BODA BODA FULL MOVIES FINAL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @Joseph-r5l6z
    @Joseph-r5l6z 25 วันที่ผ่านมา

    pamoja sana family

  • @MokoJr-gd6fr
    @MokoJr-gd6fr 3 วันที่ผ่านมา

    Kaka stor yenu ya boda boda iko poa sana mmecheza ipasavyo uyo kaka ariye mnyan.ganya mwenzie pik pik ametisha ana ata huluma duh.uu

  • @GRACEEBEHARDI
    @GRACEEBEHARDI หลายเดือนก่อน +1

    Mmejitaidi Sana ira atuyafaham majina yenu jitaidini kabra ya move kuanza yatangurie majina kwanza iri tuwa faham mriyo cheza bodaboda mko vizuri kiujumra

  • @MwanaharusiKahe
    @MwanaharusiKahe หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda move yenu ya boda boda stor iko vizuli mmeicheza vizuli nimepeda uyo kaka aliye mpa mwenzie pk pk na kumnyan.ganya siyo kwa loho mbaya hiyo ana ata chembe ya huluma jamani

  • @DevotaJohn-w5r
    @DevotaJohn-w5r หลายเดือนก่อน +1

    Habari zenu nime mkubali sana alie mkabizi boda boda naza na kumpola bila huluma yuko vizuri kwakweli kiujumla mko poa kazeni buty

    • @nazuutv4062
      @nazuutv4062  หลายเดือนก่อน

      @@DevotaJohn-w5r Tunashukuru

    • @nazuutv4062
      @nazuutv4062  หลายเดือนก่อน

      Asante maoninmuimu sana kwetu

    • @Neema-t8k
      @Neema-t8k หลายเดือนก่อน

      Mpo vzr hongeren❤❤❤❤

  • @AishaJuma-r9h
    @AishaJuma-r9h หลายเดือนก่อน +1

    Stori yenu ya boda boda ni nnzuri na mmeitendea haki kwa wote mriyo shiriki Ira majina yenu atuja yaona jitahidi sana inapo anza move majina yawe ya kwanza maana majina yenu atuyajui

  • @MwanaharusiKahe
    @MwanaharusiKahe หลายเดือนก่อน

    Story yenu ya boda boda imetulia iko fleshi na mmeicheza vizuli ususa uyo kaka aliye mkabidhi mwenzie pk pk na kumnyan.ganya bila hata huluma ametisha maana siyo kwa loho mbaya hiyoo yani amekijali chombo chake kuliko utu nime mkubali sana

  • @MwanaharusiKahe
    @MwanaharusiKahe หลายเดือนก่อน

    Story yenu ya boda boda imetulia iko fleshi na mmeicheza vizuli ususa uyo kaka aliye mkabidhi mwenzie pk pk na kumnyan.ganya bila hata huluma ametisha maana siyo kwa loho mbaya hiyoo yani amekijali chombo chake kuliko utu nime mkubali sana😅😅😅

  • @MwanaharusiKahe
    @MwanaharusiKahe หลายเดือนก่อน

    Story yenu ya boda boda imetulia iko fleshi na mmeicheza vizuli ususa uyo kaka aliye mkabidhi mwenzie pk pk na kumnyan.ganya bila hata huluma ametisha maana siyo kwa loho mbaya hiyoo yani amekijali chombo chake kuliko utu nime mkubali sana😅

  • @MwanaharusiKahe
    @MwanaharusiKahe หลายเดือนก่อน

    Story yenu ya boda boda imetulia iko fleshi na mmeicheza vizuli ususa uyo kaka aliye mkabidhi mwenzie pk pk na kumnyan.ganya bila hata huluma ametisha maana siyo kwa loho mbaya hiyoo yani amekijali chombo chake kuliko utu nime mkubali sana😅😅😅