JIWE MAARUFU DUNIANI LIPO NDANI YA MAJI, WATU UFIKA KUTOA SADAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Bismarck Rock limekuwa jiwe maarufu kwa kulitambulisha Jiji la Mwanza Duniani, imekuwa kivutio kwa Watu wengi hata kwa wageni kwenda kupiga picha kwenye hilo jiwe lililoko ndani ya maji eneo la Kamanga Mwanza.

ความคิดเห็น • 21

  • @mozb3853
    @mozb3853 3 ปีที่แล้ว +5

    Hilo jina sijalipenda, kwanini hilo jiwe lisipewe jina la Kiswahili? Inabidi tuendeleze utamaduni wetu

  • @emanuelnehemiah8093
    @emanuelnehemiah8093 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @leahsamson9354
    @leahsamson9354 ปีที่แล้ว +2

    TATUTEN JINA LA KISUKUMA , HILO LA KIDHUNGU HAPANA

  • @malimanyanja562
    @malimanyanja562 ปีที่แล้ว +1

    kwa nini lisiitwe jiwe la mwana malundi

  • @ashwajeshi1558
    @ashwajeshi1558 5 ปีที่แล้ว +2

    Can't wait to visit😍😍

    • @samateryussuf5938
      @samateryussuf5938 4 ปีที่แล้ว

      do not waste your time , you will be disappointed

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 3 ปีที่แล้ว +1

    Ewaaaaaa, swadkta

  • @samateryussuf5938
    @samateryussuf5938 4 ปีที่แล้ว +1

    watu pia huvuka kujitoa sadaka kama vile mv nyerere

  • @AloyceSamson-l8b
    @AloyceSamson-l8b 8 หลายเดือนก่อน

    vp kaka mim kunakitu nataka hunisahidie kit

  • @kelvinlupele6720
    @kelvinlupele6720 5 ปีที่แล้ว +4

    Hilo ndilo jiwe ambalo wimbo wa nyegezi ilifanyiwa vedio ama +254🇰🇪

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 5 ปีที่แล้ว +2

    Sumatra Mko wapi life jacket hazina lights mtu ataonekana vp akidumbukia majini usiku life jackets hazijakuwa approved with solas Au mpaka mtu afe

    • @maryaika9645
      @maryaika9645 ปีที่แล้ว +2

      You can find new life jackets
      Instead of criticising little they can afford

  • @maryaika9645
    @maryaika9645 ปีที่แล้ว

    Saudi imara safisana

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimemic Home jaman. Millardayo njoo unichukue huku niliko nimepamic Home

  • @edgarchristopher4147
    @edgarchristopher4147 8 หลายเดือนก่อน

    Nitakuja siku moja

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 5 ปีที่แล้ว

    Itatuchukua muda mrefu sana kuelimika, Afrika kwa imani za kishirikina itaendelea kudidimia siku hadi siku lakini wenzetu hususani nchi zilizoendelea zitazidi kupiga hatua siku hadi siku maana hazijaegemea sana kwenye mambo ya kishirikina.

    • @malimanyanja562
      @malimanyanja562 ปีที่แล้ว

      Ww ni mjinga kama wajinga wengine ushirikina upo wapi apo

    • @lilianestephanie7881
      @lilianestephanie7881 5 หลายเดือนก่อน

      Eti hazijaegemea. Umejuaje??