MUNGU akujazi kheri Shekh Yusuf. Umeshawakata makali watu wa mskiti wako. Tutamswalia MTUME s.a.w mpaka kiyama. ALLAH atufutie dhambi na atuondoshee hamu kwa swala MTUME s.a.w
ukimsikiliza vizuri shekh kamaliza utata wewe mswalie mtume mahala popote ulipo isipokuwa choooni tu na mashekh wameweka zaidi kwenye huo mwezi kwasababu ni mwezi aliozaliwa mtume s w a na lengo lao ni kukithirsha kwenye huo mwezi
Assalam alykum. Mm Niko na sual. Ni IPI namna sahihi ya kimswalia Mtume????? Tukipokulia tukifunzwa ikifika mwez Fulani kufanya maulid kumswalia Mtume na hatukuona ubaya wa hilo lakin baadae tunakuja kusikia mashekh wengi wanapinga hilo. Wengi wetu hatukusoma hatujui IPI ni sahihi na ipi ni batil. Nakuomba sheikh nijuze kwa hili ni vipi hasa itakiwavyo kumswalia Mtume????? Baaraka llah fyk....
Hiyam Muslimah w. salama warahmatullah wabarakatuh. ama kwahakika suala la maulid sikharam na maulid swahihi hata yakaitwa maulid tokea asili niele hali ya kukaa nakumsalia mtume swallahualaihu wasallam bila kupiga ngoma bila music hii ndio Hali ya maulid na sio kupigangoma watu wakacheza kwahio tukisema maulid mana yake ni kukaa na kumsalia mtume swallahu alaihiwasallam na nikwambieni mmkiona watu wamekaa wanapiga ngoma na wakaita maulid haya sio maulid wallahu A'alam.
MUNGU akujazi kheri Shekh Yusuf. Umeshawakata makali watu wa mskiti wako. Tutamswalia MTUME s.a.w mpaka kiyama. ALLAH atufutie dhambi na atuondoshee hamu kwa swala MTUME s.a.w
Asalam aleikum kweli mm Alhamdhulillah namswalia mtume saw na najibiwa ma Sha Allah. In sha Allah Ya ALLAH atuongoze soteni ummat mohammed.
Allahumma salli ala Nabiyyinna Muhammad.
Allah akubaariki sheikh yusuph na akuzidishie ilimu na ufahamu
Shukran Shehe wetuu mungu akuongoze fii kuli hali
Allah mjalie maisha ya khery sheh wetu yusuf abdi azidi kutuongoza kwenye njia za khairat
Amin
Amini
Allh
Ameen
Shukran Allah akulipe kila la kheri
Mashallah shekhe mwenyezi mungu Akupe Afya
MashaAllah Tabarakalah barakalafikum!!!S.A.W.!!!!
Masha Allah hakika mungu akulipe kheri insha allah
Aslm alkm ww... Masha Allah 🌹 tabarakallah. Shukran jazila. Jazakallah kheir 🙏❤️❤️❤️. Allahu maswali wasalim aleyh
Shukran ya sheikh.
Mashaallah tabarak allah mungu akuzidishie umri shekh
asante mwenyezi mungu akubarik
Shukran jazka Aĺlah kher
MASHALLAH MASHALLA ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI SHEIKH
Mashallah jazakillahu lkheir
sorry..
jazakillahu lkheir is for female
so here say jazakallahu lkheir for male
ukimsikiliza vizuri shekh kamaliza utata wewe mswalie mtume mahala popote ulipo isipokuwa choooni tu na mashekh wameweka zaidi kwenye huo mwezi kwasababu ni mwezi aliozaliwa mtume s w a na lengo lao ni kukithirsha kwenye huo mwezi
MashaAllah sheikh
Swalu Alaa Muhammad
اللهم صلى وسلم على سيدنا محمد و على آل سيدنا محمد
Amen yarab
Shukran jazyla
Mashalwah jazakalwah kheir
Mashallah shukran
Subhana Allah
Masha Allah
MAASHAA ALLAAH
Jazaakallahu kheir
Allahamdulilah
Subhanallah
Mashalllah
Shaikh mashaaallah
Masha Allah
JazakAllah
manshaallaah
yaallaah
Shukrani
Shukurkan
Kwelikabisa mashalllah
Shukuran
Scw scw scw scw 🥰
Mashaallah
Aaaaamin
Assalam alykum. Mm Niko na sual. Ni IPI namna sahihi ya kimswalia Mtume????? Tukipokulia tukifunzwa ikifika mwez Fulani kufanya maulid kumswalia Mtume na hatukuona ubaya wa hilo lakin baadae tunakuja kusikia mashekh wengi wanapinga hilo. Wengi wetu hatukusoma hatujui IPI ni sahihi na ipi ni batil. Nakuomba sheikh nijuze kwa hili ni vipi hasa itakiwavyo kumswalia Mtume????? Baaraka llah fyk....
Hiyam Muslimah
w. salama warahmatullah wabarakatuh.
ama kwahakika suala la maulid sikharam na maulid swahihi hata yakaitwa maulid
tokea asili niele hali ya kukaa nakumsalia mtume swallahualaihu
wasallam
bila kupiga ngoma bila music hii ndio Hali ya maulid na sio kupigangoma watu wakacheza
kwahio tukisema maulid mana yake ni kukaa na kumsalia mtume swallahu alaihiwasallam
na nikwambieni mmkiona watu wamekaa wanapiga ngoma na wakaita maulid haya sio maulid wallahu A'alam.
Walaykum Salam warahmatullahi wabarakatuh
Foot ball
Kumswalia mtume anakosema Shekh hapo Kama alivyo sema ALLAH. INNA LLAH WAMALAAIKATAHUW YUSWALLUNA ALANNABIY
YAA AYYUHA LLADHINA AMANU SSWALLUW ALAYHIY WASSALLIMU TASILIMA.
Hakika ya mwenzi Mungu
Na malaika wake wanamswalia mtume
Enyi milio amini mtakieni tume Rehema na amani.
Kwamaana hiyo kumswalia mtume ni Lazima .....
Shukrani