Sugu "Nakupenda Magufuli, nakuunga mkono 100%, nimekushika na nakufuata"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 136

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 5 ปีที่แล้ว +22

    So nice of you mr Sugu . Wewe kweli unampenda rais wetu nasi tunakupenda sugu wewe ni mzalendo

  • @princegabytv7251
    @princegabytv7251 5 ปีที่แล้ว +95

    Aliegundua sugu anatetea haki katika ukweli gonga like👇👇👇👇👇

  • @drgeofreymdede3952
    @drgeofreymdede3952 5 ปีที่แล้ว +16

    Big up sugu you. Umenitumia nafasi vizuri tujenge nchi

  • @fadhiliefron6356
    @fadhiliefron6356 5 ปีที่แล้ว +8

    Yes clean it sugu umetumia nafasi vizuri sugu

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 ปีที่แล้ว +15

    Safi sugu huo ndo uwanawaume halisi ✌✌

  • @AMBINHED
    @AMBINHED 5 ปีที่แล้ว +8

    Sugu kwakweli umeongea ukweli kabisa katika hekima ya juu yaani upo 💯 % yer connection wa kuweka mambo sawa bila kuhama chama 👌👏👏👏

  • @fadhiliefron6356
    @fadhiliefron6356 5 ปีที่แล้ว +4

    I like dats much kiongozi bora Ndivyo inavyo takiwa Kuwa mkweli kukubali kwenye ukweli na kukosoa panakosewa big up sugu yako mengi Raisi anafanya Nikweli

  • @unaonaniniplatform5244
    @unaonaniniplatform5244 5 ปีที่แล้ว +8

    Kiukweli nimeelewa kwa nini Watu walimchagua Sugu. Kumbe ni kiongozi pale anapokuwa kwenye nafasi hiyo. Swaga zingine kumbe ni swala la mazingira tu. Big up

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 5 ปีที่แล้ว +7

    Kwaya sio muhimu kuliko maneno ya Sugu bana , he’s very right tuache siasa tujenge nchi sasa

  • @wilsonjohn1919
    @wilsonjohn1919 5 ปีที่แล้ว +3

    Maendeleo hayana chama big up sugu

  • @veronicatweve4786
    @veronicatweve4786 5 ปีที่แล้ว +22

    Ndipo hapo ninapokupendaga kaka angu wewe ni muwazi saana 🔥🔥

  • @jimjam4162
    @jimjam4162 5 ปีที่แล้ว +8

    Sugu ni Kiongozi mzuri Sana tu.

  • @mbwanaomary7537
    @mbwanaomary7537 5 ปีที่แล้ว +27

    Sugu akili kubwa sana lazima uombe kwa unyenyekevu sio kuropoka hovyo

  • @zackrichard3617
    @zackrichard3617 5 ปีที่แล้ว +2

    i love sugu....sugu

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 ปีที่แล้ว +8

    InshaAllah, ulivyoitamka Mh. Sugu Mungu aendelee kukutangulia kwa kila jambo, asante sana kwa kuonesha uzalendo mbele ya Mh. Rais, na wananchi wa Jimbo la mbeya, Mungu Ibariki Tanzania yetu, Aamina.

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 5 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa mr sugu tanzania ni moja watanzania wamoja tujenge nchi yetu na tutupilie mbali tofauti za vyama tanzania oyee !

  • @lamsmwahalende2901
    @lamsmwahalende2901 5 ปีที่แล้ว +3

    Sugu is our president in mbeya region

  • @acrestv8636
    @acrestv8636 5 ปีที่แล้ว +17

    Nakuunga mkono bila kuhama chama! sentensi inayoonyesha ukomavu wa kisiasa

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 5 ปีที่แล้ว +3

    Suguuuuu🙏🏼👏🏻👏🏻👏🏻🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @atukyejo4790
    @atukyejo4790 5 ปีที่แล้ว +1

    Bigup sugu wana mbeya tunakupenda!

  • @superbosskijanamrmkinga517
    @superbosskijanamrmkinga517 5 ปีที่แล้ว +10

    Mh sugu amenikoshaaaaa

    • @irankundalambert920
      @irankundalambert920 5 ปีที่แล้ว

      Shukrani zangu zikufikie mh RAISI WA jamhuri WA TZ Kwa hekima naupendo ulionao kwawana nchi wakoa ningetani kila hotubayako niipate japo Mimi nimkimbizi nakupenda no!!!

  • @mercyken9710
    @mercyken9710 5 ปีที่แล้ว +1

    Akili kubwa.safi Mh.

  • @fadhilikyando9483
    @fadhilikyando9483 5 ปีที่แล้ว +11

    Pendaaaaa sanaaa suguuu acheni ibanaishaji mtu anaongea pointi mnamkatisha siyo vizuriii

  • @stevenfrancis9115
    @stevenfrancis9115 5 ปีที่แล้ว +1

    Very excellent speech

  • @Delyamedia
    @Delyamedia 5 ปีที่แล้ว +1

    Sugu uko vizuri sana

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 5 ปีที่แล้ว +5

    Kweli mbeya hamjakosea. Sugu wewe ni Rais wa mbeya sana

  • @wawahatv8783
    @wawahatv8783 5 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizur sana sugu

  • @stevengracphord953
    @stevengracphord953 5 ปีที่แล้ว +9

    Asantee sana sugu

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 5 ปีที่แล้ว +13

    Duuh kweli hip hop stick kwenyeukweli no blablaaah

  • @richardmasilimu4078
    @richardmasilimu4078 5 ปีที่แล้ว +10

    Sugu moto chini

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 5 ปีที่แล้ว +4

    Tz mko luckily u hv good leaders

  • @jonesgeorge3152
    @jonesgeorge3152 5 ปีที่แล้ว +1

    Sugu moto chini,achaaaaa

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 ปีที่แล้ว +5

    Panapo ukweli uongo hujitenga, Mh. Sugu upo sahihi, Rais Magufuli ameboresha mengi katika Nchi yetu, Mungu amlinde Rais wetu.

  • @jumannecheni8935
    @jumannecheni8935 5 ปีที่แล้ว +2

    Congrats sugu

  • @msingidamtz6680
    @msingidamtz6680 5 ปีที่แล้ว +23

    Mwaacheni ayaseme maana bungeni ni vurugu tupu

  • @omaryyusuph3251
    @omaryyusuph3251 5 ปีที่แล้ว +14

    Wanakuita suguuuu! naniiii×3
    Sugusugusuguuuu!!!!

    • @hamudseif
      @hamudseif 5 ปีที่แล้ว

      Hahahaaha

    • @josephchuwa3532
      @josephchuwa3532 5 ปีที่แล้ว

      noma broo umenikumbusha mbali sana

  • @mtelesmarcus8921
    @mtelesmarcus8921 5 ปีที่แล้ว +2

    kama umemuona bodigagi wa raos katabasamu gonga like

    • @sekeladaniel5142
      @sekeladaniel5142 5 ปีที่แล้ว

      Watu wambea Nikajua nimeona peke angu

  • @masongatz
    @masongatz 5 ปีที่แล้ว

    SUGU nimekupenda bure Kamanda

  • @rosemarysheyzjzbsherman3430
    @rosemarysheyzjzbsherman3430 5 ปีที่แล้ว +12

    Li sugu lina akili mpaka linaboa!

  • @samweljasson4029
    @samweljasson4029 5 ปีที่แล้ว +1

    Daah hakikaa Suguuu we ni Mbeya president...yaaan unaongeaa vituu had Magu anafurahii...safisana Mh Suguuu hakikaa ukoo juuu..na utabaki kua juu Zaid.

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 ปีที่แล้ว +3

    nimempenda sugu kaongea point

  • @otinachaula3162
    @otinachaula3162 5 ปีที่แล้ว +3

    pamoja saàaaaaaaaaaaaa sugu

  • @abra4really
    @abra4really 5 ปีที่แล้ว +10

    Safi sana Sugu

  • @golethkaguo4183
    @golethkaguo4183 5 ปีที่แล้ว +7

    Alichokizungumza na kilichoandikwa na mtangazaji ni tofauti kabisa

    • @venancebasil4656
      @venancebasil4656 5 ปีที่แล้ว

      Goleth Kaguo media za tz zishakuwa za kiboya sana

  • @petermahimbo9450
    @petermahimbo9450 5 ปีที่แล้ว +1

    Usimtoe nje mwache amuelezee mr prezidnt

  • @Papa2thaE
    @Papa2thaE 5 ปีที่แล้ว +1

    Wanamwita suguu!

  • @mwanamatofali6981
    @mwanamatofali6981 5 ปีที่แล้ว +6

    mc muache aongee ni sehemu yake kuongea mbele ya rais feeling zake ni uhuri

  • @yustochitema1131
    @yustochitema1131 5 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana bro, nauona ukomavu wako kisiasa

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 5 ปีที่แล้ว +2

    Sugu tunakupenda hd Raha

  • @evelyinipaja1202
    @evelyinipaja1202 5 ปีที่แล้ว +3

    Siyo adabu kumtoa mtu jukwaani wakati anasema vitu vya maana. Hajamtukana raisi wala hajasema vibaya kwa raisi. Wajifunze busara kutoka kwa raisi. Wasimchafulie raisi sifa yake.

    • @oyay2821
      @oyay2821 5 ปีที่แล้ว

      Sugu anajulikana baada ya kusema maneno ya busara hapo hapo atampiga na chini Bashite bora apate mwanya

  • @fadhiliefron6356
    @fadhiliefron6356 5 ปีที่แล้ว +2

    Mpaka mh magu anatabasam kwa mbali

  • @bm2tv299
    @bm2tv299 5 ปีที่แล้ว +2

    Sugu moto Juuu Sugu moto Juu

  • @jchuwatv1890
    @jchuwatv1890 5 ปีที่แล้ว +3

    Millard Ayo Ushanunuliwa na Ccm kwa sababu ulichoandika na alichoongea sugu ni Tofauti sana.
    Sugu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @massoudsalum2038
    @massoudsalum2038 5 ปีที่แล้ว +2

    Sugu oyeeeeeeeeee

  • @alenidaudi8662
    @alenidaudi8662 5 ปีที่แล้ว +3

    suguuuu

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 5 ปีที่แล้ว +8

    Tuna shkulu kupata mbunge anae wakumbuka watu walio mchagua

  • @mangiclaus
    @mangiclaus 5 ปีที่แล้ว +17

    Sugu wewe uje ugombee ubunge huku kwetu ntakupa na kiwanja

    • @samueljr9105
      @samueljr9105 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂hii imeweza yani kura + kiwanja TZ u r lack u hv good leaders from president to mps KENYA tunaonba mmoja tu ili tufute machozi

    • @ivannyamukara7247
      @ivannyamukara7247 5 ปีที่แล้ว

      Hahahah

  • @emmanuelmwangosi4077
    @emmanuelmwangosi4077 5 ปีที่แล้ว

    Sugu respect!

  • @sanlygeneralservicesltdsgs4496
    @sanlygeneralservicesltdsgs4496 5 ปีที่แล้ว

    Great

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 5 ปีที่แล้ว

    😀😀 Mzee Magu tishio leo sugu km sio yy anavyompamba muheshimiwa, sijui wale wauni wenzio wa chadema bungeni si jui wana hali gani maana mkiwa pamoja kila kitu kupinga leo mbele Magu umebadili maneno heri utamsapoti mpka mwisho😀😀 jina limekufaa sana suguuuu

  • @anethmollel6564
    @anethmollel6564 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @mbumbulicomedians3286
    @mbumbulicomedians3286 5 ปีที่แล้ว +2

    Akiri nyingi

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 5 ปีที่แล้ว +1

    Kodi ni kweli.

  • @fadhiliefron6356
    @fadhiliefron6356 5 ปีที่แล้ว +4

    Umejitahid kuonesha busara, hekima na ukomavu wa uongozi na siasa

  • @morefireministrychurch177
    @morefireministrychurch177 5 ปีที่แล้ว +4

    Sugu ccm kimya kimya 2020 nyumbani

    • @paulinamon9087
      @paulinamon9087 5 ปีที่แล้ว

      Msikilize vzr. Kasema anamuunga mkono bila kuhama chama

    • @mathaadam2608
      @mathaadam2608 5 ปีที่แล้ว

      Kavurugwa

    • @morefireministrychurch177
      @morefireministrychurch177 5 ปีที่แล้ว

      Paulin Amon hivi akihama chama saa si nikurudia uchagusi kwa dhiyo sasa ana kuja ccm lemilia aliaza hivyo tu amekuja huyu ccm 2020 karibu nyumbani

    • @ignasyluena9197
      @ignasyluena9197 5 ปีที่แล้ว

      Huyu ni miongoni mwa vijana wachache sana wanaojitambua coz tatizo la tz ni mfumo na bado haujakaa sawa so ukihama na kufuata aliko kabakiza miaka sita akimaliza utakimbia tena maana CCM imeshindwa kubadilika mh Rais kaumbwa hivyo kutopenda longolongo watu wanasubilia tu amalize ili waziludie enzi zao

  • @cherilydavid3066
    @cherilydavid3066 5 ปีที่แล้ว

    kwanini mnamkatisha na yeye ni Mbunge wa Mbeya ndiye mmojawapo wa wenyeji wa Rais? Nyie ni wachoche wakubwa Kati ya Rais na wapinzani mnamfanya Rais aonekana mbaya!!

  • @bonykaro9097
    @bonykaro9097 5 ปีที่แล้ว +4

    kuna watu wanateseka apo mbele

  • @lukusupierrewembolambert41
    @lukusupierrewembolambert41 5 ปีที่แล้ว +1

    Ila kwanini nyinyi CCM wakiwa wanazungumza hamuwaziwii lakini MHE SUGU mnamziwiya na anazungumza vitu muhimu kabisa.

  • @abdallahhassan6055
    @abdallahhassan6055 5 ปีที่แล้ว

    kaka nimekukubali haija wahi kutokea ukaongea busara ya namna hii unatakiwa uwe waziri ndo itakufaa ili ulisaidie taifa nafurahi sana haya mawazo mazuri kwali

  • @aronlazaro4387
    @aronlazaro4387 5 ปีที่แล้ว

    Hv kumbe Kuna uwezekano wa kumuunga mkono Raisi bila kuhama Chama ss wengine wanakuwaje

  • @omarihaji22
    @omarihaji22 5 ปีที่แล้ว +2

    Sugu umeongea ukweli sana

    • @shukurunzenzule5963
      @shukurunzenzule5963 5 ปีที่แล้ว

      sugu noma chadema wabunge wetu wako vizuri Sana sio hao wa ndiyoooo!

  • @shanisshow1864
    @shanisshow1864 5 ปีที่แล้ว +3

    Hapo rais yupo
    Kiserikali si kichama kuna mwendowazima fulan hapa chini et si hasa hoyee sijui amemaanisha nn sugu hakusemea chadema wala ccm amesemea jimbo lake na kero
    Wangekuwa Inzi hapo ni shida sana sana ungesikia ccm kupitia wewe imetatua kero mara vigelegele hahahahh

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 5 ปีที่แล้ว

    Nani poyoyo Hapo ....🔥🔥

  • @mwanamisomari6409
    @mwanamisomari6409 5 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea pont sana

    • @huldanjiro7419
      @huldanjiro7419 5 ปีที่แล้ว

      wew kiboko kaka yangu,uko juu mpak rais kakupigia makof,yaan pongez kakupa

  • @eliabumagwata1841
    @eliabumagwata1841 5 ปีที่แล้ว

    Sugu leo nimekuelewa cyo kama ambavyo huwa ukichangia mjengoni maana mjengoni huwa ckuelewi elewi

  • @allymliloh1760
    @allymliloh1760 5 ปีที่แล้ว +3

    sugu kalewa lkn 😂😂😂

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 5 ปีที่แล้ว +6

    duuh eti nini ... 🤔

  • @mwakanyekenyiki9241
    @mwakanyekenyiki9241 5 ปีที่แล้ว +5

    SUGU

    • @juliusakida6272
      @juliusakida6272 5 ปีที่แล้ว +1

      WW ,UMEONESHA, UKOMAVU,MR SUGU

    • @mussamsangi3161
      @mussamsangi3161 5 ปีที่แล้ว +1

      Eti anaitwa nani? Sugu, sugu, sugu, suguuuuuuu

  • @ThetopDjMarc
    @ThetopDjMarc 5 ปีที่แล้ว +2

    Si hasa oyee!

  • @sejmaleonard554
    @sejmaleonard554 5 ปีที่แล้ว

    Hi

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว +1

    Sugu na Uncle Magu wote ni watu ambao wako serious.. ndio maana wanaivana.. Huyu Uncle Magu lazima amuibe.. ANAFAA KUINGI SERIKALINI KUMSAIDIA..! HUO NDIO UPINZANI UNAOFAA SIO KUOMBA TANZANIA IWEKEWE VIKWAZO.. (LISSU)..!

  • @kipipakipipa5050
    @kipipakipipa5050 5 ปีที่แล้ว +1

    Sugu

  • @noelsimon3320
    @noelsimon3320 5 ปีที่แล้ว +4

    Mtangazaj unataka uzungumze ww tu au

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว

    Sugu nimependa ulivyo malizia kwa unyenyekevu kwa raisi wetu. Ndio kukomaa huko, walikutoa usimalizie ila raisi mwenyewe kakurudisha

  • @fabianmoses3105
    @fabianmoses3105 5 ปีที่แล้ว +3

    Huo ndo uanaume na hyo ndo hiphop xio kukmbiakmbia tyu umenifrahixha umexema kwa hekima na busara xaf xana huyo ndo baba wa nchi lazma uombe kwa unyenyekevu..√√•

  • @idyjumanne9796
    @idyjumanne9796 5 ปีที่แล้ว

    sugu mmbishi kama yuko bungen

  • @MambaAfrica
    @MambaAfrica 5 ปีที่แล้ว

    Sugu kabisa.

  • @jacksonsendama9458
    @jacksonsendama9458 5 ปีที่แล้ว

    Huyu ndiye sugu

  • @djmeza411a58
    @djmeza411a58 5 ปีที่แล้ว +2

    Sugu tumekuelewa vizuri lejea ccm tutakupokea ccm oyee

  • @jacobezekielhoya1626
    @jacobezekielhoya1626 5 ปีที่แล้ว

    yaani MC unamkaitisha mwakilishi wa wanainchi kwa ajili ya kwaya kweli??

    • @lusizoboy7988
      @lusizoboy7988 5 ปีที่แล้ว

      Umeongea point mijitu mingine ajui umuhimu wa wananch kwa uwoga wao rais kaja kuongea na wananch na uyo ndo mwakishi wao muache raisi asikie matatizo ya wananchi anavyo mkatisha nilijua kuna kuna jambo la maana kumbe kwaya si wakaimbe kanisani bongo bwana kuna mijitu!!!!!!!!!!

  • @unitytzdar9553
    @unitytzdar9553 5 ปีที่แล้ว

    YANI SUGU NIMEMKUBALI.
    LAKINI MHESHIMIWA RAIS NI MTU MAKINI, MIMI NAAMINI KUNA JAMBO KALI-NOTE

  • @teddykassinde4608
    @teddykassinde4608 5 ปีที่แล้ว +4

    Ziara ya rais ni ya kichama au?mbona jezi za yanga? 😂

    • @richardkijanga1507
      @richardkijanga1507 5 ปีที่แล้ว

      Tedy raid anatokana na chama gn?! Anatekeleza ilani ya chama chake waliyoinadi 2015.

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 5 ปีที่แล้ว

    tatizo umeharibu mac unapotea ootea

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 5 ปีที่แล้ว

    Mbunge anaongea important issues MC anamkatisha

  • @jumananyanje9419
    @jumananyanje9419 5 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว

    Mh! John Joseph Pombe Magufuli. Mbona umeanzia nusu jina la Raisi?

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 5 ปีที่แล้ว

      Mary Gaspar hiyo haijalishi kikubwa umemuelewa alikuwa akifanya rejea kwa nani? Mungu ni mkubwa kuliko mwanadamu

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 5 ปีที่แล้ว

    mbona anaropoka tu kwa mbali kama anatetemeka kutoa speech sio mchezo

  • @barackdizo7113
    @barackdizo7113 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukiachana tu na utani sugu ajafanya chochote katika uongozi wake zaidi kutoa porojo tu

    • @lamsmwahalende2901
      @lamsmwahalende2901 5 ปีที่แล้ว

      Acha kuwa kilaza ww fikiria kabla haujaandika shida sugu unamskia haumjui pole sana na Mungu akusaidie

  • @keffajacob524
    @keffajacob524 5 ปีที่แล้ว +4

    jamaaa????!!!??

  • @LazaroSamwel
    @LazaroSamwel 5 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏👏 Usiache kusubscribe katika channel yangu pia kujifunza mambo ya biashara, ujasiriamali, mahusino na utambuzi binafsi