Mimi ni msuni ila mashia ni waislam kama sisi. Tena mashia huenda ni bora zaidi katika kuutetea uislam zama hizi. Dunia inajua na watu wanajua hilo. Utofauti wetu mdogo usitutenganishe.
Acha kuongea usichokijua shia si waislam hayo maneno alitamka mwenyewe huyo jalala na video zake zipo alisema hasa kua shiabsio uislam ni dini kama zilivyo dini nyengine tu na ukumbuke hiyo ni dini yao wa irani wan itakadi zao tofauti na uislamu usiingie mkenge
MASHIA ndio viumbe waongo kumshinda IBLIS anayosema mbele ya watu maawamu ni hawana msahaafu,wala hawatukani MASWAHABA!! Fungua vitabu vilivyoandikwa na masheikh wao utakutana na MITUSI ya kutisha!!
UKISOMA KOMENTI UTAGUNDUA MAWAHABI WENGI HAWATUMII AKILI YAANI UNAZUNGUMZWA MADA YA USAHAFU ILA WANAJIBU MAMBO MENGINE TOFAUTI NA MADA MFUNO MWINGINE ANASEMA MNATUKANA MASWAHABA
Shia ni wanyoosha mambo mawahabi ndio wanao bomoa uisilamu kwa kujitenga vikundi na Allah kasema msifarakiane mshikamane katika kamba yake pasipo hivyo mtawaingiza maadui mawahabi wameleta mfarakano wanasababisha waisilam wanapigwa
Atawasomaje wakati mnakatazwa hata kuwakurubia mashia au hata kukaribia vitabu vyao? Au inatosha kuwasikiliza wanaosema mashia ni makafiri ndiko kuwasoma huko?
Kama mashia mmeshindwa kuiamini quran na suna vp mtauamini upotofu na ukafiri uliomo kwenye vitabu vyenu??! Kwa sababu upotofu na ukafiri uliomo kwenye vitabu vya kishia sio rahisi kuuamini kwa kuambiwa hadi ujisomee mwenyewe. Acheni kudanganywa na hao wanazuoni wenu wa kishia, tafuteni vitabu vya kishia msome mjionee wenyewe uvundo uliomo humo, acheni kudai mawahabi wanawafitini mashia dhidi ya waislaamu, Mimi sio muwahabi lakini nawapenda Sana hao mnaowaita mawahabi,kwasababu wao wanafanya uislaamu kwa mujibu wa Quran na suna.
@@abiabi9353 hivi ndugu nyie mnajaribu kuwasifia watu WENYE kuwa tukana maswahaba na wanamtukana mama Aisha abuu bakri Umar na wengine vipi wawe wanyoosha mambo NDO mana nasema wasomeni mashia na msome qur aan
@@abiabi9353 na wanasema mashia katika vitabu vyao kua, katika Quran Kuna suura inaitwa suuratul-wilaaya,ambayo inaanza hivi; (enyi mlio amini Zi aminini nuru mbili,. Mashia wanadai kwamba othman bin afaan r.a. aliifuta Aya hiyo. Angalia kitabu kinaitwa (faslu-khitwaab fii tahrif kitaab rabbul-arbaab) Cha An-nuur Attwabrasy, ukurasa 18. Huo ukafiri umo kwenye vitabu vya kishia, kwahiyo msiwalaumu na kuwatukana wanao waita mashia ni makafiri, isipokua walaumuni na muwalaani wanazuoni wa kishia wanao andika hizo habari potofu na kufuru.
@@abiabi9353taqiya ni kusema au kufanya kinyume na unavyo itakidi kwa lengo la kujiondolea madhara au kulinda karama yako. Sehemu kubwa ya dini ya kishia ni taqiya, Wala hana dini asie kua na taqiyya, kwa mfano ukimuuliza jalala mbele ya uma wa waislaamu kuhusu tuhuma ya mashia kuwatumu wake wa mtume s.a.w. mama Aisha r.a. na mama hafisa r.a. kua walikua ni wazinifu, jalala atakaa katakata nakudai mashia hawasemi hivyo, lakini akiwa kwenye majilisi za kishia na hao mabosi wake wakihindi ndo atawalaani na kuwakufurisha maswahaba r.a. na wake wa mtume s.a.w.. hiyo ndo taqiya. Mwanazuoni wa kishia akikwambia maji ya bahari Yana chumvi usimuamini kabla huja yaonja, kwasababu ni mabingwa no1 wa uongo duniani. Msidanganywe na ndege anaesoma Quran vizuri Kisha akimaliza anaenda kula kinyesi.. enyi ndugu zangu waislaamu ambao hamjaingia kwenye ushia nawanasihini msihadaike na kuingia kwenye ushia kwa kuvutiwa na misaada wanayoitoa, kwasababu hiyo misaada wanayo itoa ni mipango na mikakati maalumu ya kuwatoa kwenye uislaamu, tusi iuze dini ya Allah kwa ajiri ya dunia, tuinusuru dini ya Allah Ili Allah atunusuru kama alivyo ahidi, Bora tufe na dhiki lakini msimamo wetu uwe ni Quran na suna, kuliko tuwe matirionia lakini mashia.. ya Allah tuweke mbali na mashia na utufiishe tukiwa waislaamu wenye ikhlaasi.
Allah akuhifadhi Maulana
Shekh Maulana umesema kweli
WAFUASI WA ABDULLAH IBN SABAAI MYAHUDI
Haiwezekani kushikamana na kamba ya Allah na mashia, kushikamana na kamba ya Allah na mashia ni kumuasi Allah na mtume s.a.w.
Shida watu hawataki kusoma lkn hakuna dhehebu sahih na mashia.
Mimi ni msuni ila mashia ni waislam kama sisi. Tena mashia huenda ni bora zaidi katika kuutetea uislam zama hizi. Dunia inajua na watu wanajua hilo. Utofauti wetu mdogo usitutenganishe.
Acha kuongea usichokijua shia si waislam hayo maneno alitamka mwenyewe huyo jalala na video zake zipo alisema hasa kua shiabsio uislam ni dini kama zilivyo dini nyengine tu na ukumbuke hiyo ni dini yao wa irani wan itakadi zao tofauti na uislamu usiingie mkenge
@@mfalmekima5318 Shia ni dhehebu kama madhehebu mengine ya kiislam. Hayo mengine ni ya kwako. Wangekuwa si waislam wasinge kwenda hija na umra.
Wacha wajinga wa gombane ila Kwa mtu Ambae anataka elimu basi hupenda kujuwa madhehebu nyengine zinasemaje ❤
Tatizo huwajui mashia. Mashia wanatumia taqiya, yaani wanaficha uhalisia wao
Astafrullh ujuw dini
Mashia ni makafiri sawa na mayahudi na hiyo ni dini Yao ila wanatafuta njia tu za kuwachukua wale wasio elimi
MNASEMAJE KUHUSU ABUBAKAR ,MAMA AISHA NA WENGINEO KTK MASWAHABA NA MNASEMAJE KUHUSU AYA YA MWISHO YA SURATUL FAT HI
Nyie wanafiki tu jalala ulishasema mwenyewe shia ni dini kama dini nyengine sio dhehebu
Wewe jalala achana na taquiya
Wanazoni wa Kishia walisibisha
Mmemuwa kiongozi wa hamas nyinyi mashia
MASHIA ndio viumbe waongo kumshinda IBLIS
anayosema mbele ya watu maawamu ni hawana msahaafu,wala hawatukani MASWAHABA!!
Fungua vitabu vilivyoandikwa na masheikh wao utakutana na MITUSI ya kutisha!!
Mawahabi ni vichwa mchunga hamna issue zaidi ya propaganda
UKISOMA KOMENTI UTAGUNDUA MAWAHABI WENGI HAWATUMII AKILI YAANI UNAZUNGUMZWA MADA YA USAHAFU ILA WANAJIBU MAMBO MENGINE TOFAUTI NA MADA MFUNO MWINGINE ANASEMA MNATUKANA MASWAHABA
Je yafaa kuchuchumaa unapokosa rakaa ya faradhi
Sasa mbona mnatukana masahaba wa mtume
Lakini mbona munaitwa mashia
🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
Mm sunni ila hawa shia wananyoosha maneno sana
Ni kawaida ya watu waongo kupanga maneno
Hakuna Msuni atakae Sema Mfano wa maneno yako
Ila Mashia ni Waongo zaidi ya Shetani
Sunni gani wa hivyo
@@UsalafiniKWETU01 huyo kama ni msuni basi huenda haujui usuni ni nini na ushia ni Nini!
Huwajui mashia ndio maana unasema hivyo. Mashia wanatumia taqiya yaani wanaficha uhalisia wao
Shia ni wanyoosha mambo mawahabi ndio wanao bomoa uisilamu kwa kujitenga vikundi na Allah kasema msifarakiane mshikamane katika kamba yake pasipo hivyo mtawaingiza maadui mawahabi wameleta mfarakano wanasababisha waisilam wanapigwa
Huwajui mashia wewe wasome mashia na usome qur aan
Atawasomaje wakati mnakatazwa hata kuwakurubia mashia au hata kukaribia vitabu vyao? Au inatosha kuwasikiliza wanaosema mashia ni makafiri ndiko kuwasoma huko?
@@AbuumuussaaAttanzaaniymawahabi ni vichwa mchunga hawana uwezo wakuthibitisha chochote.kazi yao ni fitna tu
Kama mashia mmeshindwa kuiamini quran na suna vp mtauamini upotofu na ukafiri uliomo kwenye vitabu vyenu??! Kwa sababu upotofu na ukafiri uliomo kwenye vitabu vya kishia sio rahisi kuuamini kwa kuambiwa hadi ujisomee mwenyewe. Acheni kudanganywa na hao wanazuoni wenu wa kishia, tafuteni vitabu vya kishia msome mjionee wenyewe uvundo uliomo humo, acheni kudai mawahabi wanawafitini mashia dhidi ya waislaamu, Mimi sio muwahabi lakini nawapenda Sana hao mnaowaita mawahabi,kwasababu wao wanafanya uislaamu kwa mujibu wa Quran na suna.
@@abiabi9353 hivi ndugu nyie mnajaribu kuwasifia watu WENYE kuwa tukana maswahaba na wanamtukana mama Aisha abuu bakri Umar na wengine vipi wawe wanyoosha mambo NDO mana nasema wasomeni mashia na msome qur aan
Jalala ni muongo alopindukia
Uongo wake upi sasa apo kama upo uo msahafu na unaujua uonyeshe maneno hatusikilizi tunatka ushahid fitna za mawahabi hatuzitak
Mawahabi ni vichwa mchunga tu hawana issue kazi yao ni propaganda na kutenganisha waislam
@@abiabi9353 na wanasema mashia katika vitabu vyao kua, katika Quran Kuna suura inaitwa suuratul-wilaaya,ambayo inaanza hivi; (enyi mlio amini Zi aminini nuru mbili,. Mashia wanadai kwamba othman bin afaan r.a. aliifuta Aya hiyo. Angalia kitabu kinaitwa (faslu-khitwaab fii tahrif kitaab rabbul-arbaab) Cha An-nuur Attwabrasy, ukurasa 18. Huo ukafiri umo kwenye vitabu vya kishia, kwahiyo msiwalaumu na kuwatukana wanao waita mashia ni makafiri, isipokua walaumuni na muwalaani wanazuoni wa kishia wanao andika hizo habari potofu na kufuru.
أصلكم أنتم معاشر الرافضة التقية وقد قال أحد علمائكم عن التقية :قال التقية ديني وديني آبائي لا دين لمن لا تقية له
Taqiya ndiyo nini
Kafiri mkubwa jalala,unadanganya watu, acha takiya
Iran Hana usupa pawa,acha kuwapumbaza watu.
Malu'un