NEW QASWIDA - SH. HAFIDH NA AHLUL - MADINA MBELE YA RAISI WA ZANZIBA WAKIFANYA MAMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 189

  • @SaidKhamis-o8r
    @SaidKhamis-o8r หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah sheikh hafidhi

  • @jazaenergy2914
    @jazaenergy2914 2 ปีที่แล้ว +1

    Maasha Allah kipaji unacho kaka mungu akueke uzidi kutuelima👍👍👍👍👍👍🤲🤲🤲🤲🤲

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 3 ปีที่แล้ว +26

    Ujumbe umefika kabisa mm binafsi nimeukubali na aliyeukubali kama mm like hapa chini

  • @MwanaishaYahaya
    @MwanaishaYahaya 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah mashallah mashallah❤❤❤

  • @aisherumari9339
    @aisherumari9339 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah awahifadhi nahasadi zawanadama wasowema

  • @Mohamedkerowhgmail
    @Mohamedkerowhgmail 2 ปีที่แล้ว +1

    manshaalah mungu akuzidishiye kaka zangu

  • @abubakarngare2499
    @abubakarngare2499 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha allh napenda sna ustadh hafidh ,ahlul Madinda group kwa jumla

  • @yasrybilali6514
    @yasrybilali6514 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashalla nitakupataje shehe hafodhi

  • @AsmaChazi
    @AsmaChazi 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Allah azidi kutundolea maradhi ayo amn

  • @sumayahselemani2839
    @sumayahselemani2839 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah awape umrii nawapenda buree😍

  • @salimomar3186
    @salimomar3186 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana bro
    Kazi nzuri sana

  • @binduaza197
    @binduaza197 3 ปีที่แล้ว +2

    Sh.hafidh ww ni fundii mbunifu so wng wanawez kufany hiv km ww maxhaallah allah akuzdixhie kipaj chko🙏

  • @AhmadAshauq
    @AhmadAshauq 4 หลายเดือนก่อน

    Motoooooo namkubal Sana shkh hafidh

  • @aliykhan7085
    @aliykhan7085 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah napend kaswida zk ntman na mm nijiunge

  • @tarkiali8989
    @tarkiali8989 3 ปีที่แล้ว +7

    AHLUL MADINA MUKOSWA TENA SANA MUNGU AWAZIDSHIY KIPJI KIZUR MUWEZE KUSONGA MBELE AMINA

  • @vuaihassan6789
    @vuaihassan6789 3 ปีที่แล้ว +2

    Hauna mbaya Khafidh big up kwenu

  • @MariamKanyindo
    @MariamKanyindo ปีที่แล้ว

    Mashaalla ujumbe mzuri

  • @rajabame2903
    @rajabame2903 3 ปีที่แล้ว +7

    Nimekubali kazi💪🏼

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Ust Hafidhi Hodari kw Qasweeda Zanzibar💥🤗🕋🇴🇲🇹🇿Tuwakaribishe kw Kukodi Madrasa kwshuguli za Harusi

  • @aliomar255
    @aliomar255 3 ปีที่แล้ว +3

    mashaallah qasida zako zimetulia sana ujumbe unafika vizuri

  • @yosray822
    @yosray822 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante shekh hafidhi ya pigwe vita madaya kulevywa mungu atatusaidia yaondolewe kabisa

  • @feisalbinseif2794
    @feisalbinseif2794 3 ปีที่แล้ว +2

    Umefanya vizur sana shekhe wangu

  • @gracelasoi3971
    @gracelasoi3971 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah, viry nice song

  • @خميسبنعبدلله
    @خميسبنعبدلله 3 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah Allah akuzdshie

  • @mwanamwinyi3372
    @mwanamwinyi3372 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah mashallah Ahlul Madina ujumbe umefika

  • @aminayasin9895
    @aminayasin9895 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah mashallah Mashallah Hafidhi nakupendaa sana kaka Angu Sauti yako tu Aisee Umejaaliwa na ndg zako pia mashallah Mpo vizuri sana 💞💞 mungu Awajalie inshaallah

  • @issaofficialvideo6375
    @issaofficialvideo6375 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah, Alla awajalie muwe pamoja mwanzo mwisho

  • @rukiabakari8745
    @rukiabakari8745 3 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sheikh Hafidh na wenzako Mungu awahifadhi

    • @mussasalim6302
      @mussasalim6302 3 ปีที่แล้ว

      Masha Allah🥰 na hongeren san Ahlul Madina mabingwa wa Tz ktk tasnia ya Qaswida🙌🥰

  • @khadijaramadhani6580
    @khadijaramadhani6580 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana shekhe hafidhi kwa kazi nzuri

  • @khamishaji1980
    @khamishaji1980 3 ปีที่แล้ว +7

    Big up shekh hafidh mung akuzidishie kher na barak n akueke mbal na fitna za walimwengu

  • @ayshaabuu4304
    @ayshaabuu4304 ปีที่แล้ว

    Mashaallah alla aware maisha mema na marefu❤❤

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli sana hayo matukio ya uzalilishaji wizi n.k husababushwa na hayo madawa yakulevya aina zote kina bangi na pombe zidhibitiwe watu wenye biashara hiyo watafutiwe ajira nyengine waachane na hiyo kazi inoharibu jamii allah aihifadhi nchi yetu amiin

  • @yosray822
    @yosray822 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atulinde nabalaa kwa sote yarabi alamin

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah ujumbe mzuri sana mpo vizuri sana

  • @mussamacassarmatamata5648
    @mussamacassarmatamata5648 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunawapenda sana

  • @hamiskengwa6148
    @hamiskengwa6148 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah ❤️❤️🔥🔥🔥🔥💪💪💪

  • @allyutamu3403
    @allyutamu3403 2 ปีที่แล้ว +1

    آمين ثماآمي

  • @saidchina2913
    @saidchina2913 3 ปีที่แล้ว

    Inshall tunategea kwenda daa kufnya shoo ust hafidh atkuepo huko daar

  • @khadijaothman7117
    @khadijaothman7117 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice nice nice father ww sik zot utakuw simba tuuuuuuuuuuu congratulations shehe hafidh

  • @chiakassim6346
    @chiakassim6346 3 ปีที่แล้ว +10

    Fundi kafanya ufundi wake🔥

  • @haithamjuma2472
    @haithamjuma2472 3 ปีที่แล้ว +2

    Kassida nzuri sana ina mafunzo kwa kweli

  • @salhayussuf7920
    @salhayussuf7920 3 ปีที่แล้ว +2

    Congratulation sh.Hafidh for the amazing Qaswida🥰

  • @aliyfaki7502
    @aliyfaki7502 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashalla kaz kaz mung awabarik

  • @aminaomar28
    @aminaomar28 2 ปีที่แล้ว +1

    Mash Allah ❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰💖💖💖💖

  • @Zena-h4p
    @Zena-h4p 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana shekh hafidh

  • @aminaomar1385
    @aminaomar1385 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaalah mko vizuri sanaa

  • @issajuma3346
    @issajuma3346 3 ปีที่แล้ว +2

    mashaaaalllh nakupenda saaan ahlu lmadiiinaa allh akupeni mazuri

  • @jazaenergy2914
    @jazaenergy2914 2 ปีที่แล้ว

    Uzidi kutuelimisha🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @saadiawarfa3480
    @saadiawarfa3480 3 ปีที่แล้ว +5

    Ma Sha Allah ndombolo tuache kabisa.

  • @Aziza-ir2pz
    @Aziza-ir2pz 3 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllaah 🥰

  • @athumaniswalehe1672
    @athumaniswalehe1672 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana utunzi mzuri

  • @روعةسماويلآتصالات
    @روعةسماويلآتصالات 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah mashallah jazakallahu kheir

    • @zubedaally3245
      @zubedaally3245 3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah kwa qasweda nzuri

  • @zabibujumakhamis6834
    @zabibujumakhamis6834 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah ya Allah tuhifadhi na madawa ya kulevya

  • @HabibaMohamed-en4ys
    @HabibaMohamed-en4ys 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sh hafidh

  • @chikumbarouk6013
    @chikumbarouk6013 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaaallah Mashaaallah

  • @arafarashid9125
    @arafarashid9125 3 ปีที่แล้ว +2

    Good work mashaallah

  • @adnanidarous3117
    @adnanidarous3117 3 ปีที่แล้ว +7

    Congratulation homies keep it up on ur good effort 🔥🔥🔥

  • @hamidabdallah5841
    @hamidabdallah5841 2 ปีที่แล้ว

    Qaswida nzr sana masha-@llah ila uyo alieimba km kitikio anajua sana amepamba sana

  • @shaulykhamisi7697
    @shaulykhamisi7697 3 ปีที่แล้ว +2

    Sheh hafidh ww ni noma

  • @burhantvtzonline5417
    @burhantvtzonline5417 3 ปีที่แล้ว

    Yaani wewe huna mpinzani nasema kila kukicha, Yaani mashairi MaashaAllah

  • @SheikhIssaAbnau
    @SheikhIssaAbnau 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazi Nzuri Masha Allah fundi wangu

    • @ismailrazar
      @ismailrazar 3 ปีที่แล้ว +1

      Vp shekhe issa mbon upo kimy

    • @SheikhIssaAbnau
      @SheikhIssaAbnau 3 ปีที่แล้ว

      Hapana nilisafiri na niliganda kwa korona Ila nashkuru nimerudi Sasa nipo tutalisongesha

    • @ismailrazar
      @ismailrazar 3 ปีที่แล้ว

      Ulikua wap shekhe

    • @SheikhIssaAbnau
      @SheikhIssaAbnau 3 ปีที่แล้ว

      Tulikua mitaa ya pili tu hapao

    • @ismailrazar
      @ismailrazar 3 ปีที่แล้ว

      Vp umetoa vitu uko

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 2 ปีที่แล้ว +1

    mashaAllaha

  • @abasagah6009
    @abasagah6009 3 ปีที่แล้ว

    Kaz nzur

  • @hamisihaji506
    @hamisihaji506 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah sheikh hafidh kwakwel bd xijaon mpizan wako unguj nzima

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashalllah ❤️

  • @kinglionist1331
    @kinglionist1331 3 ปีที่แล้ว +4

    Safi sanaa 👍

  • @abrashabdulla9121
    @abrashabdulla9121 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah

  • @thneikhamis6414
    @thneikhamis6414 3 ปีที่แล้ว +2

    sh khafidh itabidi uje sanamu liwekwe kisonge apo kazi mzuri sana

  • @saudaramadhan795
    @saudaramadhan795 2 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allaah ❤❤❤👌

  • @fadhowafadhiljuma2026
    @fadhowafadhiljuma2026 3 ปีที่แล้ว +7

    Kijana wa mwanzo anasauti nzuri Sanaa..Ila kwa mbali kama inashabiana na ya kha'ifa.Ila nawakubal bado zungu tu hapo

    • @iliyasakyaka8238
      @iliyasakyaka8238 3 ปีที่แล้ว

      Weka vitu fundi wa kaswida Zanzibar waliyo hama wawach waham ss bad tuk pamoja na ww tup kaswida mpy bas tunasubir kwako

  • @ilhammbaruku6099
    @ilhammbaruku6099 3 ปีที่แล้ว +2

    Ukweli umeuwongea hafidhi👏👏👏🐓

  • @alibakar8902
    @alibakar8902 3 ปีที่แล้ว +1

    Wht a tune 👌👌👌

  • @مونا-ج6ذ
    @مونا-ج6ذ ปีที่แล้ว +1

    💕💕💕💕

  • @ramlaali4130
    @ramlaali4130 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaaallah😍

  • @خميسبنعبدلله
    @خميسبنعبدلله 3 ปีที่แล้ว +1

    ماشالله بارقالله لكم

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 ปีที่แล้ว +1

    Amiina yaarabbi

  • @faumarley5707
    @faumarley5707 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @mudysule5495
    @mudysule5495 3 ปีที่แล้ว

    Dah naomba kaswida irudiwe mm nilikua sipo😁

  • @z.nalnabhani7194
    @z.nalnabhani7194 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana kwa kujikinga na corona,Allah ayapeperushe haya maradhi

    • @soudamour1913
      @soudamour1913 3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah shekhe hafidhi Allah akuzidishie kila la kher

  • @habibasamade2615
    @habibasamade2615 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah 🙏

  • @maulanaabdulkadir7316
    @maulanaabdulkadir7316 3 ปีที่แล้ว

    Ela npowaaa

  • @z.nalnabhani7194
    @z.nalnabhani7194 3 ปีที่แล้ว +2

    Aamiin,Amiin thumma Aamiin

  • @saiddunia770
    @saiddunia770 3 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @saidaaliy7090
    @saidaaliy7090 3 ปีที่แล้ว

    Pambeeee 💕💕🥰🥰🥰🤗

  • @nasrizy242
    @nasrizy242 3 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe umefka Allah akulipeee

  • @tatuomar6967
    @tatuomar6967 3 ปีที่แล้ว

    Mashllwah

  • @habilsaidomar136
    @habilsaidomar136 3 ปีที่แล้ว

    Gud #ahlulmadina_sheikh hafidh

  • @captenosu7197
    @captenosu7197 3 ปีที่แล้ว +1

    Mastaa wa zenji

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 3 ปีที่แล้ว +2

    Rais Hussein Mwinyi Allah akupe umri mrefu wenye afya njema,hikma na busara ,Raia zako wazidi kukupenda

  • @rubeanassor4573
    @rubeanassor4573 3 ปีที่แล้ว

    Mwak huu mwanangu moma

  • @rauphyasin6020
    @rauphyasin6020 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @maisarakaitaba4347
    @maisarakaitaba4347 3 ปีที่แล้ว

    Napenda sana kazi zenu

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah.

    • @cuteem9726
      @cuteem9726 3 ปีที่แล้ว

      Kwenye rushwaaaaa natoa tano

  • @mahezeyikhamisi8157
    @mahezeyikhamisi8157 3 ปีที่แล้ว

    Nikiwa mzaliwa zanzibar kisiwani pemba najivuni sana kwa uwongozi wa rais huseni mwinyi na serekal ya umoja wa kitaifa hogera maalimu seif kuriziya na kuhubiri amani visiwani mwetu

  • @abubakarabdallah5415
    @abubakarabdallah5415 3 ปีที่แล้ว

    Kaz mzuri

  • @sergiobosco8120
    @sergiobosco8120 3 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Qaswidazanzibar441
    @Qaswidazanzibar441 2 ปีที่แล้ว

    Kaz

  • @Qaswidazanzibar441
    @Qaswidazanzibar441 2 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 3 ปีที่แล้ว +2

    Zungu soma hiooooo,Aisee iko poa.

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 ปีที่แล้ว

    Fundi wangu wa siku zote