Gusa Umtima gwange, ahsante sana Jesca honore. We wish mngeachia album mpya ya GWT ndani akiwemo Paul Clement, Emmanuel Mabisa, Aoron Botto, Angel na Jesca Honore bila kumsahau Davii mwana wa silomba
Good morning everyone, its a bright morning and the birds are chirping from outside, the weather has changes , colder, perfect weather.May the almighty God continue to bless us
Hakika
Mungu atuguse wimbo mzuri haujawai chuja unagusa mpaka mioyoni mwetu mbarikiwe sana watumishi wa
Mungu
Watching for the first time in 2024 and Angel Bernard's voice was still beautiful then
Jmni watu wametoka mbali Jessica Honore Angel Bernad 😁🙏
Gusa Umtima gwange, ahsante sana Jesca honore. We wish mngeachia album mpya ya GWT ndani akiwemo Paul Clement, Emmanuel Mabisa, Aoron Botto, Angel na Jesca Honore bila kumsahau Davii mwana wa silomba
Niguse niguse baba nahitaji mguso wako siku ya leo baba Mungu...gusa mwenendo wangu,gusa maisha yangu ..ukinigusa ww nitakuwa salama
baba gusa taifa langu la Tanzania amen!
hakika nauona mkono wako katika maisha yangu,asante yesu wangu
Huyu mschana Ako na sauti Sana ya kumsifu kristo that's a blessing sis
Niguse Bwana bila wewe siwezi hata kunyanyua mguu wangu kufika popote niguse ili niwe salama amen
Wimbo mzuri sana, kwa kweli unagusa mpaka moyoni, Mungu awabariki, muendelee na moyo huyo na kuzidi
Niguse baba yangu katika mtihani niliokuwa mbele yangu😭😭😭😭👏👏👏
Gusa moyo wangu 2024
Niguse namimi yesu kristo
Niguse Baba 2021
niguse niguse ukigusa wewe nitakuwa salama naamini hivyo siku zote haijalishi ni mambo gani unapitia ukiguswa Na yeye utakuwa salama
niguse baba ukinigusa wewe nitakuwa salama.baba gusa familiya yangu,gusa maisha yangu.asante yesu nimebarikiwa
be blessed,and seek blesses for others,happy new year
ok thnx my dia same to you be blesses
Unapogusa Wengine Baba Nami Niguse Yesu!
Be blessed
Yale mengi uliyonitendea na Leo Niko haYahwepa nakuomba unitendee sawa sawa na fadhili zako Yahweh
Niguse 2023
Hongera sana Emmanuel mabisa kwa kazi nzuri ya kumtumikia Bwana Yesu kwani yeye ndie atutiaye nguvu
M-balikiwe ndg zng Glorious napenda xana kusikiliza nyimbo zenu coz zinaninikumbusha way back 2years Ago...
ohooo Mungu wangu niguse kwako ni salama
Wonderful performance
I'm a sinner BT lord I needs your tuch
Ee Bwana uwezo unao wa kunigusa nakuomba uniguse nami nutakuwa salama. Amen.
loveness swai poa
Amen
Touch me once more Lord Jesus
Asante baba nakutegemea
Ameen nabarikiwa sana na huu wimbo yesu nishike mkono baba
Amen
Huu wimbo ni wa uweponi zaidi, mmekosea kucheza mlitakiwa kuzama zaidi! But wimbo ni mzuri sana
niguse katika maisha yangu yote na uzao wangu bwana maana wewe ndio kimbilio langu
Mbarikiwe kwa uimbaji mzuri but Mungu wa mbinguni azidi kuwainua.Zaidi muishi maisha ya matakatifu.
nami pia nahtaja mguso wako jehova naamin ukinigusa nitakua salama. mungu awa balik pia waimbaj mmeimba vizur ainue kipaji cha kila mmoja wenu AMEN!
Niguse na mm bwana
Kwako YESU Kuna Usalama....
Nakuomba NIGUSE NAMI NIWE SALAMA
Nani mwingine anauangalia dec 2018
mikononi mwako Yawe ukinigusa wewe nitakuwa salama. Amina nabarikiwa sana
niguse yesuu
Yaaah gud song . nawaombeeni kwa mungu muendelee ivyoivyo na mtabalikiwa . amein
Ameen
god bless u
Bwana mungu nakutegemea wewe niguse niwe salama miaka yote
jmn huu wimbo huchoki kuusikiliza Mungu azidi kuwainua waimbaji ili wawe salama.
Niguse n familia yangu mungu tuwe salama ...it's inspiring me this song.B blzd
Niguse niguse thatch me lord God am in need you jehova shama thatch me again to peace oh my living massere.
Hongera sana ndg yang, kwa wimbo mzuri, ooooooh YESU niguse BWANA ili niwe salamaaaaaaa, Asante YESU
Veronica Sadi AMINA mbarikiwe watumishi
Veronica Sadi making old Malo very very
God bless you without measure
barikiwa saaana watumishi wa mungu glorious celebration kwa kazi zenu nzuri za kumsifu mungu
Baba niguse mbarikiwe
Wimbo unanibariki sana.
Asante yesu
Phew! this is another CREAM! very touching...Keep it up guys and God bless you
YESU niguse nami niwe salama Baba
niguse Yesu
niguse jehova siku ya Leo bila wew siwezi kufka popote baba
Barikiwa sana kwa huduma
it applicable up to today
Ongezeni bidii, kazi yenu ni nzuri sana...
Niguse ukinigusa wewe Yesu nitakuwa salama. Am blessed. Amen.
Ukinigusa leo nitakuwa salama NIGUSE.
Touch me with all inside my heart and my familly too
tuguse vijana eee mungu wetu
Nahitaji uguzo wake Bwana niwe salama
nabarikiwa sana na wimbo wenu ni mzuri sana . ila kucheza na wimbo wenyewe ulivyo ulitaji kuzama zaidi sio kudance
Very powerful singers ,God uplift u up
2:51 Angel Bernard I gat yoh sister be blessed
kazi njema saaaana glorious gdbless
Good morning everyone, its a bright morning and the birds are chirping from outside, the weather has changes , colder, perfect weather.May the almighty God continue to bless us
Barikiwa na kazi ya bwana nimeguswa na mkono wa bwana
wimbo umenibariki. jina la Bwana lihimidiwe.
Niguse Bwana
niguse Bwana ukinigusa nitakuwa salama
niguse bwana niguse ukinigusa hakika nitakuwa salama
Amen barikiwa.
amazing song....kip on rolling!
This song is bressing me . Keep it up.
wimbo mzr songa mbele
mungu nimwema niguse bwana nawatoto wangu
hallelujah MUNGU YU PAMOJA NASI AMEN
Niguse maisha yng nitakuwa salama
Great message but the editor of the video couldn't align audio and visual. hasishikani
amen
baba usinipite bila kunigusa niguse baba leo
mungu awatie nguvu mwendelea kumsifuuu
Na mm niguse na familia yangu amina
mungu awabariki niwimbo wenye manukato
Penda sana huu wimbo waimbaji Mungu awabariki
Niguse Bwana nitakua salama
wimbo uko vizuri sana.
Asenteni kwa wimbo mzuri #niguse!
Mbarikiwe singers kwa wimbo mzuri.
naupenda huu wimbo
A peeeerfect song! A wroooong video! Wroooong choreograph!
naupenda sana wimbo huu,ama kwa hakika tuguse bwana
NIGUSE YESU UKINIGUSA WEWE NITAKUWA SALAMA
N.a. Mimi USIKU Huuu niguse nilale salama
naomba jina huyo jamaa aloimba verse ya mwisho jamani
wameshare na ww but i think one team
Still l kep it
Niguse na mimi bwana niwe salama
be blessed
Niguse na mimi mungu Wangu
Niguse
Nami
Nitakua
Salama
Stay blessed
Blessed
good song with full glory
🙏