Mwanamke ni kiumbe Dhaifu sana, lakini ni mtu wa ajabu sana kwenye kufanya maamuzi magumu, akiamua kufanya maamuzi magumu anafanya bila kuangalia jamii itamchukuliaje, Huyo ndio mwanamke "MVUMILIVU".
Brother ongera kwa funzo zuri kabisa kitu wanaume hawaelewi wamezaliwa na mwanamke na ewo ndo wanawakuza wakiumwa jicho lamwisho ni mkewe ata kupumuzi la mwisho ni mwanamke maskini inauma wallah
Inaumiza kweri, mwanaume kweri hawaaniniki, nashukuru ibrathadone kwani napitia haya kwa sasa na umenielimisha namna ya kuihadle sasa hivi, na ubalikiwe watching from saudi arabia but a Kenyan
Maneno ya ibra inaniumiza Sanaa moyoni mwanaume mwgne ata ukimpenda kiasi gani lazima akusaliti na akudarau wcha tu wlh naumia sanaaa
Yan sjui uwape nn ndo waridhike tena wakikaa kwenye vigenge vyao wanafundishan ujinga tupu
Pole sn my
Upendo tulio nao wanawake siufananishi mpaka usikie mwanamke amechoka basi jua kachoka kweli
Brother ongera kwa funzo zuri kabisa kitu wanaume hawaelewi wamezaliwa na mwanamke na ewo ndo wanawakuza wakiumwa jicho lamwisho ni mkewe ata kupumuzi la mwisho ni mwanamke maskini inauma wallah
Hapo umesema kweli kaka mwanamke akisema imetosha imetosha🇰🇪🇰🇪
daaaa pole sanaaa umenikumbusha mbali Sanaa,wanaume wakiamuwa akuna ataa chakuwakosea🙏
Inaumiza kweri, mwanaume kweri hawaaniniki, nashukuru ibrathadone kwani napitia haya kwa sasa na umenielimisha namna ya kuihadle sasa hivi, na ubalikiwe watching from saudi arabia but a Kenyan
Sijui kwann wanaume hutoka injeyandoa wakati mke anatimixa majukumu yake kama mke lkn bdo mwanaume wewe wadanga tuu sijui mwatafutagaa vaaina gani😥😥😥
Mnao dislike niwale wale kamati yarohoo chafu mafunxo mazuri mwadslike
Kwani wanasikia hawa atauwambie vipi ibra haiyelewi hii
Honger sana ❤❤❤❤
Hongera kaka kwa kioo Cha jamii may you live long life
Yani kaka huna baya ibra hongera
Dah shoo kali mno nzuri san
Nakupenda sana kaka yangu.niko drc
Kweli mm niliamuwa kuondoka kabisa mwanamke akicho ni hivo unamafundisho poa sana
Hongera sana ibra thedon
Ukweli Wanaume , daaah . Sometimes you think , why God created Adam na Hawa. Better he could Only remain Adam au kizazi cha madume tu. 😭😭😭😭😭😭
Kongoleee Ibraaa maneno yako yanagusa wengi
❤❤❤ hakika kabisa
Mwanamke ndie mtu jasiri pekee duniani n akichoka jua kachoka kwl
Hongera sana Ibra
Aise nzuri sana ninge pata ata namba ya Ibrah thedon ata awe nani mpa ushauri ita kuwa fresh tu maana nafata video zake sana
Angeweka namba zake umu tukamtafuta wassap
Mbona namba ipo hapo mwisho ,Yupo vizuri mungu amzidishie
Imenitoa machozi kabisa
Wao mzuri sana 🥰🥰
waooo good women
Ibra unaweza yaan huwa maneno yako yanajenga sana
Ndo maana nakukubaligi bro
Nzuri sana
Kazi poa bro kaza tutafika one day yes
maneno matumu sana kwa Ibrah,
Daaaaaaah uvumilivuu
Ibraa
Nakukubali Sana mzee baba
Nice ❤️❤️❤️❤️
Big up Sana brother ibra
Nikweli yacjekunikuta na mwamin wangu
Iko kwa uzuri hiii movie
Sehemu ya pili iko wapi jamani
Kaka ibrah the don unafundisha sana
💯
🎉
Kaka Ibra yana nikumbusha mengi hata mimi yaliayi nifikiya ila siku nimechoka nilikamata mamzi
Maneno mazur sana kk
obrigado ibra por seu conselho
Uvumilivu ni muimu sana
Pore🙊🙊🙊🙈🙈🙈😭😭😭😭
Kaka hi kazi nzr sna na ya kibunifu na inamafunzo plz zidini kuzitangaza ili watu wapone kupitia dawa hiii
Mmmmmm
Wanaume mubadilike puuuty umaraya munatutesa.tu.mavi nyinyi
Huyo mwanamke kalelewa na kaleleka kiukwer
Wanaume mungu anawaona dahh
🙏❤
Wanaume Hawa daah😥😥
Kwanini tama wakati uko na bibi yako nyumbani ?
n kweli
Swadankita
Twaingoja
Inauma kwa kweli 😢😢
Hassani nasaba Kidonti
Ukuje hapa
Falcao TZ
Ibra unanifundisha xna Hadi inafkia muda napata ujasri wa kuamua
Jambo mukubwa unasema ivi natamani kukuona kabisa
Hi
😭😭😭😭🤔🤔
😭😭😭😭😭