Ally Kamwe daima Mbele nyuma mwiko tunashukuru kwa kwa kupata point 3 muhimu mungu mkubwa tunaomba wachezaji wetu wakifika golini watulie wanapaisha mipira juu tuzidi kuwaombea wachezJi wetu Inshalaaa
@@LeilahamisiMwanya mbona wewe mlopokaji hapo umeona Kuna jina la yanga Mimi nilimaanisha Manchester united mashabiki wa yanga mbona mnaishi Kwa kukalili
Alhamndulilah kwa ushindi tulioupata wanachama wezangu hakuna mafanikio madogo tuzidi kumuomba M/Mungu zaidi na zaidi Inshaallah
Wachezaji wetu wakiwa kwenye box watulie nimeona utulivu mdogo saana daima mbele nyuma mwiko🎉🎉🎉🎉
Mungu mwema kikubwa point tatu hongereni sana wachezaji wetu 🎉🎉🎉
Ally Kamwe daima Mbele nyuma mwiko tunashukuru kwa kwa kupata point 3 muhimu mungu mkubwa tunaomba wachezaji wetu wakifika golini watulie wanapaisha mipira juu tuzidi kuwaombea wachezJi wetu Inshalaaa
Big up point tatu Ndio muhimu
Mbeya hatuna bahati na nagoli mengi pointi3 muhimu tunashukuru
Timu coyote apa bongo yanga akifunga mojaa iy8 timuu inajiona kama imeshindaa😊
Kwamujibu wa maneno ya ally kamwe nanukuu simba mechi tano hatoboi sasa imebaki mech mmoja kweli kiroporo
Punguzeni supu mnatuangusha wananchi tunataka kuongoza ligi sasa kwa hesabu hizi itatugalim
Cha muhimu point 3 walikamia sana
Mmm sawa sema sasa unaongoza au vp mdomo ulimpoza kichwa
Ali mwambie bhana gamondi atupe Raha jamaa yangu
Wewe Kumbikumbi umeona Nginjanginja
Safari utashangaa sana
Hpan cyo mchezo mbovu 2mepambana sana lkn cha umuhimu ni pointi 3 muhimu
@@JoannesGeofrey-qj7wv haya bwana tumepambana tunachotaka yasijiludie
Bora huko wametuondolea Ihefu,maana huwa tunapata tabu sana.
Wakija uku yanga wachezaji wetu tunawapiga kwa nn wamechana mikeka yetu😂😂😂😂
Wananchiiiiii 🎉🎉🎉🎉🎉
Wasio jua mchezo wa mpira wa miguu lazima wabeze hawa juii oooh huruma point 3 ndio ubabe etie
Jamani vp kuhusu VAR mbna siioni uwanjani
Yanga tuna kazi msimu huu kila geme ni final.
Hasa kazi tuliyonayo ni timu kujiona imeshinda ikifungwa goli moja na yanga😅😅😅
Wewe ndo huna raha mumino
Fatiki iliwakuta Yanga. Mechi za kimataifa zilitumia nguvu kubwa
Gamond siyo mtu kabisa
Wachezaji walidharau mechi kama si hivyo uchawi wa mpira mbeya ni wa kutisha. Mbeya siku zote ni donda kwa yanga
Mchezo mbovu 😢😢
Ivi ushawahi fikilia yanga ikiwa inasuha suha matokeo ally kamwe angekuaje ??
Huyo anaonekana ni short tempa hawezi kuwa na moyo wa uvumilivu kama Ahmed
Kagoma vipi mikataba bado mnayo?
Tunamkataba wa Mama yako mzazi
😂😂😂😂maneno mengii tu utopolo
😂😂😂 mtoto goli halali lile kadhulimiwa bahasha FC mtamkumbuka mzee magoma😂
Macho yako yana shida
@@seciliamchalo5627 😂
Mmebebwa, Yan Kaz mnayo
Kazi gani tunayo
Makasiriko fc hayakuhusu
Hata wewe kama unaweza kutubeba tubebe tukuchape kimoko ukalale
Nyooko. Wapiggeni 6 na haw
Tukiwapiga simba tano inatosha
6 tunamuandalia kolo FC.
Mumeshinda lkn hmn raha hahaha
Hayo ya kwako
@@seciliamchalo5627 acha kihereher kujib comment za watu mswiii
Wafunzeni wachezaji wawe makini ugoigoi waache kabisa
Mbona walipambana san
Majigambooooo mengiii nyeee haka kajamaa hakaa
Hamna timu hapo ni jina2
Kama simba hamna timu pia nikasha tuu lisilo na kitu
@@LeilahamisiMwanya mbona wewe mlopokaji hapo umeona Kuna jina la yanga Mimi nilimaanisha Manchester united mashabiki wa yanga mbona mnaishi Kwa kukalili
refa ka kubebeni na pia umetoa rushw nyie kw refa mn refa kawadhulumu Ken goold goli Lao
kasomee ukocha tuone mamuzi yako na wewe
Yaani madunduka bwana goli gani sasa pale au hukuangalia mpira wewe umesimuliwa
GSM HAJAWEKEZA KENGOLD NDIO MAANA GAME ILIKUA NGUMU 😂😂😂
Achaa uongoo
Timu zipo kumi na nane kwanini msimwambie boss wenu nae afadhili timu zingine
@@benjaminchristopher219 ni mtu wa boli yeye hawez shiriki konakona
Mkigongwa na ninyi mnaongwa na G S M ?
Na nyie mnapopigwa 5 GSM kawekeza kwa dunduka jitambue wewe siyo unaropoka tu
Utopolo fc
PANYA ROAD FC
@@anyeresa928 umewapatia hao madunduka Fc
Simba oyeee ❤
Timu ya mipango na kelele nyingi
5
Hahaha kaone
Timu libovu,bila refa hatutoboi
Kama simba vire ilivyokua mbovu
Katafute tim yako