AHMED ALLY NA ALLY KAMWE WATUPIANA MANENO "OKRAH MLIMVALISHA KINYAGO NA MKAMUACHA" | TAZAMA VITUKO..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 70

  • @lwzmangulu7532
    @lwzmangulu7532 2 หลายเดือนก่อน +16

    Hii nimeipenda Sana huu ndo utani Sasa wa yanga na simbaa one love 💚💚💚❤❤❤

  • @ZuuKijangwa
    @ZuuKijangwa 2 หลายเดือนก่อน +5

    Yaan hawa wasemaji wawili wameendana tunapenda mnavyopendana nastunajiona kumbe simba na yanga ni watan wa jadi❤❤❤aly kamwe &Ahmed aly

  • @AgenesMugema
    @AgenesMugema 2 หลายเดือนก่อน +10

    Wasemaji wetu wako vizuri sana, mpira ni Raha sana na huu ndo utani wa jadi.👍👍👍👍

  • @mohamedishundi1363
    @mohamedishundi1363 2 หลายเดือนก่อน +1

    One love vijana nimeipenda hiyo.

  • @mmbga137
    @mmbga137 2 หลายเดือนก่อน +5

    Utan wa jadiiii❤❤❤❤

  • @sethjohnson7266
    @sethjohnson7266 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana wasemaji wetu wa timu zetu kubwa Tanzania. Mpira ni burudani bana

  • @yuvenalalphonce5978
    @yuvenalalphonce5978 2 หลายเดือนก่อน +8

    😂😂 daah Ahmed kiboko🎉

  • @AlhajiHussein-f5z
    @AlhajiHussein-f5z 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ukweli usiopingika hawa wasemaji wetu yaaani. Ni comedian kuna muda hatakama umenuna wakisema utacheka tu😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 หลายเดือนก่อน +15

    Yaaani hawa wasemaji wako vizuri sana àwana ugomvi nawapenda saaana angekuwa manara hapo mhuuu

    • @iddiramadhan
      @iddiramadhan 2 หลายเดือนก่อน

      Mmmmmmh manara ana rafiki ndugu?

    • @NeemaMushi-wj1zn
      @NeemaMushi-wj1zn 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli

  • @luluray2115
    @luluray2115 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hawa ndio wasemaji sasa sio watu wanaleta ugomv bila sababu tunawapenda wasemaji

  • @Askofuadtz
    @Askofuadtz 2 หลายเดือนก่อน +10

    Aahh Ahmed ally kiboko bhn na huu ndo mpira utan sio ugomvi bal n kujenga undugu kupitia michezo😊

  • @AbihuMruma
    @AbihuMruma 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefurahiswa sana na wasemaji hawa vijana kweli wabobea kwenye tasmia yao

  • @audifoncegratian1866
    @audifoncegratian1866 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaan jamn mim nimefurhia hii clip yaan kama tungekuwa hiv tangu mwanzo mpira ungekuwa saf kabsa

  • @aminaothman8669
    @aminaothman8669 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani marafiki sana awa jamaaaa kumbe

  • @nemamgona5886
    @nemamgona5886 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nimeludia mala mbil alooooo nawapenda bule

  • @mandelasamwely9076
    @mandelasamwely9076 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ahmed ni comedian mzur kuliko usemaji

  • @michaelking-s7r
    @michaelking-s7r หลายเดือนก่อน

    yani ahmed ally kazi kumkosoa mwenzie

  • @pascosalvatory5274
    @pascosalvatory5274 2 หลายเดือนก่อน +1

    AHMED KAAAAH😂😂

  • @aminaothman8669
    @aminaothman8669 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wallahi nimependa huu utani

  • @Tinomsafi-kb3qz
    @Tinomsafi-kb3qz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga Sanaa tuu

  • @JyjuniorJemsTz
    @JyjuniorJemsTz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wamemfungua kimbinji ata kwa mkapa akufika mnaroho mbaya

  • @MarryDonatus
    @MarryDonatus 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaaaaa

  • @elishamwakihaba942
    @elishamwakihaba942 หลายเดือนก่อน

    Nikiwaangalia hawa jamaa kwangu ni zaidi ya cheka tu😂😂😂😂

  • @SalomeZakaria-x4r
    @SalomeZakaria-x4r หลายเดือนก่อน

    Huu ndiyo Mpira sasa

  • @RamsonAloyce
    @RamsonAloyce 2 หลายเดือนก่อน +1

    Good 🎉🎉

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli michezo ni furaha na sio vita wala makasiriko
    Mimi ni simba ila hii imekaa vzr sana maisha yanaendelea

  • @princehalawa_official7980
    @princehalawa_official7980 2 หลายเดือนก่อน +4

    Lingekuwa lile albino la mbagala lisingekaa apo kwa ujinga wake

  • @Immahjr
    @Immahjr 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hawa wasikutane tena watafungiwa wote kwa pamoja league itapoa sana😂😂😂

  • @ChristopherKisarika
    @ChristopherKisarika 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa kutana ni kina GB 64
    Full mapovu
    Huu ndio utani sasa

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤💚💚💚,hii 😂😂😂😂

  • @MichaelPatrick-k8k
    @MichaelPatrick-k8k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Awa watu we wawili atare sana

  • @arafatmbaruku8927
    @arafatmbaruku8927 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wasemaj wasom sio yule yule mwehu... Manyara

  • @MbaroukKhalifa-b7l
    @MbaroukKhalifa-b7l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kamwe katoa salut mwenyw huyu Ahmed ni msemaji na nusu

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn 2 หลายเดือนก่อน +3

    Angalieni msije mkafungiwa au mmesahau mmeambiwa msichekeshe du hawa komedian sio maafisa habari

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kwani watu kucheka ni dhambi!?mpira ni burudani na mchezo wa furaha sasa kama kuna mtu alisema kuchekesha hairuhisiwi kwenye michezo basi uyo akili yake itakuwa mavi kama wewe😊

    • @ShekhMufyd-mn9zn
      @ShekhMufyd-mn9zn 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@IbniAbbas-yz3kt sawa we unakunya keki kaka

    • @hassanmbuyu1240
      @hassanmbuyu1240 2 หลายเดือนก่อน

      Kaka kubari kueleweshwa kama jambo ulijui.... hiyo kauri ya kusema aluhusiwi kuchekesha ni TFF ndo Wales wamesema hivoo

    • @saadahassan1437
      @saadahassan1437 2 หลายเดือนก่อน

      Asa unaenda uwanjani kununa ww michezo ni afya na furaha kalale mana unausingizi bado😂😂😂😂

  • @MarthaNicolaus-q3s
    @MarthaNicolaus-q3s 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂ila hawa jaman kah😂😂😂

  • @officialnyongo2645
    @officialnyongo2645 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona kwenye vifaa vya umeme hawaweki vocha mnatutenga mafundi umeme

  • @SABRINASHAURI
    @SABRINASHAURI 2 หลายเดือนก่อน +1

    daa Ahmed utaniuwa mbv

  • @EstershijaMapanda
    @EstershijaMapanda 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimecheka Kwa sauti , ety nyie mlimchangia Hadi kinyago na hamkumuaga

  • @chiengwalu6312
    @chiengwalu6312 2 หลายเดือนก่อน +2

    💚💛🖤❤️🤍

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂
    Hawa vijana wakikutana ni raha tupu

  • @FREDCHILUMBA-hf5dm
    @FREDCHILUMBA-hf5dm 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila Semeji 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂 Huu ndio utani wa jadi sas ila hawa watu comedian

  • @GaudensiamashikuMalenja
    @GaudensiamashikuMalenja 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndo wasemaji , watu wa maana kabisa i real live them

  • @jeremiahmbise2133
    @jeremiahmbise2133 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimecheka kama mjinga🤣🤣

  • @japhethelijah4252
    @japhethelijah4252 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila Ahmed ni mchekeshaji😂😂😂😂

  • @emmanuelmwacha5059
    @emmanuelmwacha5059 2 หลายเดือนก่อน

    Iii combination ndio maana kamili ya mtani wajadi na soka ra kistaharabu sio yule mpiga kelele

  • @eliwazadaniel6535
    @eliwazadaniel6535 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂eti mkamvisha na vinyago mkamwacha

    • @chiengwalu6312
      @chiengwalu6312 2 หลายเดือนก่อน +1

      We huogopi 😊

  • @AllyKimeme
    @AllyKimeme 2 หลายเดือนก่อน +2

    Awa Wana Juana ila ote simba wa nguvu moja

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 หลายเดือนก่อน

      Nyie kwenu kila mtu simba tushawazoea

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sema hawa wote comedian 😂

  • @talibthetruth8709
    @talibthetruth8709 2 หลายเดือนก่อน

    Mtu wa kusini 😂😂😂 oyee

  • @devothajohn4238
    @devothajohn4238 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ally n mnoma

  • @anuaryshabani-k7g
    @anuaryshabani-k7g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa jamaa bado ubaya unaenderee

  • @inearclassictz1233
    @inearclassictz1233 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂

  • @RovaniaAllen
    @RovaniaAllen 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂jamn nawapongeza sana wasemaji wetu kiukweli mpira ni utani sio uhasama awa ndo wasemaji sasa

  • @RizikiMbembela-b6h
    @RizikiMbembela-b6h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Awa jamaa bwana

  • @BennyProsper
    @BennyProsper 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂hongereni huu ndio utani sasa

  • @artlastking
    @artlastking 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂

  • @RachelMkuwa
    @RachelMkuwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @HarunaOmari-v7d
    @HarunaOmari-v7d 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂