Hawa jamaa yaani mmeona mvua imenyesha leo dsm ndyo mnatoa utabiri? Mikoa ya pwani dsm tanga na morogoro mbona haikutajwa? Kimsingi huu utabiri huwezi kuulewa mtu wa kawaida
Utabiri wenu kiufupi ni wa kubuni tu maana mnatupiga lose mno mlituambia mvua zinaanza wiki ya pili ya mwezi wa tisa tumepanga maeneo makubwa na mpaka mbegu zimeharibika mnatusaidiaje sasa
UKATAJI WA MITU NA MISITU WAKATI MKAA WAMAWE TUNASAFIRISHA KWANINI TUSITENGENEZE VIWANDA ZA KUZALISHA MKAA INAYO TOKANA NA MKAA WA MAWE TUNAYOISAFIRISHA NJEE YA NCHII
Asante Sana
Sakusikia ukitaja kanda ya kaskazini mikoa ya Kilimanjaro Arusha Manyara
About kanda ya ziwa
Mkumbuke kuandaa barabara maana mnaona mashimo Makubwa Dar mnasubiri mpaka njia zifunge
Hawa jamaa yaani mmeona mvua imenyesha leo dsm ndyo mnatoa utabiri? Mikoa ya pwani dsm tanga na morogoro mbona haikutajwa? Kimsingi huu utabiri huwezi kuulewa mtu wa kawaida
Utabiri wenu kiufupi ni wa kubuni tu maana mnatupiga lose mno mlituambia mvua zinaanza wiki ya pili ya mwezi wa tisa tumepanga maeneo makubwa na mpaka mbegu zimeharibika mnatusaidiaje sasa
Kanda ya kaskazin sio tanzania mbona hamjata Manyara, arusha, na kilimanjaro?