NIMEACHA SHULE SABABU FAMILIA HAIKO VIZURI,MIMI SIO WAGHARAMA UGALI TEMBELE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @abdallahshehe6102
    @abdallahshehe6102 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah huyu sister anajielewa sana uzuri si sura ni tabia

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 8 หลายเดือนก่อน +4

    Unajieleza vizuri sana tunakupenda

  • @zolongOne
    @zolongOne 8 หลายเดือนก่อน +6

    Ruksaar Varda nimesoma neya shule ya msingi Good Samaritan.

  • @paulbenedictkawia8046
    @paulbenedictkawia8046 8 หลายเดือนก่อน +3

    I love the way she answer

  • @chriskimuto1425
    @chriskimuto1425 8 หลายเดือนก่อน +7

    Nimependa sana huyo dada anavyoongea

  • @eliaslincollin4070
    @eliaslincollin4070 8 หลายเดือนก่อน +3

    Aina ya dada kama huy u sio muhindi ni mswahil mwenzetu

    • @Nasrahmsiagi-xxv
      @Nasrahmsiagi-xxv 12 วันที่ผ่านมา

      Amezaliwa Tanzania ndio maan na amepata malezi mazuri ninavyohic mimi 🎉🎉🎉
      Kiswahili kimenyooka kweli huyu mbongo hasa kama baba yake amezaliwa Tz yeye kazaliwa Tz hatuna budi kusema ni Mbongooo 😅😅😅

  • @paulbenedictkawia8046
    @paulbenedictkawia8046 8 หลายเดือนก่อน +4

    Very brilliant

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 8 หลายเดือนก่อน +5

    Bint anaongea vzr

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 8 หลายเดือนก่อน +6

    Oneni sasa wnavyoongea vizuri Kiswahili alafu sasa kuna wale kina Abby wanajifanya hawajui Kiswahili

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 8 หลายเดือนก่อน

      Inategemea ni lugha gani inatumika nyumbani na watu wote so usimlaumun Abby, sio lazima umpende lakini usimlaumu kitu cha uongo

  • @MojamojaMojamoja-lw2ph
    @MojamojaMojamoja-lw2ph 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mcheshi mashallah ❤

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 8 หลายเดือนก่อน +5

    Sister kwa hii interview nasubiri kwa hamu tamthilia

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 8 หลายเดือนก่อน +4

    Binti Ana hekima. Uzuri si sura bali tabia . Kweli kabisa. Hana maringo ati ya kudharau Africa. Anafurahia kuwa DAR

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 8 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu kazaliwa Dar na aliimba nyimbo ya watoto zaman sana kipindi kile watoto Radio One

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 8 หลายเดือนก่อน

      Hata wazazi wao wamezaliwa Dar, nilienda Urambo Tabora humo nyiani nilikuta watoto sijui wahindi au waarabu wanaongea kinyamwezi 😂😂😂.

  • @fora2009
    @fora2009 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mashaallah

  • @SammyBoss-k8s
    @SammyBoss-k8s 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    jmn uyo jiya ni mrembo kweli kbx anaigiza vizuri sn

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 8 หลายเดือนก่อน +6

    Varda arts ni wazamani Sana jirani zangu na wanaimba familia mziki wao walikuwa wanakaa msasani mwisho karibu na Hussein mwinyi Ila huyu dada simjui

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 8 หลายเดือนก่อน

      Huyu yule aliimba nyimbo kipindi cha zaman ya watoto Radio One. Watoto ataki moyoni lalalalaaaaaa yaani alikuwa mdogo sana nakumbuka

    • @shabanponera2895
      @shabanponera2895 8 หลายเดือนก่อน

      Varda arts way back walikuwa songea

    • @caashamacalini3887
      @caashamacalini3887 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@shabanponera2895 sijui Mie baada hapo kutoka msasani wapi? Walienda kuishi Mie nawajua kama wakikaa msasani kama huyo alivyosema msasani mwisho sio pale tido msasani uswazi hawa aliishu kule mwisho karibu na beach kidogo ingawaje sio karibu sana

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@OfficialA83640ni sisi ni mauwa tuliyopendwa na Mungu mwenyezi. Watoto wasafi moyoni 💃💃💃💃

  • @moeznathoo2280
    @moeznathoo2280 7 หลายเดือนก่อน

    Keep it up Rukhsar and all the best ❤

  • @swalehmohammed8378
    @swalehmohammed8378 7 หลายเดือนก่อน

    Masha'allah tabaarakallaah khuub suuurat khuub suuurat khuub suuurat bohot bohot khuub suuurat تربیت inshaallaah

  • @hoseastephen4508
    @hoseastephen4508 8 หลายเดือนก่อน

    Jamaa ana maswali ya kiduwanzi kinoma

  • @khadijayusuph9316
    @khadijayusuph9316 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada ni mcheshi adi rahaaaaa

  • @moeznathoo2280
    @moeznathoo2280 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @willenmtafungwa1920
    @willenmtafungwa1920 15 วันที่ผ่านมา

    Anajibu kwa akili sio mchezo

  • @swalehmohammed8378
    @swalehmohammed8378 7 หลายเดือนก่อน

    Khuub suuurat khuub suuurat khuub suuurat bohot bohot bohot khuub suuurat khuub suuurat تربیت inshaallaah

  • @MaryKizzo-id9cs
    @MaryKizzo-id9cs 15 วันที่ผ่านมา

    nilicho kupendea ujikuti

  • @MelisianaAndrew
    @MelisianaAndrew 4 หลายเดือนก่อน

    Ila ni mremb jamn
    1:04

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mi nataka dem wa kihindi wazee

    • @sunwizy608
      @sunwizy608 8 หลายเดือนก่อน +1

      wajina unaelaaaaaa nikupe connection

  • @AllaudinMeghji
    @AllaudinMeghji 8 หลายเดือนก่อน

    Hio tamthilia inaonyeshwa wapi? Inaonekana itakua nzuri

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 8 หลายเดือนก่อน

      Ishaanza kuonyeshwa

    • @aminajumashaban712
      @aminajumashaban712 7 หลายเดือนก่อน

      King'amuzi Gani jamani?

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwandishi ana maswali ya kijinga sana. Hajui aulize nini anakurupuka tu

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mbone wahindi wengi bongo kiswahili kinawasumbua , wengi wao kinawasumbua

    • @dicksonmoses9330
      @dicksonmoses9330 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wanajua kiswahili sema wengi wao wanajifanya hawajui ni maringo

    • @Bmsecret
      @Bmsecret 8 หลายเดือนก่อน +2

      Aslimia 32 tu ya watu wanaotoka mikoani wanao zungumza kishwahili watu wa mkoa wa tanga dsm na nchi znz huyo anazungumza kiswahili kizuri kuliko mtanzania wa arusha au mikoa mengine na kampita ata magufuli