Asante pia sandra japo nmechelewa kuiona hii episode ila n kwa sababu zisizo epukika ila nakupenda sana pamoja na team yko mungu awepe nguvu siku zote amena
Sandra ni bonge la series lkn pia napenda editing yake inaweza sana...hapa usituekee season 1 wala 2 yaani twende hivi hivi hatakama itaishia episode 200❤❤❤❤
Naomba scene inayofata sandra arudishwe tofaut na hapo hatutoelewana maana nitawaebukia hadi uko kambini kwenu nianzishe fujo. Nakupenda sana Sandra❤Mwaaaaaaaaah🥰. Pia dkk za series tunaomba zitulie kwenye 30 ndy max kutokana na utamu wa hii movie.😊
Sandra episode 26
th-cam.com/video/_QchlJJ9vhI/w-d-xo.htmlsi=25dRt-aP6ffFkEW7
Sandra episode 25
th-cam.com/video/GsNR8_0vaiA/w-d-xo.htmlsi=Q2mLCjNBaxXRmQHp
Sandra episode 24
th-cam.com/video/Kx17iSd1Ij0/w-d-xo.htmlsi=odUokAU7PIQ8CO_2
Sandra episode 23
th-cam.com/video/tIQ0dLCJQSU/w-d-xo.htmlsi=SZWyb-dPUyfo83Hl
Sandra episode 22
th-cam.com/video/6MFBCY2hFsc/w-d-xo.htmlsi=cwtmkAYLjdiEqKNx
Sandra episode 21
th-cam.com/video/Kn0lBvP1ero/w-d-xo.htmlsi=f1pqvt7hzrz2E2Mr
Sandra episode 19
th-cam.com/video/XPIpFulzsrQ/w-d-xo.htmlsi=sw-pZTucuKTzGxSS
Sandra episode 18
th-cam.com/video/PyZHa3q1qPs/w-d-xo.htmlsi=FA8_wECsFeVqe9Ol
Sandra episode 17
th-cam.com/video/za66LGMABsI/w-d-xo.htmlsi=H7ic4rg5-2sK86O3
Sandra episode 16
th-cam.com/video/kXropyF54SY/w-d-xo.htmlsi=jUrVXcv7INQoI2cC
Sandra episode 15
th-cam.com/video/niohI4EhWyc/w-d-xo.htmlsi=ErafpqS8BJpo67kY
Sandra episode 14
th-cam.com/video/XaOv9kNypSM/w-d-xo.htmlsi=IgFcc1mu1JmNaP4W
Sandra episode 13
th-cam.com/video/OjpHZtlEqhQ/w-d-xo.htmlsi=PF5sWX0DzsuDsE5D
Sandra episode 12
th-cam.com/video/G-5HbFxMLK8/w-d-xo.htmlsi=cXQotZskToHPK-HN
Sandra episode 11
th-cam.com/video/PlFNMUAvqq4/w-d-xo.htmlsi=1ZeJc1Tpsc9hENzV
Sandra episode 10
th-cam.com/video/i1ednW2wyjk/w-d-xo.htmlsi=BbTgNypsWkJ_reRl
Sandra episode 9
th-cam.com/video/WHTUpPcfqLg/w-d-xo.htmlsi=BQkoYJAxeu5FU6iY
Sandra episode 8
th-cam.com/video/quZfZh9hxkM/w-d-xo.htmlsi=M1l7-glLZtCZrI3X
Sandra episode 7
th-cam.com/video/V119d-ku-Z4/w-d-xo.htmlsi=zV3SBOIbtnHrjzGl
Sandra episode 6
th-cam.com/video/EVFHWef1pfU/w-d-xo.htmlsi=Sml-MpMn4xJG_MXE
Sandra episode 5
th-cam.com/video/4etfPTUa6os/w-d-xo.html
Sandra episode 4
th-cam.com/video/bACm-XJtZyM/w-d-xo.htmlsi=EiXws9tSAnGKGiR2
Sandra episode 3
th-cam.com/video/Z1Emh1A9QCQ/w-d-xo.htmlsi=jaJh5HuXoxyPKzv6
Sandra episode 2
th-cam.com/video/gT1pxPbZwuY/w-d-xo.htmlsi=jsAMEJKXBYDT75di
Sandra episode 1
th-cam.com/video/imqzkqFrVT4/w-d-xo.htmlsi=oRFW5N_WWCSJrAsE
❤❤
Nakukbali sandra
Aisha habity ndo kwanza imenoga wallah we we na timu nzima mungu awape maisha malefu muendelee kutupa utamu
Nawapata nikiwa UAE
❤❤❤
Jamaniiii namimi napenda kuigiza sana mnanisaodiaje
Nakupenda sana Sandra na team yako yote maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Hongera sana Madam ni kazi nzuri sana binafsi naipenda sana nimekuwa shabiki yako sasa nipo nawe kwa kila kazi zako 👏👏👏
Leo nimechelewa kidogo lakini naomba like 👍 from in Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🌹💐💔🍎
Mwiu Kaká
Mmozambiq mwenzaku ❤❤
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉maua yako sandraa unajua sanaa mashallah
Mungu akutangulie ufanikiwe🎉🎉❤❤❤
Sandra naipenda saaana filamu mwaka mzuri kwako mama
From Congo, katika watu wa kali kalimu nawe Sandra umo umo,sote tu seme iweeee
Katika warembo wakalikalimo nae Suzie yupo yupo na sote tusema Maalim....love from 254......❤❤.
Sandra allah akulinde❤hii kazi yako nzur sana adi ukichelew kutoa inauma n bas tu sending love from burundi ❤❤❤
Habarizenujamani
Asante pia sandra japo nmechelewa kuiona hii episode ila n kwa sababu zisizo epukika ila nakupenda sana pamoja na team yko mungu awepe nguvu siku zote amena
🎉🎉🎉🎉🎉twawapenda pia wapendwa ❤❤❤❤
Wini ni nzuri Sana frow Mozambique 🇲🇿🇲🇿 💪
Waooooh SANDRA,,
Kazi nzuri.
Nampenda sana Sandra awe make wangu
Wote tusemee maalimuu❤️🔥👌🏿🙌🏿🙌🏿
Nenge furahi sana km kipara jaiva nae engejitambulisha kacheza km Nani katika move ya SANDRA
Huu mwaka basi ndio unaanza na mambo Moto Moto mezani ,,keep it up Sandra na team yako ❤
Sandra niconect baci kwayule malkia mdogo nampenda❤ mwezio
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😅
Nilikuwa nimengoja kuona kipara akituwishia happy new year mbn hakuwepo but much love from me ❤
Hii movie yn iko na warembo jaman ❤❤
Katika zile movie kalikalimo, na hii imoimo, wote tuseme maalim
😂😂😂😂
maalim
Maalim
Maalim😂😂😂
Maalim
uko vizur from Kenya naipenda Sana movie yenu
Khaaah Juma jamani sio kwa utambulisho huo😂😂😂😂eti nimezaliwa Tanga😂😂😂unajua Maalim🎉🎉🎉
tunawapenda wote ❤❤❤❤mpo vizuri
Sawa
Sandra Wangu usiwawee nakupenda sana❤❤❤
Tunakupenda mway sandra wetu😊
Hongera sana Sandra Kwa kazi nzuri 🔥🔥🔥🔥🔥
Nasira mussa
Sautiyako ni mzuri Sana nimeipenda
Na katiya watu ambapo wana fata sana sadra na tena kali kilimu nami nimu nimu
😂😂😂😂😂😂
Hata mm nakukubali sana Sandra
Yani nawakubli hta kaka juma jicho😂😂
Ni nzuri hamu fayi mbio mbio
Kaz nzur dada ake❤
Nampenda juma jicho popote alipo 😂😂😂 aje kwangu
😅😂😂😂😂😂
Sandra nawapenda nyote kwa jumla kutoka Congo DRC 🇨🇩
Kitu kizuri uwa akina thamani kwa mmiliki🙏 usisaau Kuni follow wapendwa naitwa Manyanya Niko katika Tamthilia ya Dunia
Tupo na wewe usijali
Tunakukubali sana
Mkono Kwa mkono na wewe ,🎉mwalimu wa ma shahuri mkuu wa plan ❤
Nimekwambia kaka chukua fomu ya uraisi kwa chama ukitakacho, tunakupa Kura zote mkuu
Follow NGONDE.....director sandra seris
Nakubali sanaa sema Sandra sijamuelewa mbn amecheza sehem tatu tofauti
Mwenye nguo nyekundu mkubwa mwenye nguo blue wakati mwenye nguo nyeupe mdogo na ndie mwenye loho mbaya kuliko wote
Ila sandra bhn rudiii we ndo sterling najua ujafa nakusubiria ety😢😢❤
hii inabamba sana...,ila juma ni moto zaidi
Sandra ni bonge la series lkn pia napenda editing yake inaweza sana...hapa usituekee season 1 wala 2 yaani twende hivi hivi hatakama itaishia episode 200❤❤❤❤
Mimi naomba kazi tu by star b kipepeo
I am from Zambia I like your movie so much ,keep up the good work❤
Sandra tunaomba na last born
kazi nzuri sana
Msalimieni xn Sandra,Kipara,Na MR NARABUK weweeee😅😅😅😅 n hapa kutoka Kenya
marikia mdogo msaliti kumbe anataka sandra afe sijapenda anaekubariana na mim gonga apo
Hongera saana Sandra nakufatiliya saana Malikia mdogo ananini amenikera saana alivyo futa kumbukumbu kwa Kipara 😢
Mnaweza kabisa nakupenda sandrah
Hiki kijuma siku kikiondoka katika hii movie nitaiacha kbs😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
tunawapenda sana tafathali tuletee episodes haraka
Wini nakupenda unasura nzur macho yako nayapenda
Iko vizuriiiii sanaa hii moveee
Sija muona mpezi wangu kipara. Sandra umenibia
Bartazar zee la kushenyenta😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Tupo kama kawa naipenda sana maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Dada SANDRA Alijituliza kwenye hii movie Wallah maan haichoshi❤❤❤🇧🇮
Nimechelewa kidogo leo 🎉 HONGERENI SANA SANDRA NA TIMU YAKO
Na ww kipara hongera kwa maigizo yk
Uyo jama jini mkuu anajua sna tena snaa
Asante sana mr NARABUKU 🎉🎉🎉
@mrnarabuku❤
Naomba scene inayofata sandra arudishwe tofaut na hapo hatutoelewana maana nitawaebukia hadi uko kambini kwenu nianzishe fujo. Nakupenda sana Sandra❤Mwaaaaaaaaah🥰. Pia dkk za series tunaomba zitulie kwenye 30 ndy max kutokana na utamu wa hii movie.😊
🎉🎉🎉😂😂😂😂
Utamuibukia
Yan ktk move na enjoy sn ni hiii ongera sn ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
#Shabyus
#Kipara
#Sandra
#Malkiaa
Chuma Pro max, nimekuelewa sana mwamba. Keep it up
Wow,vizuri sana Sandra,musi cheleweshe, tuna itaji muda wote
Tenaa mmemuona jini Sharaji kavaa Suti leo 😂😂maana sio kwa kile kikanzu chako😂🎉🎉🎉
Jamani mganga Punjabi sijui nani sio kwa kujing'ata huko😂 haya tumekuelewa👏👏🎉🎉🎉🎉
Yaan kweli Sandra ipo kwenye movie Kali kalimo ntasema maalim tunaioenda sana huku kenya❤❤❤
Mmejitambulisha vizuri sana Nawapenda nyote 🎉🎉🎉🎉🎉
Tunawapenda piaa❤❤
Tunakupenda sandra ❤ ila juma jicho unachekesha
I rave you kiswahili ni chenu kizungu hakimhusu
Sandra,nawenziye,msitukawizi shabiki zenu,bcz,tunawa like sana
Nakupenda sana sandra jamani naomba namba yako basi please sandra❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
asante sandara umwaka tumeupokea salama pamoja na wewe sandra asante kwa muvi nzuri hii
Naku kubali sana Sandra 🎉
Good work Sandra I love you confidence ❤
Jaman itowe haraka ya 21 iyo jaman maana mumecheza vinzur sana
Pamoja sana mtoto mzuri Sandra nakupenda kutoka Bujumbura Burundi 🇧🇮♥️🙏👑
Asante sana watu wangu Sandra wee ni mpole sana hata movie yako iko vzry sana yaani inavutia❤❤❤❤❤❤
Nakubali shalaji
Mbona movie imejawa wasaliti nilijua tuu uyo malkia wa kisautii n msaliti😂
😂😂😂😂kisha sana
Hivi, wa Sandra wako wangapi !!!
Good work Sandra I love your confidence ❤
Helloooow mr Kawaida mr Narabuku 😂😂😂🎉❤
Mpo vizur sana na mmeweza sana
Katika movie hii ni bonge la movie sandra nakuona mbali sn dada ongera❤
Nipo katavi Kazi nzuri Sandra nakupend❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sisi ndio hatuchoki sasa 😂😂😂illa kazi nzuri sana dada mimi naikubali sana🎉🎉🎉illa ukuje Kenya 🇰🇪 tukuone welcome to 254t❤❤❤
❤❤❤❤❤❤from Kenya
Wooooow tunawapenda jamaniii 💕💕 mko vizuriii caana tuseme MALIMuuuuu😂😂😂😂
😂😂😂😂🎉Sandra official ukojuuu
Katika wale ma star kumi ambao hawana baya na mimi nimo nimo 🎉aya twende kazi
Kumbe pacha ake sandra ana roho mbaya kwel kweli😢
I love Sandra😙🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mr. Kawaida nakubali sana mzee
Sandra hope utaowana Na kiparaa
Twakupenda xana dada ye2 sadra!! Uko vzur!!
Tuwapenda pia from 🇰🇪 kenya ❤❤❤❤ happy new year
Haki kweli leo nimechelewa kbs ila kazi zuri sana ❤
Movie yang pendwa❤❤