USALITI UST SULEIMAN ALIA NA KULIZA WATU HOLINI ATUNZWA MAPESA KASIDA YAWAGUSA WENGI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ค. 2022
- KATIKA HARAKAT ZA KUWAPATIA WATU VITU BORA LEO TUMEKUSOGEZEA HII USALITI NI KASIDA ILIOGUSA WATU WENGI KARIBU KATIKA CHANELI YETU MJULISHE NA MWENZIO KUWA AFNAANIA SASA WAMEAMUA KUFANYA KILE WATU WANACHOTAKA
- บันเทิง
😭😭😭Hakika umenena jambo la kweli Allah akupe umri mrefu kwa ajili ya manufaa kwa walimwengu. Amina summa amina 🤲🤲🤲
Dah 😥😥😥😥 sjuw nisemeje man uliosema ni ukweli mtupu...... Allah akuhifandh sheh Sule mashallah mashallah hongereni afnania
MashaAllah,,, hongera sana kwa ujumbe,,,kiukweli ina mafunzo ndani yake
Ukwel san huo hongera uxtdh Suleiman mung akupe nn akupe umr mrefu wey manuu faaa Amen Alhm Amen Maxhalaaah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
kabisa ame fikisha ujumbe pahala pake mungu akulipe kheir kijana suleiman mashaallah
Kabisa hivyo divyo ulivyo karne ya leo
Wajina wangu Yuko vizuri sana mashallah mungu ampe Kila lenye kheri
Mashaallah allah akuzdishie kpaji na akulinde na mahasidi
Excellent, it's very sensitive ❤
Hongera mungu akulipe kher na akupe kl unachokitk imegusa nyoyo zote hii kaswida ila mungu atakulipia mashaallah❤❤❤❤❤❤❤❤😢
Wajina wangu Yuko vizuri sana mashallah mungu ampe Kila lenye kheri 2:33
Mashallah tabarakallah asante kwa ujumbe mruwa daa qaswaida imenitoa machozi kabisa ani
daaaaah ndio kwanzaa Leo naisikia hii kaswida but imenigusa sana ujumbe Mzur sanna
MashaAllah MashaAllah Allah atuongoze atujalie miongoni kwa wale watakao timiza ahadi in Sha Allah
Saya dari indonesia sangat senang sama orang2 yang suka bersholawat pada Nabi محمد
Mashaaal 🎉🎉🎉🎉🎉 ALLAH akuzidishie❤❤❤ uwe na kipaji zid ya hapo
Aiseee sule ww ni htr sana allah akuhifadh sana uwendlee kutuelimisha aaamiiin hakika afnania tunakupenda mpka bas....
Ammin tunawapend pia
Kama ni ukwel bas pole lkn kama si kweli mungu akulinde yasikukute inshallah mana nafikiria vile utakavyolia yakikukuta jmn,mungu akuepushie sule❤❤❤you are wonderful 🎉
Hongera sana ndg, Suleiman hakika umefikisha ujumbe husika tena kw wakt coz ndoa nying zk hvyo, km sio wazazi bc n hao wawili wanaopendana, ila maisha ya shv NDIO ilivyo usalit n mwing, yaan kumpt mke wako muliotk mbl n asilimia 50 kwa 50 yaan daah hakika nmefrah sana, mung akufanyie wepex ktk kipaji chako ameeeen ameeeen ameeeen 👏👏👏
Masha Allah,Shukran jazeelan
ما شا الله !!!
Allah awabdilish dada zetu
Hongera mashallah very nice nashidi Jazakallah khery Love frm kenya
Allahumma amiin❤❤
Waislam mchanyiko wa wanaume na wanawake haufai hata ktk mambo hayo watu wamejipamba halafu wanajisogeza kwa wanaume eti wanamfuata machozi mwanamme ambaye ni ajnabii jamani dunia imekwisha tumekosa haya wanawake kias chote hicho hatuna tena thaman
Kweli kabisa Allah atustiri
Hii miziki ni ushetwani ndio maana inapendwa
Ujumbe mzuri ila mchanganyiko wa kwenda kumpa zawadi na hiyo alamu zimepunguza utamu wake. Ujumbe huu ukiwekwa muundo wa shairi utanoga sana
Mashaallah jazaka llah khair inshaallah ameen
Mashaallah 🥰🤗🤗🤗💕 unaimba vizuri😍😍😍😍 😲 nimependa
Masha allah nimeipenda sana Afnania mungu Awahifadh na awape nguvu zaidi.insha allah
Maashaallah nice msg👌
Aky hii qaswida niliipenda San mashaallah uliweza
Dah umetisha kiongoz ila wap ukweli wana tuumiza kiukweli 😭😭😭
Mashallah 🎉🎉🎉hongereni afnaania,pongezi kwko ust suleiman
Ujumbeee mzuri ttz wanawake wapouchi pia nisawa namziki tuy. Nahayo ndio wanataka wanawake kujianika uchi
mashaallah mashaallah mashaallah
Suleiman umejua kubeba hisia ya maneno yako. Keep it up brother
Hakika imenigusa cn keep it up brother
@@alhajimwinyi5120 😍
Mashaallh chimbuko la qadiria kibweni ustdh sele
Swadakta
Da thuuu
Maashaallah Baaraka llahu feeq imeenda sawa wallahi mko vzurii sana kwa ujumbe mzuri
Kwe bro yte uliocomment yamethibit ktk maish y ndoa za leo il namp pongez ustdh kw ukumbush zaid
Mashallah MashaAllah Barkifi Allah Akupe kila kheri Sauti nzuri sana Frm Kenya ❤❤❤
❤ Allah akupe umri mref Somo wng
Mashaallah kazi njema kbsa
masha allah yan dah hadi nackia maumivu ujumbe mzur👏👏
MAASHAALLAH AFNANIA
Manshallah.uwo.wimbo.umenigusa.kwaroho.yangu.mungu.akuwongezeye.baraka.naiimani.hongera.sana
Allahuakbar masa allah.
Hakuna anaebisha kua ahadi ni Deni 🙌. Mutaulizwa wake kwa waume. Wenye kutoa ahadi mukaenda kinyume 🙌
Hhhhhhhhhh
Mashaalla kwa kasda yenye ujumbe mzito
Kasida. Speechless 😶
❤️
Kaz nzur afnania mashallah na menen yameshiba
Shukran sana
Uwezo
Ma sha Allah ma sha Allah 👏👏🙏🥰🥰
Mashaa allah maneno kuntu yamekonga nyonyo
Mashaallah nmeipnda sna
Mungu akujaalye kipaji zaidi ktk utunzi wako,,,kufikixha ujumbe kwa jamii kiujumla,,n kuwaelimixha kwa Yale yanayotokea ktk jamii zetu
Mashallah unajikaza kijna wetu🥰
Chuma kizito icho bro nakubali kazi💪
Mashaallah AFNAANIA HONGERENI
Maashaallah 💓 nimeipenda sana yn nikiwa na hamu ya qaswda najikuta naickiliza hii tu...
Mashaallah
Mashalla yani haishi hamu kusikiloza kasida hi 🏯🌋
Maashaallah mungu akuzdxhie kl la kher ktk maisha yk by ally amani 🤗
Umewagusa kweli wanawake hakika tubadilike huu ni ujumbe mkubwa
Mashaallah mashaallah my brother
Mashallah
Maa shaa allah. Nakupenda tu my bro Namna pia unachezesha mikono yako
Hongera qaswida nzuri na ina mafunzo by mrs twaribu
Maanshallah tabarak Allah 🙏🙏🙏
Maashaallah maashaallah maashaallah tabarakallah fiikiy 🙏🤲☝️
Yasalaamu mashaallah machozi yanitoka
Hongera sana ust mungu akupe umr mrefu allah akupe maisha mema yenye fanaaka na kheri njemaa
Allahuma barik
Mashaalla.nakupenda.sana
Yupoakupendaelshaala
nimeipenda nikweli kabisa asante kaka hongera sana
Kaz safi cn neno kwenu afnania
Mungu akulipe ,umetuambia kwa hisia Sana mungu akulinde!!
Mm pia imenigusa Ila nimemsamehe alieniumiza في دنيا ولاخره
Pole sana
Mashaa Allah Mashaa Allah ahadi ni deni na dawa ya deni ni kulipa
Mashallah kaka yangu mungu akulinde ❤❤
Nimeipenda Mwenyezi mungu akufanyie wepesi uende mbele zaidi❤❤❤❤
Mashaallah mashaallah kaswida nzuri na ujumbe mzuri
Barakallah fiihi umeelimisha xana
Hvi hao mbona kama wanajiuza wameambiwa wajipendekeze kwa kumfuta machozi hawana haya hata chembe ,,,......hii kaswida au bongo fleva mbona munatupoteza mashekhe
Mashaallah.hakika ukwell mtupu.mungu akupe umri mrefu wenye manufaa
Kasida nzur san hii afnaania nawapenda sana
Haswa ust Suleiman kaswida nzuri
Dah
Dah
Dah
Cjui nicoments nn
Chchote t una haki
MashaAllah 👌 ujumbe umeakisi kabs
Mashaallha
Mashallah hatimae mzgo mpya umeshuka hhh sule .....
Sulee mm umenimaliza hyo oooooooooooò.
😭😭😭😭😭😭😭wallah hapa mumetowa kazi uhakikaa
Ila nawasisitiza kwa jinsi WAnawake wanavyo watuza.si sawa kabisa
🙀 what on earth, the song is killer, is there a translation
Am toaching
Qaswida nzur yenye ujumbe mzuri. Lkn tujitahid kuzingatia maadili ya uislam katika kutunza.
Shukran
Mashaallah mufti duaa nying
Mashalllh
Subhannallah Allah zisitili ndoa zote inshaallah
Mimi nimependa sana Ni nzuri imenigusa sana asate mingu akubariki
Masha Allah big up Alfanania❤
Pole sana kakangu
Mungu akubaliki
Mashallah kazi kazi
Masha Allah 💖💖💖
Jaman waislam waliopo kwwnywndoa muww wavumilivu nanyie wanaume muww. Wasikivu katk mkewak na usipende city vilivyo wax by ukhty rijman
Mashallaa
Mashallah kaz nzur❤❤❤
Alifu alifu mabruki nimepesna kwasida hii mashaAlla.
Hongera Sana kwa kawswida yako maashllh mung akulp kher
Natamani.lia.walah.maashaaallah