Kumjua Mungu tungali vijana tena tuna nguvu ✍️, hii Neema ndiyo inayotofautisha maisha yetu na ya vijana wengine. Ubarikiwe kwa kusema ndio kwa Kristo, kuifanya kazi aliyokuitia, Wewe ni Binti wa tofauti, Ninaiheshimu Neema iliyo ndani yako, Unanibariki, Mungu azidi kukutumia Mtumishi wa Mungu.
@@CarolinSaro Amina Mtumishi wa Mungu yote ni Kwa utukufu wake hakika. Hii ni neema maana wengi wanatamani lkn Huwa hawawezi. Tumtumikie MUNGU tungali hai❤️🙏🙏
Hongera sana bonge la wimbo, Mwenyezi Mungu aendelee kukuinua kifupi UMEUPIGA MWINGI❤
Amen mpendwa wangu ubarikiwe Sanaa🙏
Endelea kumtumikia Mungu u Bado kijana na nguvu. Na ukimtumikia atakuheshimisha🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏Mungu aendelee kukutimia nasi tutabarikiwa kupitia wewe
Amen mpendwa wangu 🙏 hakika hii ni neema tuu✍️
Nabarikiwa na wewe mtumishi, Mungu akuinue
@@yohanamajaliwa-jj7hk amina Mtumishi utukufu Kwa Mungu wetu✍️🙏🙏
Hongera Sana dear wimbo mzuri Sana Tena sana
Aminaaa barikiwa mpendwa wangu 🙏
Tunaishi kwa neema,Mungu akubariki sana
@@gerasiusjimmy3091 hakika mpendwa ni neema tuu✍️
🔥🔥🔥 Neema ya Mungu izidi kutawalaaaaaa
@@milkamwangoya7529 Amina kipenz ❤️🙏
👑👑 Be blessed Glory kwa wimbo mzur kwa utukufu Wa Mungu
Hakika utukufu ni kwa Mungu wetu✍️🙏
Unajua sana, kilichobaki kuwa Star ⭐⭐⭐⭐⭐
Aminaaaa ❤❤
Ubarikiwe sana Glory go higher!!
@@Simopaul97 Amen Mtumishi karbu Sanaa🙏
Barikiwa wimbo mzuri sana
Waooh utukufu Kwa MUNGU wetu🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤🙏🙏🙏
Barikiwa sana daughter, nice song with good message
Thanks Dady God bless you 🙏
Hongera wimb mzur Mung akubark
Waooh thanks Glory to God 🙏
❤🎉 powerful utukufu kwa Mungu
Hallelujah 🙏❤
Wimbo mzuri sanaaa...Hongera sana mama angu mzuri🙌🙌...
Amina mwanangu utukufu Kwa Mungu wetu
Congrats CS sister wetu,
@@calvin-q6c thanks mpendwa wangu 🙏
Ubarikiwe sana Glory, the song is 🔥🔥🔥🔥 Mungu azidi kukuinua kipenzi❤
Amina kipenz nakupenda ❤
Asante yesu
Hallelujah 🙏❤️
Ni neema kumjua MUNGU Ukiwa kijana,
Barikiwa sana Kwa ujumbe.
@@user-hs1ps4nj4w Amina mpendwa karibu tumtumikie MUNGU wetu
Barikiwa Sana Kwa wimbo mzuri HAKIKA nii neema🙏🏿 ❤
Our Minister Glory ,Mungu Azidi kukutumia Kwenye Kazi yake Daimaa.
@@barakamegiroo4620 Amina baraka Mungu akubariki Sanaa 🙏
amen 🙏🙏
@@cstephano wow🙏🙏
Wao! hongera sana daughter.
Mungu azidi kukuinua.
Wimbo huu umenibariki sana,hongera sana....Endelea mbele.
@@jacklinafrancis7457 aminaaa Sanaa jaman yote Kwa utukufu wa Mungu wetuuu🙏🙏
Hongera sanaa 🎉 Wimbo mzurii sanaaa
@@mosseselisa4703 Asante sana mpendwa Mungu akubariki 🙏
Hongera mno wimbo ni mzuri sana Mungu akutunze sana daughter ❤🔥🙏
Waooh thanks too much God bless you 🙏
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu👏👏
@@user-fy7yv1cc8w aminaa barikiwa pia mtumishi wa Mungu ✍️
Waooh
❤❤
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU Kwa ibada hii
@@jofreykilo1208 amina Mtumishi utukufu Kwa MUNGU wetu 🙏
🎉🎉
🙏🙏🙏
Hongera sana nyimbo hii imenibariki sana
@@shamteyonah3396 waooh Utukufu Kwa Mungu wetu jaman,🙏🙏
Hongera sister...
Mungu azidi kukuza kipaji chako🙏🙏
@@imanishirima_tz7785 Asante sana my brother 🙏
Amen ❤❤
@@smileg1force771 🙏🙏
Kumjua Mungu tungali vijana tena tuna nguvu ✍️, hii Neema ndiyo inayotofautisha maisha yetu na ya vijana wengine.
Ubarikiwe kwa kusema ndio kwa Kristo, kuifanya kazi aliyokuitia, Wewe ni Binti wa tofauti, Ninaiheshimu Neema iliyo ndani yako, Unanibariki, Mungu azidi kukutumia Mtumishi wa Mungu.
@@CarolinSaro Amina Mtumishi wa Mungu yote ni Kwa utukufu wake hakika. Hii ni neema maana wengi wanatamani lkn Huwa hawawezi. Tumtumikie MUNGU tungali hai❤️🙏🙏
🙏🏾🤲🏽
@@francjose9596 🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤
🙏🙏🙏
Very nice song
Thanks welcome ✍️🙏
blessed much kipenz
❤❤❤❤ honger dear
Asante mamaa❤
🎉🎉be blessed sana madam 🙏🏻
@@IsayaFredy-w9s thanks mpendwa wangu 🙏
Oh very nice 👌
@@AustinNjuu thanks 🙏 Glory to God 🙏
Hongera sana ❤❤❤
@@mrproballer8073 Asante mpendwa wangu 🙏 karibu sana
Amen amen
@@HILARYLEIMOOJA-gh3cl 🔥🙏🙏
Mungu akutunze zaidi
@@user-bf2wu4qw9s aminaa ❤️❤️
𝐌𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞𝐳𝐢 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐀𝐳𝐢𝐝𝐢 𝐊𝐮𝐤𝐮𝐛𝐚𝐫𝐢𝐤𝐢🙏🏾
@@SenatorDon24 atubariki sote mpendwa wangu 🙏
Congrats glory ni nzur sana❤
Thanks mpendwa Mungu akubariki Sanaa ❤
@@gloriaevarest0687 🙏🏾
@@hassanbakar3280 🥰
Be blessed❤
Amen 🙏❤
Good song
@@Maniga_Gadafi Amen 🙏
I love ue
@@Sportnews215 🙏🙏
❤️❤️🙏🏻
❤🙏🙏
Hongeraaa
@@SikuzaniCharles asante sana 🙏
@@SikuzaniCharles asante sana 🙏✍️
🙏🏾🤲🏽
❤️🙏
❤❤❤❤❤
@@ZephaniahSekwa-fl2go 🙏🙏🙏