IBADA YA KUAGA MWILI WA BI.SHANAEL SIMBO URASSA|KKKT KARIAKOO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 6

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 9 หลายเดือนก่อน

    Bibi Urassa tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi
    Mwanga wa milele akuangazie katika makao yako ya milele

  • @mamag5552
    @mamag5552 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani bibi Urassa jitihada zako za kumtafuta Mungu katika umri huo uliofika kila nilipokuona ulikuwa unanitia moyo sana. Ukapumzike kwa amani ya Bwana.

  • @Hilgath
    @Hilgath 9 หลายเดือนก่อน

    Maisha yake bibi urassa yanaushuhuda mkubwa sana

  • @nasrakiango5097
    @nasrakiango5097 9 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa amani mama Maya

  • @Hilgath
    @Hilgath 9 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana😢😢

  • @stephanimtaita1158
    @stephanimtaita1158 9 หลายเดือนก่อน

    Dah Bibi Shanael Urrasa nakukumbuka sana. Nakuombea safari njema na ss utuombee tukutane mbinguni