Dah, bonge Moja la elimu kubwa sana kwetu sisi vijana tunaopambana mungu tutie nguvu na ujasiri wa kuthubutu, Asante Millard ayo Kwa hii interview yenye kutufunza vijana wenzio.
Nakuombea kwa Mungu mafanikio mema yeye, Ali Kiba na wote walioshiriki kumvusha kwenye majanga na machungu ya maisha huyo dogo🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu awabariki sana.
Dooooooh!!!Ebwana Hii Story ya Jamaa imenigusa mbaya na nimepata Elimu kubwa Sanaaa..Hii ni Elimu Hai Kabisa mfumo wa maisha kabisaaa...Bless up to You Brother and keep it up 🎉 One Love from Germany 🇩🇪 / Belium 🇧🇪
Maashaalah hongera kaka kwa historia yako nzr ya maisha .Una mungu na kila hatua unamtaja mungu .mungu azidi kukubariki na kukupa ridhk zaidi inshaalah🤲
Dah kweli maisha yanekwenda yaani sijawahi fikiria kama ningekuona hapa kaka ni kweli mikono yako salama nakumbuka jinsi ulivyo nijenga Kimwili nakukubali Sana mungu akubariki
Hakika hata kama ww hujatowa chozi mm langu limenidondoka Alikiba heshima kwako God pole kwa ulio yapitia maisha hayo tunaishi wengi ila hatujapata nafasi kama Yako
Mwanaume Ni kujitambua kama huyu kaka; Sio mtu wa kukata tamaa kutokana na changamoto za maisha; Hili liwe Ni funzo kwa vijana wengine wanaopenda mteremko
Mwanangu hii story imenigusa sana jamaa ame pambana kweli na nimejitunza kitu kuwa ktk maisha usikate tamaa kizembe wakati kuna ushindi mbele By #Chinga_Acrobatc from #England
Huyu mwamba tulikuwa Tunamwita (God Boroma ) Alikuwa halipendi hilo jina ila mwamba yuko peace sana, kasoma shule ya msingi Mfalanyaki, mabali na kutlein watu ila mwamba Alikuwa anajua sana mpila huyu.👏👏
Huyu jamaa Kwa ujumla kamaliza 1999 January sababu mtihani wa ulivuja! Mimi ndio nilikuwa naanza form RV sec school! Big up bro! Wap Anatoli Kagaluki, Focus kaka mkuu na wengine wengi
Kama una amini kua hii ndio interview Bora ya mwaka huu kwenye hii channel nipe like zangu.🙏
Wewe hifwatiliagi interviews ndio mana unasema hivyo
Ila vido alikuwa mbaaaaliiii kimawazo
Dah jamaa amelia sana kwenye maisha yake aisee. maisha ni ya zamu na sasa ni zamu yake! Big up. Keep going!
Kuna kubwa lakujifunza kupitia interview hii,Heshima,Kujua kunyenyekea na uvumilivu,Kusikiliza watu wazima nn wanakuambia...Mungu lazma atakupa tu
Daaah noma sana erfu tatu me nalipwa erf 20 kwa sku lakn wa2 2nalalmika ndogo ewe mungu tupe moyo w kulizka na tunachokipata ameen
Dah, bonge Moja la elimu kubwa sana kwetu sisi vijana tunaopambana mungu tutie nguvu na ujasiri wa kuthubutu, Asante Millard ayo Kwa hii interview yenye kutufunza vijana wenzio.
Kikwete is so handsome 😂😂😂, he looks so young
Mzee Kikwete anaishi maisha ya kawaida sana linapokuja suala la kuchangamana na watu,
Nakuombea kwa Mungu mafanikio mema yeye, Ali Kiba na wote walioshiriki kumvusha kwenye majanga na machungu ya maisha huyo dogo🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu awabariki sana.
Hongera sanaaa kwa kweli umekutana na mtu sahihi
Ally Kiba namkubali sana kwanza ni mnyennyekevu na mpole
Dooooooh!!!Ebwana Hii Story ya Jamaa imenigusa mbaya na nimepata Elimu kubwa Sanaaa..Hii ni Elimu Hai Kabisa mfumo wa maisha kabisaaa...Bless up to You Brother and keep it up 🎉 One Love from Germany 🇩🇪 / Belium 🇧🇪
Maashaalah hongera kaka kwa historia yako nzr ya maisha .Una mungu na kila hatua unamtaja mungu .mungu azidi kukubariki na kukupa ridhk zaidi inshaalah🤲
Uvumilivu ndio kila kitu kwenye maisha upo vizuri sana kaka 🔥
Moja ya watu wakarimu wapole niliowahi kukutana nao huyu ni wapili nakufatia sana kaka your my best trainer ❤❤
Nakuangalia ungesema wa kwanza 😆
THE PURPOSE OF THIS STORY LINE IS: wengi tunapitia maisha magumu, muhimu, make sure you win in life story yako itakuwa tamu kuskilizika.
Duhhh kaka mkarimu sana….I’m glad wewe na King ni marafiki kweli
Mama alikua anakata majani na kuuza 1000 hii mama zetu wa vijijini wamepitia Sana MUNGU wabariki mama zetu wametulea kwa shida sana
😢acha2 Mwenyezi Mungu aendelee kmrehemu mama yangu huko aliko
Dah kweli maisha yanekwenda yaani sijawahi fikiria kama ningekuona hapa kaka ni kweli mikono yako salama nakumbuka jinsi ulivyo nijenga Kimwili nakukubali Sana mungu akubariki
Interview kali sana. Hongera kwa kupambana na maisha bila kuchoka
Denzel is a good trainer, as well a good being ongera kaka🙏💪
Respect sana alikiba kwaku ajiri watu
Anasimulia yeye machozi yananilenga mimi😢😢 duuh
Hii ni interview ya pili VidoX huitendei haki unakuwa uko mbali sanaa,,ya kwanza ya Malow,,Vido unazingua
Hakika hata kama ww hujatowa chozi mm langu limenidondoka Alikiba heshima kwako God pole kwa ulio yapitia maisha hayo tunaishi wengi ila hatujapata nafasi kama Yako
Story yako imeniliza Mungu amekutetea sana mpendwa uzidi kubarikiwa
Dah uyu jamaa kaniliza… mungu aendelee kukubariki, bless up
Mwamba yaan wewe ni kamanda umejua kuyapambania Maisha yako yaan hii style inaitwa pigana bila kuchoka✌️💫✊✊✊✊
Aiseee kweli kukata tamaaa kwenye utafutaji ni zambi big up broo
Mwanaume Ni kujitambua kama huyu kaka;
Sio mtu wa kukata tamaa kutokana na changamoto za maisha;
Hili liwe Ni funzo kwa vijana wengine wanaopenda mteremko
Namjua huyu jamaa alikua anawafunza wafanyakazi wa Azania bank(Obama drive) yuko poa jamaa ni peace sana na mcheshi mno hongera kwake kwakweli
Story mzuri sana ya life 🙏🇹🇿🇬🇷
wakati wa mungu ni wakati sahihi hasa ukiwa mvumiliv nmejifunza vingi hapa
Duh huyu jamaa anatufundishe tusikate tamaa
Mwanangu hii story imenigusa sana jamaa ame pambana kweli na nimejitunza kitu kuwa ktk maisha usikate tamaa kizembe wakati kuna ushindi mbele
By #Chinga_Acrobatc from #England
Wewe jamaa nakukubari sana nakufatilia sana 100%
Nakutakiya mafanikio mema❤🎉
Wazee wa kiislamu wana HURUMA sana
Acha kuleta udini kenge wew huyo Mzee ana mjua mungu sio Kila muislam ana huruma
@@issacksaimon-oy5sv most of them, acha Matusi we kila mtu unamjua humu unatukana tu dogo.
Hii interview alitakiwa afanye milady ingekua kubwa sana nawangeongea kikamilifu zaidi najua munaweza msinielewa ila ndoukweri
kwenda we nae ata vido vidox yuko vizuri tu
Tumekuelewa vizuri sana vido ameichikulia powa sana
Kajifunze kuandika kwanza
Kwenye maisha discipline ni kitu muhimu ukiondoa Maombi na Uhai,
The real meaning of life.... umetisha sana classmate
True
Tumejifunza vitu vingi kaka kutoka kwako....big up mwanalizombe
Daaaah bonge la stor ayo nakubali sana me kama taarifa sijapata kwenu siwezi amaini kama ni kweli taalifa hy
Huyu Trainer angefanyiwa interview na Milard Ayo
Aidan is the true friend 💪💪,
Yule mwanamke aliyemtolea lugha mbovu anajisiakje😂😂😂😂 roho mbaya sio powah
Neno NIDHAMU❤
Nimejifunza sana kupitia hii interview !
uvumilivu na kutokukataa tamaa heleta matokea sahihi ktk maisha big up lisaa zim nakusiliza
Dah kwenye maisha akuna kukata tamaa hongera umepambana sana
Kwenye maisha Kuna watu wanakuja kukusaidia baadae wanaondoka usishanga huyo mzee baada ya we kufanikiwa akaondoka bila shida yoyote
King Kiba❤
Huyu mwamba tulikuwa Tunamwita (God Boroma ) Alikuwa halipendi hilo jina ila mwamba yuko peace sana, kasoma shule ya msingi Mfalanyaki, mabali na kutlein watu ila mwamba Alikuwa anajua sana mpila huyu.👏👏
Huyu jamaa Kwa ujumla kamaliza 1999 January sababu mtihani wa ulivuja! Mimi ndio nilikuwa naanza form RV sec school! Big up bro! Wap Anatoli Kagaluki, Focus kaka mkuu na wengine wengi
Mtihani wao
Nakukubali sana jamaa siku nikifanikiwa kuja Dar nitakutafta
Mtoto wa like haitwi uncle.
Aidan kafanya kaz kubwa kwa mwamba big up
Naomba mtafute mzee seleman Jafar,nadhani nyumbani kwake unakujua cim pekee haitoshi
BigUp sana kaka. Nimejifunza kitu hapa.
Better days .wakati wa Mungu ndo wakati sahihi
The best trainer 👌
Dah wa kunyumba umepitia mengi hongera umepambana
Gog tangu upo shule yamsingi ulikuwa mpambanaji mzee sikupingi🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kaz kaz 💪 King 👑
super elimu ya Hali ya juu sana kaka
Umebarikiwa kujielezea bro safi
Nidhamu inalipa. I repeat, Nidhamu inalipa.
Naomba interview ingerudiwa maana uyu vido kama hayupo apa yaan kama yy ndo anahojiwa😂 millad naomba uirudie
Duuh niatalii sana kaka mungu mkubwa sana
Daaaah inaumaa sanaaa aisee
Uvumilivu,kujishusha,Nia,Lipa gharama kufikia malengo( Elimu kubwa hii)
Congratulations to you and My congratulations to Aidan and congratulations to you my brother King kiba ❤️ yoooooooo
@millard uyuu jamaa🙌
Oooh Mungu akubariki hujasahau fadhila
Hongera kwa dada oliva
Jamani uko vizuri na MMUNGU akubariki sana akuongezee ruzk jamani uko sehemu gani na mini mm nataka nije mwanangu tafadhali
Namkubari sana huyu jamaa basi tyuu nimnyenyekevu the way anavoongea pamoja man
Mashaallah Kaka anaonekana mtaratibu sana'
great interview!
Daahh!! Kweli yaan baad y dhiki faraja.
Asante sana umetuinspire sana bro 🙏
Nmejifunza vitu vingi sana hapa jamaa yuko muwaz na katupa elim
Nampenda huyuu mkaka ❤❤❤
Mmeanza ngono😂
@@josephatjordan2150 😂😂 jamani ukorofi huo kwani kumpenda mtu mpaka ngono
@@agnesjohn9382 haya basi nmekutua😂😂
@@agnesjohn9382wanawake kwakujirahisisha hamjambo
interview kali, inafurahisha 😅 inafundisha,shikaji humble sanaaaa
KUTHUBUTU BILA KUKATA TAMAA NDIO MPANGO MZIMA ❤❤
Congrats
Fighter man⚔️💪💪
Man fighter
Broo hii cleap imenigusa Sana mbaka saiz naichek🙏🙏🙏
Interview tamu haichoshi hii yani🔥🔥🔥
Umetisha Kaka
DAH MPAKA NIMELIA JAMAN WALLAH MAISHA HAYA MMH
Nakupenda sana jmn❤
We all need a friend like Aidan 💜❤️💜💥
Kabisa
Daah nimekosa cha kusema.
Nimempenda Aidani 😂😂😂😁
Genius technique
Umeniliza Kaka😢😭😭😭😭
UKIWA NA TABIA NJEMA UMEPATA KILA KITU NA UKIKOSA TABIA NJEMA UMEKOSA KILA KITU
Ndicho kitu walicho kosa Vijana Kwa sasa
Huyo mzee Suleiman ulimuudhi ulipoingia kwenye matangazo ya ulevi (bia) kumbuka yeye ni muislamu tena msalihina ulimkoses sana ...muombe radhi
Una akili sana.jamaa bafo hajajua sababu lakini wew umemsanua nadhani atajua sababu sasa ya mzee kumpotezea
Hapo kwel mzee amuombe radhi tu kuwa tatzo n ukata
Nimeikubali kweli hii story
Aisee
Vido hujatendea hii Interview haki,...yaan haupo kabisa Kaka wawatu anajieleza vzr lkn you are not there🙇🙇🙇
Kweli ameboa sana vido,hakufanya poa
Agree amezingua tun pin vip hii comment ikae juu kbis aisome huyu
Kweli kabisa
Nimeleon hilo.pia alf huyu kaka anaongea kwa unyenyekevu
Ni kweliiii hapo angekuwaa bro Sky SNS tungeenjoy
Ebanaee kama MOVIE.... Maisha bana
Mwanangu zari unalo trainer
Wa president msaafu siyo kitu
Cha mchezo mzee
Kweli jamaa wa songea neno kugalauka Lina tumika sana kule