Jiji la Mwanza ni fahari ya maendeleo ya Tanzania. Kwa kufahamu zaidi tazamana vidio hii maalumu iliyotayarishwa na mwandishi wa DW jijini Mwanza Dotto Bulendu
DW Kiswahili hii habari imekosewa kwa upande wa takwimu ya idadi ya watu kwamba ni laki nne ni uongo,takwimu za sensa ya watu ya Tanzania ya mwaka 2012 inaonyesha wilaya za Nyamagana na Ilemela zinazounda jiji la Mwanza kwa pamoja zilikuwa na watu zaidi ya laki 6 sasa leo ni miaka 7 imepita na mji wa Mwanza kwa sasa umechukua hadi baadhi ya maeneo ya wilaya za Magu na Misungwi mf Usagara na Kisesa inawezekanaje ikawa na watu laki 4?
Samahani sana sana 😭😭😭🙏🙏🙏🙏Unaweza kunisaydiya kunijibu swali muhim sana sana sana. Kuhusu chuo cha thaqeb tanzania mwanza kilmahewa sokoni 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏Nimuhim kwangu sana 🙏🙏😭
Kwanza kabda hujatukana jifunze vizuri ili uwe muelevu wa kuandika na kufagham hii lugha yeye sisi sawa?halafu mpe salam mama nyumbani mwambie baba ako wapili anamsalimia sawa?chogoooo waheeedi,hayawaani unusu.
Magufuli anaiba fedha za kodi Arusha, Mbeya, Kilimanjaro kwenda kujenga Mwanza. Hivi Watanzania niwaambie mara ngapi. Mnayo reli ya Mombasa, mnayo majeshi yenu, mnayo madini, mnavyo viwanja vya ndege anzisheni nchi yenu.
Mwanza ni jiji. Sio mji. Na jiji lazima iwe na watu isiyopungua milioni mmoja. Sasa nashangaa eti laki nne??? Bac mwanza ni manispaa na sio jiji. Je ni hivo???
Sasa kama Arusha ina jumla ya watu milion moja na laki tano, je Mwanza itakuwaje na watu laki nne tu??? Hii itakuwa sio kweli..labda angezungumzia million4 na kuendelea bac ningekubali..we hapa Mbulu tukiunganisha na Haydom tayari itakuwa na watu laki4 afu eti uniambie Mwanza jiji iwe na watu laki4?? Afu iko hivi mji wowote duniani haiwezi kuitwa jiji ikiwa na watu chini ya million moja, kwa maana hiyo mtangazaji ni mwongo mkubwa kabisa, ananiboa kiasi kwamba nakaribia kujisikia kichefuchefu. Duuhhh...
@@yohanabundala9162 ndio maana nikakwambia kwanza jifundishe kuzungumza na kuandika hii lugha iliokuwa ya kigeni kwako?kwanza katika lugha yangu mimi hakuna neno linaloandika au kutamkwa kukela sawa?lakini lipo lipo neno linaloandikwa na kutamkwa kukera sawa?usione aibu ukitaka kujua lugha hii iliyokuwa wewe sio yako ni Taasisi ya Kiswahili na lugha za kigeni wapiiii...........?
Naipenda mwanza yang😘
Jiji zuri sana maisha rahis mno
Mwanza, mwanza❤❤
peoples million 4 bhana huyu jamaa anaboa bwana
Mji wa Mwanza ni mzuri, maisha ya Mwanza ni mazuri
Can build a house when am not citizens of Tanzania
Yes is if you're civil engineer
Yes you can
You can build a house but cannot possess one!
DW Kiswahili hii habari imekosewa kwa upande wa takwimu ya idadi ya watu kwamba ni laki nne ni uongo,takwimu za sensa ya watu ya Tanzania ya mwaka 2012 inaonyesha wilaya za Nyamagana na Ilemela zinazounda jiji la Mwanza kwa pamoja zilikuwa na watu zaidi ya laki 6 sasa leo ni miaka 7 imepita na mji wa Mwanza kwa sasa umechukua hadi baadhi ya maeneo ya wilaya za Magu na Misungwi mf Usagara na Kisesa inawezekanaje ikawa na watu laki 4?
Rock City
Samahani sana sana 😭😭😭🙏🙏🙏🙏Unaweza kunisaydiya kunijibu swali muhim sana sana sana. Kuhusu chuo cha thaqeb tanzania mwanza kilmahewa sokoni 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏Nimuhim kwangu sana
🙏🙏😭
Mji wa mwanza maisha ni rahisi hasa kwa upande wa chakula
Mda c mrefu Mwanza itakua na Manispaa 4, Magu na Misungwi zishaanza kukutwa na jiji.
Kwanza kabda hujatukana jifunze vizuri ili uwe muelevu wa kuandika na kufagham hii lugha yeye sisi sawa?halafu mpe salam mama nyumbani mwambie baba ako wapili anamsalimia sawa?chogoooo waheeedi,hayawaani unusu.
Magufuli anaiba fedha za kodi Arusha, Mbeya, Kilimanjaro kwenda kujenga Mwanza. Hivi Watanzania niwaambie mara ngapi. Mnayo reli ya Mombasa, mnayo majeshi yenu, mnayo madini, mnavyo viwanja vya ndege anzisheni nchi yenu.
Mwanza ni jiji. Sio mji. Na jiji lazima iwe na watu isiyopungua milioni mmoja. Sasa nashangaa eti laki nne??? Bac mwanza ni manispaa na sio jiji. Je ni hivo???
Ni watu millioni 4
Kweli linajumla ya watu laki4 au milion 4 ndugu mtangazaji umechapia
watu laki 4 mbona ndugu mtangazaji unachapia
Katoliki
sio lk 4 m4
Milion haifiki boss
watu million 4 sio laki 4 bna
Sasa kama Arusha ina jumla ya watu milion moja na laki tano, je Mwanza itakuwaje na watu laki nne tu??? Hii itakuwa sio kweli..labda angezungumzia million4 na kuendelea bac ningekubali..we hapa Mbulu tukiunganisha na Haydom tayari itakuwa na watu laki4 afu eti uniambie Mwanza jiji iwe na watu laki4?? Afu iko hivi mji wowote duniani haiwezi kuitwa jiji ikiwa na watu chini ya million moja, kwa maana hiyo mtangazaji ni mwongo mkubwa kabisa, ananiboa kiasi kwamba nakaribia kujisikia kichefuchefu. Duuhhh...
watu laki nne tyuu dar milion 5
All thanks is For you Jesus Kajichanganya Mwanza kuna watu zaidi ya milion mbili
Nyinyi wapuuzi m'nayo bahari hapo?au ndio baba Nynyeee kasema atakuleteeni bahari?
Toa ufala wako hapa nyambafu wewe
Mpuuzi mama Ako,,
@@yohanabundala9162 Kabla hujatukana jufunze lugha yetu sawa?mpe salam mama nyumba mwambie babaako wapili anamsalimia sawa?
We uliesema nyie Wapuuzi huja2kana!? Kaa ukijua umekela watu Wengi,,
@@yohanabundala9162 ndio maana nikakwambia kwanza jifundishe kuzungumza na kuandika hii lugha iliokuwa ya kigeni kwako?kwanza katika lugha yangu mimi hakuna neno linaloandika au kutamkwa kukela sawa?lakini lipo lipo neno linaloandikwa na kutamkwa kukera sawa?usione aibu ukitaka kujua lugha hii iliyokuwa wewe sio yako ni Taasisi ya Kiswahili na lugha za kigeni wapiiii...........?
Hakuna k2 apo
Don bongo bado kuna mosh2 Murphy noo acha upumbavu unapajua mwanza wewe
Samahani naweza kuuliza swali muhim kuhusu tanzania mwanza kilmahewa sokoni chuo cha thaqeb Naomba unisaydeye unijibu nimuhimsana 🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭