" Nimewaachia vizito viwilli :- kitabu cha Mwenyezi Mungu Ahlul Bayt wangu { watu wa nyumba yangu } " ---- Mtume Muhammad ( S ). Rejea :- Shahi Muslim J. 7 Uk 123
shukran al akh ramadhan kwa kuturemshia maudhui ambayo ni muhimu katika mujtama3 wa sasa uliohadawa kua mashia hawaamini qur,an hii ichapishwayo saudia, shukran kwako na shukran kwa mwenye wetu sayyid aidaruus
Salaam alaykum shekh ramadhan twamuomba allah akulipe kheri nyingi vijana cape town tulikua twaomba kama kuna mawaidha mengine ya sayyid tuwasiliane shekhe namlipaji ni mungu kwani hizi lecture za sayyid ndani yake mna mafundisho yanyohitajika kwa umma namba
Hyu sheikh ni msomi na namuelewa vzuri sna ila swli lngu jee nikweli kuna baadhi ya maswahaba wanawakanusha na jee wao mashia wanaenda hijra iran nacio saudia ,ikiwa nikweli bc uislamu wa Muhammad s.a.w nitofauti na uislamu wa mashia
Hakika Quran haitaingia upotofu mbele yake wa nyuma,Iheshimu uilinde Quran wacheni kutia Fitina,Allah anailinda na atailinda,Syed Aidarus usishindane na Allah,wacha uadui na Kitabu cha Allah. Fussilat Aya ya 42. Hautakifikia upotovu mbele yake wala nyuma yake. Kimeteremshwa na Mwenye hikima, Msifiwa.
@@RRTvAfrica Nimeshasikiliza,anajaribu kuzibabaisha/kuzilinda lawama za mashia,alizozichambua hadithi za kissuni kuhusu Quran,emejaribu kuzichambua anavyopenda/kwa hawaa zake,na kuziingiza katika maana nyingine kabisa,je yupo tayari kukaa na maulama wa kissuni kuweka munakashi,hichi ni kizazi khawarijia,alichokitaja mtume Muhammad SAW,
Mashia wana watukana maswahaba na mashia wana wakufulisha maswahaba. Na hivyo kwakua nyinyi mnawakufulisha maswahaba wa mtume ndio tuna sema nyinyi in makafiri na si waislam na mkiendelea na midimamo ya hivyo mwisho wenu ni motoni
Sheikh nimekusikiliza sana,ninachokuomba uachane na kundi,linalojenga uadui na Dini ya Allah,ingia kwenye haki,usijenge uadui kwa Allah,wewe hata ukirekebisha vipi,ushia si uislamu, ni uadui kwa Allah,mitume ndiyo ilitumwa na Allah,sio Kama nyinyi,kuwalilia Husain,Hassan,Ali,Fatima,na maimamu,kwa kuwakufurisha,njoo katika haki,Makka itabakia kuwa Makka,na Kaaba litabakia kuwa Kaaba,na Tehran na Karbala ,zitabakia kuwa Karbala,nani aliekwambieni,mkafanye shirki Karbala na sehemu nyingine,mnazokwenda kumkufurisha Allah,Mna mengi tu,ya kuwatukaza maimamu wenu,ndugu yangu nguvu na akili yako,njoo uitumie katika njia ya haki,wacha kuwapotosha wengine,ati sisi tulikuwa wapinzani,sababu kupinduliwa na shah,na sio zaidi ya miaka elfu,uadui kwa mwongozo wa mtume na quran,usijizonge ndugu yangu,utukufu ni wa Allah,ukiziba huku,kutafumuka kule,mpo mbali na haki.
@@azizaziz7644 Niliyoyasema ni haki,ushia ni uadui kwa Allah,muda wenu mkubwa mnautumia, kuwa maadui wa dini ya Allah,mnayoyalingania hayapo,ifuate haki,kabla mauti hayajakufika.
@@sabraham5308 , Narudia USHIA ndiyo haswa dhehebu lililoshikamana na MATAKWA YA MOLA MTUKUFU KUSHINDA MADHEHEBU MENGINE YOYOTE YALE YA UISLAM :- NARUDIA Shia ndiyo haswa wanaojuwa kumtafuta Mola Mtukufu Kwa utukufu MKUBWA kushinda Madhehebu mengine yoyote yale Ndani ya UISLAM tatizo lako wewe umesoma / umesomeshwa / umesikiliza upande mmoja tu wa Shilling hili ndilo tatizo lako na Ukifuatilia kuusoma ushia mwenyewe bila kushurutishwa na akili yako iko salama usalimini HUWEZI CHOMOA USHIA HATA ITOKEE GHARIKA tatizo hujaufuatilia ushia wewe mwenyewe binafsi bali umesikiliza vishehena hilo ndilo TATIZO
@@sabraham5308 Narudia Narudia Narudia kusema USHIA USHIA USHIA NDIYO HAKI TUPU USHIA NDIYO HAKI TUPU USHIA NDIYO HAKI TUPU ,,,, HAKI IPO NA SHIA ,,,,, SHIA YUPO NA HAKI TATIZO LAKO UMESOMA / UMESOMESHWA / UMESIKILIZISHWA UPANDE MMOJA NA KUJAZWA MANENO YA URONGO MTUPU JUU YA USHIA UMEJAZWA MANENO YA URONGO MTUPU JUU YA USHIA TAFUTA KAWASOME WEWE MWENYEWE NDIYO UTAUJUA USHIA NA HAIWEZEKANI HAIWEZEKANI HAIWEZEKANI UKAUSOME USHIA NA AKILI YAKO IKO SALAMA USALIMINI UJE UUKANI USHIA HAIWEZEKANI KATU ABADAN HAIWEZEKANI KATU ABADAN
@@azizaziz7644 Uislamu hauna mafungu,wala makundi,na kila unapoiwacha njia ya haki,iliyoanzia kwa Baba yetu Adam alayh Salam,basi kwa Qadar za Allah,alileta viumbe wake ,kuwaongoza viumbe wake kwenye njia iliyonyooka,njia yenye kufuata haki,juu ya utukufu wake Allah subhana wataala,ambao utasimama hadi siku ya kiyama kwa muongozo wake,na kumshinda Iblis na wafuasi wake,Tahadhari,Tahadhari kuwa mfuasi wa iblis bila ya kujijua,kuna viumbe wamepewa kazi na iblis bila kujijua,Tahadhari tahadhar,ifuate njia ya haki aliyokuja nayo,mjumbe na mtume wa Allah Muhammad Sallalahu alayh wasalam,rehema na Amani Ziwe juu yake,Mashia acheni na komeni kumshirikisha Allah,na viumbe vyake,mlaanini shetani,njooni katika njia ya haki,acheni uadui kwenye dini Ya Allah..Acheni kuwa wafuasi wa shetani/iblis.hakika mwisho wa yote,shetani atashindwa.
jaman tunaomba msada mana nataka kdawnload ila hazikubal sijui kama zimezuiwa kamazimezuiwa basi tunaomba mtuachie tuweza kuzidawnload kwamasilah ya ma
Sinan Shaban Hazijazuia labda namna unavyo download ndio shida jaribu kudownload kupitia hii siteen.savefrom.net/ copy link ya youtube kwenye pahali inasema download kisha bonyeza download
@@hamisimikidadi5715 . Wewe nifuatilie bro utaona nitakavyojibu tuhuma hizo zenu hata hayo ya sayyid aidarus ni ule ushia wa kujificha na hayo hufuatwa na wale mashia ambao itikadi yao huingia katika usunni illa ni kutotaka usunni kijeuri tu au kuogopa na pia si rahisi maanake ni pahali pa kuzaliwa.Fuatilia channel yangu utaona mengi hapo tunaweza pia tukajadiliana kuhusu ushia ukiwasiliana na mimi.
Umayya ali , Huna cha kujibu wewe kwanza ungekuwa na Elimu ya Dini hilo jina la UMAYYA ungelikataaaa hivi wewe muislsmu wa namna gani kweli akili yako iko SALAMA ?????? UMAYYA Mwenyezi Mungu Mtukufu amlaani na motoni muwe makazi yake ya kudumu - Ameen 🤲🤲🤲 Ndiye aliyesababisha Mjukuu wa Mtume auwawe kwa Sumu na Mtume amesema ndani ya kitabu kitakatifu " Sihitaji malipo yoyote kutoka kwenyu isipokuwa mapenzi kwa Quruba wangu " sasa wewe unajina la huyo maluuni aliyesababisha kifo cha Mjukuu wa Mtume na mjukuu huyo ni Quruba wa Mtume wewe unajiona skilini uko salama ???? Halafu una elimu gani wewe ya kujibu hoja - bila shaka ungekuwa na akili usingekuwa mfuasi wa JINI LA NAJDI
@@azizaziz7644 . Toa kitabu moja inayosema umayya alimua mjukuu wa mtume na pili wasema dini ya najdi ni dini yangu mimi dini yangu ni uislamu, pia jifundishe adabu ya mazungumzo kwani ukitaka kuzungumza na mtu zungumza kwa adabu sawa ndugu
@@umayyaali75 , Umayya ndiyo aliye sababisha kifo cha mjukuu wa Mtume yeye ndiye aliye Master mind tokeo lote , tafadhali uwe na adabu nawe ndiyo Mwenyezi Mungu Mtukufu Amlani UMAYYA LANATULA MINAL DHALIMI SIFICHI NASEMA WAZI WAZI niko safarini naelekea Kual lumpur natokea Pennan nitakuletea vitabu visivyo pungua 5 kukudhihirishia elimu yako MASHAKA
Want to Learn Arabic? Check out this Great Program!: portal.pathtoarabic.com/member/aff/go/nairobi786
Swaddaqta Sayyid Aidarus
Ingia play store uchukue kitu kinaitwa vidmate ndo unaweza kudoilod
" Nimewaachia vizito viwilli :-
kitabu cha Mwenyezi Mungu
Ahlul Bayt wangu { watu wa nyumba yangu } " ---- Mtume Muhammad ( S ).
Rejea :-
Shahi Muslim J. 7 Uk 123
JazakaAllah khairan
shukran al akh ramadhan kwa kuturemshia maudhui ambayo ni muhimu katika mujtama3 wa sasa uliohadawa kua mashia hawaamini qur,an hii ichapishwayo saudia, shukran kwako na shukran kwa mwenye wetu sayyid aidaruus
Ahsantum For sharing
Salaam alaykum shekh ramadhan twamuomba allah akulipe kheri nyingi vijana cape town tulikua twaomba kama kuna mawaidha mengine ya sayyid tuwasiliane shekhe namlipaji ni mungu kwani hizi lecture za sayyid ndani yake mna mafundisho yanyohitajika kwa umma namba
Huwezi kudoilid hapa
Hyu sheikh ni msomi na namuelewa vzuri sna ila swli lngu jee nikweli kuna baadhi ya maswahaba wanawakanusha na jee wao mashia wanaenda hijra iran nacio saudia ,ikiwa nikweli bc uislamu wa Muhammad s.a.w nitofauti na uislamu wa mashia
Hakika Quran haitaingia upotofu mbele yake wa nyuma,Iheshimu uilinde Quran wacheni kutia Fitina,Allah anailinda na atailinda,Syed Aidarus usishindane na Allah,wacha uadui na Kitabu cha Allah.
Fussilat Aya ya
42. Hautakifikia upotovu mbele yake wala nyuma yake. Kimeteremshwa na Mwenye hikima, Msifiwa.
Inaonekana hujasikiza hadi mwisho
@@RRTvAfrica Nimeshasikiliza,anajaribu kuzibabaisha/kuzilinda lawama za mashia,alizozichambua hadithi za kissuni kuhusu Quran,emejaribu kuzichambua anavyopenda/kwa hawaa zake,na kuziingiza katika maana nyingine kabisa,je yupo tayari kukaa na maulama wa kissuni kuweka munakashi,hichi ni kizazi khawarijia,alichokitaja mtume Muhammad SAW,
Sayid aidarus alwy ni msomi hawezi shindana na wavuta bangi wa kiwahabi😂😂😂
kama una nyingine za sayyid aidaruus tuteremshia na mungu atakujazi kheyr
Ahlan wa sahlan ! al akh Saad insha Allah kwa siku sijazo nitaongezea zengine.
Mashia wana watukana maswahaba na mashia wana wakufulisha maswahaba. Na hivyo kwakua nyinyi mnawakufulisha maswahaba wa mtume ndio tuna sema nyinyi in makafiri na si waislam na mkiendelea na midimamo ya hivyo mwisho wenu ni motoni
😛😛😛😛 Umelishwa matango pori hujui kitu 0-0 = -0
Sheikh nimekusikiliza sana,ninachokuomba uachane na kundi,linalojenga uadui na Dini ya Allah,ingia kwenye haki,usijenge uadui kwa Allah,wewe hata ukirekebisha vipi,ushia si uislamu, ni uadui kwa Allah,mitume ndiyo ilitumwa na Allah,sio Kama nyinyi,kuwalilia Husain,Hassan,Ali,Fatima,na maimamu,kwa kuwakufurisha,njoo katika haki,Makka itabakia kuwa Makka,na Kaaba litabakia kuwa Kaaba,na Tehran na Karbala ,zitabakia kuwa Karbala,nani aliekwambieni,mkafanye shirki Karbala na sehemu nyingine,mnazokwenda kumkufurisha Allah,Mna mengi tu,ya kuwatukaza maimamu wenu,ndugu yangu nguvu na akili yako,njoo uitumie katika njia ya haki,wacha kuwapotosha wengine,ati sisi tulikuwa wapinzani,sababu kupinduliwa na shah,na sio zaidi ya miaka elfu,uadui kwa mwongozo wa mtume na quran,usijizonge ndugu yangu,utukufu ni wa Allah,ukiziba huku,kutafumuka kule,mpo mbali na haki.
Umeathirika hujui dini nakushauri acha kuropoka isome dhehebu lako then lisome dhehebu la USHIA acha CHUKI bila shaka utagundua dhehebu pekeee linalojuwa kumtafuta Mola Subuhana WATAALA IN USHIA SOMA SOMA SOMA ACHA KUWASIKILIZA MASHEKH UBWABWA WENYE KUTUMIKIA MATUMBO
@@azizaziz7644 Niliyoyasema ni haki,ushia ni uadui kwa Allah,muda wenu mkubwa mnautumia, kuwa maadui wa dini ya Allah,mnayoyalingania hayapo,ifuate haki,kabla mauti hayajakufika.
@@sabraham5308 , Narudia USHIA ndiyo haswa dhehebu lililoshikamana na MATAKWA YA MOLA MTUKUFU KUSHINDA MADHEHEBU MENGINE YOYOTE YALE YA UISLAM :-
NARUDIA Shia ndiyo haswa wanaojuwa kumtafuta Mola Mtukufu Kwa utukufu MKUBWA kushinda Madhehebu mengine yoyote yale Ndani ya UISLAM tatizo lako wewe umesoma / umesomeshwa / umesikiliza upande mmoja tu wa Shilling hili ndilo tatizo lako na Ukifuatilia kuusoma ushia mwenyewe bila kushurutishwa na akili yako iko salama usalimini HUWEZI CHOMOA USHIA HATA ITOKEE GHARIKA tatizo hujaufuatilia ushia wewe mwenyewe binafsi bali umesikiliza vishehena hilo ndilo TATIZO
@@sabraham5308 Narudia Narudia Narudia kusema USHIA USHIA USHIA NDIYO HAKI TUPU USHIA NDIYO HAKI TUPU USHIA NDIYO HAKI TUPU ,,,, HAKI IPO NA SHIA ,,,,, SHIA YUPO NA HAKI TATIZO LAKO UMESOMA / UMESOMESHWA / UMESIKILIZISHWA UPANDE MMOJA NA KUJAZWA MANENO YA URONGO MTUPU JUU YA USHIA UMEJAZWA MANENO YA URONGO MTUPU JUU YA USHIA TAFUTA KAWASOME WEWE MWENYEWE NDIYO UTAUJUA USHIA NA HAIWEZEKANI HAIWEZEKANI HAIWEZEKANI UKAUSOME USHIA NA AKILI YAKO IKO SALAMA USALIMINI UJE UUKANI USHIA HAIWEZEKANI KATU ABADAN HAIWEZEKANI KATU ABADAN
@@azizaziz7644 Uislamu hauna mafungu,wala makundi,na kila unapoiwacha njia ya haki,iliyoanzia kwa Baba yetu Adam alayh Salam,basi kwa Qadar za Allah,alileta viumbe wake ,kuwaongoza viumbe wake kwenye njia iliyonyooka,njia yenye kufuata haki,juu ya utukufu wake Allah subhana wataala,ambao utasimama hadi siku ya kiyama kwa muongozo wake,na kumshinda Iblis na wafuasi wake,Tahadhari,Tahadhari kuwa mfuasi wa iblis bila ya kujijua,kuna viumbe wamepewa kazi na iblis bila kujijua,Tahadhari tahadhar,ifuate njia ya haki aliyokuja nayo,mjumbe na mtume wa Allah Muhammad Sallalahu alayh wasalam,rehema na Amani Ziwe juu yake,Mashia acheni na komeni kumshirikisha Allah,na viumbe vyake,mlaanini shetani,njooni katika njia ya haki,acheni uadui kwenye dini Ya Allah..Acheni kuwa wafuasi wa shetani/iblis.hakika mwisho wa yote,shetani atashindwa.
jaman tunaomba msada mana nataka kdawnload ila hazikubal sijui kama zimezuiwa kamazimezuiwa basi tunaomba mtuachie tuweza kuzidawnload kwamasilah ya ma
Sinan Shaban Hazijazuia labda namna unavyo download ndio shida jaribu kudownload kupitia hii siteen.savefrom.net/
copy link ya youtube kwenye pahali inasema download kisha bonyeza download
Mimi ni mtu nina fanya da'wa nitajibu hayo
Sayyid idarus usiseme urongo mashia wako huko Iraq waamini hayo kama yasir alhabib
Nani akikwambia Tassie anawakilisha Ushia?