Niliota huu wimbo..nikaamua nitafute youtube na nimepata...niliota nikisema niguse Mungu wa Yeremia,Mungu wa Abraham..asubuhi njema kama hii...umeniguza Bwana,guza maisha yangu,ndoa,family in Jesus Name AMEN
Ninaomba uniguse tena Bwana wangu wa Majeshi, ukinigusa utaniokoa, utairudisha hari yako ndani yangu Bwana wangu Yesu. Nakupenda Bwana wangu Yesu, nasubiri kutoka kwako Bwana, kwa yote ulionipa, Umenipa Mume, umenipa Watoto, umenipa utajiri, umenipa Afya, naomba Bwana uniguse ukae kwangu milele, naomba unipe ile Ministries Eeh Bwana wangu Yesu. Thank you Jesus because you will hear my crying today, ina the name of my King Jesus.
Niguseeee Jehova baba wa mbinguni niguseeee gusa maisha yang ya ndugu zang familia yang ukoo wang na waliopo maospitalini wanataman uwaguseeee waguseee bwana yatima wajane wanatak uwaguseeee waguseee bwana
God sees everything and in His own time He will turn things around.He is a promise keeper...He promised to open when you knock,to be found when you seek.Don't be disheartened He will come through
God sees everything and in His own time He will turn things around.He is a promise keeper...He promised to open when you knock,to be found when you seek.Don't be disheartened He will come through
Today early morning as I was heading to work,this song just came into my heart,I started singing it within myself,, LORD TODAY I PRAY FOR FRESH ANOINTING UPON MY LIFE.
I have wandered for far too long, just one touch from you Lord is what i ask for and i will be whole. Tell me you love me, i need to hear you say that😭😭😭😭
2022 nov nlkua naplay this song nikiomba nikilia Mungu aniguse nakumbuka ilkua weekday ilipofika weekend I remember ilkua kama si Sunday basi itakua Monday nlipata pesa nyingi sana kwa simu.. I was down financially hio siku niliruka rukaa wacha tu.. This song is a blessing ❤
Baba niguse tena bwana...Mguse na my son even you guys keep my son in your prayers and God will bless you abundantly...!That is the story for another day...#pray for us Ila vita vya kiroho vipo mkubali mkatae ila utashinda ukimwamini Lord Jesus Christ He is my Savior
Niguse tena ,niguse tena ninaomba Baba , uniguse tena , Baba wa mbinguni ,nasimama mbele zako ,naleta mahitaji yangu sijiwezi Baba , nilienda mahali pote sikupata msaada ,nagetgemea Kwako leo unuguse tena
Mungu nimekuja kwako kwa hili janga la Corona uweze kuguza watu wako hatuna pa kukimbilia ila kwako tu na utujalie mwisho mwema tuweze kumaliza vema😭😭😭guza watu wako mfalme🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭
I woke up today morning with song not even knowing the writer i had to come direct to TH-cam,I thank God I finally got it and am blessed 🙏🙏niguse tena Yahweh 😭on my knees
COLLOSIANS 3:2 ".....SET YOUR EYES/MIND ON THE THINGS ABOVE AND NOT THE THINGS THAT ARE ON EARTH...." TUGUSE TENA BABA..!! MUCH LOVE FROM KENYA.....BE BLESSED KRYSTAAL
This is the time I need this song without your touch Lord am finished.Jesus do not pass me touch me the way the bleeding woman bleed for 12years she touched you and receive healing.Touch me Lord I desire to see you again
The Holy spirit is so amazing. The first time I heard this song I felt it so hard but some words I could not understand it's meaning like " Niguse Tena" but this morning as I was praying that song came to my heart and I'm like I'll find someone who speaks kiswahili to interpret it but before doing that I first played the song 😊😊 guess what the spirit gave me the interpretation and it's " Touch me again"😊😊. God bless you sir for that song. It work for
2024 Niguse tena Baba gusa familia yangu,kazi yangu ,maisha yangu gusa Baba Niguse Niguse tena
Niguse tena baba 🤲😭
2024 mwaka mpya , God touch me again, fresh anointing(mafuta mabichi) for the new season.
Niguse n ndoa yangu,baba watoto wangu,afya yangu n taifa lets kwa ujumla
Niguse Tena Bwana yesu Kristo...😮
Niliota huu wimbo..nikaamua nitafute youtube na nimepata...niliota nikisema niguse Mungu wa Yeremia,Mungu wa Abraham..asubuhi njema kama hii...umeniguza Bwana,guza maisha yangu,ndoa,family in Jesus Name AMEN
Safi sana kuota ivo ni baraka sana
ubarikiwe !! let your dream come true in the name of jesus
Ohooo Baba niguse tena gusa maisha yangu, gusa familia yangu, gusa Afya yangu, gusa biashara yangu, gusa Taifa langu Baba me naomba uniguse tena
Bjr qui peut m'aider svp je chercher l'album the krystaal sema nami 2006
beautiful song
Gusa family yangu
Niguse tena baba naomba uniguse
@@dankokolo9734 bonjour on peut vous aider a trouver l album de krystaal sema nami envoie nous l address svp soyez beni!
Niguze tena,,,i want you God in my life,I wanna come back to you God,deliver me,,,Niko hapa Bwana,nakutaka na nakuhitaji
Niguze tena Baba yangu, guza na watoto wangu, guza kazi ya mikono yangu, guza na familia yangu, guza nchi yetu Kenya Jehova.
Ninaomba uniguse tena Bwana wangu wa Majeshi, ukinigusa utaniokoa, utairudisha hari yako ndani yangu Bwana wangu Yesu. Nakupenda Bwana wangu Yesu, nasubiri kutoka kwako Bwana, kwa yote ulionipa, Umenipa Mume, umenipa Watoto, umenipa utajiri, umenipa Afya, naomba Bwana uniguse ukae kwangu milele, naomba unipe ile Ministries Eeh Bwana wangu Yesu. Thank you Jesus because you will hear my crying today, ina the name of my King Jesus.
Niguze tena Baba mwaka huu wa 2020 just like the way you did in 2019
Niguseeee Jehova baba wa mbinguni niguseeee gusa maisha yang ya ndugu zang familia yang ukoo wang na waliopo maospitalini wanataman uwaguseeee waguseee bwana yatima wajane wanatak uwaguseeee waguseee bwana
Asubuhi jingine (niguse Tena)maisha yangu,kazi yangu,hunduma yangu,nataka mafuta mambichi nijaze na upako mpya in Jesus Name Amen
Touch us once more oooh Jesus Christ,and heal the world ,l can't go on without your in my life ,niguze tena Amen
Asubui ya Leo niguse tena MUNGU wangu niponye
Nikiwa #Tanzania nabarikiwa. Niguse. Tena. Minaomba Baba. Uniguse tena. Niguseeee
#Gusa wahitaji Bwana
Kama umeguswa basi gusa like hapa
Mungu naomba uguse maisha yang, familia yangu, mahitaji yang, without you am nothing can do,🙏only you JESUS
Touch me again today, fresh anointing, plz touch me Jesus, do not let this day pass me by
Niguse na Mimi baba.....you know what am passing through...
Peace be with you
God sees everything and in His own time He will turn things around.He is a promise keeper...He promised to open when you knock,to be found when you seek.Don't be disheartened He will come through
God sees everything and in His own time He will turn things around.He is a promise keeper...He promised to open when you knock,to be found when you seek.Don't be disheartened He will come through
@@ChemuB 11q111cq
Niguse Tena Yesu Maisha yangu kazi yangu familia yangu na uguse haja ya moyo wangu ikatimie Amen 🙏🙏
a single touch from You Lord is all I want.....fresh oil upon my life
Ubarikiwe dada may God touch you and grant you desire of you heart in 2023
Listening from Kenya..Niguse tena..Touch me again my lord
Ninaomba baba uwaguze yatima na wajane baba sikia kilio chao
Wanguze tena
Nkol thro +254723992524
Amen
Amen
Thank goodness you have a big birthday
Today early morning as I was heading to work,this song just came into my heart,I started singing it within myself,, LORD TODAY I PRAY FOR FRESH ANOINTING UPON MY LIFE.
Ooh wow its a great blessing angels are with u rounding u
Hii nyimbo huwa ina nigusana Mungu aguse maisha yangu kazi afya taifa letu la Tanzania gusa na wagonjwa mahospitarini
Tunahitaji kugusiwa na Yesu
I have wandered for far too long, just one touch from you Lord is what i ask for and i will be whole. Tell me you love me, i need to hear you say that😭😭😭😭
wooow this is powerful!🙏❤❤💯
Destiny changer change my destiny Father I'm at your feet this morning thank you Amen
amen
Eee mungu wangu naomba unigusee umaskini uniachieee nimechokaaa na magonjwaa😭😭
Niguse tena niguse tena ninaomba baba uniguse tena powerful worship
Niguse baba mwaka huu Mungu wa mbinguni niguse niguse niguse tenaa👏👏
Niguse Tena tena naleo mungu
2022 nov nlkua naplay this song nikiomba nikilia Mungu aniguse nakumbuka ilkua weekday ilipofika weekend I remember ilkua kama si Sunday basi itakua Monday nlipata pesa nyingi sana kwa simu.. I was down financially hio siku niliruka rukaa wacha tu.. This song is a blessing ❤
Yes lord, All I need is u to touch me once again ooh Lord
@KrystaalMusic this song is so powerful. Gonga like zaidiiiii
Baba niguse tena bwana...Mguse na my son even you guys keep my son in your prayers and God will bless you abundantly...!That is the story for another day...#pray for us Ila vita vya kiroho vipo mkubali mkatae ila utashinda ukimwamini Lord Jesus Christ He is my Savior
Ooooh Jesus the flow of tears is uncontrollable, may you come over yourself that holy touch Jesus is the remaining to my breakthrough 😭😭😭😭come Jesus
Oh Lord 2019 has not ended well with me naomba uni guse tena I have FAITH 2020 you have something great for me
Yes Lord, touch me once more and i will be made whole
Niguse tena ,niguse tena ninaomba Baba , uniguse tena , Baba wa mbinguni ,nasimama mbele zako ,naleta mahitaji yangu sijiwezi Baba , nilienda mahali pote sikupata msaada ,nagetgemea Kwako leo unuguse tena
Amina
Barikiwa tena mafuta mingi
Mungu Baba naomba uniguse tena. Nisamehe makosa yangu yote na unibadilishe niwe kiumbe kipya. Amen
Baba nakuomba waguse waja wazito duniani kote wajifunguwe salama watoto wakawe baraka wenye kukupendeza
Amini Mungu yupo ukiongea nae kwa kumaanisha anakugusa hata usipotegemea...🙏
I am in need of fresh anointing, may i ever live to have spiritual thirst in Jesus name
Yesu iguse familia yang ipate neema ya wokovu Kama ulio nipa Mimi 😢😢😢
Mungu nimekuja kwako kwa hili janga la Corona uweze kuguza watu wako hatuna pa kukimbilia ila kwako tu na utujalie mwisho mwema tuweze kumaliza vema😭😭😭guza watu wako mfalme🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭
ninguse tena yesu wangu without you am nothing.... nimekuachia yote baba 2021 am blessed
Tunapoenda kufunga mwaka 2020 naomba Mungu uniguse tena,gusa maisha yangu Bwana
Niguse katika familia yangu na Kila kazi ya mikono yangu ikabarikiwe eeh yes
Huja nileta hapa Bure 😭😭😭 baba wa mbinguni sijiwezi nategemea kwako Leo niguze baba
I woke up today morning with song not even knowing the writer i had to come direct to TH-cam,I thank God I finally got it and am blessed 🙏🙏niguse tena Yahweh 😭on my knees
thank you may God bless you sister Christine the song was written by Krystaal.music
Can play over and over again
be blessed
Baba MUNGU katika jina la YESU nakuomba uniguse tena Baba
Niguse tena ninaomba Baba uniguse tena
Niguse Tena Bwana... Niko hapa Baba nahitaji mguso wako Yesu wangu.
Nihurumie ewe mungu wa Ibrahim hata unigusu nikapate kuyaona mema yako na mazuri ya nchi hii!
Uniguse tena na mimi bwana
Naomba baba uniguse 🎸🎸🎹🎤🙏🏼❤️❤️
Lord Jesus, touching me again,touch my family,my people🙌🏿
COLLOSIANS 3:2 ".....SET YOUR EYES/MIND ON THE THINGS ABOVE AND NOT THE THINGS THAT ARE ON EARTH...." TUGUSE TENA BABA..!! MUCH LOVE FROM KENYA.....BE BLESSED KRYSTAAL
Be blessed brother Johnnie
Please touch me once again Lord, I need a new fresh anointing
Niguze tena Baba, sina pengine pakutengemea. Naomba huruma yako😢.
Niguse tena Baba katika mambo yangu yote kwa utukufu wa jina lako na taifa langu zuri la Tanzania.
This is the time I need this song without your touch Lord am finished.Jesus do not pass me touch me the way the bleeding woman bleed for 12years she touched you and receive healing.Touch me Lord I desire to see you again
Naomba Baba umguse Kila mmoja katika mwaka 2021 ukawe mwaka wa Baraka uponyaji na ushuhuda
Niguse tena mungu wangu mwaka huu uwe wa baraka kwangu
Niguse tena Jehova 😭🧎♀️
Mungu naomba uguse mapadri wetu uwalinde na ugonjwa wa Corona.
Niguse Tena Baba kwa afya yangu
2024 a year full of miracles ❤
Niguze tena yesu kw kazi yangu Ya kiroho naomba useme na moyo wangu
Niguse tena bwana yesu 🙏🏾🙏🏾💙💜💖🤎💙❤️🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Niguse tena Yesu . Naomba uniguse tena Baba 🙌🙌🙌🙌🙌
niguse tena baba nalia sana leo naomba uniguse tena sijui siku yangu ya kufa naomba uniguse baba naomba baba leo nimelia sana sema nami baba
Na mimi naomba niguse mimi na familia yangu tujenge 2021 nyumba nifungue biashara nifungue kiuchumi nipandishe kiimani aleluya
Niguze tena. Ninaomba baba, uniguze tena🙏
Naomba mungu aguse maisha yangu na familia yetu ili Watu wamjue mungu zaidi amen!
Eeh bwana wa mabwana niguse Tena mwaka huu isikuwe ya kilio Tena eeh mungu nionekanie nakuitaji mungu
Nategemea kwako leo Uniguse tena gusa uchungu wang na mteso ndn ya moyo wang 😢😢😢uniguse uxiniache ewee Yesu
Pole YESU atakugusa ndgu yngu ni mapito tu hata na ss tumepita huko
happy msaki Amen napokea kw jin la yesu
this my favorite worship song that when I listen to it ...I thank God for the far He has brought me.
The Holy spirit is so amazing. The first time I heard this song I felt it so hard but some words I could not understand it's meaning like " Niguse Tena" but this morning as I was praying that song came to my heart and I'm like I'll find someone who speaks kiswahili to interpret it but before doing that I first played the song 😊😊 guess what the spirit gave me the interpretation and it's " Touch me again"😊😊. God bless you sir for that song. It work for
Baba naomba uniguse tena kwa haya maumivu niyopitia naamini Bila wewe sitaweza
Niguse tena na iguse familia yangu Baba.
Mungu niguse tena maisha yangu.
Niguse baba yangu kwenye maisha yangu mwaka huu 2020🙏
nimelia sana naomba mungu uniguse tena siku ya leo😭😭😭😭😭😭
may God continue to bless you as you listen and are uplifted by this song
Hallelujah Mungu anafufua uimbaji wa nyimbo za KIROHOO hapa Kenya , BWANA akubariki saana na ukujaze na Roho wake zaidi
niguse tena baba
Aliyepiga Bass guitar humu ndani Mungu amzidishie miaka ya kuishi yenye heri na baraka
Ana touches zinabariki sana
Niguse tena , ninaomba Baba, uniguse tena, niguseee.
Niguse tena baba naomba uniguse tena hili ni ombi langu wakati huu
Niguse e Baba niguse tena gusa maisha yangu Baba
Hata mie pia, ukiwagusa wengine ukumbuke uniguse. Na uniguse tena, na pia uzidi kunigusa
All the best Liverpool
Nakuomba baba uniguse tena jiyoni ya leo. Naitaji musada wako baba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nawaombea Bwana awape nguvu na ushindi katika kufanikisha kaziyake.
Muwaache ambao wanafanya hiyo kazi ya video mungu anakutana nao kwa namna ya tofauti,huwezi kunyoosha mkono mmoja mwingine umeshika cm poleni sana
naomba bwana uniguse niwe bora zaidi, niguse unibadilishe
Baba baba wewe tena ni baba acha tukuabudu tena tena mara na mara, bariki iki kikosi baba kizidi tena tena kupandisha atuwa juya sifa yako
Niguse Tena baba yangu.. 🪨 My rock of ages cleft for me lord 🙏
Niguse tena baba wa mbinguni touch me lord again and again
song of the season..niguse tena nahitaji upako mpya. baba waguse wote mayatima, wajane, vipofu, wagonjwa na sisi wana wako .