Nay Wa Mitego ft Kusah & Kisima Majabala - Sioni (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Music by Nay Wa Mitego featuring Kusah & Kisima Majabala performing "SIONI" is a love song that typically focuses On how Nay Wa Mitego,Kusah & Kisima Majabala Show appreciation and Affection for their loved Ones, they thanks God on how love has Changed their lives Better. A song that has a message of promise to the love Of your life (Patner) to never Break her heart and Always she will be Protected to the fullest Even if it means going to war to Protect her, without food her presence Makes his Appetite fade away. Her Beaty is nothing to be Compared with just Because it’s a Standout to the masses.
Stream/Download:linktr.ee/nayw...
Listen to Nay Wa Mitego on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/...
Apple Music:
/ nay-wa-mitego
Boomplay:www.boomplay.c....
TH-cam:
/ @naywamiteg
Spotify:open.spotify.c....
Connect Nay Wa Mitego on Social Media:
Instagram:
/ naytrueboytz
Facebook:
/ naywamitego
Twitter:
/ naythetrueboy
Follow Kusah on:
/ kusah
twitter.com_Kusah_
/ officialkusah
Channel Administered by Simile Sasa
/smilesasa_tz
©2023 Free Nation.All rights reserved.
#NayWaMitego #Kusah #KisimaMajabala #Sioni
Bhasuguma bhechane nanguhelaghi wanghu mgonge like Jane maana ukisima uduwakilishagha kulhe sana bhaghosha
Xanaaaaaa
Mziki sasa upo usukumani, waliokuwa hawaamini naamini wataamini. Shukrani ziende kwa ney.
Gerard
Sijachelewa sana nimekuja kwajili ya mwamba kisima..... Kama na wewe umekuja kwajili ya msukuma mwenzetu nipe like..
Mbna simuoni h Baba APA Kwa hii comment na YY pia msukuma....au n wivu ako nao😅
H . Baba ni wivu tu sio kwamba hajaiona Ngoma.
th-cam.com/video/rq92u1de1FA/w-d-xo.htmlfeature=shared
Hizi nizawachache wewe
Vijana wamebishana sana huku kuhusu nay wa mitego na kisima
hii ngoma noma sana pongez nyingi sana kwako nay wa mitego kumshilikisha msukuma mwenzetu naludia kusema nimeipenda hii goma
Ney umefikilia nini kumuweka msukuma humu,aisee nimerudia mara nyingi kuiangalia Mungu akupe baraka tena na tena nimeenjoy
Mko wapi mashabiki wa Nay mitego 💥💥💥💯💯🔥🔥🔥🔥
Wasukuma tuje kwa wingi mpaka nyimbo iende trending tuonyeshe upendo kwa ndugu yetu kisima majabala💪💪😍😍
Wasukuma wenzangu gonga like hapa kama umemuelewa kisima 😊 tumepata muwakilishi naye lekaga ntwisanye anhenaha🎉🎉🎉
Vp
@@ANTONITzofficai poa sana
@@laoiyadi1176 ,z
Pamoja sana na kisimaaaaa
Mbona nahisi kama naimba Mimi nikiangalia hii nyimbo 😂 kwaajil ya kisima naomba like
oyaaa eeeh km ww ni ngosha gonga like
Ktk vitu nimefurahia nikuona wasanii wa nyimbo za asili ktk ubora wao kufanya kazi na wasanii wa bongo freva na michano,hii ni salamu kwa BASATA na serikali kwa ujumla wao,kuweka vipaumbele kwa wasanii wote bila kujali.💐💐maua yenu kwa kazi nzuri.
Team Ney🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🚀🚀🚀🚀
Wasukuma kama umeikubali like zako
Like yangu Nampa KISIMA the greatest s by dj KONK tm hapa
Kisima ni hatareeeeee
Wote wamefanya vizur ila hongera za pekee ziende kwa kisima .
@@Directordomy666❤❤❤❤
Pamoja wasukumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa❤❤❤
HONGERA NEY HUU WIMBO UMEUAAAA KABSA.HUU NDIO WIMBO WANGU BORA WA MWAKA 2024.NASIKILIZIA NGOMA HII KUTOKA CHINA.
Hakka kisima umejua kutuheshimisha sukuma gang.. let's sukuma gathering here
Najivunia kuwa msukuma mm jamani nawapenda sana najiona km nko kahama❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kali Sanaa🔥🔥🔥
Namkubaligi saana braza nay wa mitego
Ufike mbali sana rais
Kaka unanimalizaga sana nikuone ata uniongoze kimuziki mi ni msani chipukizi Toka congo ni dlmm n'gandu boy
Kusha😍🇹🇿
what a hit much love the true boy movement 🔥
Jamani naomba like ata 30 mi ndo wakwanza leo
hhhhhhhhhhha wamezidisha zipo 33 name nikiongeza zitakua 34 hhhhhhhhhhha 😂😂😂😂😂
nyimbo imepangwa ikapangika, what a melody nipeni likes za dude hili💥
Baba la baba
Saf Sana. Kisima umedumisha utamaduni WA Kisukuma
Ngoma ipo moto sana kisima umetembea na beat vizuri hongera
❤❤❤❤❤❤ waoooh nzur sana hongereni
Tumetoka shinyanga kumfata Kisima the greatest Singer from sukuma land.
Kali sawa bro 🇨🇩 DRC kinshasa
🎉mungu atushike sisi Wasukuma japo wanatudhalau ney
❤Hatariiii
Ney umetisha kwa hii style unanikumbusha #akadumba,,
Mtani wangu nae amewakilisha vizuri sana #kisima bila kusahau Kusah🥳👌👌
Apa kwa nay na kusah jamani waah daa ikawa kali sana
Wasukuma wenzangu mnakuja juu sana siku hizi
Ngoma Kali Sana naikubali kinoma ❤❤❤ love from Drc Congo Lubumbashi
We proud of you KISIMA MAJABALA from a Sukuma land tribe. Our Tribe ivolves more than 6 big regions. Mwanza, Shinyanga, (Kahama) Geita, Bariadi and Tabora.
Thank you Ney wa Mitego and Kusah for a big idea
Mtapiga hela sana kwa wimbo huu, Karibuni Katoro
Ngoma Kali Sana 🔥🔥🔥🔥🔥
Rais wa kitaa umeshindikana yan kila style unaweza kuimba 🎉
Ngoma kali sana na hata huyo mtani wangu msukuma ametibu panapo uma..bg up kwenu
hapo kwenye verse ya kisukuma nmepaelewa 💪💪🎉🎉
Nyaaaanda Majabala,fundi huyu namkubali sana sijui Nay kamuona wapi😂😂
Hahaha as KISIMAA we jembee haswa Ney hyo kijana apewe maua yake sina neno zaidi 🎉🎉🎉🎉
Big up
Nimekuwa wa kwanza nipe like zangu
Like wanaomba wana wake vp wewe tena, kwanza like zinakupa faida gani ? Unakuwa kama msenge bwana
Mbona matusi tena
Twende kazi 🔥✅💯
Tam sana hii inatuliza akili yangu kweli mawazo yanakwisha kabisa
KISIMA umetuwakikisha vyema Sana wakukaya 🎉🎉🎉🎉
Tulio download nyimbo hii weka like hapa❤❤❤
wasukuma tunaweza 💪💪💪💪
Kisima namuona mbali Zaid🔥🔥🔥🔥 edy kevo akuna asiye mjua Ivo asili inaguvu sana
Nay hukoseagi hongera sana brother ❤❤
Yan mmefanya kitu kizuri mno jaman mwanike msukuma nyie wote mkute❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimeikubal hii ngoma wasanii wa asili wamepanda kiwango et!!!!!!!
Ngosha😮
Ney turetee ngoma zetu hiz waachie wakina mariooo
Unataka aendelee kugombana na BASATA
Oyaa wee tuambiane ukweli Ney ni number 1 💥💥💥
Mr nay hapa umeupiga mwingi brother wabeja sana
Mnajuwa natamani mtowe goma jingine
Mi gosha nimeikubali sana hii song good voice respect to kisima nipo kenya Mombasa INA hit sana huku🎉🎉🎉
Hongera sana ❤❤❤❤❤❤
wasukuma tujuane hapa...
Kisima 💥
Kisimaaaa wapi bariadi
🎉🎉 jamani kisima amedisha,,
Umetisha sana True Boy
Baba yaga kaja na mchanganyo wa mapenzi tena harakati tumeacha😢😢😢
Wasukuma we zanzangu naombeni like
Jaybeen mtanange
Hiii nyimbo ni HATARI OGOPAAA ❤❤❤
Bonge la ngoma# rais wa kitaa
BASATA wafanye yao sasa tuone,,, ngoma mpaka inabowa,, representative from Chicago
The greetest singer from sukuma land nyanda majabala😀😀
Huyu jamaa nasikia ni star mkubwa sana wa wawasukuma
Siyo kidogo
Angalia akaunt yake jibu utalipata kweupee
Alopiga io Chorus ni noma, Vocals sounds zipo vizuri " Wangu mooyoo--moyo ushapenda"
Hatari saanaaa Magu alipasua njia daaa!!
Hiyo sauti ya Ney imetia doa. Li Besi. Inatakiwa sauti ya kubembeleza kama ya mwana hapo
Nakubali home boy good job
Gonga like twenzetu, wasukuma for life❤
Kweli kisima ni greatest singer in sukuma tribe
Good creativity Mr nay, kuwa kando utasikiaa umekiukaa maadili na wale majamaa zako ambao "wakitoboa utakufaaaaaa"
Am here to approve that Nay is the street president as usual am not familiar with Swahili language but huu wimbo ni mkali sana
Wa kwanzaaaa nipeni Like
tunakuwakilisha hapa kenya NEY. Kazi safi sana
Wabeja sana
Noma sana kafungwa nani hapo kwenye huo mchezo
Noma Sana ngoma💥💥💥💥laa kitaaa
2:55 kisima🔥🔥🔥
Congratulations good music
Leo mm wa kwanza tokea Kenya beat inachuna❤❤❤❤❤❤
Kasima🤩🤩🤩 telhe sukuma super star ✨
Daaaah humu kusah kauwa sana 🔥🔥🔥
Bonge moja la ngoma hili
Hatua kubwa sana Asili kama naiona tunakokwenda tumekalibia 🎉❤🎉
rais wakitaaa pamojaa sanaaa
ufufike mbar sana ney unatuheshimisha sana wasukuma😊
Wasukuma oyoooooooo
Nakubari mmetisha kinoma aisee!!!
Kisima kafanya makubwa sanaaaaa 🎉🎉🎉mauwa yako mwamba wetu
Ahsante kipnz changu Msukuma wangu kwa kunitumia link❤🥰😋 moyo ushapenda baba
Raisi Nd maana hawez kupotea kwenye game, anajua kubadilika na kwenda na wakat🎉