First of all, thank you for this video. I really amazed of what you are doing, very Empowering to the Tanzanian people. I have been fascinated by this kind of project. By the way, I am Andy and am missionary here in Mwanza. I want to start here at our place this project. Could you tell me if I can buy here in Mwanza the fertilizer for this hydroponic project. May God bless you always.
Nimependezwa sana na shamba lako. Mungu akubaliki.
Hongera sana
Nimependa kilimo chako, naomba nijiunge na darasa lako
Hongera sana kwa uthubutu mungu akubariki Sana.
Asante sana, nitazidi kuleta mahojiano mengi ya namna hii
Hongera kwa kilimo safi. Je, unatoa mafunzo kwa anayevutiwa?
Hongera dada. Ahsante kwa kazi hiyo. Mboga gani unazo lima? Mimi niko huku Uganda.
Mwenyezi Mungu akujalie ila naomba unifahamishe unapatikana wapi? Pia naomba namba yako nije
Apo nimekukubali mr.kwa interview yako.tunaomba ata schoralship za vyuo vya kilimo
Naomba namba yako
Nilikuona leo TBC hongera dadangu
Mjasiriamali Halisi
First of all, thank you for this video. I really amazed of what you are doing, very Empowering to the Tanzanian people. I have been fascinated by this kind of project. By the way, I am Andy and am missionary here in Mwanza. I want to start here at our place this project. Could you tell me if I can buy here in Mwanza the fertilizer for this hydroponic project. May God bless you always.
Big up sana...
bro ernest bana etiii kilimo cha whassap,meseji😂😂😂😂
EBM unajuaga kunichekesha😂😂😂😂
Nipe number ya huyo mama
Dunia inakuwa na watu wengi kuliko dunia???unasema kuwa dunia ni ndogo watu wengi maeneo ayatoshi?????