Sasa jamani sisi tumezaliwa Tanzania na wengine wetu ni kizazi cha tano au cha sita ukihesabu kutoka kwa Babu zetu. Hatuna mahusiano na India kabisa. Naam asili yetu ni kutoka India lakini kwa sisi vizazi vya tano au vya sita tunajihesabia na watanzania asili kabisa. Sielewi mtu kusema hawaa wanaongea kiswahili kuliko watanzania. Hapo kweli unakosea.
Ifike mahali Watanzania tupate elimu sahihi ya uraia aisee! Tuelewe kuwa mtu anaweza kuwa muhindi au mzungu na akawa ni raia wa TZ. Maswali ya kishamba shamba eti 'Mbona we muhindi lakini unaongea kiswahili fasaha' tuyaache.
JIYA asante kwa ule wimbo wako wa "watoto wasafi moyoni",uliufanya utoto wetu kuwa mzuri sana wallahi😂😂😂🎉. Eti sasa hivi nimekuwa mtu mzima nautafuta uzee.Miaka yaenda mbio sana.
Lakini kuna wasanii wa tz wamezaliwa bongo lakini kiswahili chao cha kuunga unga na hata herufi hawatamki sawa wanajifanya hawajuwi kiswahili lakini hawa wahindi kiswahili chao kisafi.
Umeuliza Kwa mbwembwe hapo mwenye ila ingekuwa anaongea kingereza tupu hapo mmh mngetufanya wakenya watucheke tu ...jaman jifunzen kingereza mkiwa waandishi wa habari
@@mancholotrasco8350uandishi tz uandishi ni kazi ya vilaza tz ndio maana ni watu wachache sana smart utawaona tena kwenye hizi TV za mitandao wengi viazi ingawa baadhi wako poa.
Really good work this movie make me feel happy keep up we are together till end of movie
WANASEMA KISWAHILI KULIKO WAKENYA
Huu ugomvi sasa
Sasa jamani sisi tumezaliwa Tanzania na wengine wetu ni kizazi cha tano au cha sita ukihesabu kutoka kwa Babu zetu. Hatuna mahusiano na India kabisa. Naam asili yetu ni kutoka India lakini kwa sisi vizazi vya tano au vya sita tunajihesabia na watanzania asili kabisa. Sielewi mtu kusema hawaa wanaongea kiswahili kuliko watanzania. Hapo kweli unakosea.
Samahani kwani ishatoka hiyo muvi inaitwaje
@@tatuathmani883 Inaitwa JIYA
❤❤❤ ni kweli kwamba nyie ni wahindi sio watanzania kwani ni uongo
Ifike mahali Watanzania tupate elimu sahihi ya uraia aisee! Tuelewe kuwa mtu anaweza kuwa muhindi au mzungu na akawa ni raia wa TZ. Maswali ya kishamba shamba eti 'Mbona we muhindi lakini unaongea kiswahili fasaha' tuyaache.
Hongereni sana kwa kazi nzuri
JIYA asante kwa ule wimbo wako wa "watoto wasafi moyoni",uliufanya utoto wetu kuwa mzuri sana wallahi😂😂😂🎉.
Eti sasa hivi nimekuwa mtu mzima nautafuta uzee.Miaka yaenda mbio sana.
Can i get the link ya huu wimbo
@@barakaekuro Andika tu kwenye search engine watoto wasafi moyoni,utauona.
kumbe ndo huyu huo wimbo...
Ww Kwan ni yy
Sio yeye...aliulizwa akasema kwamba sio yeye ila alikuwa mdogo sana
Hongereni sana mmefiti
Good job guys God blessing you
Inshalla Mungu asikujalie sapoti
SNS HUYU MSCHANA JIHA, NDO ALIIMBA WIMBO WA WATOTO MAARUFU REDIO ONE. WATOTO WASAFI MOYONI... VARDA ARTS
Duuu kitambo ndio huyu?
Ile sisi ni maua tuliyopendwa na mungu mwenyeziii,laa lalalaaaa
@@fettyrashid9042 acha kabisaa
Okey, kuna kipindi alihojiwa na stesheni fulani ya television alikuwa Chuo kipindi hicho
Ghai kumbe asee jmn, hv watoto wa ef wanaujua kwel (jokes)😂
KAzi mzur
Yani hawa wahindi wanatushinda mpaka kuongea swahili ingekuwa akina gigy,zari,nandy. Hapo sasa
Tatizo wanawake wenu wengi wa kitanzania wanaongea matusi hawajifunzi ki swahili chashuleni
Sasa zari mtanzania yey Uganda Wana lung yao
@@Niget-us1np lakini Bado ni mswahili kwani kiswahili ni lugha ya Africa
Nimekubari
❤mashaallah🇹🇿💪🤗
Uyu bibi namukubali kweli
Hawaendagi saluni hawa😁😁
Mwandishi kitu kinaitwa jiya we unasema jiha ujui kusoma au?
Woow safi sana
Jiya ni bonge la movie
Mashaallah
Asiongee kiswahili vipi na wamezaliwa bongo hawa? Mnapenda kuona watu wa asili fulani kuwa tofauti mhhfyuuuuuu
Lakini kuna wasanii wa tz wamezaliwa bongo lakini kiswahili chao cha kuunga unga na hata herufi hawatamki sawa wanajifanya hawajuwi kiswahili lakini hawa wahindi kiswahili chao kisafi.
kuna mtu ajui kusonga ugali
@@kwisa4899 ndio hao hao😂😂😂
@@kwisa4899 ndio hao hao😂😂
Wazawa Hao mbona wengi xana tz
Unyama wige mono🔥💞🇹🇿💞
Huyu manager hapo anaimba nyimbo za mboso live band mpaka raha yaan hawa ni was wawili tupu
Mzuli sana
Safi sana mtapata support tu
Wahindi washwahili😂
🎉
Nice
Wasukuma wa magu hao nawajua
Kaka yake na mama yake wanaongea kiswahili kizuri zaidi
Bongo raha tunasubiri kwa hamu tamthilia
❤❤
Itaonyeshwa wapi jamaniiiiii
Maisha Magic Bongo
Huyu ni #muhaya kabisa 🤣🤣
Wanaongeya kiswahili hadi raha apana abby chams anajifa kiswali niluga mpyakwake kipindi ata barrak Obama😢
Hawa si wamekaa Bongo muda mrefu sana. Kiswahili lazima kipande
😂😂😂😂😂unachekesha Sana. Mbona MASAI yupo long time
N tamthilia gan wanaiongelea?
JIHA inaanza kuonyeshwa kesho
Siyo jiha jamani,
Ni JIYA🤣🤣🤣,
Itaoneshwa DSTV saa moja na nusu jioni .
Mbona Hawa wahindi wanaongea vizuri kiswahili yule abbychams yeye Kila siku anakuwa haongei kiswahili vizuri
Si mababu zao walizaliwa bongo wajuku lazima waongey kiswa
Wameongea vizuri wanatamka maneno vizuri kushinda nyie watanzania
Nani kakwambia hao ni warusi?!
Watanzania kama sisi😂
Na ww MTUNISIA vipi hawajakushinda
Mtanzania gani anaesema kitu kikuba? Anaesema jia badala ya njia?😂
@@subrynerysegerow1323 😆 kiswahili ya Tanzania utajua huyu anatoka tz, luninga ,nafula sana🤣🤣
Bib ukovizuli san
Mi nikajua kisu 🗡️🔪 kweli 😂😂
nakiona hicho kitoto kinavonyarii hatari
Kaaa ila wewe muache mtoto bwana😂😂😂
Umeuliza Kwa mbwembwe hapo mwenye ila ingekuwa anaongea kingereza tupu hapo mmh mngetufanya wakenya watucheke tu ...jaman jifunzen kingereza mkiwa waandishi wa habari
Jifunze wewe ukafanye kazi kenya
@@amriamraan2612 sisi atujifunzi sisi tunaongea mburula wewe na hatufanyi kaz East
@@mancholotrasco8350uandishi tz uandishi ni kazi ya vilaza tz ndio maana ni watu wachache sana smart utawaona tena kwenye hizi TV za mitandao wengi viazi ingawa baadhi wako poa.
@@mancholotrasco8350 🤣🤣🙏 jibu zuri
Sasa kwani wa tanzania first language si ni kiswahili?kwanini tukipraise kiingereza wakati tuna lugha yetu?....
Acheni kubabaika na maponjoro
Hasira ujaribu kuificha usianike hapa
Chuki nini sasa