RADD UHATARI WA BIDAA YA MAULIDI HII MMETOA WAPI? ULIMWENGU UNAKWENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA MTUME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 18

  • @khamishabibu2505
    @khamishabibu2505 4 หลายเดือนก่อน

    Khamis Habib

  • @mohamedmusa8778
    @mohamedmusa8778 4 หลายเดือนก่อน

    husseinismail pole saana,coz nakuonea huruma kwa maneno unayosema

  • @khamishabibu2505
    @khamishabibu2505 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani nyinyi mpaka musome maulid mbona dini yetu imetufahamisha jambo lililokua linawasiwasi sheria inasema tuachane nalo mbona nyinyi mnalingangania kwa njia zote au hamna mpango na dini isipokua nimipango yenu tu kutuletea ibada zisizokua na dalili

  • @AllySibila
    @AllySibila 4 หลายเดือนก่อน

    Nguvu mnazozitoa katika kupinga maulidi mngezielekeza ktk kusimamisha dola ya kiislamu ningewaona wamaana

    • @subulus_salaam2023
      @subulus_salaam2023 4 หลายเดือนก่อน

      CHUKULIA, SASA DOLA IMESIMAMA NA TANZANIA IMESHAKUWA DOLA YA KIISLAMU,,,
      IKIWA TU kuna shida katika kufahamu KITABU NA SUNNAH miongoni mwa watu HAPA NCHINI na wale wanaowarudisheni katika kuvifahamu VIWILI hivyo kwa ufahamu wa wema waliotangulia wanaonekana si chochote si lolote kwenu *hawana maana* kama ulivyosema hapo,,,
      SASA hiyo dola itakayo simama VIWILI HIVYO (Qur an na SUNNAH) mtahukumu kwa ufahamu wa nani❓.
      -MASUFI
      -MASHIA
      -MAIBADHI
      -MAKHAWAARIJ
      -MAHIZBI KWA SAMPULI ZAO ZOTE.
      Je, hapo huoni kama Itakuwa ni sababu ya kuamsha VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE kwa kuwa kila mmoja hapo anataka sheria yake ndo itawale?.
      Sasa chagua uwalinganie watu warudi katika ufahamu mmoja wa kitabu na sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia ili hata dola itakaposimama wawe katika ufaham mmoja na kudumisha umoja.
      AU
      Usimamishe DOLA kisha baada ya kusimamisha viibuke vita vya wenyewe kwa wenyewe kila mmoja kutetea sheria yake itawale hatimaye kuvunja DOLA TENA kuanza upya,,,,
      (Work done=0)
      ALLAAH atuongoze tuvifahamu viwili hivyo kwa ufahamu wa wema waliotangulia.

    • @tibaasiligreatmoment8850
      @tibaasiligreatmoment8850 4 หลายเดือนก่อน

      Doller Yasimamaje Ilhali Bidaa Shirki Zimejaaa

  • @jumakassim1112
    @jumakassim1112 4 หลายเดือนก่อน

    Tulijuatu mtababaika lete dalili nani kakutangulieni katika ibada ya maulidi kwanzia mtume wa Allaah mpaka kwa khalifafa wa mwisho na wema waliotangulia katika haqqy acheni matusi kwanza wazee wangu

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 4 หลายเดือนก่อน

    Bidaa hamja ijua mpaka mtakufa sasa sherehe za waislam kufurahi pia Zina kua bidaa kikao kinacho mswalia mtume huwa pia ni bidaa si kweli kama wewe huyakubali achana nayo na maneno ya ibni taymiya ni kweli vitabu vyake vipo kasema kweli sasa kwani wewe unapo taja wanawazuwoni wako kwani ni wajuzi kuliko wote ukweli ibni taymiya kasema

  • @AbdulkarimBwanakai
    @AbdulkarimBwanakai 4 หลายเดือนก่อน

    Kelele za chura hizo ....

  • @Haji-yt8hm
    @Haji-yt8hm 4 หลายเดือนก่อน

    Mnatangaza usalafi hamna lolote washirika wa Amerika na sudi eti maulid haram kisa mtume hakusoma

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 3 หลายเดือนก่อน

      kwaiyo kuna ibada nyingine mtume kafa kabla hajawa kuzifundisha au . hebu awambieni uma ukweli juu ya hiyo itikadi yenu watu wa maulid