WIMBO DUNIA IPO MWISHO GUMZO KWA MASHOGA DUNIANI TAZAMA EVPASCHAL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @EmmanuelSimkwai
    @EmmanuelSimkwai 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba ufunuo ukwel kwa wato wote kupitia watumishi wako mbarikiwa asante kwa injili yako baba yangu wa kiroho

  • @BarinabapetroPetroleonadi
    @BarinabapetroPetroleonadi 6 วันที่ผ่านมา +2

    Wapendwa kwahali hii tuzidi kujitakasa maana hata yesu alisema mwonapo haya yatokea basi tambueni mwana wadam yukalibu kuchukua kanisa lake, nampenda yes sana kuliko kituchochot dunian maana ndio uzima wangu baada ya kifo hapa dunian

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 6 วันที่ผ่านมา +2

    Heri wafu wafao ktk Bwana,kwa maana matendo, yao yafuatana nao,wimbo huu umenipeleka Rohoni sana balikiwa sana Mtumishi wa Yehova,

  • @user-ii1qk9xn9z
    @user-ii1qk9xn9z 7 วันที่ผ่านมา +2

    Dunia ipo mwishoni hakika.🙆😢😢 Mungu turehemu.. Karibuni mwanaume Yesu anarudi.. tubuni jameni.
    Ubarikiwe sana Mtumishi. You're the best

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mweee ndaga mwana gwa kyala mhh!!! Dunia iko mwishoni dah MUNGU wetu turehemu

  • @user-ej5vc7zg7o
    @user-ej5vc7zg7o 7 วันที่ผ่านมา +2

    Barikiwa sana tumishi. Simama hivohivo usirudi nyuma.

  • @LukasEssau
    @LukasEssau 59 นาทีที่ผ่านมา

    Yesu anarudi tushi maisha matakatifu ukutukitenda mema

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 7 วันที่ผ่านมา +7

    YESU KRISTO TUNAOMBA UTUREHEMU

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 7 วันที่ผ่านมา +2

    Dunia iko mwisho kweli. Mtumishi wa Mungu endelea kusimama nau kweli

  • @AlexMgeta
    @AlexMgeta 7 วันที่ผ่านมา +3

    Yaliyo tabiriwa yameanza kutimia
    Wapendwa tuzidi kusali na kujiakasa 😢😢😢😢😢
    Mungu aturehemu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 7 วันที่ผ่านมา +4

    Jamani muda umekwisha watu wanaona kama maigizo hivi ila watu watashituka huku, hukumu imeshafika

  • @Inkubutembo7779
    @Inkubutembo7779 4 วันที่ผ่านมา

    Kweli Mungu ni mvumilivu. Ningekuwa mimi ningekuwa nimewamaliza wote. Uchafu wa kutisha sana. Mungu, naomba utukumbuke wanadamu. Peke yetu hatuwezi kumshinda shetani na majini yake

  • @Mwinjilist-samson
    @Mwinjilist-samson 7 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa sasa naona mazingira tofauti Yana mreta YESU kristo

  • @OmaryRamadhaniAlly
    @OmaryRamadhaniAlly 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutunze mtumishi

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 6 วันที่ผ่านมา

    Aisee ni hatari sana

  • @AlphinePamela-vp9et
    @AlphinePamela-vp9et 4 วันที่ผ่านมา

    N kweli tuko siku za mwisho😢😢😢

  • @fridahmule-qd4jm
    @fridahmule-qd4jm 2 วันที่ผ่านมา

    Kweli ii dunia imeisha kabisa mwanaume anaoa mwanaume mwenzake🤔🤔🤔

  • @MpashiKennedy
    @MpashiKennedy 5 วันที่ผ่านมา

    Kweli yikomwisho dunia

  • @JaneBuluba
    @JaneBuluba 6 วันที่ผ่านมา

    Yesu Arudi Sasa Jamani!!! Siyo Kwa Haya tunayo Yaona Jamani!!!

  • @Rev.PaulMwikila
    @Rev.PaulMwikila 2 วันที่ผ่านมา

    ONA MTUMISHI WA YESU KRISTO BADILI TABIÀ ZAKO MWAMINI MUNGU AWABARIKI

  • @Elizathcore
    @Elizathcore 6 วันที่ผ่านมา

    God bless you Cassian you are doing a good job. Tell them them the truth!

  • @MariamSenga-xn2dc
    @MariamSenga-xn2dc 7 วันที่ผ่านมา

    Mungu akupe ulinzi wake,ni wache wanaoweza kusema kweli😭

  • @AnaniasBenedict
    @AnaniasBenedict 6 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi usitaje majina ya watu hujui hatima ya mtu, ila kuonya ni kazi nzuri

    • @biannapiter554
      @biannapiter554 6 วันที่ผ่านมา +1

      Bora watajwe tu ili MTU achague asiwe na kisingizio kwa uliwahi kuskia sauti 😢😢🙏🏻

    • @bonifasiemanueli21
      @bonifasiemanueli21 6 วันที่ผ่านมา

      Mwache ataje

  • @ErnestMugisha-sz7ld
    @ErnestMugisha-sz7ld 2 วันที่ผ่านมา

    hawa pumbavu wazungu ndo wameleta ushetani Africa

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 7 วันที่ผ่านมา +1

    Wonder shall never and the world is on danger

  • @RizikiLaizer-j5w
    @RizikiLaizer-j5w 6 วันที่ผ่านมา

    Jamani inauzunisha 😢😢😢😢

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 7 วันที่ผ่านมา +1

    Yanaanzia nchi za nje mwshowe yanafika kwetu Africa. Mbona waafrika tuige jamani? Tuwachie watu tabia zao . Nkt

  • @KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r
    @KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r 7 วันที่ผ่านมา +1

    😭😭 inauma

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula 7 วันที่ผ่านมา

    Wasiokuelewa na kuielewa kazi yako ndio hao hao wanaojishuku wengine wao n wahumini na washirika wakubwa makanisani eti nao wanalalama kuusu mahubiri na kazi zako ina maana ukweli hawautaki mi nasema upo sawa kbs na mungu yupo nawe hadi tamati

  • @IsaacNgalama-lj6gf
    @IsaacNgalama-lj6gf 7 วันที่ผ่านมา

    Aliye na sikio atasikia anayonena mtumishi ila sikio la kufa halisikii dawa.

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 7 วันที่ผ่านมา

    Kweli jamani hakika mtumishi wa Mungu

  • @jacquemerry4218
    @jacquemerry4218 7 วันที่ผ่านมา

    Tuliita fashion kumbe yanalenga UHARIBIFU namna hii uuuuuuuuwi

  • @Mwesige-s8q
    @Mwesige-s8q 6 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @MadollartzMadollar-r7p
    @MadollartzMadollar-r7p 7 วันที่ผ่านมา

    MUNGU akutie nguvu past casian

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono 7 วันที่ผ่านมา

    Uwiii jamani

  • @katsuvakamatedaniel7893
    @katsuvakamatedaniel7893 7 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @QueenNyondo-h1m
    @QueenNyondo-h1m 7 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭🙆

  • @bigtengwemela3153
    @bigtengwemela3153 7 วันที่ผ่านมา

    Dah, 😭

  • @Franklajifaunuel
    @Franklajifaunuel 7 วันที่ผ่านมา

    𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒕𝒖𝒔𝒂𝒊𝒅𝒊𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂