Hongereni sana kwa utume watoto wazuri, MUNGU awajalie neema ya kumtumikia daima katika maisha yenu.hongera pia kwa walezi wa utoto mtakatifu,MUNGU awariki sana mnafanya kazi kubwa na nzuri.
Mubarikiwe Sana ktk maisha yenu watoto Kwa utume mwema Baba askofu Ngalalekumtwa kongore sana Kwa jubilee ya miaka 50 ya utume mwema wa upadre Mungu akubariki Sana na atukuzwe Mungu Milele 🙏 nimetokwa na machozi ya furaha Amina wana wa Mungu najivunia ukatoriki na Asante Mungu Kwa zawadi ya Imani katoriki
Ningekuwa karibu huyo mtoto mdogo mstari wa mbele amenities moyo Sana. Hongera kipapa Iringa
Huyo mtoto mungu ansaidie afike mbali kwakweli
Ni mdg sana
Amazing, glory to God in the highest
❤❤❤❤benadeta wangu najuwa hukosi hapo
Mwalimu jocy ubarikiwe mung akubarik
Mungu awabariki sana❤
Hongereni sana kwa utume watoto wazuri, MUNGU awajalie neema ya kumtumikia daima katika maisha yenu.hongera pia kwa walezi wa utoto mtakatifu,MUNGU awariki sana mnafanya kazi kubwa na nzuri.
Wow wow. I am wowed 😂😂 hongera saaana wana Iringa. Nimependa sanaaa.
Proud to be catholic ❤❤😊😊
Amina kipapa wa kihehe mkovizuri Mungu apewe sifa azidikuwabariki azidi kuwatunza❤
Walimu wa vipapa mko vizuri 🥰🥰🥰
Mungu awatunze watoto,mzidi kubarikiwa.
Nice nimekumbka san enzi zetu n mwalim joyce Mungu awatunze ktik njia zake daima
Umeona da Joyce ukiwa mzito wa kucheza mbn utakoma
Utoto mtakatifu Raha sana
Very nice mbarikiwe sanaaaaaa❤🎉🎉
Hongereni watt wazuri ❤mmeimba vizuri sana
watoto wa kipapa. mko vizuri❤❤❤❤
Mungu awalinde watoto hawa
Hongereni sana kanisa katoliki Tanzania 🎉🎉
Mungu awabariki wote nimefurahi sana ningekua karibu ningewanunulia soda wote
Hongereni sana wana_Utoto Mtakatifu
Mbarikiwe saana ❤🤝
Hongereni..watoto wazur
Waooooh asanteni sana mbarikiwe
Dada Joyce unamoto❤❤❤
So wonderful ❤️🙏🌹
Mungu awabariki sana
So sweet so fun keep it up my youngs
Hongera san
Ktk mambo yanayoambatana na imani Mungu huwainua watoto wake. Tazama katika tukio lote hakuna kosa limefanyika.
Mubarikiwe Sana
ktk maisha yenu watoto Kwa utume mwema Baba askofu Ngalalekumtwa kongore sana Kwa jubilee ya miaka 50 ya utume mwema wa upadre Mungu akubariki Sana na atukuzwe Mungu Milele 🙏 nimetokwa na machozi ya furaha Amina wana wa Mungu najivunia ukatoriki na Asante Mungu Kwa zawadi ya Imani katoriki
👏👏👏👏👏👏
Nimekumbuka izi zile jamani laha sana jamani nikiwa namkalibisha mkude wetu msitaafu daa
❤❤❤
Najivunia kuwa mkatoliki
Ulutogo kwa Yesu, mnogye swee, ena vana mgendelage lulo!
Mpk nimetoa machozi
Iringa haijawahi feli.Kwina ng'ambako inzegale.
Watoto hawajawahikosea wako vizuri
th-cam.com/video/d2MAkNHHKBI/w-d-xo.htmlsi=20QRlygrsUYBsnGB
Hongeren watoto mko vzr
Wametubariki sana
th-cam.com/video/Wqy_NYFEgkc/w-d-xo.htmlsi=7v7yas-vBwuIepKu
❤❤❤❤