JINSI YA KUTENGENEZA PILIPILI YA KUKARANGA//PILI PILI YA BIASHARA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- PILIPILI YA MAEMBE
• PILIPILI YA EMBE BICHI...
Hivi ndio vitu nilivyotumia
Tomato zilizosagwa
Tomato paste
Chumvi
Pilipili ya kusagwa/masala
Maji ya limau /ndimu
Mafuta ya kukarangia
Asanteni💖