Mmmh nuru yangu imeshaa ng'a nyota ya mapenzi imeniangazia aah nashukuru nimempata wangu mwandani Hivi kweli nimemtoa wapi huyu mwali ananipa hadi asali aah mapenzi ya dhati naipata zaidi zaidi Wenda we ndo wangu halali Baby wewe ndo wangu hatari,kiuno unavyo saga kitandani Unanichaganyaga Wenda we ndo wangu halali Baby wewe ndo wangu hatari,kiuno unavyo saga kitandani You make me say Chorus Nakupenda we,nakupenda we Nakupenda we,nakupenda we Nakupenda we,nakupenda we
Mmmh nuru yangu imeshaa ng'a nyota ya mapenzi imeniangazia aah nashukuru nimempata wangu mwandani
Hivi kweli nimemtoa wapi huyu mwali ananipa hadi asali aah mapenzi ya dhati naipata zaidi zaidi
Wenda we ndo wangu halali
Baby wewe ndo wangu hatari,kiuno unavyo saga kitandani
Unanichaganyaga
Wenda we ndo wangu halali
Baby wewe ndo wangu hatari,kiuno unavyo saga kitandani
You make me say
Chorus
Nakupenda we,nakupenda we
Nakupenda we,nakupenda we
Nakupenda we,nakupenda we
🔥🔥🔥🔥 E - Tunez
🔥 🔥 🔥
Fire🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ooh my God i love this beat 💥💯
@@janeroselunguya2890 sweetheart ❤️
Brooooooh unauwaaaa Saaana
@@maysixke salute💥💥