Amazing Singida Town Tour With Motor Cycle (Tanzania Tour)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq ปีที่แล้ว

    Jamani nipamisi sehemu yangu nilokuwa nafanyia kazi Esso

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq ปีที่แล้ว

    Yaan raha mpka najua hadi watu wanyumbani mashaallah

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 ปีที่แล้ว

    I enjoyed the route 😁👍
    Director yuko vizuri
    Nimefuatilia,mitaa yote naijua 😀

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 ปีที่แล้ว

    Kutoka Bomani,Mwanza Rd,ungekata kushoto kwenda Ginnery,ingependeza sana 👍

    • @godlove20
      @godlove20  ปีที่แล้ว

      Next time nitafanya

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 2 ปีที่แล้ว +1

    Godlove uko vzur, natamani utuonyeshe Bukoba, Geita, Bariadi, Babati, Musoma,

    • @godlove20
      @godlove20  2 ปีที่แล้ว +1

      Babati, musoma, bukoba video zipo kaka

  • @homemohammed3244
    @homemohammed3244 2 ปีที่แล้ว

    Mic u home sweet nawapata nikiwa njee ya nchi

    • @godlove20
      @godlove20  2 ปีที่แล้ว

      Singida ni safi sana

  • @musiradam4445
    @musiradam4445 2 ปีที่แล้ว

    nzuri sana

    • @godlove20
      @godlove20  2 ปีที่แล้ว

      Shukrani Sana Kaka

  • @habibumohamed1543
    @habibumohamed1543 2 ปีที่แล้ว

    Yaonekana singida Ni mji uliopangwa vizuri sana

    • @godlove20
      @godlove20  2 ปีที่แล้ว +2

      Yes Brother.. Singida imepangika Sana. Kila mtaa na sehemu unafika kwa Barabara bila shida

    • @yohanabundala9162
      @yohanabundala9162 2 ปีที่แล้ว

      Singida imepangiliwa vizur kama Manispaa ya shinyanga sema tu singinda gari ni chache bajaji kibao, Zimepangiliwa vzur maana ni tambalale

    • @yohanabundala9162
      @yohanabundala9162 2 ปีที่แล้ว

      Singida imepangiliwa vizur kama Manispaa ya shinyanga sema tu singida gari ni chache bajaji kibao, Zimepangiliwa vzur maana ni tambalale

    • @godlove20
      @godlove20  2 ปีที่แล้ว

      Kabisa kqka..Singida waliipanga vizuri sana

  • @eliudmkondo4290
    @eliudmkondo4290 2 ปีที่แล้ว

    Duu nimefika Singida kwa macho

    • @godlove20
      @godlove20  2 ปีที่แล้ว

      Yes Brother..umefika kabisa..Nashukuru Sana kaka

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq ปีที่แล้ว

    Nyumbani hogera kunifikisha kwa macho

  • @hamisharuna3382
    @hamisharuna3382 2 ปีที่แล้ว

    Nyumbani kumepangwa

    • @godlove20
      @godlove20  2 ปีที่แล้ว

      Kupo vizuri Sana kaka

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 2 ปีที่แล้ว

    ♥️🙏🏻🙏🏻🙏🏻🔥🇹🇿

    • @godlove20
      @godlove20  2 ปีที่แล้ว

      ❤️❤️❤️

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว

    Serikali lnajitahidi Sana singida lnaoneka Vizuri

    • @godlove20
      @godlove20  2 ปีที่แล้ว

      Yes Brother. Waipanga vizuri na barabara nyingi Lami

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว

      @@godlove20 Mimi Nipo Durban South Africa lakini Tanzania nimexaliwa East zouu Yaan ninamaanisha Dodoma

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว +1

      @@godlove20 Singida na Dom muonekano wake Ni sawasawa na Dom but l never visit Dom almost 17 now but next Year l hope nikija bongo lazima Niende Dom

    • @godlove20
      @godlove20  2 ปีที่แล้ว +1

      @@smukelomkhize9775 Yaani kama Dodoma ndio imebadilika kabisa.. Inajengwa hatari baada ya miaka 5 au 10 itakuwa moja ya majiji makubwa kabisa Tanzania