HISTORIA YA ZANZIBAR 1804 - 1964

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • Follow kurasa zeta za online
    Facebook | @zanzibarCCM
    Instagram | ccm_zanzibar
    Twitter | @ccm_zanzibar
    Whatsapp | +255 625 883099
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 883099
    CCM Zanzibar Media Crew
    cc: Abeid Machano Khamis :: Graphics Designer / Developer / Photographer:
    cc: Mgeni :: Graphics Designer / Developer:
    cc: Kassim :: Graphics Designer / Developer / Photographer:
    cc: Abdulsalam :: Graphics Designer / Developer / Photographer:
    cc: Maulid :: Graphics Designer / Developer / Photographer:
    cc: Yussuf Ali Kombo :: Cameraman
    cc: Khamis Juma Omar :: Video Editors / Photographer:
    #followforfollowback, #photography, #soundcloud, #a, #funny, #artist, #trending, #m, #s, #twitter, #f, #vlog, #likes, #newmusic, #o, #itunes, #live, #repost, #xbox, #bhfyp, #podcast, #sub, #fun, #game, #applemusic, #covid, #fashion, #followme, #cute, #edit, 1. #youtube
    #youtuber, #youtubers, #youtubevideos, #youtubewtf, #youtuberewind, #youtubekids,#youtubechannel, #youtubeuse, #youtubebr
    #followforfollowback, #photography, #soundcloud, #a, #funny, #artist, #trending, #m, #s, #twitter, #f, #vlog, #likes, #newmusic, #o, #itunes, #live, #repost, #xbox, #bhfyp, #podcast, #sub, #fun, #game, #applemusic, #covid, #fashion, #followme, #cute, #edit, 1. #youtube
    #youtuber, #youtubers, #youtubevideos, #youtubewtf, #youtuberewind, #youtubekids,#youtubechannel, #youtubeuse, #youtubebr

ความคิดเห็น • 63

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 หลายเดือนก่อน

    Huu ndo ukweli kabisa wa historia,safi sana mzee wetu.

  • @111dudi
    @111dudi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wareno walirawala kimabavu kwa mika 200, waliua watawala na wana vyuoni. Wakatolewa na waarabu ea omani, wakiongonzwa na sultan wa oman,Saif bin Sultan Al Yourubi kwa vita, mwaka 1696,baada ya kuombwa na waafrika wa Kenya. Seyyid Said bin Sultan hakuwa muomani wa kwanza kutawala Afrika Mashariki.MBONA HAIJUI HISTORIA HUYU

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 หลายเดือนก่อน

    hahahah siku anayotamani kustarehe hahaha wazanzibar bwana mna kiswahili kizuri sana

  • @hassanAhmed-su5vb
    @hassanAhmed-su5vb ปีที่แล้ว

    Ukweli wa mambo ikifika Wakati lazima usemwe!!! Good work 👍

  • @milelelodge2363
    @milelelodge2363 ปีที่แล้ว +3

    Nasikiliza sana historia ya kisiwa chetu lakini hii sijaifahamu😊

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 ปีที่แล้ว

    Rabda wana ccm ndio watakao kusikiliza MNAFIK😅😅😅 mmoja

  • @111dudi
    @111dudi ปีที่แล้ว +7

    Huyu hajui historia kabisa, anababaisha na anataka kupotosha watu,ana chuki zake. Mwinyi mkuu alikuwa ni mwarabu toka Yemen. Hakusema hili. Sayyid Said bin Sultan, hakuvamia Znz. Hakuua muafrika hata mmoja.huyu kasema ati alivamia. Haya nimeyaona baada ya kusikilizi video yake kwa dakika 6. Ni uongo mtupu

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda ปีที่แล้ว

    Vizuri

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mpotoshaji sanaaaaaa na ni mtu asojijua moja tu ni kua wareno ndio walileta ukiristo huyu ni mpotoshaji na mropokaji hajui kitu zaidi ya fisadi na fitna mpuuuzeni

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 6 หลายเดือนก่อน

    Takriban Bara Arabu lote raia hawapigi kura lakini maendeleo ya nchi yapo mbele hata kuliko nchi nyingi ulaya, Sisi tunaopiga kura katika nchi za Kiafrika na ulimwengu mzima hatuna lolote la msingi ila ufisadi na umasikini umezagaa kila mahala, HATUJENGI, HATUASISI CHOCHOTE !

  • @abdalaomarsaid1465
    @abdalaomarsaid1465 ปีที่แล้ว +2

    Kwabahati.umechelewa.kutowa.historiy.yauongo.wazanzibar.tayari.historiy.wanayo.kwenye.nyoyo.zao..hakuna.mwarabu.aliyefanya.biyashara.yautumwa.nandomana.nchizote.za.warabu.hakukuwa.nambiyashara.yautumwa.kwasababu.walikuwa.warabu.walikuwa.hawana.dola.dola.ilikuwa.yawazungu.nandomana.huwezi.kuona.picha.yamwarabu.anamtumwa....rabdayakuchora.bali.utakuta.mzungu.anamuoneya.anamtesa.mtuwa.kama.hujuwi.tafuta.picha.au.cd.warabu.au.wafalime.walkuwa.wanavyuoni.bihole.alikuwa.ukti.akisomesha.bibi.zetu.mama.zetu.kwabahati.mbaya.wewe.muislamu.wezako.waliletwa.kuteteya.kuinusuru.dini.

  • @SaidAbdala-f7p
    @SaidAbdala-f7p 4 หลายเดือนก่อน

    Muengereza alijuwa uchungu wa tajiri na masikini. Ndio maana wakamtumiya nyerere. Kuja kupandikiza chuki na uwDui. Wazungu wanafurahi kabisa kuwona chuki zao zimeishi na zimefanya kazi. Walijuwa kama hawakufanya unafik. Basi mwarabu angeliyimisha watu kimaisha kujitambuwa.

  • @amraniramadhani4148
    @amraniramadhani4148 ปีที่แล้ว +1

    Mtu mzima hovyo hujui historia halisi ya Zanzibar unapotosha, inaonekana unasoma Hapo umeandikiwa na ma bwana zako

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat ปีที่แล้ว

    Kwa nini tusiadhimishe siku ya utumwa tanganyika na zanzibar??

  • @Habibu-nf3hg
    @Habibu-nf3hg 2 หลายเดือนก่อน

    Ccm unaijuwa wewe , kama ccm kweli usingepingwa VIGONGO

  • @ShaabanTalib-l3n
    @ShaabanTalib-l3n 5 หลายเดือนก่อน

    Anachichanganya na stori ikiwa yeye wakati huo hajazaliwa ilikuwa anapasea atuambie chanzo ithibati ya kusema hivyo

  • @AisajumaKikwajuni
    @AisajumaKikwajuni ปีที่แล้ว +2

    Hayo machuchu yalikuwa na urefi gani ya kufagia barabara.

  • @111dudi
    @111dudi ปีที่แล้ว +1

    Syd Said aliwakuta waomani akiishi Znz,hakuwaleta. Waomani ndio waliomfurusha Mreno. Huyu halijui hili.Hajui michezo ya wazungu.

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 ปีที่แล้ว

    YAA HUWA ILLA HUWA MAN LLAH HUWA ILLA HUWA

  • @MansourAl-Tiwany
    @MansourAl-Tiwany ปีที่แล้ว

    Kumbe we nimeambiwa na watu wazima wa umri wako huna radhi za baba wala za mama ndo maana kumbe watapata na kusema uongo, we ivo vooooooote ulivkjitoa ukakitumikia chama chako pendwa CCM Na m

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t ปีที่แล้ว +2

    Watunwahawajawahikupelekwauarabunibaaliwalipelekwa kuuzwa ukayanamarekani.wazungundiowaliohitaji watumwawalasiwaarabu.

    • @saidimussa-lh8pz
      @saidimussa-lh8pz ปีที่แล้ว

      Nikweli kabisa, kwanini hawasemi hao waliowanunua, tena anaona bora awatetee waingereza

  • @feisalkhamis9445
    @feisalkhamis9445 ปีที่แล้ว +1

    Huna radhi kwa baba Yako wewe baraka

  • @athanaskipeto572
    @athanaskipeto572 ปีที่แล้ว

    Hiyu mzee ni hazina kwa mharabu yeyote ata ona hayuko sawa

  • @shaabanbindawood6538
    @shaabanbindawood6538 ปีที่แล้ว

    Muongo mtu Mzima ovyo ovyo ongooo hilooo pyeeeeee🤣🤣🤣🤣

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 6 หลายเดือนก่อน

    Laana-tu-Allah....Historia gani ya uwongo isiyokua na ushahidi wowote !!! Soga la mikahawani ndio unaita historia kelbu mkubwa weye !!! Katika unafik wako huu mbona sijaskia maelezo yeyote kuhusu Wareno, wajerumani wala waingereza walivyofanya uhasama mkubwa dhidi ya waZanzibari na waTanganyika mbali na waafarika kote Barani Afrika ?????!!!!!

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 หลายเดือนก่อน

    Una akili sana mzee,umeielezea historia vizuri sana na ndio uhalisia,umeeleza vizuri kwa kuwa hujatanguliza hisia za Kidini.Wanzibar asilia ni waafrika na mwaarabu pna mambo mabaya kama haya uliyoyasema waliyafanya kwa ubinadamu

  • @MansourAl-Tiwany
    @MansourAl-Tiwany ปีที่แล้ว +3

    Umejitolea sana mbaraka kwa moyo mmoja lkn chama chako hakikutaki wala hakikupendi ndo maana hujapata ata sheha, na hamna hamna kwa ivojitolea ilikua upate walau mkuu wa mkoa mbwa ww

  • @sanaf8367
    @sanaf8367 ปีที่แล้ว

    Wewe muongo mbona wapo watawala wengine weusi kama hivyo wewe ambao mama zao walikuwa wa afrika walioolewa na wafalme na wala sio kuwaingilia watumwa uwongo wenu hauwendi sawa na events kihistoria ni contradictions nyingi.

  • @mth.9051
    @mth.9051 ปีที่แล้ว +1

    Muhd Hujui historia ya Zanzibar unapotosha.

  • @MansourAl-Tiwany
    @MansourAl-Tiwany ปีที่แล้ว +2

    Jibwa linabweka lataka fupa ligwwgwenye
    Kwisha habar yko ww ata ufanye nn kuch nehi babuchi😅

    • @bakarbakarali-cw3gc
      @bakarbakarali-cw3gc ปีที่แล้ว

      Omba tiba jamaa zako hawakutaki rudi kwa mungu

    • @talibhaji409
      @talibhaji409 ปีที่แล้ว

      Tuwe na nidhamu ya kuzungumza ww umesoma kitabuni baraka kaona tumkubali nani ww uliezaliwa baada ya mapinduzi?

    • @zahoralmsulhy9732
      @zahoralmsulhy9732 ปีที่แล้ว

      maskin anachuki za nafsi mpk anatia huruma 😅 anaongea mpk mate yanamkauka

  • @MansourAl-Tiwany
    @MansourAl-Tiwany ปีที่แล้ว

    Nitumie no yako nataka tuzungumze kdg pls

  • @Habibu-nf3hg
    @Habibu-nf3hg 10 หลายเดือนก่อน

    Hujuwi historiya ya Zanzibar wewe subiri kupingwa vigogo

    • @ccmzanzibar
      @ccmzanzibar  10 หลายเดือนก่อน

      Tusikilize historia

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d ปีที่แล้ว +1

    Muongo tena mnafik hu ijui stori kabisa mtu mzima ovyoo

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 ปีที่แล้ว

    DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI

  • @mohammadalsibani7298
    @mohammadalsibani7298 ปีที่แล้ว

    Hanarazi na mlevi huyo

  • @ccmzanzibar
    @ccmzanzibar  3 ปีที่แล้ว

    Kuwa tayari kusubiria muendelezo wake

  • @msellemseif3102
    @msellemseif3102 ปีที่แล้ว

    HIYO NI HISTORIA YA UWWONGO MKUBWA MUONGO SSANA CCM NYINYI

  • @Binfuad
    @Binfuad 5 หลายเดือนก่อน

    hahaha huyu mzee anafanya watu wote wajinga kama yeye

  • @JohnCatherine-f1z
    @JohnCatherine-f1z ปีที่แล้ว

    Wizara ya elimu Zanzibar ifikirie tena juu ya elimu hizi za historia Zanzibar maana watu wamekuaa wa ovyo sana kujua historia yao, inashangaza kuona Zanzibar ni watu weusi lakn wanaamini wao ni waarabu, ni ujinga wa kiwango kikubwa sana, wanaamini muarabu hawakuitawala Zanzibar sijui akili zao zinawaza nn? DU😂😂😂

    • @amerwelder7786
      @amerwelder7786 ปีที่แล้ว

      Waarabu wametwala Zanzibar ila wazanzibar hawakuwa watumwa
      Kwa iyo warab Sisi ni ndugu zetu wa damu

  • @abdullahalbalushi3856
    @abdullahalbalushi3856 ปีที่แล้ว +1

    Mbona wewe hukufanywa mtumwa.muongo mkubwa wewe

  • @salimalmazrui9794
    @salimalmazrui9794 2 ปีที่แล้ว +2

    Bunch of lies

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc ปีที่แล้ว

    Kawadanganye wanannchi wa jimbo la uzini huko ndio kunako wajinga walioifanya ccm dini

  • @dalalijumbe7332
    @dalalijumbe7332 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu Mfano WA Hawa wanastahiki kuenziwa mengi wanayajua na wameyaona

  • @MansourAl-Tiwany
    @MansourAl-Tiwany ปีที่แล้ว

    Huyu ni muongo mzandiki, me nimekwenda Oman mara ya kwanza 1999 wanawake wanaendesha gari kwa miaka kupita,
    Huyu ni bingwa wa fitna sura yake imeungua kwa fitna

  • @abdullahalbalushi3856
    @abdullahalbalushi3856 ปีที่แล้ว

    Wewe mungo mkubwa wewe

  • @pinkmohd9612
    @pinkmohd9612 ปีที่แล้ว

    Aibu yako wewetu we mzee coward