ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Bora lisu aingie kuwa rais hii nchi utazania Hana rais
Hii nchi tunaelekea kubaya sana kitu kama hiki hakijakufikia utaona kawaida. Ila nivitu vibaya sana.
Alllahu. Akibarr😭😭 Allah mstili huko aliko arudi akiwa hai kama wameanza kumpiga hukosijui watamfanya nini
Huyo mwanamke alijuaje haraka kama mme wake katekwa
Hii ni point kubwa inaonekana alifuata gar😮😢
Kafanana na yule mlokole kwenye filamu ya Dunia
😢😢😢😢 Tanzania mungu atusimamie
Serikal mnakataa haya
😢😢
Alikuwa anakimbizwa ivyo naona alimpigia simu mkewe akamtaarifu ndiomana aka hukuwa bodaboda awahi kutoa msaada lkn akachelewa maana gari liliingia kwenyedimbwi naalikuwa Kasi likazima
wananchi Tanzania mzima kira Kona tushikamane
Boda mnaferi hapo tuuu 😢😢😢
Ungekuwa ww ungeweza au unaongea tu wamesimamiwa na mitutu hakuna kupiga pc wala wasiende popote ww ungefanyaje 😢😢
@rauhiyanyange-u4n Ningeingia unifiche kwenye Tanga fresh yako ww si ulikuwepo?. Si ndiyo uliiyona hiyo mitutu.😀
@@rauhiyanyange-u4nmbona unaonesha udhaifu,hofu ya kuuwawa au hutishia tu,ili watu waogope lkn hawawezi kuuwa watu hovyo tu, wao wana malengo yao kwa mtu huyo 1 tu, sio watu wote
Huyu si amekutwa yupo kwa Shangazi yake au sio?
Aliekutwa kwa Shangai ni mtangazaji wa tv 3 huyu ni tofauti
Kajiteka mwenyewe huyo
Huu basi ni utekaji mpya maana yake nyie watu wa Buza wote mliyekwa jana 😊😊😊
Hata picha dah😢
Boda boda waajabu nyie Arusha wasingetoka
Hakika Arusha ni nchi nyingine
Ndio maana Lissu anahitajika sasa kuliko wakati mwingine ili mambo haya akayasemee kimataifa zaidi
Wananchi jamani