LULU AWEKA WAZI KILAKITU SIOGOPI|WASINITAFUTE KWA UBAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 115

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 4 หลายเดือนก่อน +17

    Jamani ushauri mnaoutoa sio mbaya lakini mfikirie mama yake atabaki na nani kuuguza sio kitu cha mchezo akiondoka nje ya nchi atajuta Lulu anahitaji kukaa na mama yake akipata vyumba 3 akae na mama yake

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 4 หลายเดือนก่อน +14

    Wadada waoman muda mwingine tupunguze sifa wa kumshauri kuja oman ni munira na kina zabibu uyu lulu mnamshaur aje oman alafu mama yake je mtamuhusumia nyie

    • @Nashoora8
      @Nashoora8 4 หลายเดือนก่อน +1

      ila kweli uya semayo mama yake ni mgonjwa alafu uwarabuni miaka miwili ni mingi na uludi mpaka mkataba uwishe au ujilipie mwenyewe nauli ukivunja mkataba uwarabuni ni mtihani kwakweli😥

  • @cecyngitu4752
    @cecyngitu4752 4 หลายเดือนก่อน +19

    Aje Oman Mama ake atamuuguzia nani mnaposhauri angalieni cha kushauri

    • @lilianwaflotina1288
      @lilianwaflotina1288 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wao wanafikiri Kila mtu anapenda oman

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 หลายเดือนก่อน +9

    Lulu ww ndo mtt wa pekee kaaaa mdgo wng umlee mama! Usiende Oman wala Dubai Mungu atakufungulia milango ya rodhikiiii tulia tuliaaa apo sawa mdogo wng ? Kwanza mama atakuwa mpeke sana kukosa

  • @HadiaAme-x5f
    @HadiaAme-x5f 4 หลายเดือนก่อน +10

    Usijenge pakubwa jenga vyumba 2 halafu utamaliza kdg kdg ili msaada ikikata umeshapata pa kukaa na mama

  • @RumeysaHussein
    @RumeysaHussein 4 หลายเดือนก่อน +10

    Mzuri lulu mashaallaah anandoto mungu atamsaaidia ishaallaah

  • @MaryamAbass-z1x
    @MaryamAbass-z1x 4 หลายเดือนก่อน +7

    Lulu fikiria tena mamy hakuna anaeweza kumlea mama Yako zaidi ya ww tu kuwa na subra kwanza Tunakutakia mengi mazuri Allah atakuafungulia milango ya kheri Inshaallah

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 4 หลายเดือนก่อน +10

    ❤❤❤❤chenye na mpendea huu dada Hana Tama kama mnira

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 4 หลายเดือนก่อน +1

      Et kam mnira mnira ni akili ndo han sii kusem ana tamaa

  • @erinestangowi7785
    @erinestangowi7785 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mama lulu hawezi kukaa namtu baki mwanae ndio kila kitu wew ukitaka kusaidia saidia utaki kaa kimy usiombe yasikukute matatizo

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 4 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu Dada Ana akili Sana Mashaallah yaan angatokea tajiri mmoja tu huko tz akampa kazi hapo hapo tz awe karibu na mama ake.

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 4 หลายเดือนก่อน +5

    Lulu asimuache mama maana huyu mama yako inatakiwa akae na mtu mwenye Imani sana bila wewe haiwezekani kabisa anataka kuangaliwa

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 4 หลายเดือนก่อน +2

    munguakusaidiye jamani lulu anatakiwa kushikwamkono ila asimuwache mamayake yanirohoinauma ilanimtihani

  • @salmasaidy87
    @salmasaidy87 4 หลายเดือนก่อน +10

    Pole sana mdogo wangu Lulu kwa changamoto ya kumuuguza mama na hongera kwa kupambana Mungu akutangulie na akufungulie milango ya rizki

  • @MaryamAbass-z1x
    @MaryamAbass-z1x 4 หลายเดือนก่อน +3

    Serekali yetu pendwa muoneni lulu jamani apate apate kazi japo mdogo apate kumlea mama ake

  • @catherinefaney948
    @catherinefaney948 4 หลายเดือนก่อน +3

    Lulu mwanangu,usimwache mama Yako,safari ya maisha Siri ya Mungu,Wala SI ndefu,au wewe au mama Yako.usimlaumu mtu ,SI Kila anauwezo wa kutunza mzazi,ni karama,wenzio waombee.Mungu hatakuacha.unabarikiwa sana katika hilo

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 4 หลายเดือนก่อน +3

    Lulu mdogo wangu usimwache mama ukaja kufanya kazi nchi za njee mama anahitaji upendo wako

  • @SinaHafidhi
    @SinaHafidhi 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hivi nyie mnamshauri aende Dubai
    Hivi Dubai mnakufaham.?
    Unakaa ofsini mpaka basi
    Leo tajiri huyu. Kesho huyu. Utarudishwa ofsini mpaka ujute

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimechekaa

    • @Leylah-pz5sc
      @Leylah-pz5sc 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 bora ncheke maana

  • @aminamagaji2645
    @aminamagaji2645 4 หลายเดือนก่อน +1

    Lulu nakushauli usiende inje baraka zako ziko mguuni mwa mama yako iombe serekali milizie mama samia akusaidie usimache mama yako plz lulu nisikie

  • @aminamareta9297
    @aminamareta9297 4 หลายเดือนก่อน +2

    Lulu pore sana kwa changamoto ipo siku yatapita tu swara rakuja omani mimi sikushairi kutokana na mama ariyake

  • @AminaAhmed999
    @AminaAhmed999 4 หลายเดือนก่อน +2

    lulu usiende popote mlee mama yako Mungu atakuletea riziqi.
    mama huyu ni mgonjwa hakuna atakae toikea kumlea vile unamlea

    • @WARONGATV
      @WARONGATV 4 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo hela za matumiz zitatoka wap asipofanya kaz

  • @edithtarimo5872
    @edithtarimo5872 4 หลายเดือนก่อน +4

    Naomba mawasiliano

  • @khamisjina8833
    @khamisjina8833 4 หลายเดือนก่อน

    Tulia na mama mdogo wangu hao watu wapya huko nje wanachangamoto zao hasa kazi za mtu angalau umeajiriwa na sector ya umma afadhali.
    Kikubwa watanzania huyo mtoto kasoma na kama ana vyeti husika awezeshe apate kazi karibu na mama.
    Hivyo viongozi wamuone, mana ni watoto wachache wenye moyo wa kuhangaika na wazazi wao

  • @MahmudOmar-gx2ok
    @MahmudOmar-gx2ok 4 หลายเดือนก่อน +1

    ASSALAMU ALEIKUM. MA SHA ALLAH MUNGU AKUBARIKI, LULU KWA USHAURI WANGU USIMUACHE MAMA KWANI PEPO ZETU ZIKO CHINI YA NYAYO ZAO. NA MUNGU AKUWEKE MAMAKO

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 4 หลายเดือนก่อน +6

    Sasa anavyo taka kwenda nje ya nchi uyu mama atabaki na nani uyu mama maradhi yake kukaa na mtu ambae hana Imani na mapenzi hawezi kukaa nao kabisa asaidie tu apate ata vyumba viwili na biashara kidogo na.bima ya uyo mama basi mengine yaendelee atakuja kujutia akimuacha ni ushauri tu

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 4 หลายเดือนก่อน +2

      Hata mimi nakuunga mkono kwa kuwa mama kashamzoea lulu

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 4 หลายเดือนก่อน

      Na hakuna mtu wa kumwachia sasa yeye sijui amewazaje mpaka kufikia kusema ivyo

    • @khadijachacha3156
      @khadijachacha3156 4 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa ataombaomba mpaka lini mwishowe watu watamchoka kwa kuomba bora afanye kazi itamsaidia katoka maisha yake asije geuka yakawa kama ya munira namna watu walivyomchoka kumsaidia

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ivyo watu mnasema tu mimi mwenyewe nimefanya kazi nje na nilimuacha mama yangu mgonjwa na tumezaliwa wengi lakini sizani kama Kuna siku niliacha kutoa chozi na kumuombea kichwa kilikua kinauma kila siku Kwa mawazo sembuse yeye hana hata mtu mmoja wakusema atakaa na uyo mama ndio maana nikasema angepata ata vyumba viwili tu na msinngi wa biashara ,yule munira so wakumfananisha na mtu mwingine yule hajielewi, uyu yupo vizur sana mungu amuongoze Inshallah 🙏

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@AminaLibisa
      Kutokana mama lulu hana mtu wa kumuangalia zidi ya lulu sioni sababu ya lulu kuenda huko nje ikiwa mama yupo Tz atamchanganya mama ake bure na istoshe anavomcare yy sivo atakavomcare mwengine apate tu 2bedrooms kimoja kiwe na choo na ukumbi na choo koridoo huko mbele akiwa na uwezo ndio atajenga gorofa yake yakumkabidhi mamake

  • @SalimAli-sk3gi
    @SalimAli-sk3gi 3 หลายเดือนก่อน

    Lulu hio rai ifikirie sababu hali ya mm sio wakuwachine mtu ungejaribu tena huo mradi

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah lulu mungu akutangulie mtt mzuri wewe una akili wa kukushika mkono tu huna kwenye family usije ukajichanganya na mapenzi bado kwanza

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 4 หลายเดือนก่อน +2

    MashaaAllah walhamdulliha 🥰 ujenzi ssa ni mngumu kweli ila mungu akusimamie umalize Salam habty ❤

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani kwa ushauri wangu kwa Lulu chonde acjaribu kumwacha mama yake na kwenda mbali.
    Hapa Tanzania kuna nafasi nyingi za kazi serikalini na makampuni makubwa ya watu binafsi yanamwona Lulu jamani wampatie kazi ili aweze kuendelea kumtunza mama yake. Lulu anaweza kwenda mbali mama akapata changamoto, sishauri Lulu amwache mama Aende mbali.

    • @saeaaa8571
      @saeaaa8571 4 หลายเดือนก่อน

      Mim mwenyew siungi mkono suala la lulu kumuacha mama.. Hapana aisee hatoweza kukaa na mtu mwingine huy mama zaid y mwanaye

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama bado Lulu mwanangu nakuomba usimwache tumsadie Lulu kwa kumwezesha

  • @lizzynkifu4179
    @lizzynkifu4179 4 หลายเดือนก่อน

    Mdogo wangu ungeomba tu msaada wa kazi bila kuweka sana nje ya nchi sabab hapo utapata mda wa kumuangalia mama pia anakuhitaj ukiwa nje na kumuacha mama unaweza kujikuta unapoenda huna hata aman

  • @Swehahabibtiy
    @Swehahabibtiy 3 หลายเดือนก่อน

    Jamni lulu atafutiwe kijiduka karibu na mamayake awe karibu nae

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 4 หลายเดือนก่อน

    Ktk hizo nchi tafuta kaz online hata za kulea wazee au watt babysita

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah Allah Akuwezeshe Inshallah

  • @Swehahabibtiy
    @Swehahabibtiy 3 หลายเดือนก่อน

    Kuondoka ni mtihani kwa kweli ahangaike hpa hap tu jamani

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 4 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤manshy huu dada ni ujasiri mungu amzidishie kila la kheri na ampe afya njema mama inshallaah

  • @fatmahaji7639
    @fatmahaji7639 3 หลายเดือนก่อน

    Hujambo aje omani Lulu

  • @SalimAli-sk3gi
    @SalimAli-sk3gi 3 หลายเดือนก่อน

    Dubai ajaribu taxi Dubai

  • @mirnababy5012
    @mirnababy5012 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jamni ssh ngapi hapo lulu

  • @MariamHamad-lr3xc
    @MariamHamad-lr3xc 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mama ndio jihadi amtunze mm yk

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 4 หลายเดือนก่อน

    umempanenozuri fabi nikweliunayomwambiya hogerasana kijajaukovizuri

  • @omanmct135
    @omanmct135 4 หลายเดือนก่อน +2

    Naic❤

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 4 หลายเดือนก่อน

    kwakweli lulumwenyewe kamaniwatuwanawojali alikuwaanahataji malezikwaduguzake yeyepamoja namamayawo ilabasituwana rohombaya naniwashezi

  • @MasouHusein
    @MasouHusein 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtihani kweli ila Allah anawaona

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio wapi uko !

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 4 หลายเดือนก่อน

    munguakuzidishiye barkakwakwakuwakaribusana namzaziwako utapatabaraka kwasababuukovizurisana na mamayakoutabatabarakanyingikwamungu

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 4 หลายเดือนก่อน

    Masha ALLAH, ALLAH akufanyie wepesi katika ujenzi aamiyn

  • @MialiiMohamed-m9l
    @MialiiMohamed-m9l 4 หลายเดือนก่อน

    Kila kitu kina sababu zake, Allah akupi usiloliweza na pia kuna kitu utapata kwa kumlea mama lulu usife moyo wala usihuzunike

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 4 หลายเดือนก่อน

    Nilifili lulu kazaliwa peke yake 😢nimalayanguyakwanza kusikia anandugu zake

  • @saeaaa8571
    @saeaaa8571 4 หลายเดือนก่อน

    Lulu usimwache mama mm siungi mkono hata kidog suala la lulu kuondoka

  • @SalhaMwampagatwa
    @SalhaMwampagatwa 4 หลายเดือนก่อน

    Namimi piya nimepapenda nuwapi apo naomba namba ili nieeze kufika uko

  • @AishaMrisali
    @AishaMrisali 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wawooo mashallh hongrmmy

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 4 หลายเดือนก่อน

    polesana bintikwamtiniunayopitiya munguakusimamiye na akukingenama aduwi

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutangulie mtoto wetu ln shaa Allah

  • @MaryamShabani-n2u
    @MaryamShabani-n2u 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah

  • @mirnababy5012
    @mirnababy5012 4 หลายเดือนก่อน +1

    Niwe jiran yako

  • @MonaAlmona-c1n
    @MonaAlmona-c1n 4 หลายเดือนก่อน

    Kila mtu oman mwajua nyumba zote ninzur kama zenu

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 4 หลายเดือนก่อน

    yaniinaumasanaila muguatasimama nawewe

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 4 หลายเดือนก่อน

    masking huyubiti anahitajimsada sana

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 4 หลายเดือนก่อน

    Bei gani uko kiwanja please

  • @erinestangowi7785
    @erinestangowi7785 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio wapi uko omboza

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 4 หลายเดือนก่อน

    nibinti anayependakujituma

  • @khadijamohanani6476
    @khadijamohanani6476 4 หลายเดือนก่อน

    Wanaosema aje oman,kisha mamake atamuacha na nani

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 4 หลายเดือนก่อน

    saidiyenijamani apatehatavyuba.viwoli

  • @zaituniallyjuma8845
    @zaituniallyjuma8845 4 หลายเดือนก่อน

    oboza polini kunamanyoka mie hiko naogopa manyoka

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 4 หลายเดือนก่อน

    Homboza iko wapi

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 4 หลายเดือนก่อน

    munguakusimamiye

  • @Nadhifasaid-1654
    @Nadhifasaid-1654 4 หลายเดือนก่อน

    Omboza ndo wap

  • @zaituniallyjuma8845
    @zaituniallyjuma8845 4 หลายเดือนก่อน +3

    aende Dubai kunamshahara mkubwa sana milioni moja

    • @khadijatanzania8040
      @khadijatanzania8040 4 หลายเดือนก่อน

      Milion moja una uhakika?ndio kwanza unaanza kaz useme upewe milion

    • @kadejahh4036
      @kadejahh4036 4 หลายเดือนก่อน

      Weee dubai ipi iyo ya 1 .m e

    • @rayaabdul-gm3hc
      @rayaabdul-gm3hc 4 หลายเดือนก่อน

      Mmh wacha uwongo dubai gani hiyo.abu dhabi.sharjah.ajman.alain.sio kweli nina mwaka wa sita sijawahi kusikia shaghal akalipwa milion weeee 😮😮😮usitudanganye .wakati sisi tupo huku

    • @MawaddaKhamis-zh3kc
      @MawaddaKhamis-zh3kc 4 หลายเดือนก่อน

      Dubai ipi iyo mm nipo mwaka wa 10 sijalipwa iyo 1 M 😮

    • @zaituniallyjuma8845
      @zaituniallyjuma8845 4 หลายเดือนก่อน

      @@MawaddaKhamis-zh3kc bwana mimi nalipwa milioni 2 nanipo dubai wevipi

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 4 หลายเดือนก่อน

    Huko homboza ni wapi fabi

    • @SaedaAlbreki
      @SaedaAlbreki 4 หลายเดือนก่อน

      Chanika my

  • @hamisiabubakari5025
    @hamisiabubakari5025 4 หลายเดือนก่อน

    fabi

  • @FatmaMohammed-ry8yo
    @FatmaMohammed-ry8yo 4 หลายเดือนก่อน +2

    Usiende huko mdg angu hiyo thamani uliyobarikiwa kwa kumlea mamako kwa nyakati ngumu ni Baraka tosha. Kuwa na subra mola atakufungulia maana mtu baki hawezi kumuhudumia km ww

    • @SafiyaJ-yw2vt
      @SafiyaJ-yw2vt 4 หลายเดือนก่อน

      Huyo mama mbona anaongea peke yake maskini 😢😢😢

    • @lizzynkifu4179
      @lizzynkifu4179 4 หลายเดือนก่อน

      @@SafiyaJ-yw2vthayupo sawa

  • @ZawadiShabani-gk1dy
    @ZawadiShabani-gk1dy 4 หลายเดือนก่อน +3

    Karibu dubai

    • @shamzone388
      @shamzone388 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mama yake utakwenda kukaa nae wewe acheni upumbavu mama yake ndio pepo yake mwacheni amuhitimize mama yake

  • @AishaMrisali
    @AishaMrisali 4 หลายเดือนก่อน +2

    Karibu Oman mmy

    • @Fatima1234-wl1nu
      @Fatima1234-wl1nu 4 หลายเดือนก่อน +1

      mama yake utamlea wewe?

    • @bintmrisho3526
      @bintmrisho3526 4 หลายเดือนก่อน +1

      Akishakuja oman mama yake utamlea wewe hovyo😏

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 4 หลายเดือนก่อน

      Mumuelewe lulu hataki kazi za Oman za ndani maana kataja London na Amerika na kasema kasoma sasa nchi kama hizo kuzifikia sijui tunamsaidiaje

    • @rayaabdul-gm3hc
      @rayaabdul-gm3hc 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂​@@Fatima1234-wl1nu

  • @AishaMrisali
    @AishaMrisali 4 หลายเดือนก่อน +1

    Njoo Oman tu

    • @bintmrisho3526
      @bintmrisho3526 4 หลายเดือนก่อน +2

      Hiv nyie kila mtu mnamuita oman alafu akishakuja oman mama yake utamtunza ww

    • @shamzone388
      @shamzone388 4 หลายเดือนก่อน

      Akae na mama yake amlee ende dubai oman suudia mama atabaki na nan???