CV YA LUHAGA MPINA WASIFU NA HISTORIA YAKE / FAHAMU ALIPOZALIWA / SHULE ALIZOSOMA/ O LEVEL / A LEVEL / CHUO / KIWANGO CHA ELIMU / ALIKOFANYA KAZI KABLA YA UBUNGE N.K
Congratulations, I have been very much inspired the commitment exposed by honorable Luhaga Johnson Mpina, thus he deserves to be president of this country(Tanzania), in next election(2025), through opposition party.
Nimekusikiliza vizuri kuhusu cv ya Mpina na amaelezo uliyoyatoa tunamuomba Mungu aongeze akina Mpina wengi huko Bungeni.Ili Watanganyika tuondokane na maumivi haya tunayoyapita.Maanakaamua kijitoa kafra kwa ajili alijuya kitachomtokea lakini hakurudi nyuma.Hongera Mpina tumpe maua yake.
Mh.Luhaga anastahili maua mengi tu ingependeza siku anarudi bungeni wapenda haki na wapiga kura wake wamsindikize hadi mjengoni bungeni huko wabunge waone anavyokuwa supported na Watanganyika
Kumbe naye Kielimu si haba yuko vizuri, michango yake Bungeni ni "Aksi" Kuwa ni Big Mind, anajikita ktk hoja zenye Nguvu, ZILIZOTAFITIWA na Takwimu zake! 👏🙏🤜🤛
Luhaga Yuko sawa musimujengee hoja familia Moja kukosoana nisawa hatakama vyama vyama vya upinzani visiwepo bunge lazima liwe na mufumo huo kujua ukweli ndiyo kazi zawabunge Kila mubunge asimie analoliamini ndiyomaana kuweka mambosawa
Shida hapa ni mtangazaji hajui chochote juu ya vyeo mpina hajawahi kuwa mkurugenzi wa halmashauri na hakuna cheo cha kuwa mkurugenzi harafu mtendaji wa kata
Shida hapa ni mtangazaji hajui chochote juu ya vyeo mpina hajawahi kuwa mkurugenzi wa halmashauri na hakuna cheo cha kuwa mkurugenzi harafu mtendaji wa kata
Mbonamnaomtete wote ni kabila moja na wengine kanda moja? Kina kinachowasumbua ni ukabila, kwani hajawahi kuwa waziri? Alifanya nini alipokuwa waziri na kwa nini qlitenguliwa?.
Waweza kuchukia jambo kumbe ni kheri. Waweza kupenda kumbe ni shari. Na Mwenyezi MUNGU MTUKUFU Anajua na nyinyi hamjui.
Huyu ni mbunge anaestahili kuwa mbunge! Bravo bravo
Congratulations, I have been very much inspired the commitment exposed by honorable Luhaga Johnson Mpina, thus he deserves to be president of this country(Tanzania), in next election(2025), through opposition party.
Pole kwa misukosuko unayokutana nayo huko bungeni,nakushauri hapo baadae uachane na CCM,bado jamii ya kitanzania inakuhitaji sana, asante
Nimekusikiliza vizuri kuhusu cv ya Mpina na amaelezo uliyoyatoa tunamuomba Mungu aongeze akina Mpina wengi huko Bungeni.Ili Watanganyika tuondokane na maumivi haya tunayoyapita.Maanakaamua kijitoa kafra kwa ajili alijuya kitachomtokea lakini hakurudi nyuma.Hongera Mpina tumpe maua yake.
Mh.Luhaga anastahili maua mengi tu ingependeza siku anarudi bungeni wapenda haki na wapiga kura wake wamsindikize hadi mjengoni bungeni huko wabunge waone anavyokuwa supported na Watanganyika
Kumbe naye Kielimu si haba yuko vizuri, michango yake Bungeni ni "Aksi" Kuwa ni Big Mind, anajikita ktk hoja zenye Nguvu, ZILIZOTAFITIWA na Takwimu zake! 👏🙏🤜🤛
Yuko vizuri Sana watanzania tumemuelewa
Bravo Luhanga Johnson Mpinga continue to fight we are with you.
Asante kwa maoni yako
We are with you 😂😂😂hahahahaa
Yuko vizuri Joel mu ndio maana michango let hoja ni ya kisomi sana juu ya fedha
Yupo vizuri sana katika kujenga hoja na kuisimamia, Kila la heri mheshimiwa Luhaga
Hakika anajitahidi sana
Shule ni kitu kingine na uwezo wa kutetea wanamchi ni suala jingine mpina Yuko vizuri bana
Hakika
Mpinayuko sahihi
Luhaga Yuko sawa musimujengee hoja familia Moja kukosoana nisawa hatakama vyama vyama vya upinzani visiwepo bunge lazima liwe na mufumo huo kujua ukweli ndiyo kazi zawabunge Kila mubunge asimie analoliamini ndiyomaana kuweka mambosawa
Mpina kata rufaa Kwa Mungu na wachi
Mungu ni mwema
Watanzania sisi anatufaa sana mpina
Eti eeeh
❤❤❤❤❤❤ much love brother Mpina
Wew mwandishi ukiandaa cv ya mtu jiridhishe na vyeo unavyotuambia. In shot hii Ina udhaifu mkubwa sana
mpina mungu akulinde sana
We love you and still waiting you......Mpina Lihaga...no more words.....God keep you safely
Mpina ni mzalendo wa kweli.
Mh Mpina anasadia sana kuiimarisha Serkali kutokana na Michango yake Bungeni
Anatutendea haki Wapigakura wake na Taifa kwa ujumla
Shida hapa ni mtangazaji hajui chochote juu ya vyeo mpina hajawahi kuwa mkurugenzi wa halmashauri na hakuna cheo cha kuwa mkurugenzi harafu mtendaji wa kata
Kinacho Kuumiixa ni kiapo NA SITATOA SIRI ZA BARAZA LA MAWAZIRI
❤❤❤❤❤❤❤ presidential material 100% Dr Joel Luhaga Pina for 2030 for Tanzania
Ngoja Tusubirie
Watamuacha hai kwel,..wanavyojua kuuwa kibiologia watu wanasema ukwel na kutetea maslah ya nchi
😊
Wabunge wajifunze kwa mpina, Sion muda wote kupiga makofi hata mambo ambayo bayana manufaa kwa taifa😊
Shujaa
Anafaa urais
Ipo siku Mungu atamwinua kuwa Rais wa nchi hii....mzalendo wa kweli,. Siyo mkosoaji ila ni msema kweli hana ushabiki na upendeleo.
Asante kwa Maoni yako Mabondo
Wacheni uchuro ninyi waandishi wa Habsri, Historia ya nini mnaitoa,
Kwani amekufa?
Mwacheni Mmbunge akomae, Kumbe ni Bonge la msomi
Wewe unayetoa wasifu huu huna upeo. Kazi inahitaji elimu,upeo na weledi.
❤
PAMOJA sana
Siyo kweli kwamba kila mtu anaweza kuwa mbunge, huo usemi wako hauna ukweli
Nieleze pia na Misemo ambayo nimeisema na ni kweli, Au unaangalia makosa Tu Mkuu?
@@KlikHapaTV :- Yako mengi pia mengi uliyosema mazuri, lakini tambua mboga ikiungwa vizuri sana lakini ikazidishiwa chunvi uzuri wote unaharibika.
We mtangazaji fanya maandalizi Wana mpina Kawa weo katikaofis yamkurugenzi wa wilaya
Yuko safi sana huyu sema rais hachukui hatua
Hatua gani kaka
Umechanganya Mambo ww
Tumia alikuwa " Mjumbe wa Kamati sio Mwanachama wa Kamati
Mtoa historia Huna uwezo.uwezo wako ni mdogo sana
Sawa Mkuu. Hongera mwenye uwezo mkubwa
Bunge bila wapinzani ni sawa na mgahawa
😂😂
Hujui kueleza
Pumbavu ya Mama yako wewe umejierza wapi? Kenge usiye jielewa!
Brain
Wengine kina msukan wasaka tonge tuu huyo ni jembe
Tunamuelewa sana huyu sio chawa
sawa kaka
Mwanachama au Mjumbe?
Ukabila ni mbaya sana.
Kivip
Ukabila unakujaje hapa?
Wewe ndiye unawaza ukabila Ila kwa mpina watu wengi wanakiri kuwa ni Malinda mtetezi wa raslimali za taifa
Ni mzalendo
Unaongea km mb za kwako, andaa vzr wasifu huo
SawA. Jembe la kisesa
Mbona huelewek
Mwamba huyu hapa
Ila kuna tatizo
Hujui kutoa historia ya mtu wewe....
Kwa kifupi Waswahili tunamuona ni Mnoko!!
Mnoko kwalipi acha uwongo
Mnachanganya sana hapa hakuna cheo cha mkurugenzi mtendaji harafu akawa tena ofisa biashara
Msimuliaji anachanganya vyeo..HAELEWEKI
Tofautisha kati ya Mkurugenzi na afisa biashara
Sawa , Asante kwa Maoni yako
Namwamin sana mpina!!
Mwandishi wa habari unashindwa kujielimisha kwa Mambo madogo kama haya! Inasikitisha!
Anafa kuwa rais
Uongooo 1999 alikuwa anachukua henderi za machine
Usikariri kaka, CV siyo lazima Uandike Kila Kitu. Na si lazima mtu Aongelee Kila Kitu.
Tulia
Kwani huoni samaki ziliongezeka?
Yalikuwa majukumu yake.Maana hamkutaka kulipa Kodi.Kodi ni lazima na siyo ombi.
Mpina atwambie alipataje ubunge kwanza
Kwanini
Wajomba zako ndiyo walimwona, ukweli anastahili Sana na zaidi.
Liamsheni huyu jamaa anatakiwa kuwa fundisho kwa wahuni wachache wenye kutumia Madaraka vibaya ktk jumba letu la bunge
CV yake ni Ukabila unamuwasha!
Shida hapa ni mtangazaji hajui chochote juu ya vyeo mpina hajawahi kuwa mkurugenzi wa halmashauri na hakuna cheo cha kuwa mkurugenzi harafu mtendaji wa kata
😂😂😂 mtangazaji muongo huyuu, ila poa tu ushakula mb zetuu
Hujui kueleza
Kabsa
Mbonamnaomtete wote ni kabila moja na wengine kanda moja? Kina kinachowasumbua ni ukabila, kwani hajawahi kuwa waziri? Alifanya nini alipokuwa waziri na kwa nini qlitenguliwa?.