Branding, customer service, marketing, investment,

  • @KhadijaMasoud-d2z
    @KhadijaMasoud-d2z 2 หลายเดือนก่อน

    Shishi kna shishi

  • @DelightfulFish-ps8ny
    @DelightfulFish-ps8ny 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekula chakula chako kizuri lakini kina mchanga 😂

  • @hopesesilius6104
    @hopesesilius6104 2 หลายเดือนก่อน

    Swishing anastahili

  • @sallysafisanakijanakazibut1688
    @sallysafisanakijanakazibut1688 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni utoto wa kugombana nyinyi mmeisha kuwa wamama mkifanya hivyo watoto wenu wafanyeje

  • @adamummy4363
    @adamummy4363 2 หลายเดือนก่อน

    Siku za mbeleni uko watakuja kupigiana kurjuan😂😂

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shilole hasira za nini 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Agath45
    @Agath45 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaugomvi hawa

  • @KwizeLee
    @KwizeLee 2 หลายเดือนก่อน

    Shishi nikwelikupiga sisi wote tunapiga tuvizuli wewe hataburunditunakuelewa Rwanda pia nibrandi kubwa pia ,ninandoto yakulachakura chako, so nahuyo dada asijali kesho nikwake

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ila ungekuwa unafupisha maneno mengine umeongeya kwazarawu nakumushusha mwenzio mwana mke sio poa hadi wemwenye ikosa umeona umeongeya makashfa mengi hadi unasema wasi posti entaviyu yote . Hata yeye pia niwa Mungu hakuna washetani.mmm nihatari

  • @mrsab303
    @mrsab303 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shishi😂😂😂😂😂

  • @MamuuKingu
    @MamuuKingu 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa tunakubali ww mkubwa unahela mtoe basi baba Yako hapa igunga anazunguka anauza mishikaki kwenye vilabu vya pombe haogi mchafu Yani kwamaneno haya tu nikama Aibu baba huyu hapa naandika namuona anapita jitaidi kutengeneza Nyumbani

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 2 หลายเดือนก่อน

      Aisee kweli hii?

  • @ashaabdallah9729
    @ashaabdallah9729 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona kama Shishi kapanik 😂😂😂

    • @svt3
      @svt3 2 หลายเดือนก่อน

      Mtu ana matawi na brand ya shishi food ni kubwa atapaniki aje kwa mtu hata tawi moja uwekezaji changa moto

    • @Zuu673
      @Zuu673 2 หลายเดือนก่อน +1

      Aliye pank ni hesha 😂😂😂

    • @ashaabdallah9729
      @ashaabdallah9729 2 หลายเดือนก่อน

      @@Zuu673 ni Shishi buana anaongea kwa jazba hampi hata Millard Ayo nafasi ya kuuliza na kapendelewa kweli 😂😂

    • @Zuu673
      @Zuu673 2 หลายเดือนก่อน

      @@ashaabdallah9729 ni maoni yako lkn kwangu kaongea vizuri tu

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 2 หลายเดือนก่อน +1

      Esha alifanyaje kwani? Yeye ali panic mbona hajanyamaxa???

  • @zuu114
    @zuu114 2 หลายเดือนก่อน

    Esha anajuwa kupika bhana ww mdomo