GB 64 AWAKA KWA HASIRA YANGA WAMEBEBWA, COASTAL UNION WAMENYIMWA GOLI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @RajabuNgingite
    @RajabuNgingite 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Utopolo 🎉 bila mbeleko hamna kitu

  • @bernardndemba2253
    @bernardndemba2253 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Safi sana GB 64 waambia hawa vilaza

  • @Johnhamad-bz7go
    @Johnhamad-bz7go 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    marefa wanazingua mm nilikua uwanjani nilikua uwanjani lile goli la yanga ilikua ni hofsaid ya wazi balked alizidi wakati beki anaokoa baleke alizidi kabisa

  • @StanslausFilbert
    @StanslausFilbert 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Marefa wengne wa Bongo bhna daaaah

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Hawa wameshaishiwa imebaki kudili na marefa tuu""

    • @emmanuelymeresta-si4ur
      @emmanuelymeresta-si4ur 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Acha ushabiki ile offside tatzo marefa

    • @abdallahmzee4335
      @abdallahmzee4335 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jibu swali ni offside au cyo offiside

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 นาทีที่ผ่านมา

    Na nyie marefa hv kwann mnaharibu mpira? Nyie marefa ndy maana huwa hamchukuliwe kwenda kuchezesha michezo ya Caf. Marefa mnakataa magoli ambayo ni sahihi. Kayoko alilikataa goli la Kibu D. Na penati za Simba.

  • @JosephKulwa-rc7en
    @JosephKulwa-rc7en 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga saivi wakawaida sana kachoka wanambebatu abebe ubingwa

  • @Sophia-y6f
    @Sophia-y6f 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makolo mnateseka sababu ninyi mlidroo tena Kwa mbinde🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💚💛💚💛💚💚💚

  • @timothymbughuni1356
    @timothymbughuni1356 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ongea Kiswahili tu ndugu yangu,Kimalkia kinakusumbua sana

  • @qarmamabrouk4770
    @qarmamabrouk4770 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ata nyinyi mnaona team zinanyimwa matokeo zinakatiliwa lazima asa unahis nn Kama sio yanga wapewe ubingwa mpira ni mchezo wa wazi zulma inaonekana wazi

  • @MLEGULA
    @MLEGULA 48 นาทีที่ผ่านมา

    Punguza makasiriko 😂

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eee ila yanga mnabebwa sana hamna timu hapo ni msaada wa refa kwa kwenda mbele MUNGU atawalipa

  • @IssaAusi-s6h
    @IssaAusi-s6h 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shida mishaala yamalefalii inalipwa na GSM syo TFF sasa apo 2

  • @Ballakaisa
    @Ballakaisa 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    64gb hutumi akili za mpira unatumiahasira pambana

  • @EstherMulinga
    @EstherMulinga 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtakufa mwaka huu kolo.bingwa yanga tena bd hamjasema

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waamzi wanarogwa ninyi fuatilieni ohoo

  • @mariammariam-m6k
    @mariammariam-m6k 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani yanga niwezi sana kwa System GSM ndio yanga

  • @kudrashenikambi607
    @kudrashenikambi607 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hamnazo hyooo kdg hta ya simba ilikuwa droo

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mechi ya simba na jiji, mechi ya simba natz prison, mechi ya simba coastal hamkumbuki nyie makolo?. Sasa hivi kila mtu ni mzalamo?.

  • @networkeryuzzo09
    @networkeryuzzo09 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nani mwingine kaskia never you get get it

  • @abediabdalla5783
    @abediabdalla5783 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani simba na Azam amani complex

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wazee wa maandamano & na malalamiko fc

  • @ManaserichDudshemtawa
    @ManaserichDudshemtawa 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Gb leo kaamua kuongea kisambaa eka ni mbui mghoshi gb 128

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bado amjqsema na mtasema sana umbwa nyie😅

  • @kiluwaselemani4246
    @kiluwaselemani4246 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mvie 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @EdithaHasani
    @EdithaHasani 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yako uyaoni

  • @abediabdalla5783
    @abediabdalla5783 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zungumzia timu yako simba

  • @Zaynabahmed-ey4zu
    @Zaynabahmed-ey4zu 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa GB ongelea timu yetu unawaamsha hao utoo

  • @TheresiaFransic
    @TheresiaFransic 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Xaw muach aijeng yang lkn kiukwel yang wamechk ten kwny xaf ya uxhambuliaj hamn kit

  • @kunsule9261
    @kunsule9261 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa vichaa wataendelea kutesska hadi yanga achukue ubingwa. Ndipo wapate nafuu.

  • @ramadhanimambya6569
    @ramadhanimambya6569 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hebu jiheshimu GB,UNA ROHO MBAYA SANA WEWE.

    • @mjanthony4864
      @mjanthony4864 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ila kweli jamani. Goal la offside kabisa linawekwa kati, la alali linakataliwa mchana kweupee.. haki ya Mungu 🙌🏽🙌🏽😅

  • @timothyberege2594
    @timothyberege2594 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂 GB 64 kuvurugwa msimu huu walisema ubaya ubwela wataongea mpaka ligi inaisha YANGA BINGWA

  • @BabilibabiliBabilibabili
    @BabilibabiliBabilibabili 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiukwer tz hatuna wamzi kwamtu yeyote anaefahamu mpira kama mwamuzi Waleo Kazingua sana baka alipewakadi kwalipi Aya mudasir

  • @jerrychiswa2494
    @jerrychiswa2494 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mwambieni uyu jamaa awe anazungumzia mpila aache kuongea ujinga anaaribu rigi yetu

  • @medimajogoo
    @medimajogoo 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kichwa kibovu mawazo mgando

  • @PendoagaiAgai
    @PendoagaiAgai 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acha ushabiki wew tengeneza timu yenu mbovu na bdo utalia mno boya ww

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani unatupangia wachezaji wa kusajili?. Subiri shirikisho mtanyolewa bila maji mtaishia robo fainali kama kawaida yenu.

    • @peterkandaya565
      @peterkandaya565 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bora sisi tunaoishia robo lkn kwenye ligi ya mabingwa kuliko mtu aliyekaa miaka 30 eti anakuja Tena kuingia makundi CCL😂 😂😂😂😂

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    YANGA SI MMESHACHEZA NAYO ?

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwendaaaa kolo wewe akili fupi

    • @salamSalehhhhh
      @salamSalehhhhh 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Anakutesa unamfatilia chura 🐸

  • @EmanuelMuna-w2q
    @EmanuelMuna-w2q 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Haya makosa makubwa sana wanayofanya waamuzi wa michezo ni kweli kabisa kuwa awa marefarii wanaharibu michezo ya ligi.
    Tafadhali waambieni TFF na Bodi ya Ligi waanze haraka sana kutumia VAR kwenye michezo mingi mikubwa ya Tanzania Premier League. Kuendelea kujadiliana mitandaoni haisaidii kabisa. Kinachohitajika hapa tu ni serious action plan ya TFF na bodi ya ligi kutekelezwa haraka.
    Msipofanya hivyo, basi ni kuwa hii timu inayobebwa siku zote na marefarii itapenda sana kuendelea kuzidharau timu nyingine katika ligi.

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hujui mpira wewe mihemko tu. Mchezaji wa Coastal kabla hajapiga mpira raiseman alikuwa ameisha nyanyua kibendera kitambo.

  • @MakoyeHabariKadashi
    @MakoyeHabariKadashi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu nae kenge tu kama kenge wengine maviiiiioii

  • @MathayoRajabu
    @MathayoRajabu 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukisema ivyo ndo waijenga sana Yanga tengeneza Simba yetu tuu