NAMSHANGAA YESU OFFICIAL VIDEO BY ELSHAMAH WASHIRA. (SMS SKIZA 9525182 SEND TO 811).

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • Namshangaa is gospel song written & Performed by Elshamah Washira
    #Audio by PG
    #Video Sk Mandela
    #gospel

ความคิดเห็น • 550

  • @StephenKasolo
    @StephenKasolo 2 ปีที่แล้ว +123

    Unajibu , hivo tu .. sitaki kusikia lingine..

    • @angelsbeautystore6090
      @angelsbeautystore6090 2 ปีที่แล้ว +5

      Amen of coz he does he is the lion of Judah

    • @larbankasingu7902
      @larbankasingu7902 2 ปีที่แล้ว +4

      Kasolo napenda ulivyo mnyenyekevu

    • @aqulinamusyoki4216
      @aqulinamusyoki4216 2 ปีที่แล้ว +1

      This guy everytime ako nchini yako naye Mungu anambariki aki,,,

    • @pendophilipo7373
      @pendophilipo7373 2 ปีที่แล้ว +2

      Nyimbo nzur sana

    • @pendophilipo7373
      @pendophilipo7373 2 ปีที่แล้ว +2

      Samahan ni mwanaume au mwanamke aloimba sjampata vizur

  • @PresenterKai
    @PresenterKai 2 ปีที่แล้ว +16

    Kazi nzuri my brother, hongera na Mungu akuinua zaidi ya pale umefika.

  • @neemajohnson7508
    @neemajohnson7508 ปีที่แล้ว +4

    I thought ni sauti ya margha mwaipaji😍😍😍😍😍😍

    • @jebetkayamba5849
      @jebetkayamba5849 ปีที่แล้ว

      Me too she should do a collabo with Martha

  • @graciamudola8107
    @graciamudola8107 ปีที่แล้ว +7

    Kwangu ni Ebenezer....I'm jobless but still hoping atajibu ombi langu...Mungu atanishangazaa😊😊

    • @frankpeter4178
      @frankpeter4178 10 หลายเดือนก่อน

      May the Almight GOD bless you and render you 2 your needs

  • @holinessdhahabu1805
    @holinessdhahabu1805 ปีที่แล้ว +14

    Nmeskia hii nyimbo tiktok nimeitafuta almost thirty minutes nkijua Martha Mwaipaja ndio aliimba . Aki more blessing to you servant of God.

  • @BeatriceMulama-vr8xp
    @BeatriceMulama-vr8xp ปีที่แล้ว +8

    Nikipiga magoti unajibu,unajibu❤God bless you washira.endelea hivyo hivyo.sauti nayo, wacha tu.

  • @agneesasdf3008
    @agneesasdf3008 2 ปีที่แล้ว +107

    This song🎶 is of another level♥️, if you are with me gonga like tukisonga💯🙏

  • @Sabinawillson
    @Sabinawillson 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nilijua ni Martha. Kumbe ni wewe ooh may God bless you

  • @FrolidaLuvanda
    @FrolidaLuvanda 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ana sauti ya martha mungu anawatumia kuwatumia kuwatia moyo watu waliokataa tamaa

  • @Rehema-pw7me
    @Rehema-pw7me 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nasikia kubarikiwa 2 na uu wimbo aky may God bless uu Washira

  • @tecklawawuda2553
    @tecklawawuda2553 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Prophet Tito Lemo kufanya nimujue Washi
    ra, ubarikiwe Mtumishi wa Mungu, nyimbo zako zinatia moyo.

  • @EverlyneVuhasiu
    @EverlyneVuhasiu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika baba ni ebenezer,yesu anashangaza

  • @RachelOgake
    @RachelOgake 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana nimerudi tena 🙏🙏🙏🙏 Kwa hakika ni Ebenezer

  • @paulmwendwa1651
    @paulmwendwa1651 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli huyu Yesu kwangu ni Ebenezer, this song has been a blessing to me

  • @esthersimiyu2276
    @esthersimiyu2276 2 หลายเดือนก่อน +1

    Haki huko na sauti kama ya Martha mwaipaja,oo my God, very beautiful song,emen

  • @peterkalunga318
    @peterkalunga318 8 หลายเดือนก่อน +1

    Umefunika Mama ❤❤❤

  • @EvlinaJohn-kj9ie
    @EvlinaJohn-kj9ie 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda bule kaka mungu akubaliki nyimbo zako nzur aana

  • @EllyMusic_
    @EllyMusic_ 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safiiii Kazi nzuri Sana 🙏🙏

  • @SamanthaDonnell-ex7ou
    @SamanthaDonnell-ex7ou ปีที่แล้ว +1

    Nani mwingine sauti imemcornfuse kaa mimi❤❤❤❤❤❤❤anasauti same na Martha mwaipaja

  • @PurityMuli
    @PurityMuli 2 ปีที่แล้ว +11

    Wow nice song I love it, sound Iko wow hii Iko juu Sana nenda nenda Sana kimataifa very nice video huyu yesu anatenda yes yesu anatengeneza wow nimeipenda sana hii barikiwa sana

  • @NailoyeCheluget
    @NailoyeCheluget 2 หลายเดือนก่อน

    Umenibariki Sana washira kupitia Kwa wimbo wako umenijenga

  • @BeatriceKombe-lz7tk
    @BeatriceKombe-lz7tk ปีที่แล้ว +7

    Uko Ebenezer kwangu sasa na hata milele

  • @sarahwasike80
    @sarahwasike80 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri Washira🙏🙏

  • @dorcussamson8302
    @dorcussamson8302 2 ปีที่แล้ว +3

    Kijanaa God bless you Ninabarikiwa sana

  • @tumainison
    @tumainison 2 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa tu

  • @BensonKakai
    @BensonKakai 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu ni Ebenezer kwangu hii nyimbo inanipaa nguvu Kila ninapoimba

  • @virginiawakesho8015
    @virginiawakesho8015 2 ปีที่แล้ว +9

    Wimbo nzuri Sana jameni sauti nzuri Kama ya mwaipaja mungu akubariki

  • @franciscakiilu656
    @franciscakiilu656 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante kwa wimbo mzuri, barakiwa

  • @pastorevans1836
    @pastorevans1836 ปีที่แล้ว +1

    So sweet song...hongera 💪

  • @sifamwakyelu6368
    @sifamwakyelu6368 ปีที่แล้ว +1

    Nikitaja tu jina lako Yesu unajibu,be blessed brother 🙏😍

  • @BenardKyalo-l5e
    @BenardKyalo-l5e 3 หลายเดือนก่อน +1

    May this song minister unto our lifes in our daily struggles ❤🎉 ✨😂🙏

  • @carolinerehema9674
    @carolinerehema9674 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉my dear friend napendanyimbozako

  • @BerciaIlunga-s8p
    @BerciaIlunga-s8p ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana,sauti mzuri sana kama Martha mwaipaja

  • @lucyziri4960
    @lucyziri4960 ปีที่แล้ว +1

    Amen..Yesu kwangu ni Ebenezah

  • @malimijames4133
    @malimijames4133 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana kk By James Rugaspel Donard from Mwanza

  • @AnnaNaasi-o3e
    @AnnaNaasi-o3e 5 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏🙏💓💟💓💓💕💞 barikiwa sasa kaka kwel ni ebeneza.

  • @StephenMuimi254
    @StephenMuimi254 หลายเดือนก่อน

    Wau very naice naomba neema ya mungu inifikishe kiwago iki🎉🎉🎉

  • @LoyceSOPHIA
    @LoyceSOPHIA ปีที่แล้ว +1

    Njamani si Mungu akubariki sn yaani nyimbo zako zanibariki ,natamana siku moja ututembelee kwa ⛪ yetu❤❤

  • @SarahBetrayal-v3v
    @SarahBetrayal-v3v ปีที่แล้ว +1

    Eeeh yaweh uhimidiwe milele❤🎉 n

  • @PeterChana-q3k
    @PeterChana-q3k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed brother and God make you to go beyond 🙏

  • @paulinezacharia2671
    @paulinezacharia2671 2 ปีที่แล้ว +1

    More grace am from TikTok,,,,,,Martha mwaipaja lazima akutafute

  • @GloryJoshua-xk8sb
    @GloryJoshua-xk8sb ปีที่แล้ว +1

    Aaaaaaaa jamani hongela Sana mtumishi wa Mungu ubalikiwe sana natamani sku moja nifanye kazi yangu nikishilikiana nawewe mtumishi wa Mungu

  • @MonicaSamwel-ho2wg
    @MonicaSamwel-ho2wg หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉barikiwa kaka kwa kazi yako njemaa Mungu zaidi kukupa kibali ❤❤

  • @jumachango
    @jumachango 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kaka Mungu akuzidishie Neema ya juu sana barikiwa sana

  • @MaryPendo-gy4yr
    @MaryPendo-gy4yr ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo zako Kwa kweli zanibariki ubarikiwe pia

  • @alicebutoyi3615
    @alicebutoyi3615 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen. Yesu. Namushangaha. Kazi.mzuri .

  • @doricecyprian7246
    @doricecyprian7246 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mkubwa kila wakati😍😍

  • @neemakomba312
    @neemakomba312 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nilijua anaimba mwanamke mungu atukuzwe kwaukuuwake umebalikiwa sauti nahongela kwahuduma nzili

  • @Esthermwalimu7732
    @Esthermwalimu7732 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah 🙌, akika Bwana ni EBENEZER

  • @annaleoganda
    @annaleoganda 2 ปีที่แล้ว +3

    Sauti ni kama ya martha mwaipaj...keep going bestii 🙏🙏🙏much love💕

  • @lumbumbulungu735
    @lumbumbulungu735 ปีที่แล้ว +5

    Namshangaa huyu Yesu kwangu ni Ebenezer ❤

  • @helenkahema2636
    @helenkahema2636 2 ปีที่แล้ว +3

    Penda Sana Mimi , Yesu akutunze mnooooo ❤️❤️❤️❤️❤️❤️Yesu ni Ebenezer Mimi😭😭😭😭😭😭ooh

    • @vincentbarasa5048
      @vincentbarasa5048 2 ปีที่แล้ว +1

      Yaan songs zko zinafnya mtu anaokoka tu

  • @lewiskyalo2583
    @lewiskyalo2583 ปีที่แล้ว +4

    Napenda huu wimbo sana,Be blessed 🙏🙏

  • @rachaelmwende-ze9je
    @rachaelmwende-ze9je 9 หลายเดือนก่อน +1

    The voice , the beat resembles Martha Mwaipaja's! Good job .....listening again and again

  • @RosemarykwambokaAbuga-ru6gg
    @RosemarykwambokaAbuga-ru6gg 9 หลายเดือนก่อน

    Wow amazing song ❤❤❤😊

  • @Williamskenya5228
    @Williamskenya5228 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wetu 🙏
    Kwa Wana Israeli nilijua ni mwisho kumbe Badoo
    Kazi nzuri mndugu wangu

  • @leah5307
    @leah5307 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana songs zako Elshamah washira Mungu akuariki sanaaa❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @OdongoMalala
    @OdongoMalala ปีที่แล้ว +1

    Great job keep up🎉🎉🎉🎉

  • @sikitusiri1229
    @sikitusiri1229 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana ❤❤❤

  • @maddamshance9697
    @maddamshance9697 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow wow wow!!! Hiki kipawa ulicho nacho Washira ni cha kipekee, at first I thought ni Martha mwaipaja, Mungu azidi kukuinue kaka🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mwendemwende8773
    @mwendemwende8773 2 ปีที่แล้ว +7

    SK you the best E.Africa🤲 I really love your work

  • @mosehworshippermusic
    @mosehworshippermusic 2 ปีที่แล้ว +9

    Tena kwangu Mimi Moseh Worshipper ....nimshangaa Yesu....kwangu ni Ebenezer!.... Wonderful melodies🤍🤍🤍

  • @salamabwanamoya8746
    @salamabwanamoya8746 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hakubariki sana nikisikiza nyimbo zako na pata faraja sana

  • @carolcarol5641
    @carolcarol5641 ปีที่แล้ว +4

    Wow!
    Atleast now we've got our own from Kenya blessing us endlessly. More grace my brother

    • @peshycharo
      @peshycharo 10 หลายเดือนก่อน

      Wow,,,he is from Kenya! Congratulations

  • @Seb_Oti
    @Seb_Oti 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Tu Sana bro wachira nice song bro

  • @BrigidJelimo-d6g
    @BrigidJelimo-d6g ปีที่แล้ว

    Woow wonderful ❤❤❤❤❤

  • @rosekavarago5394
    @rosekavarago5394 2 ปีที่แล้ว +1

    awesome 😎😎😎😎❤️❤️❤️ keep it up bro we love you 😘😘😘

  • @angelsbeautystore6090
    @angelsbeautystore6090 2 ปีที่แล้ว +3

    Namshangaa kweli he's Ebenezer to me and my family

  • @raizebe890
    @raizebe890 2 ปีที่แล้ว +6

    Gospel fiiiiiire..... Video always by your truely production stunning touch kazi safi washira more Grace

  • @jeanneleya1316
    @jeanneleya1316 11 หลายเดือนก่อน +2

    Be bless where you are my brother keep it up this song is so amazing 😭🌹🥰🦋💞💯💯

  • @bettymideva546
    @bettymideva546 ปีที่แล้ว +2

    God bless you my brother hii wimbo inaponya roho yangu kabisa

  • @jaysonjeremaya8925
    @jaysonjeremaya8925 2 ปีที่แล้ว

    congratulation Washira ,May God bless you brother

  • @ValentineOduor-o3t
    @ValentineOduor-o3t 4 หลายเดือนก่อน +1

    Is this son to mwaipaja....Very talented💖💖

  • @rhodakhayesi1443
    @rhodakhayesi1443 2 ปีที่แล้ว +3

    Wow keep it going bro eee shine shine goooo❤🌍

    • @margretmnyazikambu4464
      @margretmnyazikambu4464 2 ปีที่แล้ว +1

      Pia mimi yesu kwangu ni ebenezer.thanks Washira for this song.Remain blessed 🙏🏾

  • @bellatvonline
    @bellatvonline 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi Nzuri Sana Barikiwa Mno Kipenzi

  • @dorisawuor
    @dorisawuor 2 ปีที่แล้ว +2

    💃💃💃💃💃❤️
    Baraka ndugu yangu, leo nimeamka nabarikiwa tu na nyimbo zako👏👏👏👏

  • @DamaKea
    @DamaKea ปีที่แล้ว +1

    A nice song broo 🥰🥰🥰🥰

  • @felistermangale585
    @felistermangale585 ปีที่แล้ว

    Simba Wa yuda kwangu ukanitetea eeeee kwangu niye Ebenezer the song is of another glory be blessed Elshamah

  • @beaverlyinyanje9676
    @beaverlyinyanje9676 ปีที่แล้ว +1

    Kwangu yeye ni Ebenezer 🙏🇰🇪🇰🇪

  • @LisaYusuph
    @LisaYusuph 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekupenda bule❤❤❤😂

  • @lucymutende7283
    @lucymutende7283 2 ปีที่แล้ว +19

    This song Is such a blessing to my soul...nakushangaa yesu❤️❤️

  • @Kevinmusau1
    @Kevinmusau1 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Yesu kwangu ni Ebenezer kweli 😭🙏🏻🙏🏻Asante Mungu

  • @samogutu4709
    @samogutu4709 2 ปีที่แล้ว +2

    Woow amazing. Kazi nzuri mtumishi mwenzangu.

  • @edwinmunyithyaofficial
    @edwinmunyithyaofficial 2 ปีที่แล้ว +6

    Congratulations bro the song is more 🔥

  • @osongisteve7696
    @osongisteve7696 2 ปีที่แล้ว +2

    Nashangaa huyu Yesu kwangu ni Ebenezer.. powerful

  • @JohnNelson92
    @JohnNelson92 2 ปีที่แล้ว +3

    The first one to watch...
    Namshangaa huyu Yesu
    More grace....

  • @gladysnaserian2650
    @gladysnaserian2650 2 ปีที่แล้ว +2

    nyimbo zako zanibariki sana bro....hii song niliona tiktok finally nimepata I thank God 😊 🙏 inanibarki sana 🙏 bro keep going...God bless you 🙏

  • @Rozzie22
    @Rozzie22 2 ปีที่แล้ว +2

    The song has massager keep going bele kuna mazuri👌☝️☝️☝️☝️🙏💖

  • @EvaYaledi
    @EvaYaledi ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana,mtumishi Mungu akubariki katka utumishi wako

  • @professor1992
    @professor1992 2 ปีที่แล้ว +15

    Stunning 👍 am proud to be here listening this sweet melody

  • @ChristineMbodze
    @ChristineMbodze ปีที่แล้ว

    Ameen so amazing 🙏🙏🙏

  • @paulineleah651
    @paulineleah651 2 ปีที่แล้ว +5

    The best .I love this song my favourite barikiwa sana Elhamah❤❤

  • @officialsham2322
    @officialsham2322 2 ปีที่แล้ว +6

    Wow namshangaa yesu is just a vibe 💪

  • @esthermwavuo1078
    @esthermwavuo1078 2 ปีที่แล้ว +6

    This song is something else.God bless you.kwangu ni ebenezer🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ewanjeofficial
    @ewanjeofficial 2 ปีที่แล้ว +12

    Congratulations bro, glory to the most high God!

    • @gracelazaro8731
      @gracelazaro8731 3 หลายเดือนก่อน

      Kwan ni mwanaume hyo?? Mbona anavaa mavaz ya like??!! Hcho kimona juu sio koti la suti. Au ni Yesu yupi hyo anaimbwa?

  • @vailethbenjamin7489
    @vailethbenjamin7489 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh unaiga hd ngoma za martha htr 😄😄😄😄😄

  • @MiriamSamuelke
    @MiriamSamuelke 2 ปีที่แล้ว +21

    Personally I am proud of you..you are a sky full of stars keep shinning

  • @Mkungajackson0098
    @Mkungajackson0098 2 ปีที่แล้ว

    Nami amenishangaza,Ebenezer
    Zidi kaka

  • @ericokoth3268
    @ericokoth3268 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow i had watched you from citizen. Decided to search for you.you are doing a great work

  • @paulconrad7091
    @paulconrad7091 ปีที่แล้ว

    Unapita kama martha mwaipaja ila barikiwa sana mpendwa