Enzi Zao: Ezekiel Barngetuny

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2011
  • Hebu tafakari kwamba rais wa jamhuri anakuamini kiasi cha kwamba wewe ni mmoja wa wachache wanaoweza hata kutuliza hasira zake akikasirika.Hebu fikiria ukiwa na uwezo wa hata kugeuza mawazo ya rais na kumshawishi atende au asitende jambo fulani. Basi huo ndio uwezo ambao mzee Ezekiel Barngetuny alikuwa nao dhidi ya Rais mstaafu Daniel Moi, wakati Moi alipokuwa mamlakani. Wiki hii kwenye makala ya enzi zao, Franklin Macharia anamwangazia Ezekiel Barngetuny, mwandani wa rais mstaafu Daniel Moi.

ความคิดเห็น • 30

  • @josseskosgey
    @josseskosgey 4 ปีที่แล้ว +2

    He was a respected man. Barng'etuny Secondary School - Kapchumba was established in honor of his memory.

  • @mtuwawatuhoyee6549
    @mtuwawatuhoyee6549 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii kabila liliumiza na kuteza kenya !, Tuliumia sana miaka ishirini na nine bila maendeleo na ukabila mwingi bila aibu.

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 6 ปีที่แล้ว +2

    Anataja Mungu lakini accumulate wealth while others Hunger!

  • @Temboz
    @Temboz 5 ปีที่แล้ว +5

    is it me or does this guy sound exactly like Nyayo(Moi).

  • @gideongathekiamkoloni5043
    @gideongathekiamkoloni5043 5 ปีที่แล้ว +2

    Barngetuny the Legend

  • @curiosity151
    @curiosity151 11 ปีที่แล้ว +6

    Ha ha ha, he sounds like Moi!!

  • @sammycharomwalili6728
    @sammycharomwalili6728 ปีที่แล้ว

    Huwa napenda hizi mazungumzo ya wazeee

  • @indivirabonnymatenje7290
    @indivirabonnymatenje7290 8 ปีที่แล้ว +3

    Rip mzee

  • @siasabora
    @siasabora 12 ปีที่แล้ว +5

    the era of mediocrity n sycophancy....that wrecked a nation.

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 7 หลายเดือนก่อน

    Ulimwengu sio yeti lakini 2k acres ya nini.

  • @BelindaOkech
    @BelindaOkech 11 ปีที่แล้ว +1

    umesema ukweli jambopatty.how many people work from morning to evening and cant even afford 1 acre?kama chma fulani kingefanya mtu apate haya mali yote,anyone would say KANU TAMU!we never know which damu they are talking about.yao ama ya watu wengine.oops.so funny ati alikuwa anaenda kuongea na moi kumwmbia mambo ya mungu na kadhalika,basi pia mimi nataka hiyo kazi niwe milionare.Mtu wa mungu,na hiyo shamba iko tu hapo,while pple elsewhere hawana chao.hope hell is big enough.

  • @SololoMutai
    @SololoMutai 5 ปีที่แล้ว

    Gotab Sololo 🐝🐝

  • @HannahmTV
    @HannahmTV 12 ปีที่แล้ว +1

    god 2000 acres rundisha ardhi ya wakenya ndio ata even with 91 years your keys to heaven or hell r missing!!!! waizi

  • @djumoja
    @djumoja 11 ปีที่แล้ว +4

    people asking him to donate his land to idps are sick.. kwani he does not have family and people in his community that are poor.. this man is 91 and he got his land during kenyattas time with his own money.. stop being jealous and thinking everyone with land stole land shit.. go to another african country and buy land there instead of demonizing everyone with land..clowns

  • @wwjd3792
    @wwjd3792 4 ปีที่แล้ว +1

    This goon Moi should have died in prison, he committed alot of crimes against humanity towards his people and squandered Kenyans resources. May he rot in hell where he belongs.

  • @angelatwist8085
    @angelatwist8085 5 ปีที่แล้ว +2

    Barngetuny plaza

  • @erickwainaina1504
    @erickwainaina1504 5 ปีที่แล้ว +1

    naguwa mashintano

  • @Jasubakende
    @Jasubakende 12 ปีที่แล้ว

    He is in remarkable health the old codger!

  • @alisinyayala1
    @alisinyayala1 12 ปีที่แล้ว

    Donate some land to the IDPS

  • @oslojeremy
    @oslojeremy 12 ปีที่แล้ว

    no wonder we hade idps xxxxxxx20000000 ha ulipata wapi aje vipi

  • @michaelheery7427
    @michaelheery7427 5 ปีที่แล้ว +1

    Kenyatts has 600,000.

  • @geoffreyokwemba7876
    @geoffreyokwemba7876 5 ปีที่แล้ว +1

    2k acres!?🤔🤔 mine is barely 2 acres

    • @paulkabira543
      @paulkabira543 4 ปีที่แล้ว

      So it is enough for you

    • @ericotieno8331
      @ericotieno8331 3 ปีที่แล้ว

      Heri wewe uko na mbili. Wengine hatuna kitu buana.

  • @gideongathekiamkoloni5043
    @gideongathekiamkoloni5043 5 ปีที่แล้ว

    Ganu ntamu