Swala La Miraa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Hatua ya Uingereza ya kupiga marufuku kuuzwa kwa zao la miraa nchini humo inaendelea kuzua tumbo joto kwenye eneo la Meru.Hatua hiyo ilifuatia madai ya serikali ya Uingereza kuwa miraa ni dawa ya kulevya na kwamba kuna baadhi ya watu wanaotumia biashara hiyo kufadhili uharamia.Hapa nchini, baadhi ya washikadau walienda mahakamani ijumaa wakitaka shirika linaloshughulika na maswala ya dawa za kulevya NACADA kusema kuwa miraa ni dawa ya kulevya. Kwa wakulima wa zao hilo, haya ni matukio yanayovuruga biashara yao na wanataka suluhisho la haraka.

ความคิดเห็น • 4