Kaka Joel hili somo ulifunuliwa sio bure,,,,an zaidi ya daktari wa afya ya akili somo limekuja wakati sahihi kabisa,,Mungu wa mbinguni akupe haja ya moyo wako barikiwa sana
kaka Joel we nizaidi hata ya wazazi wangu kwakwery nakufatalia kwamda mlefu sasa nasehemu nilipo niko mbali sana hakika mungu azidi kukupa ufahamu wajuuu uzidi kutupa uhai
Nashukur mungu ninae mtu ambae huwa nashare nae uchungu wowote nnaoupata si mwingine Bali ni mama angu kipenz, kila cku namuombea maisha maref amekua zaid ya mama kwang, sioni mwingine wa kumzid, asante sana kaka Joel🙏🏼🙏🏼🙏🏼
uchungu unaumiza sana sana haswa pale unapo muona nayekuletea uchungu au wakati mwingine kwenye halaiki ya watu unakuta unasemwa sababu alisababisha fulani na wakati mwingine unalazimisha kuendelea kukaa naye karibu kwenye kazi kwa kweli inauma sanaaaa.akini inahuma zaidi pale anayekuletea uchungu unapoongea naye vitu vya msing anabadirisha positives kuwa negatives ili huendelee kuwa na uchungu.Somo zuru sana ili Thank you Bro Joel
Kaka Mungu akuinue zaidi nimeka na uchungu kwa zaidi ya miaka10 kwa sababu ya tatizo nililopata utotoni nilikua mtu wa mawazo nikajikuta naongeza magonjwa mengine ya presha nilijawa hasira chuki kukata tama kujidhalau mimi mwenyewe yaani nilikua kama nimechanganyikiwa sijielewi kabisa nimeomba ushauri kanisani kwa watumishi wakaniambi ni roho za uko zinakusumbua fanya maombi ya kuvunja maagano ya uko mpaka nikachoka sikua na elimu ya saikolojia ya kujitambua na kuondoa uchungu na kujitawala tena lkn namshukuru Mungu kwa kunikutanisha na wewe nakushukuru sana ndugu yangu japo ni kwa wiki2 za kutumia vitabu vyako nimeanza kujitambua na kujitawala Mungu azidi kukutumia
Kusema kweli mambo hayo mwanzo nilikuwa nayaapuuza hasa la kutangaza msamaha kwa maneno na kuacha kuwaongelea ahsantee saa hizi nimetambua umuhimu hali hii ikijitokeza tena nitajitahidi kuyazingatia.
Mungu Baba amesema tukisamehe na Yeye ndipo anatusamehe makosa yetu. Hivyo inatubidi kuachilia na kusamehe ili nasi tupate samehewa na Baba Yetu wa Mbinguni. Kumbuka hakuna binadamu aliyekamilika na ni watenda makosa, hivyo yatubidi kusamehe kwanza nasi tutasamehewa....
Mwenyezi MUNGU aendelee kukuinua MR JOEL uzidi kutuvusha kutukumbusha hakika vizazi na vizazi vitakusikiliza, kukutazama na kujifunza mengi sana juu yako. MWENYEZI MUNGU AKUSIMAMIE SAUTI NA KAZI YA AKILI NA MIKONO YAKO MR JOEL
uchungu ni mbaya unakuwa uchungu kweli haswa pale unagunduwa ulichofanyiwa ni kukosesha haki zako fulanifulani hivi so ukiwaona wote wanaohusika yani chain nzima wanao fanya kukupoteza haki zako uchungu upanda sana sana,Lakini tunashukuru masomo yako yanatia moyo sana na masomo ya neno la mungu yanatia na kuongeza imani.Lakini naomba ushauri tu pale anayekusabishia uchungu anajaribu kwa hali na mali kukutoa kwenye mstari kwa maneno ya negative unafanyaje hapa ili huendelee kuwa katika mstari.
Kakaangu Mimi Sjui Niseme Nini 😭😭😭Sna Cha Kukulipa Zaidi Ya Kukuombe Kwa Mwenyezi Mungu. Kunavitu Vingi Sanaaaa Umenifndisha Pia Nanitazidi kujifunza Vingi Nirishalia Mimi 🙌Nakuombea Kaka Mungu Azidi Kukupa Ufahamu Zaidi Nampango Wa kukutafta Kwa Sm
Mimi nahc kupitia niliojifunza Kwa Leo yatanisaidia na kufanya maisha yngu yasonge mbele na kikubwa zaidi ni pale nitakapoweza kusamehe ahsant sana bwana joel Kwa ushaur mzur
Asante sana Bro Joel. Hali hii himsababisha mtu kuadhilika kiakili pia na kutoweza kufanya chochote katika harakati zake za kumletea maendeleo ni hatari Sana hiyo hali. Bro ninatatizo nimeliwasilisha Kwa WhatsApp namba nisaidie Bro
Nisaidie mi nimepitia ila kinacho nitesa sana ninawivu sana wamapenz mpaka ninakua msumbufu na najikuta napata uchungu mwingi nikianza wivu nifanye nini ili nipone huu ugonjwa?
Hakika haya ni tiba ya afya akili na ubongo nikwel kumwelezea mtu uchungu wako binafsi nimekua na tabia mtu akiniudhi au nikimtoa moyon au akinisababishia uchungu nambock ndio tabia yangu
Ya nimepitia maumivu kutoka kwa watu wangu wa karibu sana nimetumia njia ya kwanza imenisaidia sana sir much thanks❤❤❤
Kaka Joel hili somo ulifunuliwa sio bure,,,,an zaidi ya daktari wa afya ya akili somo limekuja wakati sahihi kabisa,,Mungu wa mbinguni akupe haja ya moyo wako barikiwa sana
kaka Joel we nizaidi hata ya wazazi wangu kwakwery nakufatalia kwamda mlefu sasa nasehemu nilipo niko mbali sana hakika mungu azidi kukupa ufahamu wajuuu uzidi kutupa uhai
Thank broo me huwa sitaki hata kuwaona watu walio nifanyia au kunisababishia uchungu,kwa sababu nikiwaona ndiyo maumivu yanaongezeka
Daaah real life coach of all time, ahsante sana, nimeitumia hii principle siku mbili zilizopita. Inafanya kazi for real.
Yaani nashukuru nimepona uchungu nilitaka kuehuka now nimepona
Nashukur mungu ninae mtu ambae huwa nashare nae uchungu wowote nnaoupata si mwingine Bali ni mama angu kipenz, kila cku namuombea maisha maref amekua zaid ya mama kwang, sioni mwingine wa kumzid, asante sana kaka Joel🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Hizo ndo nilitumia na nikafanikiwa kutoka, AHSANTE SANA MWALIMU 🙏
Hakika brother joel nanauka umekuwa nguzo kwangu na umenitoa mbali sana
uchungu unaumiza sana sana haswa pale unapo muona nayekuletea uchungu au wakati mwingine kwenye halaiki ya watu unakuta unasemwa sababu alisababisha fulani na wakati mwingine unalazimisha kuendelea kukaa naye karibu kwenye kazi kwa kweli inauma sanaaaa.akini inahuma zaidi pale anayekuletea uchungu unapoongea naye vitu vya msing anabadirisha positives kuwa negatives ili huendelee kuwa na uchungu.Somo zuru sana ili Thank you Bro Joel
Kaka Mungu akuinue zaidi nimeka na uchungu kwa zaidi ya miaka10 kwa sababu ya tatizo nililopata utotoni nilikua mtu wa mawazo nikajikuta naongeza magonjwa mengine ya presha nilijawa hasira chuki kukata tama kujidhalau mimi mwenyewe yaani nilikua kama nimechanganyikiwa sijielewi kabisa nimeomba ushauri kanisani kwa watumishi wakaniambi ni roho za uko zinakusumbua fanya maombi ya kuvunja maagano ya uko mpaka nikachoka sikua na elimu ya saikolojia ya kujitambua na kuondoa uchungu na kujitawala tena lkn namshukuru Mungu kwa kunikutanisha na wewe nakushukuru sana ndugu yangu japo ni kwa wiki2 za kutumia vitabu vyako nimeanza kujitambua na kujitawala Mungu azidi kukutumia
Bado moja uncle joel hyo ya mwisho ya kuacha kumuongelea but all in all 🙏🙏🙏
nimekuelewa kiongozi Joel nanauka 🙏
Kusema kweli mambo hayo mwanzo nilikuwa nayaapuuza hasa la kutangaza msamaha kwa maneno na kuacha kuwaongelea ahsantee saa hizi nimetambua umuhimu hali hii ikijitokeza tena nitajitahidi kuyazingatia.
Njia ya kupona niliowahi kuifanya ni kutofatilia maisha yake na hilonlilinisaidia sana
Daaha!! Ahsante Sana mwalimu JO.
Hakika wew ni mwalimu wa tiba Ya Ubongoo ✌️
Furaha na hamasa ya maisha ilikua imeanza kupungua...I really appreciate your help 🙏...
Shukran sana brother Joel.. nashkuru sana kwa elimu nzuri sana umefubdisha leo...imenisaidia sana..
Nafikiri inabidi tuache kufuatilia maisha yao
Asante sana kaka Joel yani, ninapo sikiya videos zako nakuwa najisikiya Furaha tena asante kwa Mashauri yako yananisaidiya sana.
Ahsante kwa mrejesho Feza
❤Asante mdogo wangu
Mungu Baba amesema tukisamehe na Yeye ndipo anatusamehe makosa yetu.
Hivyo inatubidi kuachilia na kusamehe ili nasi tupate samehewa na Baba Yetu wa Mbinguni.
Kumbuka hakuna binadamu aliyekamilika na ni watenda makosa, hivyo yatubidi kusamehe kwanza nasi tutasamehewa....
Mwenyezi MUNGU aendelee kukuinua MR JOEL uzidi kutuvusha kutukumbusha hakika vizazi na vizazi vitakusikiliza, kukutazama na kujifunza mengi sana juu yako.
MWENYEZI MUNGU AKUSIMAMIE SAUTI NA KAZI YA AKILI NA MIKONO YAKO MR JOEL
Ameen , ahsante kwa maombi haya
Ninasiku ya 4 sasa tokanianze kufuatilia mafundisho yako kiukwel najiona nabadilika sana asante kwamafundisho yako mazuri
Asante saaana umenifunza Jambo kubwa ktk asubuh ya Leo mungu azd kukufunulia
Ahsante Sana Amina, tuendelee kujifunza
I appreciate you brother Joel
Oh may the Lord bless you
Nimeshapitia sana,huwa naacha kuftilia watu walioniumiza,nakata mawasiliano nao,nakaa kimya.nakuwa bize na kazi zangu
Hongera sanaaa👏🏼👏🏼👏🏼
Bro nauchungu asant bro natumia njia zako bro
uchungu ni mbaya unakuwa uchungu kweli haswa pale unagunduwa ulichofanyiwa ni kukosesha haki zako fulanifulani hivi so ukiwaona wote wanaohusika yani chain nzima wanao fanya kukupoteza haki zako uchungu upanda sana sana,Lakini tunashukuru masomo yako yanatia moyo sana na masomo ya neno la mungu yanatia na kuongeza imani.Lakini naomba ushauri tu pale anayekusabishia uchungu anajaribu kwa hali na mali kukutoa kwenye mstari kwa maneno ya negative unafanyaje hapa ili huendelee kuwa katika mstari.
Asante sana kweli nimeshaipitia it's true. Inauma
Njia nzuri ni kuacha kumfuatilia, kutangaza msamaha wa wazi
Kabisaa Martha
I have already been in pain and nmeshawahi kutumia njia ya kwanza na ya pili ila kwasasa naenda kufanya njia ya tatu thank you sir
Asanteni naamini nitapona uchungu sipati usingizi mchana na usiku ndani ya siku5 naamini nitapona uchungu
My situation now😢
Tutapona tyu
Ubarikiwe sana nimebadilika Kwa baadh ya mafundish yako
Aksante kaka kwa elim unayotupatia❤️🌹
Umeongea point kaka joel ubarikiwe
Thanks bro mimi husamehe bt kusahau ndyo shida
100% you talk points, and I myself I do appreciate for your advice long lives bro🙏
ngoja ni like kwanza👌
Mwalimu huwaniuchughu saighine inabidi kumuoghelelea kilamahali iliuchughu utoke.yanihalihiyo huwa nighumu sana walai naunajikutagha ukuoghea kilamahali ,yaninikama umepunghkuwa naakili
Asante sana Mungu akubariki sana
Asante kwa somo ukweli linanihusu ngoja nianze kulifanyia kazi.
Nimepia hali hiyo
Asante sana bro najifunza mengi sana kupitia kwako sijaona mwengine wakunihamasisha zaidi yako 🔥🙏unaongeza thamani kubwa katika maisha ya watu 🙏
Ameen Frank Nashukuru na nafurahi kusikia hivyo
Dah..! Bro...ubarikiwe sana...
Joel hiyo aramu ya kibodi, inanipunguzia umakini wa kusikia
Ongeza Umakini darasani 😀
ivi mbona mie siwezi kumsamehe mtu yani nikisema nimesamehe nashidwa kila nikikumbuka nashidwa sijui nini nifanye😢😢😢
Ahsante kaka ubarikiwe
Hiyo kweli kabasa. Nimekwisha shuhudia iyo hali kwa watu fulani.
Asante bro joel
Kakaangu Mimi Sjui Niseme Nini 😭😭😭Sna Cha Kukulipa Zaidi Ya Kukuombe Kwa Mwenyezi Mungu. Kunavitu Vingi Sanaaaa Umenifndisha Pia Nanitazidi kujifunza Vingi Nirishalia Mimi 🙌Nakuombea Kaka Mungu Azidi Kukupa Ufahamu Zaidi Nampango Wa kukutafta Kwa Sm
Ameen Lucy, ahsante kwa dua Njema na Baraka,nazipokea.
Asante Coach, Mungu wa Mbinguni azidi kukutunza.
Mimi ni mjamzoto na minesha zoeya kulia kutowa uchunguwa je nifanyeje hapo😢😢😢😢😢😢
MI nikiwa na uchungu na hukua hiyo atua ya kwanza
Asante sana, nimepitiwa hali hiyo, sasa umenisaidia
Barikiwa mno unaongea kwel kabisa
Ahsante sana my brother Joel
Faudhia kila nnapoingia lazima nikute comment yako😅😅✊
Sasa unayemwambia anaweza kukutangaza, pia aliekukosea mwenza wako unamuona Kila siku , wakati mwingine anarudia makosa, du Mungu tusaidie
Mi ndo sielewi...hii ndo inanikuta mimi.
Maana kama ukisema umsimulie mtu uliyopita sio wote wakuaminika wakumuani ni yesu pekee
Mimi nahc kupitia niliojifunza Kwa Leo yatanisaidia na kufanya maisha yngu yasonge mbele na kikubwa zaidi ni pale nitakapoweza kusamehe ahsant sana bwana joel Kwa ushaur mzur
Ahsante sana Nicholas
Kaka natamani kilasiku mungu anipe moyomgumu nimechoka kulia lia namaumivu hayaishi naomba nisaidie niepukane naiyo hali
Me nimelia sana mmewngu kaniumiza sana jamani
Asante sana, nmepata suluhisho
Really appreciation
Barikiwa sana Joel Kwa elimu
Joel naomba jina la background music 🙏
Uchungu ukiletwa na mume na wakwe dah😢
Maneno mazuri sana nimeyapenda
minaona nijitaidi niongee na alieniumiza japo ni ngumu ilinipone
Kwel brother umenifundisha na emenisaidia kisaikolojia maana nilikuwa na uchungu mkubwa sana lkn kwa mafundisho hayo nitabadilika
MUNGU akubariki ,asante.
Asante ila mimi nahitaji kuongea na wewe kaka kwa msaada zaidi
Nimesha wai pata maumivu ya uchungu mpaka nikapata stroku kupooza uso upande moja naomba nisaidiye niweze kutoka kwenye. Hali ya uchungu
Umisaidia sana yote yamenijenga
Asante sana,nakupenda mpk basi
Asante studio
God bless you 🙏
Nimelewa sana
Mimi nikiwa na uchungu Ama nimekwazika huwa nachukua pen na karatasi naandika yote then nachoma moto karatasi hiyo
Hii mbinu pia wapo watu wanaoitumia na wanasema inawasaidia, hongera Kuona kuwa kwako inakusaidia pia.
Waiting
Shukran bro
Nikweli minimebeba sanaa tu
Asante sana Bro Joel.
Hali hii himsababisha mtu kuadhilika kiakili pia na kutoweza kufanya chochote katika harakati zake za kumletea maendeleo ni hatari Sana hiyo hali.
Bro ninatatizo nimeliwasilisha Kwa WhatsApp namba nisaidie Bro
Nice one
🙏🙏🙏 shule tosha
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Ndiooo
Vyema sana
Nisaidie mi nimepitia ila kinacho nitesa sana ninawivu sana wamapenz mpaka ninakua msumbufu na najikuta napata uchungu mwingi nikianza wivu nifanye nini ili nipone huu ugonjwa?
Je? Kama niliyezoea kumwambia yupo mbali namimi niyafanyaje? Na hamna mwingine ninayemwamini zaidi yake?
Please nbr yko ya cmu nnashida sana na wewe saana Please
Hii imekuja muda muafaka.
Bless you
Hakika haya ni tiba ya afya akili na ubongo nikwel kumwelezea mtu uchungu wako binafsi nimekua na tabia mtu akiniudhi au nikimtoa moyon au akinisababishia uchungu nambock ndio tabia yangu
Kaka Joel nna shida na ww private
Mi mtu kanidhulumu alafu nimtangazie msamaha wakati anauwezo wa kunilipa moyo huo sina
Asant
Dah
Asante kaka ❤️
Nilisalitiwa na mukewangu
Pole sn kaka samehee
Kaka naweza pata namba yako kuna jambo nahitaji unisadie kimenishinda maishani tafadhali
Mi usema nimesamee lakini bado aiondoki
Haujasamehe
Nimepitia msisha ya uchungu kwa takribani miaka 4,nimefurahi sana kwa hatua hizi nne naamini zitanisadia kuponya uchungu huu.