USTADH HAFIDH - AHLUL - MADINA NEW QASWIDA 2021 - ELIMU (OFFICIAL VIDEO HD)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
- Kwa wale wenye mapenzi na kazi zetu Tafadhali usiache ku Subscribe Like na Kutoa Maoni yenu katika sehemu ya comment .
Hii ndio TH-cam rasmi ya Sh. Hafidh wa AhLul Madina
Pamoja Hemu tuwajue wanao penda kazi za Shekhe hafidh hapa
njooni mugonge like👍👍
💓
Naomba mnitumie maana uyo jamaa namkubali Sana by said
0718763028
@@kasimally6583 hii ni y hfdh
Acheni kuimba fanyeni ibada iyo sio ibada inopendeza Kwa Allah Alla akuongozeni
Ww Afadhali kaswida zako Zina maana tofout NA wale wengine
Dah sheh wallah nimefurahi kusikia huu ujumbe jmn nakusikiliz san kasida zako.Sheh allah akuongoze❤
Dah yan kasida zako niza elmu wallahi me sina chakusema kwako Ila......
Mashallah mashallah mungu akubariki hafidhi Khakika wew unajua sana nakupendaa kaka hafidhi kwa Ajili ya Allah
Asnt
@@khafidhally7503 Mbona kimyaaa,, bro
Mashaallh mungu akulinde na uweteleze kipaji chako imenikusa hii kaswida wako asmaa kutoka mndo
Nimefurahi sana kiongozi wangu kukuona tena kwenye game Alla akupe mguvu Inshaalla
Ahsante sana Ustadhi Hafidh kwa ukumbusho wako hakika kesho mbele ya Allah ni wenye kuulizwa kwa tuliyoyafanya hapa duniani na tusije jutia
uje uimbe na qaswida inayo husu elim, hapa uzungumzie elim zote mbili ya Akhera na ya Dunia, uzuri wake
Wow. Mashaallah. Mungu akuzidishie kipaji zaid na zaid. Mashaallah
Maasha Allah kahafidh mungu akuzidishie kipaji uzidi kutuelimish qqswida zako mzur zinafunza
أطال الله في عمرك يا شيخ حفيظ
King is back Sina mengi ya kusema juu yako maana watu wanakuelewa ila kazi nzuri kweli Uncle hongera pia ziende kwa Director King of Shake amefanya kazi kubwa
Mzri sn
Good
ما شاء الله يزيد موهبتك حبيبي أحبك جميعا🛑
Shekhe hafidh king wa qaswid tz
Maashallah maashallah imeelewek
Mung akuzidishie shekh hafidh
Maashaallah Allah akuzidishie kipaj chako
Umejitahid shekh hafidh
mungu azidi kukuza kipaji chakoo maaalm ujumbe umefika
Mashaallah shekh hafidh qaswida nzuri San na ujumbe umefik
Assalam alaykum. Kwa kweli umeongea kilicho cha kweli bila kuwa na elimu kila kitu kitakuwa bila mpangilio mzuri. Elimu ni kitu muhimu sana katika maisha haya kiujumla
😊 mashallah nzuri naipenda Zanzibar inshaallah mola anijalie nfike
Asante sana kwa ukumbusho ♥️♥️😥
Mashallah kaz nzur sanaa sheikh hafidh well ujumbe umefika
Hish mashaallah nilikua sijawahi kukisikia hiki kigongo Allah azid kukupa kipaji Zaid
Ligend❤❤2024
MashaAllah shekhe hafdhi napenda sana kazi zenu
Duh! Yaan hapa nimekubali sna hasa
Mashallah mashallah ujumbe muruaa
Mashalla kwakwel ukiitumia hii saut unazid kutisha shekh hafidh
Ustadh hafidh sauti yako ni Nzur mash Allah.
maaashallah thumma maaashallah i love you from my heart akhy l-aaziiz i wish to see you one day... Allah may keep you Sh. Hafidh.
Come on Zanzibar you'll see him .
Allah Allah,Allah, akujalie mema ,,,.
Mashallah ukisoma unatulia ❤❤❤❤
Nakubali mtoto wa katibu mkuu kali sana.
Mashaalllah
Maashaallah hakika upo juu 🔥🔥🔥🔥
Asant sana Allah azidi kukujaalia nguvu kak
ahsante, hongera sana
Mashallaah Allah azid kukuongoza💞💞💞
Mashaallah
MashaAllah shukran sana kwa wasia
بارك الله فيك يا آخي العزيز
Wengi wajue walipitia kwako. Nakukubali shekh khafidh. Wache WAZIDI kuelewa. Piga kazi. 😍😍😍
Mashaallah bwiga bwiga
Mashaallah Hafidh we ni hodari kw Qasweeda za ujumbe,,, wako Asmu Sai mpe salamu sana Fakky mbarouk swahiba wng huyo
🤲Allah akulipe kila la khery
Kwasote Tabarakallah
fundi wew bhn aiseee taqabll llh
Mashaallah qaswida mzuri sana
Mashallah sheikh hafidhi
Mashallah
Maamaaaa 😔😔😔😔
Mashaallw sheh 💝💝💝💝💝💝💝💝
Na mm ni SUBSCRIBER 😀
Na mm ntk kujiunga na agaz lkn niko pemba
Mashallah kaswida safi sana
Ujumbe maridhawq
Mashaallh mashaallh 🥰🥰
هذا من فضل ربي
MashaashaAllah
Maashaa Allah
Nimeipenda Sana
P1 sana nakukubal asilimia 100% penda ww
Iko good
Maasha Allah tabaraka Allah 🥰🥰
Km mbeleee
Gjhjjjkbblb
Masha Allah
Akh imba nasheed unajua Allah atakulipa badar
naam nakukubali
Ma shaa Allaah🥰
Big up sana
Mashaallah ❤️❤️❤️
Safi kiongoz ujumb umefka
Mashaallah
🍂
Hongera sn kiongoz
Mashaallah kaka
Mashaallw
Hakuna anaekupata Ukija na kaswida unajua nini ufikishe
Asant mjomba
❤❤❤❤
Mashaaallah
Mshllh 😍
Naam
mashaallah.
Kwani shekh hafidh ck hiz yupo wap
Nakubali kaz iyo
Mashallah mzur sana
Maashaaallah
Nice
mashaallah
MashaAllah 🥰🥰
Mashaallah
Mijimbo tuu
Hodari wa Zanzibar
🔥🔥🔥
❤🎉
𝐌𝐚𝐬𝐡𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞𝐳𝐢 𝐦𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐚𝐤𝐮𝐟𝐚𝐧𝐲𝐢𝐞 𝐰𝐞𝐩𝐞𝐬𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐣𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐧𝐝𝐮𝐠𝐮 𝐲𝐚𝐧𝐠𝐮
🎉❤😮
sawa
Nimefika jaman😅
Tanzânia
Iv kaka khafidh tuweke wazi mashabiki wako vipi ahlul-madina imekufa?? Je mmetengan mbona mwaka wa nne sasa twasubir kazi zenu hakuna tuwekeni wazi
Mm napenda huyuu
Haahaa. Asant my kw saport yk.
Kuwa katika dunia kama kwamba umgeni au mpitanjia,,, zamani kaswidazako nilikuwa nikizipenda kwasababu sauti pia ilikuwa inavutia napia ilikuwa unaeleweka vizurii lakini sikuhizi naona hunatofauti kati yanyimbo nakaswida,, mana tatizo hatawaimbajipia wataja mitume,, kama yule alieimba kamabahari nafimbo yamusa
,,cheo chakemama,,, ulikuwavizuri na bilamahari, na ile ilahi karimu alipoamuaa kumpa hashimu cheo chanabia,, na nyengine zilikuwa vizuri zaiid lakni skuhiz umegafilika rudi kwamolawako hiii nidunia t
BAMKWE NAKUBAL KAZ
جميل والله
Swaf san yaa kipaj kaka