MAGUFULI 'Alivyomuita' LOWASSA hadharani "njoo hapa mbele"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • MAGUFULI 'Alivyomuita' LOWASSA hadharani "njoo hapa mbele"
    Rais Dkt John Magufuli, leo Novemba 27, 2018, anafungua Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
    Ufunguzi huo umehudhuriwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Rdward Lowassa, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na viongozi wengine wa chuo hicho.
    Kabla ya kuanza hotuba yake Rais Magufuli, akaamua kuwaita viongozi na waasisi wa Taifa hili ambao walipata elimu yao kwenye chuo hicho akiwemo Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Jaji Mstaafu, Damian Lubuva, Jaji Msaafu Warioba na wengine.
    #RAISMAGUFULI #UDSM
    Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw
    Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL
    Website: www.globalpublishers.co.tz
    FaceBook: globalpublishers
    Instagram: globalpublishers
    Twitter: GlobalHabari
    Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.co....

ความคิดเห็น • 183

  • @angelusilljujalijuja9852
    @angelusilljujalijuja9852 5 ปีที่แล้ว +30

    LOWAASA Mzee wangu ludi nyumbani pia Mzee kwasasa pumnzika na family yako Mzee uko wanakutumia baadae watakuacha apo wakati wameisha kunyonya uchumi wako Mzee nakushauri tu

  • @erickpascal2249
    @erickpascal2249 5 ปีที่แล้ว

    Rais wa Tanzania, Mpaka Africa

  • @riwaladislaus3913
    @riwaladislaus3913 5 ปีที่แล้ว +10

    Asante kwa mualiko Asante kwa kazi nzuri

    • @safarimallya4536
      @safarimallya4536 5 ปีที่แล้ว

      Riwa Ladislaus nimetafakari Sana na nimependa ustarabu wake.
      Mungu ibariki TZ

    • @mtakamamwiguto1664
      @mtakamamwiguto1664 5 ปีที่แล้ว

      Riga Ladislaus

  • @maceykasasali7808
    @maceykasasali7808 5 ปีที่แล้ว +14

    asante mh.raisi kwa kutokujali huyu ni mpinzani maana tanzania haina chama sote ni wamoja piga kazi na fanikisha malengo ya taifa letu👏👏👏👏👏

  • @tegezdomin8363
    @tegezdomin8363 5 ปีที่แล้ว +40

    Nyie acheni,ulichoandika hapo najinsi alivyoitwa ni tofauti acheni uchochezi wenu

    • @hawaali8107
      @hawaali8107 5 ปีที่แล้ว +1

      Sahihi unachosema

    • @dorothywakake534
      @dorothywakake534 5 ปีที่แล้ว +3

      Ndio, hawaandikagi ukweli hawa, wanapenda kukuza tu mambo. Ukifuatilia vichwa vyao vya habari na kinachoendelea ni tofauti sana

    • @hassanomaryselemani418
      @hassanomaryselemani418 5 ปีที่แล้ว +2

      Wachonganishi hawa!

    • @wandomligite7889
      @wandomligite7889 5 ปีที่แล้ว +1

      Tegez Domin kuna waandishi ni wachochezi kama huyu alieandika hicho kichwa cha hbr kumbe na ww umeona loooh

    • @amonsanga6209
      @amonsanga6209 5 ปีที่แล้ว +1

      Tegez Domin kweli wala hajaitwa kama maandishi yanavyosema watu kukuuza maneno jamani

  • @mbarakbausi4907
    @mbarakbausi4907 5 ปีที่แล้ว

    Tanzania will never get rasii kama magufuli in u life wapi like ya magufulii

  • @johnbernad9399
    @johnbernad9399 5 ปีที่แล้ว

    Tunahitaji vionhoz wazarendo kamahawa mungu wabarik vionhoz mungu ibarik tanzania

  • @octaviangeorge3049
    @octaviangeorge3049 5 ปีที่แล้ว

    Napenda kutumia nafasi hii kwanza kumshukuru mungu kwa kunifanya niione siku ya leo. Lakn namshukuru pia mungu kwa kutupa rais mteule na mwadilifu .nakupenda rais uishi milele rais na ubarikiwe maana kaz yako yaonekana. Lakn pia nina ushauri kuusu elimu. N vyema elimu yetu ikajikita sana kutufanya tuweze kujiajili bila kuitegemea serikal na hii itatufanya kuinua uchum asa wa viwanda kama ilivyo mingo ya miaka kumi yaan Tanzania ya viwanda

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 5 ปีที่แล้ว

    Mbona amemkaribisha vizuri kasema "karibu mh Lowasa,, au nyie Global napo ni wale wale

  • @edwardgwaspika4943
    @edwardgwaspika4943 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mh. Rais kwa kuwashirikisha viongozi waliwahi kusoma UDSM ni jambo jema sana....!

  • @aayanayo8800
    @aayanayo8800 5 ปีที่แล้ว

    Waandishi na watoa taalifa mnafanya uchochezi, kwani kumwita njoo mbele amekosea kitu gani? Sometimes acheni kupotosha uma

  • @francolazaro8646
    @francolazaro8646 5 ปีที่แล้ว +3

    Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaa🤘🏿🤘🏿🇹🇿

  • @alexsindiyo7111
    @alexsindiyo7111 3 ปีที่แล้ว

    Kwelii

  • @mohamedmakanyira8524
    @mohamedmakanyira8524 5 ปีที่แล้ว +5

    Naipenda Tanzania!

  • @renatusjboniphace1682
    @renatusjboniphace1682 5 ปีที่แล้ว

    Saf sana kaz nzur

  • @godfreymwaikeke1564
    @godfreymwaikeke1564 5 ปีที่แล้ว +2

    Sisi ni wamoja tu damu ya baba mmoja na mama mmoja Mungu bariki uzao wa taifa LA TANZANIA.

  • @shebymnazi1175
    @shebymnazi1175 5 ปีที่แล้ว

    Lowassa ndo Mtoto aliyolelewa kwenye maadili mema Ee Mwenyezi Mungu mjaariye kila LA kheri

  • @stephanomapai7970
    @stephanomapai7970 5 ปีที่แล้ว +20

    Wengi wanaomchukia magufuli ni vyeti fek

  • @dorothywakake534
    @dorothywakake534 5 ปีที่แล้ว +2

    Msipende kukuza mambo viombo vya habari. Mheshimiwa Rais hajamwita Mheshimiwa Lowassa kama mnavyosema eti 'njoo hapa mbele. Amemwambia karibu mheshimiwa.

    • @kikaelvis4116
      @kikaelvis4116 5 ปีที่แล้ว

      Wanaandika vichwa vya habari ambavyo sio maana ya ujumbe ulioko ndan nishida San

  • @isayaibrahim9703
    @isayaibrahim9703 5 ปีที่แล้ว

    Amani ishafika tz

  • @sosthenesmaendeleo6802
    @sosthenesmaendeleo6802 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera serikali kwa kukijali chuo kikuu cha Dar es Salaam

  • @danielmenganyi8075
    @danielmenganyi8075 5 ปีที่แล้ว

    Short & brief ....lowassa gd.

  • @tinevimbologisticsltd7225
    @tinevimbologisticsltd7225 5 ปีที่แล้ว +6

    Global acheni unafiki na uchochozi kauri mnazo andika ili mpate vews wengi sio vizuri huo ni uchochezi kuweni na adabu. Hao ni viongozi sio wa kiwachonganisha.

    • @dorothywakake534
      @dorothywakake534 5 ปีที่แล้ว

      Mimi wananikera sana

    • @ezekielmichael3854
      @ezekielmichael3854 5 ปีที่แล้ว

      TINEVIMBO LOGISTICS LTD ulichoongea ni kwel kabisa ise wanachonganisha tu

  • @galuskunambi6676
    @galuskunambi6676 5 ปีที่แล้ว +1

    maisha ya MTU wAchini yatasongaje sabuni kipande 300 nondi22000 Bari 20000unapenda tukae kwenje nyumba za nyasi

  • @thomassamwel4815
    @thomassamwel4815 5 ปีที่แล้ว +9

    Hapo ndio utaona umuimu wa kuwa naupendo na mxka mano awa ndio chachu ya maendeleo piga kaz mh Jonh Joseph Maguful wewe ndo number moja na unasimama vyema kwenyeiyo number

    • @pendomarco9307
      @pendomarco9307 5 ปีที่แล้ว

      vinahusiana nini na korosho

    • @farajihmandisa2495
      @farajihmandisa2495 5 ปีที่แล้ว

      imarisheni chama wacha ujinga korosho zinahusu nini vyeti feki mafisadi ndiyo wanae andika matusi humu na maneno ya kumkashifu Magufuli na serikali yake wasisikie neno linalo husu serikali hatakama raisi Magufuli atahutubia mkutano kwa uwazi na sote tunamsikiliza akimaliza tu wasikie watakavyo potosha Magufuli amemtuma Lowassa akawaambie wapinzani wataishia kufungwa gerezani tumesikia akisema anamsifu Lowassa kwa uzalendo wake alowassa ni mpinzani makini kuliko wale wanaovunja sheria za inchi wataishia magerezani sasa ulitaka aseme wapi wasiko kuwepo hao majaji wa mahakama au wasisikie kinacho semwa na Magufuli zitto huchoki kulambalamba hizi koni inaonekana umashaachia jimbo mapemaaa kilakukicha wewe na lamba lamba tu koni za waandishi wa habi halafu hatushangai wapinzani popote pale walipo hutumia nguvu sana kuliko weledi ndiyo maana wanafeli afadhali hapa kwetu wapinzani wanakufa polepole kuliko kwa wenzetu wapinzani lazima wafe kimabavu wawekwe manundu hoi utasikia besgwe kama hayupo kimyaaaa wametulizwa muse bwana dikiteta wapii hataki kucheka na nyani asije vuna mabuwa kwanza jina lenyewe siyo zuli badilisheni jina upinzani ni kupinga tu kilakitu hata kizuri napendekeza jina jiiteni wakumbushaji pale serikali ilipojisahau lakini upinzani sijaona upinzani ukachochoa maendeleo upinzani lazima uchochoe chukitu na asira kwawengine tubadilisheni jina hili napendekeza

    • @bethodmahenge315
      @bethodmahenge315 5 ปีที่แล้ว

      Thomas Samwel 0

  • @josephmkongwi8879
    @josephmkongwi8879 5 ปีที่แล้ว

    Njoo hapa mbelee.mungu anawaona

  • @michaelmalima2833
    @michaelmalima2833 5 ปีที่แล้ว +13

    MAGUFULI NI RAIS WA AFRICA HATA LOWASA AMEKUBALI

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 5 ปีที่แล้ว +4

    Asante kwa mualiko.

  • @joisgidion924
    @joisgidion924 5 ปีที่แล้ว

    love you My country❤️

  • @sadickrajabu1191
    @sadickrajabu1191 5 ปีที่แล้ว

    Kabudi unajuaga sana na vitu Vinci sana kichwani

  • @andersonnyahove2867
    @andersonnyahove2867 5 ปีที่แล้ว +4

    Aschojua Rais kuwa hata kwa mwonekano tu Lowassa amekerwa na kauli za kuwafunga magerezani wapinzani anadhani wanaomshangilia basi kila mtu anapenda kauli za vitisho.

  • @ramadhanisakalani8372
    @ramadhanisakalani8372 5 ปีที่แล้ว +2

    Asanteee sana lowasaa tume kupata

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 5 ปีที่แล้ว +20

    Mzee lowasa tumekuelewa

  • @dimitrybt7410
    @dimitrybt7410 5 ปีที่แล้ว

    Aise

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 5 ปีที่แล้ว

    Hivi Mzee Lowasa sio mmoja wao kweli ,mbona hata mienendo yako ni kama wao

    • @nawihadj6674
      @nawihadj6674 5 ปีที่แล้ว

      lowasa ni ccm damu damu

  • @rahmajumanne8438
    @rahmajumanne8438 5 ปีที่แล้ว +2

    Kazi yangu nikuxoma comment tu. Kwama povu tyuu hamjambo 💃💃😏😏

    • @aishaissa5688
      @aishaissa5688 5 ปีที่แล้ว

      Rahma Jumanne utaishia kulalamika tu mtandaoni😀😀😀🚶🚶🚶

    • @aishaissa5688
      @aishaissa5688 5 ปีที่แล้ว

      Rahma Jumanne wataishia kulalamika ( juu nimekosea)

    • @rahmajumanne8438
      @rahmajumanne8438 5 ปีที่แล้ว

      Aisha issa wanachoxha xana waandi wahabari kwauchochezi maneno hayaendani naandixhi 😂😂

  • @vicentbosta7270
    @vicentbosta7270 5 ปีที่แล้ว

    Good speech Prof. Luoga

  • @leonardmwazembe6810
    @leonardmwazembe6810 5 ปีที่แล้ว

    Few words

  • @jajatz3053
    @jajatz3053 5 ปีที่แล้ว +1

    Acheni uchochezi media azipo hivyo

  • @husseinsalimmaula4254
    @husseinsalimmaula4254 5 ปีที่แล้ว +1

    Qama tadinu tudanu haya ni maneno ya kiarabu ambayo tafsiri yake yana maana unachowatendea wenzio nawe utatendwa vivyo hivyo kama ni Wema utalipwa Wema kama ubaya utalipwa ubaya .

  • @josephpeter5957
    @josephpeter5957 5 ปีที่แล้ว

    kiukweli mh magu ni kiongoz wa mfano , nyie wengine igeni kwake naamin tutakua taifa kubwa sana.

  • @Ba63828
    @Ba63828 5 ปีที่แล้ว

    NANYI GLOBAL TV MNAWEZA KUPOTOSHA?

  • @florameza3491
    @florameza3491 5 ปีที่แล้ว

    Hivi lowasa alisogea?

  • @munamwangu7737
    @munamwangu7737 5 ปีที่แล้ว

    Tunasoma kweli ila ajira hakuna .kama VP tupeni hata mikopo hata 50000=tukauze karanga

  • @ruthmasoli2030
    @ruthmasoli2030 5 ปีที่แล้ว

    Kwa kauli hz mh

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 5 ปีที่แล้ว

    Mzumbe university usitusahau mheshimiwa na sisi tunahitaji maktaba ya kisasa kama udsm sir

  • @dallydominick1673
    @dallydominick1673 5 ปีที่แล้ว

    Lowasa usipoangalia unafeli maana kama ni cv ushaitengeneza ya kutosha pumzika kafanye biashara zako huko maana pesa unayo kibao

  • @bilalialliy7757
    @bilalialliy7757 5 ปีที่แล้ว

    Hapo wote walioitwa mbele lowasa pekee ndiyo MTOTO alielelewa malezi yakusalimia wote hawaja salimia zaid ya lowasa

  • @khalidricco3907
    @khalidricco3907 5 ปีที่แล้ว

    HUYU KABUDI NI MNAFIQ SANA.

  • @ephraimndelwa4073
    @ephraimndelwa4073 5 ปีที่แล้ว

    Hakika Jpm ni rais wa africa

    • @zuhuuushabani3730
      @zuhuuushabani3730 5 ปีที่แล้ว

      elfu mbil name 20 ukawa lazima tuwe ikulu tufanye mambo mapy kauli mbiu hapa kazi 2hatimay kula mwana nchi ana lal mika hali ngum mtulegeze kidogo jaman tuna teseka San jaman Tanzania

  • @giftayub9329
    @giftayub9329 5 ปีที่แล้ว +1

    Rais hatakiw kuw nachuk saf sn

  • @atheistblood8568
    @atheistblood8568 5 ปีที่แล้ว

    Wapi kumuita njoo nyie acheni uboya wehu nyie!!!!

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 5 ปีที่แล้ว

    Acheni chuki acheni uchochezi acheni unafiki

  • @barakabahati4315
    @barakabahati4315 5 ปีที่แล้ว +4

    no comment tunashukuru mkopo elimu ya juuuu

    • @daniiboaa9337
      @daniiboaa9337 5 ปีที่แล้ว

      Kuna maisha baada ya mkopo

    • @benardzephania7728
      @benardzephania7728 5 ปีที่แล้ว

      WAANDISHI WA HABARI MMEKUWA MAMRUKI. ULICHOANDIKA NI TOFAUTI NA KINACHOTENDEKA. NDO MAANA MAGAZETI HAYANUNULIWI KWA KUANDIKA UONGO NA MNATUMIWA NA UPINZANI KUPOTOSHA

  • @lucaslucaswalogwa9524
    @lucaslucaswalogwa9524 5 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa rais vipi kapoda masai kuweka usoni natamani uonekane kama mzungu hivi

  • @khatibalamin401
    @khatibalamin401 5 ปีที่แล้ว

    Kabudi ni nondo! 😅😅😅😅 nakukubali sana

    • @joycefrancis4927
      @joycefrancis4927 5 ปีที่แล้ว

      Usema kweli Raisi magufuri mungu alikuweka tumboni mwa mama yako kwa makusudi ili uje kulitetea nnchi ya Tanzania mungu akubariki akupe maisha marefu

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 5 ปีที่แล้ว

    Lowassa angekuwa rais ingependeza na anapendezea

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 5 ปีที่แล้ว

    Jaji luvuba kama ulivyotekeleza uwizi wa kura....

  • @ziadaalute6836
    @ziadaalute6836 5 ปีที่แล้ว

    Bifu zinamwishoo,pigakeleleeee kwa Lowasaaa

  • @fednarndmosh7068
    @fednarndmosh7068 5 ปีที่แล้ว

    kama una akili timamu huwezi kufurahia kauli hii inadhihilisha kwamba nchi imekuwa kama familia yake anaipeleka anavyoitaka

  • @cossanwambura1065
    @cossanwambura1065 5 ปีที่แล้ว

    Wewe mwandishi hufai

  • @frankgaspar690
    @frankgaspar690 5 ปีที่แล้ว

    Likabudi limeongea pumba,eti wanachuo waone kama udsm haina majengo

  • @georgewamel8358
    @georgewamel8358 5 ปีที่แล้ว

    Mc ni nani hapo??

  • @kneeslazaro5172
    @kneeslazaro5172 5 ปีที่แล้ว

    Global channel ndo kuwa nawakubali Sasa mmeanza kuwa na mihemko kichwa cha Habari hakishabikiani na kilichosemwa nakaribia kuwaunsubscribe.

    • @yusuphbalali3663
      @yusuphbalali3663 5 ปีที่แล้ว

      Watu kama hawa ndy wanaitwa wachochezi, ni mbaya sana kuandika, kitu ambacho hakipo.

  • @atusheatushe7038
    @atusheatushe7038 5 ปีที่แล้ว +1

    Shida ya ss wabongo hatana ubongo shangwe ninyingi sana nahazina mana tunapata shida viongoz sikuzote musijaze masifa mingi niujinga wahali yajuu viongozi wakitanzania wengi niwezi nawazodi kua matajili nigali nzuli kutembelea

  • @nurukwawote4716
    @nurukwawote4716 5 ปีที่แล้ว

    LOWASA ANAENDELEA KUSAFISHWAAAA

  • @agustinechapakaz5101
    @agustinechapakaz5101 5 ปีที่แล้ว +17

    nyie mnao komety mambo yaovyo nyie mnakolosho?? au mnaskia tu washamba nyiee

    • @blessedmoses4243
      @blessedmoses4243 5 ปีที่แล้ว +1

      Agustine chapakaz ndugu kila mtu anatoa maoni yake kulingana na akili yake kama wewe ulivyopata uhuru huu,yann maneno ya namna hii sasa

    • @shanijohn5202
      @shanijohn5202 5 ปีที่แล้ว

      Amna

    • @peterchristopher5216
      @peterchristopher5216 5 ปีที่แล้ว

      Unaeuliza kuwa tuna korosho siyo lazima tuwenazo, tetea kwa kuwakilisha wengine, kusema kitu kinachokuhusu tu, huo ni ubinafsi.

  • @johnsonfrodianus6237
    @johnsonfrodianus6237 5 ปีที่แล้ว

    Jpm

  • @potnews9702
    @potnews9702 5 ปีที่แล้ว +3

    Rais hajasema "lowasa njoo hapa mbele" amesema "karibu mheshimiwa lowasa" Global acheni kutumia lugha zakuvuta makini,, nyie ni chombo tunachokiamini LA sivyo tutaanza kupuuza Hata kufungua clip zenu tukiamini kuwa mnatuhadaaa tu!!

  • @zefaniamtwale7104
    @zefaniamtwale7104 5 ปีที่แล้ว +3

    Nani asiyejua kuwa ccm bado mnamwogopa mzee lowasa? Kama unamkubali lowasa kwann usimkubali mh mbowe? Pia kukaa jela syo issue kwa mtoto wa kiume nawe utamaliza kipindi chako kama hutakaa wewe kitakaa kizazi chako na hii chuki kuna siku mtailipa

    • @salummuhija4435
      @salummuhija4435 5 ปีที่แล้ว +1

      Wamuogope ana nini sasa! Sema wanamuheshimu tu lakini haogopewi.

  • @bidesh1851
    @bidesh1851 5 ปีที่แล้ว

    Mzee baba kawa MC

  • @matindembaratani6221
    @matindembaratani6221 5 ปีที่แล้ว

    Magu bana hananga bifu na mtu

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 5 ปีที่แล้ว +2

    Tunaomba aongee Mh. Lowasa tu au Kiongozi wa upinzani yeyote aliyepo hapo, si hao akina Jaji Lubuva, warioba na Rais na wengine nyie wote ni Makada wa Ccm lenu moja ndiooo mzee na Kupora ushindi wa watu, Tunaomba katiba muiruhusu tuweke Tume huru ya Uchaguzi tuone kama mtashinda tena, mnashinda kwa Wuzi na Ubabe .

    • @elminakalunga4030
      @elminakalunga4030 5 ปีที่แล้ว

      Saganda Malecha Mpullo ha ha haaaaa!

    • @hurumasanga9840
      @hurumasanga9840 5 ปีที่แล้ว

      Mtasubir sana

    • @hurumasanga9840
      @hurumasanga9840 5 ปีที่แล้ว

      Mpate nafasi ya kuingoza nchi ipi nyie wachumia tumbo, endeleeni kutumika tu

    • @kindolek9257
      @kindolek9257 5 ปีที่แล้ว

      Kasema waliosoma hapo co kiongoz wa upinzan lkn nmependa kumbe Lowassa anatambua kuwa JPM ni rais tofaut na akiwa mbal nae anasema mtu wa hovyo

    • @laizerggama5115
      @laizerggama5115 5 ปีที่แล้ว +1

      Bichwa lako limelewa sumu ya upinzani hilo jukwaa halihusu unachokiongelea hapa. Kama unapenda speech za mzee lowassa kaitishe conference then mpe nafasi ya kuzungumza utakavyo wewe. Mijitu mingine sijui kama huwa inafikiria kabla ya kuandika chochote kwenye hizi platforms.

  • @stivejayngoga1403
    @stivejayngoga1403 5 ปีที่แล้ว

    Mwenyekiti wa ccm kumbe alikuwa udsm!

  • @brunomeshaki9059
    @brunomeshaki9059 5 ปีที่แล้ว +2

    MZEE ninakukubali sana ila sakata lavuvi Kigoma wambiye wasipige watu tunajua unatengenezea mahisha yabadaye

  • @nicksonarwa2785
    @nicksonarwa2785 5 ปีที่แล้ว +18

    naipenda sana nchi yangu lkn kauli za magufuli azina uzalendo kwa taifa watu wa kusini wanaangaika mpaka Leo awajapata hela ya Korosho unaleta siasa kwenye maisha ya watu serakali ndo wamekuwa wababaishaji kuliko wafanyabiashara wanakusanya wanachama wa ccm heti wanampongeza rais msidhani ss wakulima ni wajinga tunaona siasa zenu kwenye maisha yetu Korosho inachukua muda mrefu bado wakulima wanapigwa danadana pesa hakuna ndo maana kila siku sababu aziishi alafu kuna mabwege wanapongeza

    • @heartnsanya1182
      @heartnsanya1182 5 ปีที่แล้ว +2

      Ww umelima hizo korosho

    • @mobaisa9475
      @mobaisa9475 5 ปีที่แล้ว +1

      Heart nsanya 11 sio lazima alime tambua kuna watu wanaitwa watetezi wa wanyonge,,

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 ปีที่แล้ว

      Wewe si mjanja mbona unapigwa danadana shithole

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 5 ปีที่แล้ว +1

      Wewe acha uchochezi, usitafute KIKI na kujifanya unajua kuongea. Hakuna alie kutuma kuwasemea

    • @mophayajoseph5031
      @mophayajoseph5031 5 ปีที่แล้ว

      Nickson Arwa we unataka kauli gan labda au angeongeaje ili uone kaongea kauli ya kizalendo acha uchochez ww hapa kaz 2

  • @aishaissa5688
    @aishaissa5688 5 ปีที่แล้ว

    jamani cjui wewe mtoa hii post ulitumia utaalam ganikwa ujinga uliyo andika hapo juu mxxxxy

  • @manfredymahinya9511
    @manfredymahinya9511 5 ปีที่แล้ว

    luguva Mungu anakuona na nina uhakika atajibu kilio chetu

  • @nicksonarwa2785
    @nicksonarwa2785 5 ปีที่แล้ว

    salum mbwa wewe Fanya mambo yako hata kuandika ujui mbwa wewe

    • @mwajuma65a
      @mwajuma65a 5 ปีที่แล้ว

      Hivi kutukana ndio sifa ndugu yetu Nickson Arwa??? Hongera na hayo!

    • @benardzephania7728
      @benardzephania7728 5 ปีที่แล้ว

      WEWE MWANDISHI BADALA YA KUSIFIA WALICHOONGEA WASOMI UNAPOTOSHA WATU. HAKIKA GLOBAL MMENIKERA MNO LEO

  • @nicksonarwa2785
    @nicksonarwa2785 5 ปีที่แล้ว +1

    hivi mnaompongeza magufuli mna akili kweli watanzania mpaka Leo wakulima wanalia mahindi aina soko Korosho awajapata hela serakali ndo wamekuwa wababaishaji kuliko hata wale wahindi alafu kuna mapimbi wanapongeza kuweni na uzaendo kwenye ukweli lazima tuseme pili magufuli ana mamlaka ya kisheria kuwaukumu watu asiwatishe watanzania maana inaonekana hata katiba ajasoma kujua mamlaka yake inaishia wapi

    • @salummuhija4435
      @salummuhija4435 5 ปีที่แล้ว

      Wewe unalilia mahindi yapande bei wakati sisi walaji huku tunatamani tununue unga hata kwa mia tano. Wewe kama una mahindi yako ndani wape panya wale.

    • @josephjuma5215
      @josephjuma5215 5 ปีที่แล้ว

      +Salum Muhija nyoko ww tena mbwa kasoro mkia,huna akili wew kubwa jingaa watu wanalimaa Kwa gharama nyingi bila hata faida,stupid ww,chokoraa mkubwaaa,nyooooo

    • @nivardbaraka5363
      @nivardbaraka5363 5 ปีที่แล้ว

      Mbona mazuri husemi. bendera upepo wee

    • @josephjuma5215
      @josephjuma5215 5 ปีที่แล้ว

      +Nivard Baraka mazuri gani labda

    • @aishaissa5688
      @aishaissa5688 5 ปีที่แล้ว

      mkulima au shabiki🚶🚶🚶🚶

  • @hamisiramadhani2971
    @hamisiramadhani2971 5 ปีที่แล้ว

    Tukutane 2020

  • @abuuazhar3738
    @abuuazhar3738 5 ปีที่แล้ว +1

    Kuna comment mtu anasema eti tukutane 2020!.. jamani Ndugu zetu wa upinzani msitegee kwamba eti 2020 kutakua na competition mnayoifikiria. Am sorry

  • @majidymjerere1004
    @majidymjerere1004 5 ปีที่แล้ว

    M

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 ปีที่แล้ว +1

    Upinzan tz urais watausikia tuu

  • @annamushy2920
    @annamushy2920 5 ปีที่แล้ว

    Sikililizeni cyo mnatoa koment za kijinga jamaniii

  • @mussabuma9592
    @mussabuma9592 5 ปีที่แล้ว

    Wewe sio maakama

  • @sylvesteraron4972
    @sylvesteraron4972 5 ปีที่แล้ว

    kunakolosho huko chuo kikuu mm nimeskia makta ya chuo kikuu habari za kolosho sijasikia koment uliyosikia hapo, shida ya wabongo wachache vichwa vimejaa machama
    ndio maana hata mazuri tunaita siasa, kuongoza watu ni kazi maana kuna wabumbavu, wajinga, wendawazimu, na wenye hakili ambao wanapongeza kwa mazuri bila kuangali chama chochote.

  • @nicksonarwa2785
    @nicksonarwa2785 5 ปีที่แล้ว +10

    magufuli wajinga tu ndo wanaweza kukusikiliza sio watu wenye akili maana una jipya umewanganya wakulima wa Korosho heti pesa ipo mpaka Leo imekuwa ni uakiki kila Mara siku zinazidi kwenda kwani uakiki unachukua siku ngapi

    • @lameckbalekele2901
      @lameckbalekele2901 5 ปีที่แล้ว +2

      Nickson Arwa We unaakiri kama hujasikiliza umejuaje

    • @ivancharles578
      @ivancharles578 5 ปีที่แล้ว +3

      Umejuaje Kama hujasikiliza bas na ww mjinga

    • @mobaisa9475
      @mobaisa9475 5 ปีที่แล้ว

      Ivan Charles yan niilivomuelew arwa anamaanisha kukubaliana na anachokisema

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 ปีที่แล้ว +1

      Bila kumsikiriza usingesema ivyo pumbavu wee

    • @ezekielmwalongo8787
      @ezekielmwalongo8787 5 ปีที่แล้ว

      Nickson Arwa huna lolote roho mbaya tuu na unayo yajua wewe

  • @mussabuma9592
    @mussabuma9592 5 ปีที่แล้ว

    Wewe sio maakama