Moyo wangu unauma mpaka basi. Mungu atusaidie, ninaamini alituacha tuishi nyakati hizi Ili tuwe suluhisho Kwa majanga km haya. Tunamhitaji Mungu kuliko kawaida
Ameni hii Ni KWELI mashoga wote na wasagaji na wachawi na wauaji wote WAZINZI wote wanatakiwa kuombewa TU na Sio kelele hizo Ila tutubu dhambi na kuacha na YESU NDIO MSHINDI WA YOTE TUMULUDIE MUNGU HALI NI MBAYA Sana na jehanamu ipo
Mtumishi wa Mungu Hilo ni kweli hao Kwanza hawaamini mungu sasa ki kawaida hao wameingiwa na Pepo sasa Kwa sababu wananguvu za dollars ndio sababu wanatoa pesa ili kuendesha ushoga.
My God! Mtumishi wa Mungu kweli wewe una hekima ya juu, mimi nimecommet kuwa wahasiwe kabisa kwa kweli napata hasira sana Mun gu anihurumie.Mrisha nitubishe nibakie kuomba na kumshukuru Mungu. Eee Mungu utuhurumie .
Pastor Mungu akubariki. Kuna Jambo umelisema hapa Kama ningeweza kukuinbox ningekupa ushuhuda. Mungu azidi kukupa maoni ili uwafungue watu wake, Mungu Akupe ulinzi toka juu. Stay blessed.
Tuwaombee sana Viongozi wetu wa Serikali na Kisiasa Wao ndio wa kusimamia rasilimali zetu ili uchumi ukae vizuri tuache kupokea misaada ya kishetani 😭 Mtumishi uko vizuri sana Mungu akubariki 🙏
Be blessed much pastor, we need much praying and God walks with us into this final days . The world is end
Yoshua 24:15
Asante sana Pr tuombee na utufundishe zaidi. Mungu turehemu🙏
Amina ubarikiwe sana mchungaji mungu akubaliki sana tena sana
Amina mtumishi ubarikiwe
I can feel the pain in your heart in your voice. May God give you more life to train our minds more to follow the way of the Lord
Amina ni nguvu za giza mtumishi nimekuelewa wamelogwa hao
Mungu pamoja na jeshi lake lipo na wewe katika neno hili, ubarikiwe sana Pastor.
Ameeeeen Ameeeen asnte sana mtumshi kwa ujumbe huu nimejifunza kitu hapa Bwana akutende mema
Asante,mchungaji umenifungua macho,Mungu akubariki
AMEEEN. AMEEEN. Mungu tuhurumie, utuokoe nyakati hizi za giza. MAWAKALA WA GIZA- shetani" wamejaa. ❤❤❤❤
Hakuna jipya chini ya jua Mungu akubariki pastor Mmbaga wakati tulionao unahitaji watu kama ww Amen
Tuombe neema tu kwa yesu atulehem mungu wangu tusaidie cc watoto wako yesu tuone mungu😭😭😭
Mungu akuzidishie hekima na umri mrefu uzidi kutumika madhabahuni kwake kwaajili yetu Pastor.🙏
0
L
L0
Amina Aminaa Amen 🙏 Pr.🙏
Pastor asantee kwa mahubiri yako. Naomba tusaidie uchambuzi wa Kina wa Historia ya Israel na Palestina.
Pastor , Asante na ubarikiwe
Asante sana paster ubarikiwe.
mungu ani iyi elimu niilete kwetu Congo maana haijafika muchungaji
We need your intervention LORD, please do it because we are living in a world spoilt beyond repair. GOD bless you pastor.
Ameeen. ❤❤ " OLE WAKE AMTEGEMEAYE MWANADAMU. pia pastors are human beings. MUNGU TU NA MAOMBI.❤❤
Barikiwa Sana, ninabarikiwa Sana,ninahitaji msaada wa maombi,ninaomba nisaidie kwa mawasliano,Niko Kigoma
Mungu akubariki mjumbe wa Mungu
Amina
Thanks my PR really you're connected with God if which is gon on
Your the first parstor I have heard saying it's better you believe on yourself and God be blessed Sana
Amen pastor Ubarikiwe sana na Mungu akutumie zaidi katika kazi yake hii
Tunakuombea sana pasta mungu azidi kukuzingira unapoendelea na kaziyake ,
Uko sawa, Mungu akufunulie Mengi,😊
Mungu akujalie neema yake kila siku mjungaji Mmbaga.
Amina 🙏 mungu akubariki mtumishi Mungu atusaidie
Moyo wangu unauma mpaka basi. Mungu atusaidie, ninaamini alituacha tuishi nyakati hizi Ili tuwe suluhisho Kwa majanga km haya. Tunamhitaji Mungu kuliko kawaida
Asante Pastor
Pastor mungu akusidishie kibali nimebarikiwa sana na mahubiri yako
Asante sana pastor nakufatilia nikiwa Congo 🇨🇩 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ameeeen mtumish wa mungu kwa mafundisho barikiwa
Mungu akubatiki kwa kutoa somo hilo
Barikiwa San pastor, Mungu anisaidie mm
Nabarikiwa sana
PR. David MMBAGA you inspire me a lot.
May God bless you 🙏🙏
Bwana akubariki pastor
Barikiwa sana mchungaji Kwa mafunzo mazuri sana ,Mungu akubariki sana,🙏🙏🙏Mungu akakomboe hii generation Kwa maana bila yy hatuwezi😢😢🙏🙏
pasta MUNGU akubariki sana
Shukrani mchungaji natamani kanisa lako uhamishie hapa boda Tunduma 💓💓
Barikiwa Sana pastor Yani house boy na house girl sio wa kuamini Tena imezuka mashirika ya kuzalisha hao watu wa kazi za ndani kumbe ni upinde
Amen,Amen mchungaji MUNGU akubariki pazasauti yako usiache remember that there is no star less crown in heaven
Ameni hii Ni KWELI mashoga wote na wasagaji na wachawi na wauaji wote WAZINZI wote wanatakiwa kuombewa TU na Sio kelele hizo Ila tutubu dhambi na kuacha na YESU NDIO MSHINDI WA YOTE TUMULUDIE MUNGU HALI NI MBAYA Sana na jehanamu ipo
Barikiwa Sana mtumishi wa MUNGU,, MUNGU AKUPIGANIE,, Mafundisho yako nimbaraka Sana kwangu na kwa mazaifa,, MUNGU AZIDI kukufunulia mengi zaidi♥️♥️🙏
Mataifa👆🙏🙏
Mch Mmbaga wewe Mungu akubariki sana yaani unanibariki mpk Sijui nisemeje jambo moja tu ukisoma hii post niombee na familia yangu basi
Halleluya mtumishi waombee watoto wangu Ulinzi hua naota mwanangu mara kwa mara kuna mtu amembaka naamka naanza kum ombea
Ni hizo roho chafu.
Amina Mtumishi,kweli kabsa ucha MUNGU uko moyoni.Tuamini sana neno la MUNGU:Kutoka KENYA
Mungu akubariki sana pastor 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mungu atusaidie ,sisi na watoto wetu,Dunia imeisha Kwa kweli.
Ni kweli kabisa siyo mda wa kuwaficha watoto wetu kuwambia jinsi ya kujiepusha na habari za ushoga
Barikiwa Sana Mchungaji
Mungu kakuleta ulimwenguni kuueleza ukweli pasipo kuyumbishwa, simamia kweli tupu mchungaji wangu barikiwa sana kwa huduma iyo. Amen
Asante mchungaji
Mchungaji mungu akukumbuke ktk kiti chake Cha enzi
BWANA AKUBARIKI SANA
Nimekuelewa pastor
Mahubiri haya nayapenda sana
Mungu n mungu habandiliki
Asante YESU mwanao ameongea vyema🙏
Tumwombe Mungu anong'one nasi kupitia hili neno. Tufanye yaliyo mapenzi yake......
Thanks pastor
Ubarikiwe pastor Mbaga Nilikuwa natoa macho kwa TH-cam
Pasta mungu akubariki sana
Mtumishi wa Mungu Hilo ni kweli hao Kwanza hawaamini mungu sasa ki kawaida hao wameingiwa na Pepo sasa Kwa sababu wananguvu za dollars ndio sababu wanatoa pesa ili kuendesha ushoga.
AMINA PR!
Mungu akupe hekima ya kutoa mafundisho mazuri kwa umilele
Amen
My God!
Mtumishi wa Mungu kweli wewe una hekima ya juu, mimi nimecommet kuwa wahasiwe kabisa kwa kweli napata hasira sana Mun gu anihurumie.Mrisha nitubishe nibakie kuomba na kumshukuru Mungu.
Eee Mungu utuhurumie .
Good paster
Upo sahihi kabisa pastor
Mungu atusaidie
Barikiwa sana mtumishi ila tumepeza mahubiri yako
Mungu atusaidie sanaaa sanaa 🙏
Mungu atuongoze Katina Hilo🙏🏼
Pastor Mungu akubariki. Kuna Jambo umelisema hapa Kama ningeweza kukuinbox ningekupa ushuhuda. Mungu azidi kukupa maoni ili uwafungue watu wake, Mungu Akupe ulinzi toka juu. Stay blessed.
Neno la uzima......
Aminaaaa
Karibu tena Pastor, few weeks tulikuwa tumekukosa
Amen and Amen
Mtumishi shalom
uploaded hyo video
Wanaounga mkono ushoga hawana hofu ya mungu
PINGA USHOGA KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMEN
Mafundisho yako Mtumishi wa Mungu huwa ni mazuri sana
Ni kweli. Ushoga ni nguvu ya shetani ambayo inahitaji nguvu ya kiroho ya wokovu.
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Amen. Pastor Ubarikiwe kwa somo zuri hili
AMEN pastor GOD bless you
Pasta Bwana akubaliki sana na Bwana akuongezee siku za kuishi ili utumike zaidi.
Mungu alinde watoto wetu kila watokapo aminaa 🙏🙏🙏🙏🙏
sio kila watokapo tu ni bali kila sekunde 1 iendayo, kila mahali na popote wanapokuwa
Barikiwa Pr
Neema ya Mungu pekee ituokoe katika wakati huu wa rehema
Tuwaombee sana Viongozi wetu wa Serikali na Kisiasa
Wao ndio wa kusimamia rasilimali zetu ili uchumi ukae vizuri tuache kupokea misaada ya kishetani 😭
Mtumishi uko vizuri sana
Mungu akubariki 🙏
Walaaniwee
Dunia hii duh
Amina.
Mwalimu mungu hakupengu vu kaza kabisa
God's intervention to our lives, this generation in Jesus mighty name
Nimesikiliza nimeelewa Mungu atusaidie kufanya wajibu wetu
Mungu awe nawe
Jamani ni nani atakae tuokoa kwenye hili kama siyo rais basi mungu asimame na sisi atunusuru na hili janga la mashetani
Hapa ni sisi kuamua tu maana tukibaki na maombi hatufanikiwi ni kugoma vitu vya kigeni