Dah mashaallah wallahi sheikh wangu mungu akupe maisha maref sana na yenye kheri namuomba mwenyeezi mungu asichukue nafasi yangu na yako bila kupeana mikono.
قالﷺ إنَّ اللهَ لا يقبضُ العلمَ انتزاعًا ينتزعُهُ منَ النَّاسِ ، ولَكن يقبضُ العلمَ بقبضِ العُلماءِ ، حتَّى إذا لم يترُك عالمًا اتَّخذَ النَّاسُ رؤوسًا جُهَّالًا ، فسُئلوا فأفتوا بغيرِ عِلمٍ فضلُّوا وأضلُّوا ANASEMA MTUME WA ALLAH REHMA NA AMANI ZIWE JUUYAKE KWAHAKIKA ALLAH SW HATAICHUKUA ELIMU KWA KUINYAKUAA KUITOA KATIKA VIFUA VYA WATU LAKINI ALLAH ATAICHUKUA ELIMU KWA KUWAONDOSHA WANCHUONI WAKWELI WENYE MACHUNGU NA DINI NA IKHLAS YA KWWLI MPAKA PAKISHAKUA HAKUNATENA MWANACHUONI MKWELI MWENYE IKHLAS NA UCHUNGU NA DINI HAPO WATU WATACHUKUA MASHEKH VIONGOZI WA UJINGA WATAWAULIZA VATWA NAO WATAWAJIBU KWA AKILIZAO PASIPO NA ELIMU WAO NIWAPOTEVU NA WATAWAPOTEZA WWNZAO PIA HAYA NIMANENO YA MTUME SAW MASHEKHE KAMA HAWA NIWABAYA SANA KATIKA JAMII NA UKIWASEMA KUNAWATU WASIOJUA UNDANI WA HILIJAMBO WANALALAMIKA SANA LAKINI UISLAM KITUMBALI MA MUISLAM NIKITU KINGINE KUNA MATENDO YA KIISLAM NA MATENDO YA MUISLAM SASA TUNAPOUZUNGUMZIA UISLAM WATU WAUILIZE VIZURI KWASABABU UISLAM JAUNA CHEO ISIPOKUA TAQWALLAH KUMCHA ALLAH KWAHIO NDIOMANA KUNAWATU WALIKUA KARIBU NA MTUME WA ALLAH LAKINI KWA KUKOSA KWAO IKHLAS ALLAH AKAWAINGIZA KATIKA LAANA NA AKAWAHIDI MOTO KWAHIO MUISLAM HATA AWE NA CHEOGANI HAPA DUNIANI TUNAANGALIA MATENDOYAKE KAMA HAYAKO KTIKA MLOLONGO WA MANHAJI ILIOSAHIHI HUYO HANA NAFASI من قَواعِدِ الرَّدِّ على المُخالِفينَ: الحَقُّ لا يُعرَفُ بالرِّجالِ، فإذا عُرِفَ الحَقُّ عُرِفَ أهلُه NA KATIKA MISINGI YA KUWAJIBU WENYEKWENDA KINYUME NA MANHAJI ILIOSAHIHI INASEMWA HAQQI HAIJULIKANI KUPITIA KWA WATU IKISHAJULIKANA HAQI BASI HUJULIKANA WATUWAKE
Mnafanya Dini ya uislamu imekuwa kama simba ya yanga.. hivi Kuna maana Gani kuwagombanisha mashekhe baaada ya kuwapatanisha?? Ilikuwa haina haja ya kuweka picha ya Muhammad bachu Kwa sababu Hii Dini Sio ya MTU Bali ni Dini ya Allah.. Kama shekhe anatoa mtazamo wake basi haina haja ya kuweka picha ya shekhe mwengine.. Ni nasaha tu
Msiwekeni picha za watu katika videos za clips zenu mkajaribu kuletesha fitna shekh Othman hamlengi mtu ila asema ukweli wa mambo tu, na mawaidha lazima yatuguse tu madam tunayo.
Huu ndio uzuri na utamu wa dini yetu ya kiislam, najisikia fakhari sana, hii daawa ni mujarrabu sana na imepata fundi, ukimsikiliza tu unajua dhati upande upi ni sahihi. tumechoka matusi na kebehi za bachu
Lazima umtaje bachu kwasababu anakwambiya yale ya ukweli na dalili kabisa na ukweli siku zote wauma ila nyinyi munashindwa kuyatetea maulidi yenu au uzushi wenu hamuna dalili ata moja allah akuongozeni muweze kuitambua haqqi iko wapi muweze kuifata na baatili iko wapi muweze kuiwacha kwani kila bidaa ni upotevu na kila mpotevu motoni allah atuhifadhi na wapotevu
@@OmaryallyMngoma tumeona picha ya shekh wetu hapo simba wenu huyo bachu ndo tumefatilia vinginevyo ni sinaga mpango kuwasikiliza watu wa bidaah kabisa mzushi atakufundisha nini zaidi ya kueneza uzushi wake
Ajabu yabinadam kusahau haraka bachu alkojolea kiti juzi juzi tu au kuita wewe wazushi ndio kweli ni ufedhuli wenu Sh.Uthman Maalim ameelimisha watu wengi sana na anafahamika vizuri sana.
@@rushu1232 kawaelimisha wangapi katika uislamu huyo othman maalim zaidi ya kusimulia visa tuuh anakataza shirki au bidaah huyo hawezi sabu wao ndo wahusika wa hawoo mambo bora niambie na bachu amewatoa watu katika usufi wakijuwa sunnah arafu hizo ni skendo za kuchafuwa masufi walipoona kihoja anawashinda wakamuundia porojo hizo zipo hata mtume kakutana nazo sana kuwekewa kinyesi anapokaa na adui zake ndo ilivyo ukikamata hakki utazuliwa mengi wale wazee wenu wa bidah watubie kwa Allah hilo litakwenda kuwashtaki kwa Allah kuchafuwa mtu ndomana mi nawaambiaga watu bora uishi na nguruwe kwako au ufuge mbwa utamfundisha atakuelewa so watu wa bidaah mijitu ya bidaah muongo sana na si wakuwaamini na kaa mbali nao kabisa wameweza kumzulia mtume urongo wanashindwa kumzulia mtu wa kawaida tuuuh so hivyo ndomana kuna wanazuoni wanasema haifai Kuketi na wazushi kujitenga na watu hawoo mpk wazungumza hakki
😢NAONA UNASEMA HUKU UNATUHUMU KUWAITA WAISLAM WENZIO MAKURAFI NDIYO MANA MNAAMNIWA MIDOMO YA MAWAHABI INANUKA MATUSI MAWAHABI HAWATOWI MAWAIDHA ISIPOKUWA WATUKANE NA WAKASHIFU NA WAJIKWEZE KWA SAUTI ZA UKALI STAIL YA KUTOA MAWAIDHA MAWAHABI NI YAKUWATISHA WATU ILI WAWAAMINISHE KWA UKALI WANAO UTOA LAKINI MASHEKHE ZETU WAPOLE NA WAKARIMU NA WAKWELI LAKINI MAWAHABI KAZIYAO NI KUWATUKANA WAISLAM WENZIWAO TU MCHENI ALLAH
Wazushi mnakazi kweli kweli bachu anawanyosha vzr mlizoea danganywa watu hapo nyuma saivi Nuru imekuja biashara za watu zimevunjika kuwatapeli hela kwa njia ya maulidi😂😂😂
@@hilalkhalfan1452 sunnah zipi mnazofanya sufi Sabu sunnah ya ndevu tuuh imewashinda mnaona kama ndevu ni haramu kwnu videvu vingi balbu tuuh,sunnah ya kuvaa nusifaki kama alivyvaa mtume kumwahinda mnabuluta maguo mpk chini kama shera za wakristu wale, na mkaona muwabeze kabisa wanafata sunnah hizo wakati kuna makemeo makali kwa mtume kuhusu mwanaume kubuluta nguo yake chini mi sioni sunnah mfanyazo nyie zaidi bidaah ndo mmezifanya sunnah kwenu kusoma mkhtima sunnah ya nani hiyo et mtu akifa siku ya 3 mnakaa kitako kusoma juzuu pale kinaletwa kitezo Cha moto na ubani sunnah ya nani ile nyi mabwana kama kwenye hadithi za mtume hakuna,, atu wamejegw fikla za kizushi tuuh na munaamini ile ndo dini kumbe 0 mkiambiwa toeni dalili wapi mtume kufundisha hayo na alifiwa na wanawe na mkewe na maswahaba mbona hakufanya hayoo mnasema oohoo kuna ubaya gani tukifanya yaani dini mmeichukulia simpo sana na urithi wa mababu zenu kaadrr walivyo enda nanyi mnapita mlemle amsemi mbona mtume kasema utasikia mbona shekh Fulani kasema hatuoni sunnah mfanyazo zaidi ya bidaah
Allah atuongoze katka khak na uongof wake na tusiifanye dini kama timu za mpira bal tusimame katka khak
Dah mashaallah wallahi sheikh wangu mungu akupe maisha maref sana na yenye kheri namuomba mwenyeezi mungu asichukue nafasi yangu na yako bila kupeana mikono.
Amin atujalie sote vipenz vya mtume
Amiin,ila mkikosana hapa basi allah atakukutanisheni kesho peponi insha-allah,ni furaha iliyo jee bila majuto.
Aaaamin
Mashaallah mungu akulipe Kila la kheri
Allah awarehemu wazazi wako! Nawe akuongoze Aamin
@@omarmwabege aamiin
Mashaallahu she asumani munguakuweke
Maa shaa Allwah
Jazaaaka llahu khaira
Inavutia , mashallahh uko vizur san
She othman hodari na anafahamika.hana jazba mashaallwa❤❤❤❤
Hata aongee vizuri vp faswaha kama udhushi utakuwa udhushi tu
Lazima muambiwe ukweli ukemewe kabisa hamna maulidi ya mtume kwenye dini uwo ni uzushi wenu tu mtume hajatufundisha ivyo sisi
أطال الله بقاءك يا سيد عثمان
Jazaqallah
Me sheikh Othman malim nmwalimwangu lkiniifati maulidi
Hpo kwnye kinywa umegusa kunako sheikh,watu wengi hawapigi miswaki watu wananuka midomo,sahihi umetukumbusha
قالﷺ
إنَّ اللهَ لا يقبضُ العلمَ انتزاعًا ينتزعُهُ منَ النَّاسِ ، ولَكن يقبضُ العلمَ بقبضِ العُلماءِ ، حتَّى إذا لم يترُك عالمًا اتَّخذَ النَّاسُ رؤوسًا جُهَّالًا ، فسُئلوا فأفتوا بغيرِ عِلمٍ فضلُّوا وأضلُّوا
ANASEMA MTUME WA ALLAH REHMA NA AMANI ZIWE JUUYAKE KWAHAKIKA ALLAH SW HATAICHUKUA ELIMU KWA KUINYAKUAA KUITOA KATIKA VIFUA VYA WATU LAKINI ALLAH ATAICHUKUA ELIMU KWA KUWAONDOSHA WANCHUONI WAKWELI WENYE MACHUNGU NA DINI NA IKHLAS YA KWWLI MPAKA PAKISHAKUA HAKUNATENA MWANACHUONI MKWELI MWENYE IKHLAS NA UCHUNGU NA DINI HAPO WATU WATACHUKUA MASHEKH VIONGOZI WA UJINGA WATAWAULIZA VATWA NAO WATAWAJIBU KWA AKILIZAO PASIPO NA ELIMU WAO NIWAPOTEVU NA WATAWAPOTEZA WWNZAO PIA
HAYA NIMANENO YA MTUME SAW MASHEKHE KAMA HAWA NIWABAYA SANA KATIKA JAMII NA UKIWASEMA KUNAWATU WASIOJUA UNDANI WA HILIJAMBO WANALALAMIKA SANA LAKINI UISLAM KITUMBALI MA MUISLAM NIKITU KINGINE KUNA MATENDO YA KIISLAM NA MATENDO YA MUISLAM SASA TUNAPOUZUNGUMZIA UISLAM WATU WAUILIZE VIZURI KWASABABU UISLAM JAUNA CHEO ISIPOKUA TAQWALLAH KUMCHA ALLAH KWAHIO NDIOMANA KUNAWATU WALIKUA KARIBU NA MTUME WA ALLAH LAKINI KWA KUKOSA KWAO IKHLAS ALLAH AKAWAINGIZA KATIKA LAANA NA AKAWAHIDI MOTO KWAHIO MUISLAM HATA AWE NA CHEOGANI HAPA DUNIANI TUNAANGALIA MATENDOYAKE KAMA HAYAKO KTIKA MLOLONGO WA MANHAJI ILIOSAHIHI HUYO HANA NAFASI
من قَواعِدِ الرَّدِّ على المُخالِفينَ: الحَقُّ لا يُعرَفُ بالرِّجالِ، فإذا عُرِفَ الحَقُّ عُرِفَ أهلُه
NA KATIKA MISINGI YA KUWAJIBU WENYEKWENDA KINYUME NA MANHAJI ILIOSAHIHI INASEMWA HAQQI HAIJULIKANI KUPITIA KWA WATU IKISHAJULIKANA HAQI BASI HUJULIKANA WATUWAKE
Wenye Elimu zao na hekma hao
Mnafanya Dini ya uislamu imekuwa kama simba ya yanga.. hivi Kuna maana Gani kuwagombanisha mashekhe baaada ya kuwapatanisha?? Ilikuwa haina haja ya kuweka picha ya Muhammad bachu Kwa sababu Hii Dini Sio ya MTU Bali ni Dini ya Allah.. Kama shekhe anatoa mtazamo wake basi haina haja ya kuweka picha ya shekhe mwengine.. Ni nasaha tu
vumilia ndo mambo kwa sababu ftina hii umeletwa na mawahabi wakishirikiyana namayahudi kwa ivi haina budi kubainishwa tu ukwel
@@darajanida ok
Msiwekeni picha za watu katika videos za clips zenu mkajaribu kuletesha fitna shekh Othman hamlengi mtu ila asema ukweli wa mambo tu, na mawaidha lazima yatuguse tu madam tunayo.
naam ni sahihi kbs huku ni kufitinisha
Kweli mwanazuoni sheikh Othman hajiweki katika magenge bali yeye ni mwalimu anayetumia msumemo kukata mbele na nyuma.
sound system hapo saut ipo chini sana
Sauti ipo chini sana
Huu ndio uzuri na utamu wa dini yetu ya kiislam, najisikia fakhari sana, hii daawa ni mujarrabu sana na imepata fundi, ukimsikiliza tu unajua dhati upande upi ni sahihi. tumechoka matusi na kebehi za bachu
Lazima umtaje bachu kwasababu anakwambiya yale ya ukweli na dalili kabisa na ukweli siku zote wauma ila nyinyi munashindwa kuyatetea maulidi yenu au uzushi wenu hamuna dalili ata moja allah akuongozeni muweze kuitambua haqqi iko wapi muweze kuifata na baatili iko wapi muweze kuiwacha kwani kila bidaa ni upotevu na kila mpotevu motoni allah atuhifadhi na wapotevu
Sw kbs haina haja ya kueka picha ya bachu na shekh othman maalim mcgombanishe mashekh acheni fitna na ushaitwani
Wasio penda maulidi tume wagundua wanafutilia kimnya kimnya mtandaoni
@@OmaryallyMngoma tumeona picha ya shekh wetu hapo simba wenu huyo bachu ndo tumefatilia vinginevyo ni sinaga mpango kuwasikiliza watu wa bidaah kabisa mzushi atakufundisha nini zaidi ya kueneza uzushi wake
@@AbdulIssa-o7e eti simba wenu wakati hilo bachu ni tarumbeta tu
@@darajanidatarumbeta ww uliyekuwa waendeshwa na mashekhe zako wa ubwabwa hutaki kuifahamu haqqi allah akuongoze
Yeah maulid haram
Na hio picha ya mwanamke hapo kichwa wazi hamjui kama nywele za mwanamke kuonekana ni vibaya?? Tuweni makini jamani sio tutake kuvutia views tu
Masafu ni watu wa ovyo wamche Allah nani alijikojolea kama sio kuzusha tu kama kawaida ya masufi?
Ajabu yabinadam kusahau haraka bachu alkojolea kiti juzi juzi tu au kuita wewe wazushi ndio kweli ni ufedhuli wenu Sh.Uthman Maalim ameelimisha watu wengi sana na anafahamika vizuri sana.
@@rushu1232 kawaelimisha wangapi katika uislamu huyo othman maalim zaidi ya kusimulia visa tuuh anakataza shirki au bidaah huyo hawezi sabu wao ndo wahusika wa hawoo mambo bora niambie na bachu amewatoa watu katika usufi wakijuwa sunnah arafu hizo ni skendo za kuchafuwa masufi walipoona kihoja anawashinda wakamuundia porojo hizo zipo hata mtume kakutana nazo sana kuwekewa kinyesi anapokaa na adui zake ndo ilivyo ukikamata hakki utazuliwa mengi wale wazee wenu wa bidah watubie kwa Allah hilo litakwenda kuwashtaki kwa Allah kuchafuwa mtu ndomana mi nawaambiaga watu bora uishi na nguruwe kwako au ufuge mbwa utamfundisha atakuelewa so watu wa bidaah mijitu ya bidaah muongo sana na si wakuwaamini na kaa mbali nao kabisa wameweza kumzulia mtume urongo wanashindwa kumzulia mtu wa kawaida tuuuh so hivyo ndomana kuna wanazuoni wanasema haifai Kuketi na wazushi kujitenga na watu hawoo mpk wazungumza hakki
Mkeo kakojolewa na nani mbona kalowa
@@abdallaahabdallaahibrahim6719 kweli chungu kisha mwajidai watu wa sunnah alikojoa na watu wakashuhudia matusi ndio alivyowafundisha bachu.
Uzushi hata kama ni mzaha unamalipo ya dhambi mbele ya Allah ( sw)
@@abdallaahabdallaahibrahim6719kumbe na wewe ndio hao hao watu wa matusi. Haifai kijana acha kutukuna.
Hao wenzetu sunna zao zipo midomon tu
Kuwaelewa mashekhe wa kisufi yaitaji elimu ya Hali ya juu la sivyo utaonekana mjinga
Huo ni uzushi wala sio dini ya rasuli
Yaani sasa hivi picha ya bachoo ndio mnayiuza mitandao yenu
Kama picha ya firauni ilivyouzwa misri 😂
@@hilalkhalfan1452 Alla ndie hakimu wa haki na nimjuzi wa kila jambo
Juz bchu wko katka kuuza kw kumtja ost said,hujaona?
Hakuna wenye matusi kama mahurafy wapotofu
😢NAONA UNASEMA HUKU UNATUHUMU KUWAITA WAISLAM WENZIO MAKURAFI
NDIYO MANA MNAAMNIWA MIDOMO YA MAWAHABI INANUKA MATUSI
MAWAHABI HAWATOWI MAWAIDHA ISIPOKUWA WATUKANE NA WAKASHIFU NA WAJIKWEZE KWA SAUTI ZA UKALI
STAIL YA KUTOA MAWAIDHA MAWAHABI NI YAKUWATISHA WATU ILI WAWAAMINISHE KWA UKALI WANAO UTOA
LAKINI MASHEKHE ZETU WAPOLE NA WAKARIMU NA WAKWELI LAKINI MAWAHABI KAZIYAO NI KUWATUKANA WAISLAM WENZIWAO TU
MCHENI ALLAH
Weka tunzo yako mfukoni hiyo katika kofia Sheikh wa maokoto
Hasadi mbaya sana
mbona nyinyi kwenye mashindano ya kur ani mwapeana zawad au kule haina tatizo wahabi fikiria kwanza kabla ya kusema
Wazushi mnakazi kweli kweli bachu anawanyosha vzr mlizoea danganywa watu hapo nyuma saivi Nuru imekuja biashara za watu zimevunjika kuwatapeli hela kwa njia ya maulidi😂😂😂
Busara Ni katika Sunna, sasa nyie hamna wafuasi ndio maana matusi ndio Sunna yenu 😂. Poleni sana
@@hilalkhalfan1452 sunnah zipi mnazofanya sufi Sabu sunnah ya ndevu tuuh imewashinda mnaona kama ndevu ni haramu kwnu videvu vingi balbu tuuh,sunnah ya kuvaa nusifaki kama alivyvaa mtume kumwahinda mnabuluta maguo mpk chini kama shera za wakristu wale, na mkaona muwabeze kabisa wanafata sunnah hizo wakati kuna makemeo makali kwa mtume kuhusu mwanaume kubuluta nguo yake chini mi sioni sunnah mfanyazo nyie zaidi bidaah ndo mmezifanya sunnah kwenu kusoma mkhtima sunnah ya nani hiyo et mtu akifa siku ya 3 mnakaa kitako kusoma juzuu pale kinaletwa kitezo Cha moto na ubani sunnah ya nani ile nyi mabwana kama kwenye hadithi za mtume hakuna,, atu wamejegw fikla za kizushi tuuh na munaamini ile ndo dini kumbe 0 mkiambiwa toeni dalili wapi mtume kufundisha hayo na alifiwa na wanawe na mkewe na maswahaba mbona hakufanya hayoo mnasema oohoo kuna ubaya gani tukifanya yaani dini mmeichukulia simpo sana na urithi wa mababu zenu kaadrr walivyo enda nanyi mnapita mlemle amsemi mbona mtume kasema utasikia mbona shekh Fulani kasema hatuoni sunnah mfanyazo zaidi ya bidaah
Kwanini sisi kwa sisi twaleteana kejeli
Unamjua mzushi ww au unaongea t usisikilize msimamo sikiliza elim
Hiyo ndy kipenz chet Othman maalim