hongera sana ndugu yangu elshamah washira umevipiga vita vizuri pia endelea vivyo hivyo ili watu wajue ya kuwa mungu anainua na mungu haangalii kama mwanadamu
Ive just listen to this song and i feel am healed ,,,am battling a kidney failure for sure it has not been easy ,,but Sina mashaka na baba mikononi mwake ni salama
Are this 3 ladies triplets ?....They sing with pure honest love for God ..Washira keep it up, Mungu akupeleke kwa viwango vya juu zaidi .
Whoever approve his music pls kiss my comment so that I'll be coming back to listen to it🤩🥰
U have blessed with voice like Martha mwaipaja 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Yani nikisikia nyimbo zako zinanibariki mno kaka Elshamah umefanana kuimba kama Martha mwaipaja sanaaaaa
Congratulations💥💥💥💥💫💫💯❤❤❤❤❤
Ohhh my goodness I love these,,, I thought it's Martha Mwaipaja ,,, God bless your ministry brother
Amen
Waaah,huwa nadhani huu wimbo ni Martha mwaipaja aliimba,sauti zinafanana hata rythme❤❤❤❤
Likewise
I first met him performing this song live at a certain church Pande za nyali
I thought ni Martha anaimba😊😊😊
Blessing song ak unaenda mbali kaka.nyimbo hii yanipa tumaini ya kuendelea kudumu ndani ya yesu.barikiwa sana
At first I thought it's Mwaipaja,,,,good job,,, love from Kenya
Kenyaa imejaliwaa mwiimbaji boraa sasa❤❤❤❤❤❤ love from tzd❤❤❤❤
hongera sana ndugu yangu elshamah washira umevipiga vita vizuri pia endelea vivyo hivyo ili watu wajue ya kuwa mungu anainua na mungu haangalii kama mwanadamu
Kama martha my role model,,,uinuliwe hadi kiwango kingine
Waaao I'm so blessed by God 🙏 through your songs ...I believe you and Martha Mwaipaja can do great songs ....Mungu akuneemeshe zaidi
Hatari sana kaka....Jitahindi utokezee kama mwaipaja
Much love from Drc we love our our brother,#SINA MASHAKA NA BABA
Wooooow Wachira Mungu akubariki Mdogo wangu
Sina Mashaka na Baba
Marth aje aone sauti kama yake wote kwa utukufu wa Mungu ...they should make acola🎉🎉🙌🙌...
Beautiful ideology bro,vibrant performance and dancers too,Hossana
Wow ❤️❤️❤️❤️nawishi nikumeet siku Moja bro your nyimbo siko sawa
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Tz nimeelewa nyimbo iko vizurii sana Mungu akuinue zaidi
Sina mashaka kabisa. Niko salama kwa mikono yake. Haleluyah asante yesu
Sina mashaka na Baba be blessed kijana E.Washira wellcome Tanzania 🙏🙏
Sina mashaka kabisa, Yesu kanitunza, niko salama mikononi mwake🙏❤️
Mungu aachilie kibali na neema Elshama piga collabo na martha mwaipaja❤❤❤❤
At first I thought ni Martha mwaipaja ...u are blessed with voice bro
Mwaipaja akujie huyu mtoto wake,,, congrats 🎉
❤❤ to the song ......Sina mashaka na babaa mungu akueke juu yawote hahaa😂😂😂😂
Ntaanzaje kuwa na Shaka mimieeeh nikiwa Kwa baba?big up bro mob love from kenya
May the Lord lift you more and grant u the desires of your heart and more anointing in Jesus name
Washira. It ur bestie salmah,I swea u a blessed may god gv u strength for this journey mwaaah lots of lv
Nice one bro elshama hatuna mashaka na huyu baba yetu nice vocals hallelujah.
Amen sina mashaka go boy keep the spirit burning
Sina mashaka.... Amina....God lift you to your position
Amen..sina mashaka ma baba,mikononi mwake niko salama
Sina mashaka baba,kazi safi kakangu
Ive just listen to this song and i feel am healed ,,,am battling a kidney failure for sure it has not been easy ,,but Sina mashaka na baba mikononi mwake ni salama
Wow ,usiwe na mashaka kabisa maana kwa Yesu tu ndio kuna usalama wako,umekwisha kupona tayari kwa Jina la Yesu kristo.🙏
@@elshamahwashira Amen and thank you 🙏I have faith
Amen dadangu mzuri 🙏
Hugs 🤗 my sister you're a conquer healed in Jesus name
Go higher and higher let the sky be the limit bro,,, more grace upon you brother!!
Amen Amen. Please bring this song in TikTok we do a challenge it's amazing always my favorite
I play your songs every morning before I go out hustling..your songs motivatecand inspire me..God bless you
Amen...sina mashaka na Baba Niko juu ya mwamba.
At first I though this guy is a lady kumbe mi mvulsnacwah,mungus alikupa kipaji bro,be blessed
Mungu akubariki sana washira Kwa uimbaji wako
Keep the spirit my dear ,SINA MASHAKA IS THE BEST
Mungu akuzidishie kaka, congratulations ❤️❤️❤️
Mkononi mwake n salama kabisaa❤❤❤❤❤
Jaman nikajua matha kwwli duniani wawili wawili ongera sana ndugu yangu
Congrats bro 👍... Sony hapa nice video
Amen sina mashaka,powerful❤️
Powerful my son
Amen,more grace my brother,sina mashaka na baba🔥
Great song, be blessed Wachira
Sina mashaka na wewe baba powerful song
Amen mama.
Washira Mungu akubariki sana kwa nyimbo nzr sana
Mimi sina mashaka na baba bro be blessed
Najua ni sarama... 👍👍👍
Woow wonderful song 🔥🔥🔥🔥 Glory be to God♥️ Mimi sina mashaka na Baba 💯🔥🔥🙏🙏
Powerful and encouraging song... It gives so much hope. Sina mashaka na baba
More grace 🙌🙌🙌🙌🙌
This good my brother nice to meet you
Hakika sina mashaka nikiwa mikoni mwa baba. More grace bro.
Aky nmependa nyimbo zako na Kwan vipi mnarelate na Martha mwaipaja
Nyimbo zako hunibariki sana kaka more grace
Nakupenda na huduma Yako....🙌
That's nice bro May the Lord bless you and your family 🙏🙏🙏
Wooow sina mashaka beautiful song minister
I love your songs bro you are a blessing to many.. powerful song
😳😳😳 eti bro?
Nakuona mbali sana bro mungu akubariki
Encouraging song hakika hatuna mashaka na mungu 🙏🙏
Wooooooooooooow 🔥🔥🔥 powerful voice
Wimbo nzuri neema zaidi
Mm sina mashaka na baba mikononi mwake ni salama
Amen Amen sina mashaka yesu yuko
Wow kazi nzuri barikiwa rafiki
Waaa bro your voice is so good, be blessed
What a song, its really nice
Let's thank God for what He has done
More grace my son, sina mashaka na Baba
Kwa baba ni salama kabisaa
Uko juu bro..
Sna mashaka pia mm nko na Mungu
Your songs are very encouraging,keep up bro
Sina mashaka na baba wimbo wa baraka kweli
Ciliana James from TikTok lazma ngekuja kukuona hapa TH-cam but good voice
Mungu akuinue bro ❤
Kazi nzuri kaka
Amen Yesu Nimwema
Hatuna mashaka sisi na baba💯💯💯💯❤Nice message
Wow great song and voice too at first I thought ist Martha
Very nice song bro keep it top
Amen amen 🙏🙏 God bless you brother
Good music🔊Keep going🌍
Wow so nice song my dear
Hata mimi sina mashaka na papa
Wow wow what a nice sing🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Cant get enough of this song❣️❣️❣️
Im just so fond of this song ❣️❣️❣️
Amazing🔥🔥🔥🔥
Sina Mashaka kabisa💗💗
Jakichani dijeafuro
Congrants, very powerful message.
Congratulations my brother